Mkapa alitumia 2.65bln Kusuluhisha Kenya!

Mkapa alitumia 2.65bln Kusuluhisha Kenya!

Mie naomba Mmuache Mkapa kwa hili,Kosa la Mkapa Hapa ni lipi kama siyo wivu tu ambao umewajaa watanzania wengi.Na wakati mwingine huwa nahisi maneno aliyoyasema Mkapa ni kweli,Watananzania ni Wavivu wa Kufikiri.

Yeye alichaguliwa kuwa Msuluhishi tu,Na kuhusu Malipo yeye yalikuwa hayamhusu kama Alilipwa na Serikali au alilipwa na UN au AU,Mpaka kieleweke hiyo siyo habari ya kujadili humu ndani na haina maana yeyote ila inajadilika kwa maana ingine ila siyo kwa kumhusisha Mkapa.

Mkapa kama Rais Mstaafu lazima apewe Ulinzi akiwapo sehemu yoyote ambayo kuna Machafuko na hata akiwa Nchini,Deligate yake ya TISS na Daktari wake wanalipwa na Serikali.Kwa kfupi kama ana Watu kumi na walikaa Nairobi kwa Muda huo wote ulitegemea watumie Sh. Ngapi.Mkapa kama Rais lazima akae katika Hoteli ya 5 stars.

Pia Wakati akienda Nairobi aliondoka na Wasaidizi ambao ni wataalam wa ambao mbali mbali waliokuwa wakifanya majadiliano ya Hapa na pale kabla ya kufikia hitimisho.Hapa Kuna mambo mawili AU ina utaratibu ambao Nchi huchangia gharama mbali mbali za Umoja huo na inawezekana Tanzania iliombwa kufanya hivyo.

Tuwe tunaongea hivyo na vigezo na kwa mpangilio unaofaa na siyo kisa mkapa.Wewe ulitaka Afanye kazi Bure.Amesoma na lazima alipwe kutokana na anachofanya

Gembe,
You have look at this issue objectively. There could be poor resources governance..na kwa msingi huu.. tatizo si la msuluhishi bali ni la mfumo mzima unaoruhusu uchotaji wa fedha kutoka coffers za serikali..( huenda kama walivyofafanua wengine ni kuwa gharama zimebebwa aidha na UN au AU).Kweli kiwango hicho kinatisha lakini lawama zisimwendee msuluhishi ( Mstaafu Mkapa) bali walioweka huo utaratibu wa kuchota hiyo hazina ambayo ingeweza " kusuluhisha" matatizo lukuki waliyo nayo watanzania kwa mamilioni.Iweje ukatengeneze kwa jirani ilhali kwako kunateketea?
 
wahenga wanasema "Ng'ombe wa maskini hazai hata akizaa basi DUME". Tunaziba huku, wanatoboa huku!! ah, waTanzania kazi tunayo ...

huku mhusika anasema "mimi naishi kwa kutegemea pensheni kama Mzee Mwinyi" badala ya kutuambia "mimi naishi kwa kutegemea fujo za majirani kama za Kenya"! soon utamsikia yuko Zimbabwe!
 
Si kwamba walikua wanalipiwa na serikali ya Kenya? Wao si ndio waliomba na kupendekeza majina ya wasuluhishi? iweje serikali yatu iingie gharama tena kuwalipia tena akina mkapa wakati serikali ya kenya iliwapendekeza na kuwaomba?

Kama ni hivyo migogoro africa haita isha manake inaonekana ni ulaji mtupu. Aikosi ndio maana Kikwete anamfagilia Mugabe, pengine anataka kumpeleka tena Mkapa akawe msuluhishi huko...!

Amakweli, kufa kufaana...!
 
Mie naomba Mmuache Mkapa kwa hili,Kosa la Mkapa Hapa ni lipi kama siyo wivu tu ambao umewajaa watanzania wengi.Na wakati mwingine huwa nahisi maneno aliyoyasema Mkapa ni kweli,Watananzania ni Wavivu wa Kufikiri.

Yeye alichaguliwa kuwa Msuluhishi tu,Na kuhusu Malipo yeye yalikuwa hayamhusu kama Alilipwa na Serikali au alilipwa na UN au AU,Mpaka kieleweke hiyo siyo habari ya kujadili humu ndani na haina maana yeyote ila inajadilika kwa maana ingine ila siyo kwa kumhusisha Mkapa.

