Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

Na si haki pia kuilaumu serikali bila ya kuwa na ushahidi kuwa serikali ndio imefanya hivyo

si haki hata kidogo
Ushahidi ulishatolewa na Dr.Ulimboka mwenyewe,kuwa ni serikali,sasa ulitaka tumlaumu nani?
 
Haya sasa mwangalie Ulimboka na macho yako mwenyewe... hii ni video au vipi.. ushahidi zaidi unatakiwa, lakini lack of other evidence is not enough to suspend this serious case: Ushuhuda wa Dr. Stephen Ulimboka - YouTube

hivi kuna shahidi gani mzuri kama sio yule wa mwisho kuwasiliana na dr uli? Dr deo? Mbona deo hajaitwa kuhojiwa? Huo upelelezi mnaohitaji ni upi? In any way Mungu ana mipango yake na wanadamu tuna mipango yetu. Mipango ya wanadamu haiwezi kuipiku mipango ya Mungu,!
 
Serikali ndio ilete ushahidi beyond reasonable doubt kwamba haijahusika!
Nadhanani umetumwa na TISS baada ya kugundua kila filamu ina pigwa chini TBS (THINKERS). Huu upepo hautapita hivihivi lazima kuna nyumba zitabomoka!
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa Ishu nzima ya kutekwa na kuteswa kwa Dr.Ulimboka ni mchezo wa kisiasa uliopangwa baina ya Madaktari na Chama Fulani cha siasa(Jina Limehifadiwa).

TUHUMA HIZI ZINAJENGWA NA HOJA ZIFUATAZO:

1.Dr.Ulimboka anadai watu walimpigia simu akakutana nao maeneo ya Leaders akiwa na rafiki yake na baada ya muda watu hao walimteka na kuondoka nae kwenye gari kisha rafiki yake kwenda kutoa taarifa polisi.

SWALI?
Kwanini huyu rafiki wa Dr. asinge hangaika kuifuatila gari lililomteka Dr. hukuakiendelea kufanya mawsiliano na ndugu na jamaa,badala yake akakimbilia Polisi na kuruhusu watekaji kupotea?

2.Kulingana na Madai ya Dr. Kuna mpita njia alimuokota alfajiri ya saa kumi na moja akiwa hajitambui akampeleka kituo cha polisi Bunju

SWALI?
Kumekuwa na maswali mengi ni wapi alipokuwa anatoka huyu bwana aliyemuokota Dr. muda huo?

3.Kunamadai kuwa baada ya Dr. kuonekana Madaktari waliomba usafiri wa ambulance kutoka hospital ya Muimbili lakini walinyimwa na kulazimika kukodi ambulance.

SWALI?
Kwa nini kitengo cha emergency-Muhimbili kikatae kutoa ambulance kwa ajili yakumchukua dokta mwenzao aliyeuwa hatarini kufa?
4.Kulingana na taarifa za mtu aliuemuokota Dr. nikwamba Dr. alikuwa hajitambui,chakushangaza alipofikishwa Muhimbili Dr. alizinduka na akazungumza na baadhi ya madaktari na waandishi wa habari,lakini muda mfupi baada Dr. alipoteza fahamu na kupelekwa ICU.
Ikumbukwe pia Dr. alisema baada ya watekaji kumpiga sana alizimia,baadae akazinduka na kujikongoja hadi barabarani,kasha akapoteza tena fahamu.Kwa maelezo hayo ni kuwa Dr. alipoteza fahamu na kuzinduka zaidi ya mara tatu.
SWALI?
Inakuaje mtu alikuwa hajitambui alipofikishwa hospitali akaongea na madaktari wenzie alafu ghafla akapoteza fahamu tena?

5.Madaktari walisema Dr.alitolewa kucha na meno

SWALI?
Mashuda waliokwenda airport wanasema Dr.alikuwa na meno na kucha zake,je madaktari waliongopa?
Hoja hizi pamoja na mambo mengine yaliyojitokeza katika kipindi chote cha sakata hili zinatia mashaka na kuzua utata katika tukio hili.

