#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: WEDNESDAY 24th APRIL 2024
TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA MFANYAKAZI MPYA AMBAYE HAPO AWALI AMEKUWA AKIPISHANA NA RATIBA YA MIHULAI YA MASOMO YA WANAFUNZI


HUYU NI YULE AMBAYE HAPO AWALI AMEKUWA AKISAFIRI WANAFUNZI WANAPOKUWA WAMEFUNGUA NA ANARUDI TENA WANAFUNZI WANAPOKUWA MAMEONFOKA KWENDA LIKIZO

KWA SAFARI HII, INAONEKANA HAJASAFIRI ISIPOKUWA AMEKUWA AKIONEKANA NDANI YA JENGO KWA NADRA SANA, NA SEHEMU PEKEE AMBAYO AMEKUWA AKIONEKANA NI OFISINI KWAO MHUSIKA, AKIWA AMEWATEMBELEEA OFFICE MATES WA MHUSIKA, WOTE WAWILI

KWA SAFARI KAMA MBILI HIVI, AMEONEKANA PIA AKIHUDHURIA PRESENTATIONS ZILE AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIFANYIKA SIKU ZA J3, MOJAWAPO IKIWA NI ILE YA MGENI KUTOKA MKOANI ILIYOFANYIKA J3 ILIYOPITA

HIZO NDIYO SEHEMU PEKEE AMBAZO MFANYAKAZI HUYU MPYA AMEKUWA AKIONEKANA KWENYE MHULA HUU

VINGINEVYO MFANYAKAZI HUYU
HUWEZI UKAMUONA YUPO DARASNI NA WANAFUNZI, AU KUMUONA AKIWA AMEBEBA VIFAA VYA KUFUNDISHIA ANAELEKEA DARASANI

HUWEZI KUMKUTA YUPO TEA TOOM NA WAFANYAKAZI WENZAKE

HUWEZI KUMKUTA YUPO SEHEMU NYINGINE YOYOTE ILE AKIWA NA WAFANYAKAZI AU WANAFUNZI

HUWEZI KUMUONA HATA AKIWA ANATEMBEA KWENYE KORIDO AKITOKA SEHEMU MOJA KWENDA SEHEMU NYINGINE

HUWEZI KUMUONA MAHALI PENGINE POPOTE PALE ISIPOKUWA MHUSIKA AMEKUWA AKIMUONA PALE TU ANAPOKUWA AMEINGIA OFISI KWAO, MHUSIKA AKIWS YUPO NDANI YA OFISI

PATTERN MUHIMU AMBAYO IMESHAONYESHWA NA MFANYAKAZI HUYU NI KWAMBA PALE INAPOTOKEA MHUSIKA AKAWA AMETOKA NJE YA OFISI ILA YUPO NDANI YA JENGO, HADI KUFIKIA MUDA HUU TANGU MHULA HUU UANZE, HAJAWAHI KUBAHATIKA KUMUONA MFAYAKAZI HUYU AKIWA KWENYE ANGALAU MOJAWAPO TU YA MAENEO HAYO ALIYOYAAINISHA HAPO JUU

MBALI NA HAYA YOTE, MFANYAKAZI HUYU ANAO PIA OFFICE MATES WAWILI AMBAO TANGU AMEAJIRIWA YAELEKEA MWAKA MZIMA SASA, HAJAWAHI HATA MARA MOHA KUONEKANA AKIWA PAMOJA NAO, AKIWA AIDHA NDANI YA OFISI YAO AU AKIWA NJE YA MAZINGIRA YA OFISNI,; MAZINGIRA YA AIDHA NDANI AU YA NJE YA JENGO LA IDARA

KILE ALICHOFANYA MFANYAKAZI HUYU KWENYE SIKU MBILI ZA J3 NA J4 WIKI ILIYOPITA, KIPINDI MHUSIKA ALIPOKUWA ANATAYARISHA BARUA YAKE YA KUKUMBUSHIA

KWA SIKU YA J3 ALIINGIA TU OFISINI KWAO MHUSIKA, KUJA KUWAONA RAFIKI ZAKE HALAFU BAADA YA MUDA ALIONDOKA

KWA SIKU ILIYOFUATA YA J4 ALIIFIKA MARA MOJA TU KUJA KUCHUKUA FLASH DISK KWA OFFICE MATES-2 NA HAKUKAA, ALIFIKA TU NA KUOMBA FLASH AKAPEWA HALAFU AKAONDOKA