Mkapa kama Rais Mstaafu lazima apewe Ulinzi akiwapo sehemu yoyote ambayo kuna Machafuko na hata akiwa Nchini,Deligate yake ya TISS na Daktari wake wanalipwa na Serikali.Kwa kfupi kama ana Watu kumi na walikaa Nairobi kwa Muda huo wote ulitegemea watumie Sh. Ngapi.Mkapa kama Rais lazima akae katika Hoteli ya 5 stars.

Pia Wakati akienda Nairobi aliondoka na Wasaidizi ambao ni wataalam wa ambao mbali mbali waliokuwa wakifanya majadiliano ya Hapa na pale kabla ya kufikia hitimisho.Hapa Kuna mambo mawili AU ina utaratibu ambao Nchi huchangia gharama mbali mbali za Umoja huo na inawezekana Tanzania iliombwa kufanya hivyo.

Tuwe tunaongea hivyo na vigezo na kwa mpangilio unaofaa na siyo kisa mkapa.Wewe ulitaka Afanye kazi Bure.Amesoma na lazima alipwe kutokana na anachofanya

Wewe Gembe,
You are talking nonsense, ass nonsense; think this money belongs to me! It belongs to you and I, how can you say I feel jealous for the money I am paying for Mr. Mkapa (tax payers money)! In short, Mr. Mkapa (the thief) used my money to travel to Nairobi and used my money (and your money); how can I be jealous to question how my money was used! USA dollars 2.5 million? Can yu tell me how wealthier was Bill Clinton before getting his Presidency in America? Please we are contributing in this JF because we are painful of our country, history repeats, we are not so poor as you may think and you may play with us; only that you are taking Tanzanians for granted! But this is going to flip! Believe It will not take long, you guys will learn the truth and that Tanzanians are not so stupid!
 
Big Ben anaendelea kutufilisi tu au kwa kuwa anaona tuko kimya? Kweli anastahili kuzomewa...Hivi wale vijana waliomzomea wako wapi jamani naona kimya tu? any idea please!!!
 
Mwanakijiji,Interested Observer,Capitol Hill,womanofsubstanc,....

..kwa kweli kupanga ni kuchagua.

..kama Mkapa ametumia 2.5 billion kwa safari ya Kenya, jiulize Kikwete,Lowassa,Shein, wametumia kiasi gani kwa safari zao za USA,Canada,India...

..haya masuala ya diplomasia na siasa za kimataifa ni mambo ambayo kama taifa tulichagua kuwa ndiyo vipaumbele vyetu. kumbukeni kauli mbiu ya Taifa letu na mwenge wa uhuru.

..kama taifa inabidi tujirudi na kuazimia kwamba sasa tunataka kutumia rasilimali zetu, muda, akili, na nishati zetu kwa faida za ndani za nchi yetu.

..hebu fikiria fedha zote tu hizo wangepewa wataalamu waliobobea wa kilimo au mifugo. hivi mnafikiri wangeshindwa kuja na mbegu bora ya pamba,mahindi, maharagwe, au mitamba ya ngombe au mbuzi?

..Tanzania inasifika kwa maliasili tulizopewa na Mwenyezi Mungu, lakini siyo kazi zilizotokana na juhudi na vipawa vyetu watanzania. Wacuba wana cuban cigar, Wahindi wana basmati rice, Waitaliani wana Italian Wine, Waargentina wana argentinian beef, Waswisi wana swiss watch, Wafaransa wana French perfume, the list goes on and on.

..Sisi Watanzania tuna nini kilichotokana na kazi na vipawa vyetu? zaidi what are we doing to correct the situation?
 
........................inaonekana dhahiri kuwa watu wameamua kumchafua mkapa....yaani SERIKALI KUTUMIA PESA KUSULUHISHA MGOGORO WA KENYA,,,,,,..NDIO MSEME MKAPA AMECHUKUA HIZO PESA ZOTE AKALA....mbona mnakuwa kama hamjui role ya nchi jirani pale inapotokea hali ya hatari nchi jirani.....?

HIVI MNAFIKIRI GOGORO LA KENYA TUSINGEINGILIA LINGEENDELEA ...WAKIMBIZI WANGEJAA KWETU ..TUNGETUMIA BILIONI NGAPI KUANDAA MAZINGIRA ...NA INTERMS YA UHARIBIFU AMBAO WANGELETA..KABLA YA UNHCR HAWAJALETA MISAADA????.....kenya walikuwa katika hali mbaya ya ukosefu wa amani sembuse kuanza kuwaambia walipe gharama....jirani yako akiunguliwa nyumba utamdai gharama za kuuzima????

mimi sioni ufisadi wowote hapo zaidi MTIRIRIKO CHUKI BINAFSI DHIDI YA MKAPA ,,..AMBAZO GENGE LA WAPISHI WAKE WANAYO MAKUSUDI YA KUTUFANYA TUFURAKIE KUPANDA GARI AMBAYO DEREVA ANAENDESHA HUKU AMETIZAMA NYUMA ..WAKATI DHAHIRI BARABARA YA LEO INAYO MASHIMO NA KONA NYINGI

...........KATIKA HALI ILIYOKUWA KENYA LAZIMA MJUWE KUWA ALL OUR STATE ORGANS WERE AT ALERTS.......MKAPA NA KIKWETE HAWAKUWA PALE PEKE YAO....THE WHOLE SYSTEM ILIBIDI WAFANYE CLOSE LOOK.....MBONA HANJAFANYA TATHMINI ....NAMNA TULIVOSHINDWA KWA UPANDE MWINGINE KUNUFAIKA KIBIASHARA KUTOKANA NA MGOGORO HUU....TUNGEWEZA KUUZA ZAIDI NA KUNUFAISHA SEKTA YA BANDARI NA USAFIRISHAJI WAKATI HUO....HIYO NI KAWAIDA DUNIANI..
 
Mkapa Ni Fisadi!
Na Kama Hataki Ushauri Tunaompa Hapa Jf...!
Basi Yeye Ndiye Anahatarisha Usalama Wa Taifa Na Afrika!
 
Ninaomba kukiri hadharani kuwa binafsi ni shabiki wa Benjamin William Mkapa kwa sababu moja kuu 1. Ni rais wa kwanza kwa nchi yetu aliyethubutu kuitambua dunia na walimwengu na wote hawa wawili wakamtambua, daima historia haitamuacha kando kwa mengi mema yake lakini kwa ujasiri wake wa kukiri hadharani "kuwa 10 yrs yake licha ya kuleta mageuzi makubwa bado kuna makosa ya kiutendaji, na yeye kama binadamu anayakubali makosa hayo" rejeeni speech yake ya mwisho kwa Wtz kupitia runinga Novemba 2005 speech na ile aliyoitoa Saint Joseph cathedral 2006 siku alipoomba misa ya shukrani na kumshukuru mungu kwa usimamizi wake ktk miaka kumi na hatimaye kuiacha nchi salama na yeye pia" Kwangu hilo linatosha kusamehe kwa makosa yake, kumpongeza kwa kukiri kwake na zaidi kumkubali kwa kazi nzuri inayoonekana machoni pa wote lakini kwa hili la leo nawaomba wana JF pamoja na huyo mbunge wetu tuhoji "mwalimu Nyerere alitumia kiasi gani kumrejesha Milton Obote madarakani?"

Ninawaheshimu na kuwatukuza wazee hawa ambao hawakuwa na makuu na ambao wametawala zama za baridi Mwalimu,na Mwinyi ila ninamkubali Mkapa kama rais aliyethubutu ktk mengi na ameiacha nchi ktk wakati wa kuamua tuelekee wapi maana dira ziko wazi ni sisi tu WTz na JK tukumbuke msemo wa mwalimu "Kuchagua ni Kupanga na KUpanga ni kuchagua"
 
Wewe Gembe,
You are talking nonsense, ass nonsense; think this money belongs to me! It belongs to you and I, how can you say I feel jealous for the money I am paying for Mr. Mkapa (tax payers money)! In short, Mr. Mkapa (the thief) used my money to travel to Nairobi and used my money (and your money); how can I be jealous to question how my money was used! USA dollars 2.5 million? Can yu tell me how wealthier was Bill Clinton before getting his Presidency in America? Please we are contributing in this JF because we are painful of our country, history repeats, we are not so poor as you may think and you may play with us; only that you are taking Tanzanians for granted! But this is going to flip! Believe It will not take long, you guys will learn the truth and that Tanzanians are not so stupid!

Kwa upande wako unaweza ona hivyo sababu ndivyo ulivyo
 
Baba Mkapa A.k.a Mr Clean Wa Zamani. Mwaka Huu Wakwako. Naona Miti Yote Inaendelea Kuteleza.
 
I was thinking the same thing...as am reading this now i hope kuna majibu huko mbele otherwise it doesnt make sense!!!

Ladymzuri, vipi mlisoma shule moja na Mkjiji?

Kiongozi mwadilifu angewauliza hao walioidhinisha hizo fedha kwa nini hela nyingi hivy😵therwise Mkapa ndie aliyeshinikiza apewe hiyo amount. Akitaka abishe hapa JF right now.

The man has no even one quality of mediator .Chips mayai tupu
 
Back
Top Bottom