Kunatetesi kuwa kuna chama cha kisiasa kiliandaa mpango huu ili kukwamisha juhudi za serikali katika kushughulikia tatizo la Madaktari.Eidha kumekuwa na baadhi ya tuhuma zikielekweza kwa baadhi ya wabunge wa chama Fulani waliokuwa mstari wa mbele kutaka suala la Dr.lijadiliwe bungeni.

Je kama ni kweli,Siasa ya nchi hii inaelekea wapi?
 
Uzuri amekuja mwenyewe, naomba tusubiri maelezo yake
 
:biggrin1: naona CCM wameamua waanze propaganda kabla ulimboka hajaongea....endeleeni kujitahidi hivyo hivyo...
 
Jamani hivi mnaweza panga to kill ur partiner wakati he fights for you?
 
Wewe ndiye ulimteka na kumtesa kama siyo wewe kasome Mwanahalisi, na unapima mawazo ya watu na umefanya watanzania wajinga sana wasio jua kupambanua mambo wala kutafakari, ishia huko na ujinga wako
 
Hapana shaka Umetoka kujisalimisha na kutubu kwa gwajima, si bure! Manake wenzio wanapotafuta ufumbuzi kwa njia za kipelelezi kumjua mtekaji, wewe unajitihada za maksudi kukingunisha chama . . . . kwenye uozo wa serikali dhaifu, hizo habari unazodai kuzagaa mbona mitaani kwetu hazipo Paw, Invisible, Fang tafadhalini nipeni ruhusa mara hii tu nimtundikie drip ya matusi!!!!!
NASUBIRI RUHUSA KWWNYE INBOX
 
Last edited by a moderator:
Tujibu hoja wakuu...kimsingi kama wewe ni mwerevu kuna maswali mengi sana utajiuliza katika mkasa huu...tunamsubiri Dr. apate nguvu atuondelee huu utata..unless otherwise hii ni ishu yakuhoji..
 
Yale yale ya majibu rahisi kwenye maswali magumu. Suala lilipo mbele yetu, na ambalo hakuna ayebisha, ni kuwa Dr. Ulimboka alitekwa, kupigwa na kuteswa na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye Msitu wa Pande. Kama una maelezo tofauti na hizo facts tutakuelewa. Swali lako kwamba "kwa nini yule rafiki yake Ulimboka aliripoti polisi badala ya kulifuatilia gari lililomteka" linaonesha jinsi usivyo makini wa kufikiri.

Kwani vitendo vya kihalifu vinatolewa taarifa wapi? Unasema eti angelifuatilia. Yeye si mpelelezi, yeye ni daktari. Hata na maswali yako yote yaliyobaki ni dhaifu na inaoneka uliyatunga ukiwa usingizini. Jipange na uandike kitu chenye mashiko, badala ya kutuletea habari za "INASEMEKANA".
 
Watu wengine bwana..ulikuwa wapi?and you sat down writing this?!subirini aongee, acheni kutapatapa.
 
Ngoja tumsubiri kwanza aelezee mkasa mzima uliomkuta mana hili tukio linachanganya sana ila kwa wale wote waliohusika watakiona cha moto!
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa Ishu nzima ya kutekwa na kuteswa kwa Dr.Ulimboka ni mchezo wa kisiasa uliopangwa baina ya Madaktari na Chama Fulani cha siasa(Jina Limehifadiwa).

TUHUMA HIZI ZINAJENGWA NA HOJA ZIFUATAZO:

Je kama ni kweli,Siasa ya nchi hii inaelekea wapi?

Wameona maji shingoni wameshakutuma? watasema mengi but ukweli utahakikishwa soon maana sisi tunajua ukweli ila mwenye ukweli yu hai atasema hata kupitia maaandishi turushe hapa jamvini na kwingineko. Endeleeni kuweweseka tu, na sisi tunawachora!!! Kova upo na Mkenya wako wa kuzuga? Aibu yako.
 
Tujibu hoja wakuu...kimsingi kama wewe ni mwerevu kuna maswali mengi sana utajiuliza katika mkasa huu...tunamsubiri Dr. apate nguvu atuondelee huu utata..unless otherwise hii ni ishu yakuhoji..

Ila wewe utakuwa mwehu ,hapo kwenye nyekundu kama ulijua hivyo kwa nini unakurupuka kuandika pumba hapa?
 