KWA SIKU ZINGINE ZILUZOFUATA BAADA YA HAPO, HAJAONEKANA TENA OFISINI KWAO MHUSIKA

J5 JIONI YA WIKI ILIYOPITA, MHUSIKA ALIFIKA OFISINI KWAKE NA KUMKUTA YUPO KAMA JAWUDA YUPO PEKE YAKE OFISI NA ALIKUWA NA FLSH DISK NDOGO SANA, SIZE YA PUNJE YA MAHINDI

KILE KILICHOPELEKEA MHUSIKA AKAFIKA OFISINI KWA MFANYAKAZI HUYU J5 YA WIKI ILIYOPITA

ALIHITAJI FLASH DISK KWA AJILI YA KWENDA KU-PRIINT DOCUMENT YAKE, MFUMO WA KUPRINT ONLINE ULIWAHI KU PATA MATATIZO SIKU NYINGI NA BADO HAUJAFANYIWA MAREKRBISHO

KAWAIDA HUWA ANA-ATTACH FILE KWENYE E-MAIL HALAFU ANANDA KULI-DOWNLOAD KWENYE COMPUTER HUSIKA, ILA JWA MUJIBU WA MAELWZO YA BINTI MSAIDIZI WA KMWI ALIYEMURA AKIWA ANAITUMIA COMPUTER HIYO, ILISEMEKANA KUWA KWA SIKU HIYO TU MTANDAO WA COMPUTER HIYO ULIKUWA UMEHARIBIKA

KWA HIYO WATU BADO WAKO MANUAL KIDOGOI KIASI KWAMBA ILI UWEZE KU PRINT INABIDI AIDHA U-ATTACH FILE KWENYE E-MAIL AU ULICHUKUE KWENYE FLASH DISK
HUDUMA YA PRINTING HUWA IKO CENTRALISED OFISINI KWA MWI

NA KWA BAHATI MBAYA KWA SIKU HIYO MAOFFICEMATES WA MHUSIKA HAWAKUWA WAMEBEBA FLASH ZAO, HAWAKUWA WAMEKUJA NAZO OFISINI

...................inaendelea
 
...............inaendelea
MHUSIKA ALIPOHITAJI KU-PRINT BARUA YAKE..........

BAADA YA COMPUTER INAYOTUMIKA KU- PRINT KUWA IMEKOSA MTANDAO NA PIA OFFICE MATES KUONEKANA HAWAKUWA WAMEFIKA OFISINI WAKIWA NA FLASH ZAO SIKU HYO; OM-2 ALIMSHAURI MHUSIKA AKAAZIME FLASH KWA MFANYAKAZI HUYO AMBAYE MARA YA MWISHO ALIFIKA OFISINI HAPO JANA YAKE J4 AKIWA AMEKUJA KUCHUKUA FLASH KWA OM-2

OM-2 ALIENDA MBALI ZAIDI AKIWELEZA MHUSIKA KUWA YEYE PIA ALIKUWA YUKO WILLING KWENDA KUCHUKUA FLASH KWA MTU HUYO NA KUMLETEA

WAKATI HUO OFFICE MATES WOTE WAWILI WALIKUWA WANAJIANDAA KUONDOKA NAZINGIRA YA OFISINI, WALIKUWA WANAELEKEA MAHALI FULANI

KWA HIYO OM-2 ANGEENDA KUCHUKUA FLASH TU NA KUMLETEA MHUSIKA HALAFU ANAONDOKA OFISINI

HATA HIVYO MHUSIKA HAKUIPENDELEA ZAIDI OPTION HIYO YA KWENDA KUCHUKULIWA FLASH, ALIAMUA KWENDA MWENYEWE ILI AKAIONE KWANZA FLASH YENYEWE ILIKUWA IMEKAAJE

BAADA YA KUFIKA, ALIIONA NA IKAMPA MASHAKA SANA KAMA ILIKUWA NI FLASH YA KAWAIDA KWA SABABU ILIKUWA NI NDOGO MITHILI YA PUNJE YA MHINDI, TENA PUNJE ILE NDOGO KABISA

