Kwa jinsi ulivyoandika kichwa cha habari, nilifikiri umemuhoji Dr.Ulimboka then akakupa sababu za kutosha kwanini tusiilaumu serikali. Kwakuwa upo out of the Box, tafuta njia uwe in sasa.
Hovyo...........
Upo uwezekano kuna watz ama wamefiwa na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, au wapenzi. Kisa? 'madaktari wamegoma!' Mtu anajiuliza kulikoni? Anapewa ufafanuzi, 'madaktari wanawatakia mema na neema wagonjwa. Ikiwemo huduma bora!' Loooh jamaa hasira zinampanda zaidi. Anasoma magazeti na kufatilia habari anakuta kinara ni ulimboka. Ahaaa! Ngoja nimuonyeshe uchungu wa kufiwa. Je inawezekana?
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea
Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.
Hoja za msingi hapa ni 2.
1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.
2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.
Just thinking outside the box

Mnaolipwa kufanya hii kazi poleni sana.. hamuwezi kuisafisa serikali katika hili
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!! Sijui uko kundi gani wewe?
Upo uwezekano kuna watz ama wamefiwa na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, au wapenzi. Kisa? 'madaktari wamegoma!' Mtu anajiuliza kulikoni? Anapewa ufafanuzi, 'madaktari wanawatakia mema na neema wagonjwa. Ikiwemo huduma bora!' Loooh jamaa hasira zinampanda zaidi. Anasoma magazeti na kufatilia habari anakuta kinara ni ulimboka. Ahaaa! Ngoja nimuonyeshe uchungu wa kufiwa. Je inawezekana?
Wakati tukiendelea kugumia kilichomkuta Dr. Ulimboka, kama kawaida lazima "conspiracy theories' ziwepo ili kujifariji kuwa kuwa aliyefanya hivyo ni nani na kwa malengo gani?.
'Conspiracy theory' Number 1: " It is "inside job"!.
theory hii ambayo ndiyo ya walio wanaamini kabisa ile ni kazi ya serikali, kwa msingi kuwa yeye ndio chanzo cha mgomo toka mwanzo, kwa hiyo, akishughulikiwa, mgomo ndio utamalizika rasmi, hivyo serikali ikawatumia vijana wake waitwao "the oparatives" wamshughulikie vile wataona inafaa, na kweli vijana wakaingia kazini na kilichotokea ni motokeo ya kazi "nzuri" ya vijana wale ambao wameitekeleza vibaya (incomplete), hivyo sasa kui embarass serikali!.
Wanabodi, hakuna ubishi, "the oparatives wapo", na hizo ndizo kazi zao, lakini naomba kutofautiana na simple thinkers wanaoamini its an 'inside job', kwa sababu ili "oparatives" waingie kwenye a
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea
Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.
Hoja za msingi hapa ni 2.
1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.
2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.
Just thinking outside the box
Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea Just thinking outside the box