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa Ishu nzima ya kutekwa na kuteswa kwa Dr.Ulimboka ni mchezo wa kisiasa uliopangwa baina ya Madaktari na Chama Fulani cha siasa(Jina Limehifadiwa).

TUHUMA HIZI ZINAJENGWA NA HOJA ZIFUATAZO: (UPUUZI MTUPU UMECHELEWA SANA NA MAJAMBAZI WENZIO)

1.Dr.Ulimboka anadai watu walimpigia simu akakutana nao maeneo ya Leaders akiwa na rafiki yake na baada ya muda watu hao walimteka na kuondoka nae kwenye gari kisha rafiki yake kwenda kutoa taarifa polisi.

SWALI?
Kwanini huyu rafiki wa Dr. asinge hangaika kuifuatila gari lililomteka Dr. hukuakiendelea kufanya mawsiliano na ndugu na jamaa,badala yake akakimbilia Polisi na kuruhusu watekaji kupotea?

2.Kulingana na Madai ya Dr. Kuna mpita njia alimuokota alfajiri ya saa kumi na moja akiwa hajitambui akampeleka kituo cha polisi Bunju

SWALI?
Kumekuwa na maswali mengi ni wapi alipokuwa anatoka huyu bwana aliyemuokota Dr. muda huo?

3.Kunamadai kuwa baada ya Dr. kuonekana Madaktari waliomba usafiri wa ambulance kutoka hospital ya Muimbili lakini walinyimwa na kulazimika kukodi ambulance.

SWALI?
Kwa nini kitengo cha emergency-Muhimbili kikatae kutoa ambulance kwa ajili yakumchukua dokta mwenzao aliyeuwa hatarini kufa?
4.Kulingana na taarifa za mtu aliuemuokota Dr. nikwamba Dr. alikuwa hajitambui,chakushangaza alipofikishwa Muhimbili Dr. alizinduka na akazungumza na baadhi ya madaktari na waandishi wa habari,lakini muda mfupi baada Dr. alipoteza fahamu na kupelekwa ICU.
Ikumbukwe pia Dr. alisema baada ya watekaji kumpiga sana alizimia,baadae akazinduka na kujikongoja hadi barabarani,kasha akapoteza tena fahamu.Kwa maelezo hayo ni kuwa Dr. alipoteza fahamu na kuzinduka zaidi ya mara tatu.
SWALI?
Inakuaje mtu alikuwa hajitambui alipofikishwa hospitali akaongea na madaktari wenzie alafu ghafla akapoteza fahamu tena?

5.Madaktari walisema Dr.alitolewa kucha na meno

SWALI?
Mashuda waliokwenda airport wanasema Dr.alikuwa na meno na kucha zake,je madaktari waliongopa?
Hoja hizi pamoja na mambo mengine yaliyojitokeza katika kipindi chote cha sakata hili zinatia mashaka na kuzua utata katika tukio hili.

Kunatetesi kuwa kuna chama cha kisiasa kiliandaa mpango huu ili kukwamisha juhudi za serikali katika kushughulikia tatizo la Madaktari.Eidha kumekuwa na baadhi ya tuhuma zikielekweza kwa baadhi ya wabunge wa chama Fulani waliokuwa mstari wa mbele kutaka suala la Dr.lijadiliwe bungeni.

Je kama ni kweli,Siasa ya nchi hii inaelekea wapi?

Kutekwa kwa dr.ulimboka ulikuwa mchezo wa kisiasa?

Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa Ishu nzima ya kutekwa na kuteswa kwa Dr.Ulimboka ni mchezo wa kisiasa uliopangwa baina ya Madaktari na Chama Fulani cha siasa(Jina Limehifadiwa). TISS KATIKA JUHUDI ZA KUJISAFISHA.

TUHUMA HIZI ZINAJENGWA NA HOJA ZIFUATAZO:

1.Dr.Ulimboka anadai watu walimpigia simu akakutana nao maeneo ya Leaders akiwa na rafiki yake na baada ya muda watu hao walimteka na kuondoka nae kwenye gari kisha rafiki yake kwenda kutoa taarifa polisi.