KUONA HIVYO, MHUSIKA ALIAMUA KUICHUKUA NA BAADA YA KUTOKA NJE HUKU NA KUPIGA HATUA KADHAA, ALIRUDI TENA OFISINI NA KUIKABIDHI FLASH HIYO KWA MWENYEWE

ILIKUWA NI NJIA YA KUMFANYA MWENYE FLASH ASIWEZE KUWA NA UHAKIKA SANA KAMA MHUSIKA ALIKUWA AMEISTUKIA FLASH HIYO AMA LA; JUST IN CASE INAWEZA KUWA ILIKUWA NA KITU KINGINE CHA ZIADA

VINGINEVYO KUNA MGENI MTAALAMU WA IT AMBAYE ALIONEKANA OFISINI KWA MWI WAKATI MHUSIKA ALIPOKUWA YUPO KWENYE PILIKA PILIKA ZA KU- PRINT BARUA YAKE SIKU YA J3 JIONI, NA PIA ALIONEKANA TENA KESHO YAKE ALHAMIS JIONI
KWA SIKU YA ALGAMIS, KWA MARA KWANZA MGENI HUYU ALIONEKANA AKIWA ANAFUNGA GRILLYA MLANGO WA CHUMBA CHA COMPUTER KIINACHOCHANGIA UKUTA NA CHUMBA CHA MICROSCOPE, NA AMBACHO KIPO JIRANI PIA NA OFISI YAO MHUSIKA

ILIKUWA NI MARA YA KWANZA KWA MHUSIKA KUMUONA MGENI HUYU AKIWA ANATOKEA KWENYE CHUMBA HICHO, NA ILIONYESHA KUWA KWA SIKU HIYO ALIKUWA YUPO KWENYE CHUMBA HICHO AKIWA PEKE YAKE

TAKRIBANI WIKI TATU AU NNE ZILIZOPITA, MGENI HUYU ALITAMBULISHWA NA MKUU WA KITENGO CHA IT CHA MAJOR UNIT, KAMA MTU AMBAYE AMEFIKA KWA AJILI YA INTERNSHIP KWENYE TAASISI

HAPO AWALI KABLA YA UTAMBULUSHO WAKE, MGENI HUYU AMEKUWA KWA MARA KADHAA, AKIONEKANA NDANI YA JENGO LA IDARA TANGU MHULA HUU WA PILI UANZE, NA MARA MBILI AU TATU AMEWAHI KUFIKA NA KUINGIA PIA OFISINI KWAO MHUSIKA KWA AJILI YA KUFANYA MAZUNGUMZO NA OFFICEMATES WOTE WAWILI WA MHUSIKA, YALIYOHUSIANA NA MASWALA YA MTANDAO

DALILI ZILIZOKUWEPO KABLA YA UTAMBULUSHO WA INTERN HUYU NI KWAMBA OFFICE MATES WA MHUSIKA WALIKUWA WANAFAHAMIANA NAYE HATA KABLA YA KUWA AMETAMBULUSHWA

VINGINEVYO SIKU YA J5 WAKATI MHUSIKA ALIPOKUWA ANAPANDISHA JUU KWENDA KUAZIMA FLASH, ALIWAKUTA OFFICEMATES WAKE WAKIWA WANAONGEA NAYE KWENYE NGAZI, USAWA WA SEHEMU ZINAPOANZIA NGAZI ZA KUPANDISHA JU KUELEKEA GHOROFA YA PILI

IKUMBUKWE KUWA WAKATI MHUSIKA YUPO KWENYE PILIKA PILIJA ZA KU- PRINT, OFFICEMATES NAO WALIKUWA KWENYE PILIKA PILIJA ZA KUTOKA OFISINI NA NDIYO MAANA ALIWAKUTA WAPO SEHEMU HIYO KWENYE NGAZI WAKIWA NA MGENI HUYU MTAALAMU WA IT

BAADA YA HAPO, NDIYO BAADYE KIDOGO MGENI HUYU WALIKUTANA TENA NA MHUSIKA OFISINI KWA MWI

MGENI HUYU NDIYO YULE AMBAYE OM-2 ALITAKIWA KWENDA KUAZIMA FLASH KWAKE NA KUMLETEA MHUSIKA, NA ISINGEKUWA KWA YULE MFANYAKAZI RAFIKI YAKE NA OM-2

