Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

Watu kama Dr.Ulimboka lazima watokee katika jamii yoyote,na Dr.siyo wakwanza wala wamwisho kutokea.Watu wa aina yake huzalisha makundi yenye mitazamo isiyo fanana.Mitazamo hiyo hutafsiriwa kwa kadiri kila kundi lilivyoguswa na tukio lililompata Dr. bila kuwasahau wagonjwa ambao ndiyo msingi wa sinema nzima.Hao wanao mkejeli leo sijui watendelea kukejeli siku serikali itakapotekeleza madai ya madaktari na watoto wao watakapokuwa wanafaidi jitihada za Kina Dr.na wenzake.
 
.........mmh!!! kukaa kimya pia ni busara.......
 

Umekurupuka kusema,
Hoja siyo kukamatwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka, Hoja hapa ni ukatili na kusudio la watekaji ndicho tunachokitazamia kichukuliwe hatua ili kisitokee tena, walikusudia kumuua Dr, ni wanyama hao wasio na utu, walistahili na wanastahili wajulikane ili jamii iwatambue kwakuwa haijawahi tokea katika nchi yetu tabia ya namna hiyo. Hatusemi kwamba anastahili yeye kuzungumziwa sana la! bali anastahili kuzungumziwa kwakuwa serikali haitaki kuchukua hatua ya kuwa inawakamata hao waliofanya unyama na kuwafikisha mahakamani.Tusiijengee tabia jamii kuwa na hofu juu ya maisha yao na kutokuwa na imani na serikali kwamba ukiisema serikali utaishia kutekwa na kuuwawa au kuondolewa viungo vya mwili wako kwa mateso na kuachilia pasipo kuchukua hatua hapana!
Serikali iwe makini na mambo yanayojitokeza kama hili kuyakemea na kuyachukulia hatua haraka ili kuziba mianya ya wengine kuyafanya kama walivyofanya kwa RPC Barlow ndivyo tunavyotamani mambo yaende hivyo kwa speed lakini tukitamka kulaani na kuwakamata wahalifu. Tumeona swala la Mwangosi limekuwa na hali ya kusuasua nayo si nzuri sana japo hatua imechukuliwa kwa muuaji.
Think behind the scene.
 
Mh kama wamekutuma pia sio mbaya ila naomba katika kuchanganyikiwa kwangu naamini ni serikali hadi mungu ataposibitisha
 

Kwa mwenye akili fupi na mgando km ww ni sahihi uliyosema; kwa wenye kutafakari na kujua cheo ni dhamana wataweka press conference kwa namna ambavyo tukio lilivuta hisia za wananchi na Serikali kuhusishwa! Lakini kwa fikra ndogo ulizonazo huoni!
 
Wewe mleta mada siyo great thinker,kwanza unaonekana kabisa wewe ni ccm,hujui mazingira ambayo Dr ulimboka alitekwa na kuteswa,umeandika bora uandike,hata kama ni raia kama wengine TZ lakini alikuwa ktk ngazi tofauti na wengine,mleta mada una akili finyu sana,hujui kuwa mgomo wa madaktari ktk taifa lolote duniani huangusha serikali husika? na yeye Dr ulimboka alikuwa nani? Kwa nini ----------- lifungiwe? Mleta mada umekurupuka sana,rudi kajipange.
 
Wewe mleta mada siyo great thinker,kwanza unaonekana kabisa wewe ni ccm,hujui mazingira ambayo Dr ulimboka alitekwa na kuteswa,umeandika bora uandike,hata kama ni raia kama wengine TZ lakini alikuwa ktk ngazi tofauti na wengine,mleta mada una akili finyu sana,hujui kuwa mgomo wa madaktari ktk taifa lolote duniani huangusha serikali husika? na yeye Dr ulimboka alikuwa nani? Kwa nini ----------- lifungiwe? Mleta mada umekurupuka sana,rudi kajipange.
 
Nashawishika kuamini hili jambo kwa sababu kuna mkanda wa lwakatare ambao chadema mpaka leo hawawezi kuuelezea mantiki yake, kuna ushahidi usiopingika kuwa wanachama wa chadema walio kinyume na "uongozi" wametekwa na kupigwa (baada ya kupachikwa nembo ya "waasi"), na vile vile uongozi unadai kuwa na ushahidi wa tukio la mabomu arusha tena wa video, lakini hawataki kuuweka hadharani...Hata haya matukio ya Ulimboka na kibanda nashawishika kuwa ni smear campaign against the gov.
 
dr ulimboka waliomtesa wanajulikana na aliewatuma pia wamejulikana soo ni aibu kubwa mpaka sasa haijawatoka
 
ila naapa kama tukio lingenitokea mm kila alieshiriki kwa namna yoyote hata sufuria kwao zisingebaki co panya pekee ningebeba dhambi
 
Sio kwa Uncle magu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…