SWALI?
Kwanini huyu rafiki wa Dr. asinge hangaika kuifuatila gari lililomteka Dr. hukuakiendelea kufanya mawsiliano na ndugu na jamaa,badala yake akakimbilia Polisi na kuruhusu watekaji kupotea?
WEWE KWELI UNA AKILI YA AJABU. UNAONA ALIFANYA MAKOSA KWENDA POLISI?? Umetumwa au wewe ni TISS

2.Kulingana na Madai ya Dr. Kuna mpita njia alimuokota alfajiri ya saa kumi na moja akiwa hajitambui akampeleka kituo cha polisi Bunju

SWALI?
Kumekuwa na maswali mengi ni wapi alipokuwa anatoka huyu bwana aliyemuokota Dr. muda huo?

3.Kunamadai kuwa baada ya Dr. kuonekana Madaktari waliomba usafiri wa ambulance kutoka hospital ya Muimbili lakini walinyimwa na kulazimika kukodi ambulance.

SWALI?
Kwa nini kitengo cha emergency-Muhimbili kikatae kutoa ambulance kwa ajili yakumchukua dokta mwenzao aliyeuwa hatarini kufa?
4.Kulingana na taarifa za mtu aliuemuokota Dr. nikwamba Dr. alikuwa hajitambui,chakushangaza alipofikishwa Muhimbili Dr. alizinduka na akazungumza na baadhi ya madaktari na waandishi wa habari,lakini muda mfupi baada Dr. alipoteza fahamu na kupelekwa ICU.
Ikumbukwe pia Dr. alisema baada ya watekaji kumpiga sana alizimia,baadae akazinduka na kujikongoja hadi barabarani,kasha akapoteza tena fahamu.Kwa maelezo hayo ni kuwa Dr. alipoteza fahamu na kuzinduka zaidi ya mara tatu.
SWALI?
Inakuaje mtu alikuwa hajitambui alipofikishwa hospitali akaongea na madaktari wenzie alafu ghafla akapoteza fahamu tena?
HILI LITAKUSHANGAZA SANA KWA SABABU WOTE MNAOWAPIGAGA HUKO MABWEPANDE HUFA AU HAWAZINDUKI!! Wewe utakuwa yule jamaa aliyeenda kupiga simu kufahamisha majambazi wenzie kuwa "jamaa hakufa"

5.Madaktari walisema Dr.alitolewa kucha na meno

SWALI?
Mashuda waliokwenda airport wanasema Dr.alikuwa na meno na kucha zake,je madaktari waliongopa?
Hoja hizi pamoja na mambo mengine yaliyojitokeza katika kipindi chote cha sakata hili zinatia mashaka na kuzua utata katika tukio hili.
UNA KICHAA HAPA mashuhuda wenu wa TISS walimng'oa meno nusunusu?! Hakuna binadamu atakayekubali kupigwa kipigo kama kile kwa manufaa ya KISIASA!!

Kunatetesi kuwa kuna chama cha kisiasa kiliandaa mpango huu ili kukwamisha juhudi za serikali katika kushughulikia tatizo la Madaktari.Eidha kumekuwa na baadhi ya tuhuma zikielekweza kwa baadhi ya wabunge wa chama Fulani waliokuwa mstari wa mbele kutaka suala la Dr.lijadiliwe bungeni.

Je kama ni kweli,Siasa ya nchi hii inaelekea wapi?
SIASA INAPELEKWA WAPI NA TISS WANAOLIPWA KODI ZETU kupendelea chama tawala na kupiga na kuua walipa kodi? Mkuu umeshindwa kuwaaminisha watu ujinga wako. HIVI KWA NINI SERIKALI ILIKATAA TUME HURU? Na lile sakata la KOVA na taahira wake aliyeswekwa ndani aliyepingwa na hata mchungaji wake unataka tuamini lipi?
wakamate akina Rama na wale wote waliotajwa!! tujue moja usituaminishe uongo wako hapa!!​
 
Peoples power hao alitofautiana nao baada ya kuonekana anataka kulegeza msimamo kwa serikali.

Baada ya kugundua analofanya Ulimboka halina tija kwa wananchi wa Tanzania ndipo ma mafia kama kawaida yao wakataka wamfanye kama walivyomfanyia Chacha wangwe
 
Back
Top Bottom