Mkapa hana KOSA

Mkapa hana KOSA

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
1,098
Reaction score
109
Kumekuwaa na hoja mbali mbali za kumshtaki, kumwondolea kinga Raisi mstaafu mkapa kuanzia kwenye magazeti, bunge, mpaka ndani ya JF.

Je ni makosa gani ambayoo utawala wa Mkapa ulifanya kwa sasa hayafanyikiii???Bado tuna mikataba mibovu ya madini, TRL, ATCL, nk..

Tumeendeleea kushuhudiaa utendajii mbovuu zaidi na kushuka kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa maisha ya watu (infalation kubwa zaidi 13%) na uwoga wa kufanya maamuzi hata ya kuwasha jenereta za IPTL!!!!!!!

Je tunasonga au tunarudii nyumaaaaaa???
 
Je tunasonga au tunarudii nyumaaaaaa???[/QUOTE]

Maswali ya ajabu! Ni sawa na kuushika na kuunyanyua mkia wa mbwa na kuunyanyua kisha unauliza anatolea wapi haja kubwa!
 
Kuna watu utafikiri walizikwa kaburini kwa muda mrefu kisha baada ya kufufuka ndio hawajui waanzie wapi kufikiria! Kama unakiri mikataba ni mibovu sasa usafi wa BWM unatoka wapi?
 
Maswali ya ajabu! Ni sawa na kuushika na kuunyanyua mkia wa mbwa na kuunyanyua kisha unauliza anatolea wapi haja kubwa!

Ni mawazoo yakoo
 
Watu kama Mkapa ambaye alitangaza mali zake wakati anaingia Ikulu lakini hakutangaza wakati anatoka, makaburi yao yatakuja kutandikwa viboko siku moja hasa maisha yatakapowakung'uta watu huku wakiangalia kwa uchungu mashimo ambako dhahabu, almasi, tanzanite, makaa ya mawe, nk viliporwa kwa kisingizio cha uwekezaji!
 
Kwa sasa tuna migodi mitano, miaka kumi ijayo tutakuwa na migodi zaidi ya 15!!!!!

Kipi bora? migodii mitano ya mikataba mibovuu au 15 ya mikataba hovyoooooooo?
 
Nkapa gani ambaye hano kosa, au ni yule aliyekuwa ancheze mpira? Mkapa ninaye mjuwa mimi anamakosa ambayo sasa yamegeuka kuwa madhambi.
 
Kumekuwaa na hoja mbali mbali za kumshtaki, kumwondolea kinga Raisi mstaafu mkapa kuanzia kwenye magazeti, bunge, mpaka ndani ya JF.

Je ni makosa gani ambayoo utawala wa Mkapa ulifanya kwa sasa hayafanyikiii???Bado tuna mikataba mibovu ya madini, TRL, ATCL, nk..

Tumeendeleea kushuhudiaa utendajii mbovuu zaidi na kushuka kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa maisha ya watu (infalation kubwa zaidi 13%) na uwoga wa kufanya maamuzi hata ya kuwasha jenereta za IPTL!!!!!!!

Je tunasonga au tunarudii nyumaaaaaa???

Ur joking right?

1. Mkapa hana kosa
2. Makosa ya Mkapa ni 1,2,3 etc
3. Lakini na wengine wamefanya makosa 1,2,3 etc
4. Therefore Mkapa hana kosa?

Kwa hiyo ukiwa na kosa linalofanywa na wengi linaacha kuwa kosa?

Then kila muuaji anaweza kujitetea kwa ushahidi kwamba mbona watu wameuana sana huko Rwanda, na majambazi wanaua kila siku.

This is no defence, two wrongs do not make a right.
 
Hivi kwanini mafisadi wanamtetea sana huyu Mkapa? Au bado anafisadi nchi?
 
Mama Anna Mkapa na Basil Mramba walimpeleka puta huyu Mmachinga Benjamin!Watu wa kusini naamini ni decent people,sio corrupt kama jamaa zetu wa migombani!
Ukioa na ukawa unatawaliwa na mkeo ndio matatizo kama haya.Tatizo kubwa uwe Rais!
Inawezekana hata hakujua kinaendelea kuhusu ANBEN etc mpaka bomu likalipuka
 
Mkapa si mtu wa kupelekeshwa na mkewe wewe, contrary to public opinion, Mama Mkapa nfiye timid between the two.
 
Kwa sasa tuna migodi mitano, miaka kumi ijayo tutakuwa na migodi zaidi ya 15!!!!!

Kipi bora? migodii mitano ya mikataba mibovuu au 15 ya mikataba hovyoooooooo?
Na point yako hapa ni nini? Migodi mitano ambayo tunaibiwa kila siku na miaka kumi na tano tutakuwa na migodi 15 tunayoibiwa kila siku. At the end of the day tunabaki na zero. Wanaotajirika ni akina Mkapa na wazungu wao. Capice?
 
Hakuna mtu asiye na kosa?je kukua kwa uchumi kunaendana na hali za wananchi wa kawaida?
 
Mkapa hana kosa kwa vile wengine nao wanafanya makosa; hii ni mantiki ya ajabu kabisa.
 
Back
Top Bottom