DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Mkapa yeye kwakweli ameshikwa na butwa, kwani siku zote alijua Watanzania ni mabubu hawajui kusema sasa anashangaa, na bado
Magazeti haya yana habari kweli ama yanapamba na hasa kwa vile Mkapa hakuwepo kiwanjani ?Maana JK hawezi kuchukua hatua kwa kuanza na Mkapa kuna mengi nyuma hakuwahi kuwa mfano hata mara moja hili ataliweza ?
Aisee, lakini on one note...hhawa jamaa wamemruka kabisa mzee wetu mkapa, Ule ufisadi ulimsaidia Kikwete aingie madarakani...sasa anamgeuka...yatamrudia huyu rais wetu JK
Suala la mkwere kumchukulia hatua mkapa ni NDOTO.. hii inatokana na kwamba asilimia kubwa ya funding iliyotumika kumuingiza madarakani inanuka shombo la ufisadi...hivyo ni wazi kwamba kelele hizo za mkwere na bwana pinda zitaishia juu juu kama yalivyoishia mengine..
Suala la mkwere kumchukulia hatua mkapa ni NDOTO.. hii inatokana na kwamba asilimia kubwa ya funding iliyotumika kumuingiza madarakani inanuka shombo la ufisadi...hivyo ni wazi kwamba kelele hizo za mkwere na bwana pinda zitaishia juu juu kama yalivyoishia mengine..
HIVI NYIE WATU MMETUMWA NA NANI?MKWERE LINI KASEMA ANAMSHUGHULIKIA MKAPA?MBONA SIJASOMA WALA KUSIKIA HIYO STATMENT?HIVI MBONA TUNAONANA MAZUZU?MIE NAJIONA KAMA NIPO TOFAUTI NA NYIE AU LABDA NIPO SAYARI YANGU TOFAUTI NA NYIE????? HIVI MNAJUA MNAKERA SANA KUMSEMEA JK ILHALI YEYE MWENYWE HAONGEI ANAMTUMA SALVA!!! ACHENI HIZO MSIMSEMEE MTU AMBAE AMEWAKIMBIA WAFANYAKAZI KWENYE SIKUKUU YAO HUONI NI UNAFIKI NINGEKUWA NA BUNDUKI NINGEWADITTO NYOTE MNAOMSAFISHA FISADI KIKWETE KWA NA YEYE YUMO KWENYE ILE LIST OF SHAME NA HANA JIPYA!!!
DU mzee...
Mkwere alisema kupitia waziri mkuu wake kwamba wanachunguza hizi tuhuma za mkapa. hakuna anayemsafisha mtu hapa, tena jamaa anasema kabisa kwamba hakuna chochote kitakachofanyika kuhusu hizo tuhuma...mbona amesema mwenyewe hapo kwamba uchunguzi ni wa juu juu tu
punguza ukali, kumbuka " He who angers you, conquers you"
Tamko la serikali lililotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Alhamisi, Aprili 24, bungeni Dodoma, kuwa inafuatilia taarifa za tuhuma kuhusu matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tatu, na iwapo ikithibitika kuwa walitenda makosa, watachukuliwa hatua zinazostahili, linaonyesha kuwa sasa Mkapa anaweza kufikishwa mahakamani.
Taarifa hiyo ambayo Kikwete anaeleza kuwa hatakuwepo katika maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi, ilieleza kuwa wafanyakazi wakiipiga vita rushwa, vigogo wanaodaiwa kupokea rushwa watapata wakati mgumu wa kufanikisha vitendo vyao viovu.
Rais amewaomba wafanyakazi wafanye mambo matatu, kwanza, wajiepushe wao wenyewe na vitendo vya rushwa .wakatae kutumika katika vitendo vya rushwa na wasaidie kutoa taarifa za rushwa ili zifanyiwe kazi na wahusika wabanwe, inasomeka sehemu ya taarifa hiyo ya Rais Kikwete.
Mzee ES..kula tano kwa nukta hapo juu.Bongolander Huna RABA ya kumsafisha MKAPA. Wabunge sasa wanakuja kuhoji Majumba waliouziana kama Njugu. Hata hizo barabara zote zipo under standard hazijapitiwa tu!!! tunasubiri CAG aje aseme UFISADI wa TANROAD....ila kichwa cha Habari ya Hii mada hakijatulia
YOU CAN RUN BUT YOU CAN NEVER HIDE FROM THE JUSTICE WHEN ITS TIME FOR IT TO PREVAIL!Ni Haki Yake Ya Msingi Kama Raia Wowote Wa Tanzania Kuondoka Katika Sherehe Wakati Wowote Anaotaka Yeye
Uncle kweli unachekesha!Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe
Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo hivi mkapa atoroke nje ya nchi ni kwa sababu gani na hiyo account unayotaka waifreez unauhakika kuwa hizo tuhuma zinazotolewa kwake ni za kweli? toa ushahidi wako na sisi tupate faida
Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe