Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Unajichoresha.Sijui mama yangu samia anazingatia mambo gani ila naomba sana asiendeshwe na majungu na fitna.
Usiwaachie hao.Nawe una nafasi yako.Bavicha wanakuja
Sijui mama yangu samia anazingatia mambo gani ila naomba sana asiendeshwe na majungu na fitna.Sijui mama yangu samia anazingatia mambo gani ila naomba sana asiendeshwe na majungu na fitna.
Yeye ni kwa kupitia "trial & error"Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana
Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu...
Rais Samia Suluhu anazingatia watu wachapakazi, waadilifu na wananosimamia katiba ya nchi ndio maana unaona sasa Tanzania inaendelea kwa kasiNiko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana.
Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu.
Kwa kikwete yeye alimix Vetting inasemaje na uswahiba
Kwa magufuli hapa hakuzingatia Vetting zaidi ya uchawa na jinsi anavyomuona mtu anaweza yeye binafsi.
Sijui mama yangu samia anazingatia mambo gani ila naomba sana asiendeshwe na majungu na fitna.
Huwa najiuliza yule zero alipokelewaje CDM?Sasa Mkapa huyu waziri wake mkuu mpaka akaitwa ziro, ni vetting ipi alizingatia?