MHUSIKA ALIPOKUWA ANAENDELEA KU- PRINT BARUA SIKU HIYO YA J5 HUKU MGENI MTAALA MU WA IT AKIWA AMESHAFIKA, KUNA KITU KILISUMBUA NA HIVYO KUPELEKEA MHUSIKA KUSHAURIWA AMHUSISHE MTAALAMU HUYO LAKINI MHUSIKA HAKURIDHIA KWA SABABU MAMLAKA ILYOWAHI KUMTAMBULISHA MGENI HUYO KWAKE, MHUSIKA ANAYAELEWA VIZURI SANA MAMBO YAKE, NI MAZITO MNO

MGENI HUYU NI KIJANA, SIYO MFUPI WALA MREFU, NI MWEUSI NA ANA NYWELE NYINGI KIASII KICHWANI AMBAZO ZINAONEKANA HUWA ZINAZCHANWA KWA MTINDO WA PUSHBACK KWA KUTUMIA KWARUZO AU HUWA WAKATI MWINGINE HAZICHANWI KABISA, UMRI AROUND MIAKA 30

DETAILS ZAIDI ZA KIJANA HUYU WANAZO MKUU WA KITENGO CHA IT WA MAJOR UNIT PAMOJA NA OFFICEMATES WA MHUSIKA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Nikitibitisha Kuna Members wa Jf zaidi ya 10,000 kati ya 600,000+ wanaelewa na kufuatilia huu Uzi .. nitajitoa JF ....
 
Ajabu Wakristo munabebana sana hongereni kisa hichi hichi engekileta Muislamu na hadithi hii hii badala ya kanisa weka msikiti tu basi JF mzima ingekuchana kinyama lkn nakupengezeni Wakristo huu uzi hauna mbele wala mwisho nimeuacha njiani naona kama ni adv or CV ya muandishi anajaribu kuomba kazi JF.
 
Someni KWA furaha while reserving your comments. TAFADHALI sana munaombwa msichangie
 
UPDATE: THURSDAY 25th APRIL 2024
KUHUSIANA NA KIJANA MTAALAMU WA IT AMBAYE YUPO KWA AJLI YA INTENSHIP KWENYE MAZINGIRA YA TAASISI


Taarifa za nyongeza kuhusiana na kijana huyu zitafuata baadaye.

n the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SUNDAY 28th APRIL 2024
YALE AMBAYO HAYAKWENDA SAWA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A WAKATI WA IBADA YA PILI J2 YA LEO

MOSI:
RATIBA YA IBADA KWA J2I IJAYO AMBAYO NI SIKUKUU YA WANAUNE, HSIKUTANGAZWA

JITIHADA ZA MHUSIKA KUJARIBU KUMKUMBUSHA KIONGOZI ALIYEKUWA ANAHUSIKA NA MATANGAZO, ALIZOZIFANYA KUPITIA DAKTARI ALIYEPITA KARIBU NA MHUSIKA AMBAYE ALIKUWA AMEKARIBISHWA KUPANDISHA JUU MADHABAHUNI, NAZO PIA ZILIGONGA MWAMBA; BADO RATIBA HIYO HAIKUTANGAZWA

PILI: MEZA YA BWANA ILIYOFANYIKA J2 YA LEO , HAIKUWAHI KUTANGAZWA J2 ILIYOPITA, ILIKUWA NI YA KUSHTUKIZA. MARA ZOTE MEZA YA BWANA HUWA INATANGAZWA KWENYE J2 ILE YA NYUMA KABLA YA J2 HUSIKA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY 30TH APRIL 2023

PATTERN MUHUMU AMBAYO IMESHAJIDHIHIRSHA OFISINI KUHUSIANA NA OM-1

WANAFUNZI HAWAJAWAHI KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPES KATIKA KIPINDI CHOTE AMBACHO OFFICE MATE ONE (OM-1) AMEKUWEPO OFISINI


Kutokana na hali hiyo tangu May 2023, wanafunzi wamewahi kufundishwa Microscopes kwenye kipindi kimoja tu mwaka jana, kati ya Septemba 2023 Desemba 2023 na kwenye muda ambao OM-1 hakuwepo tena mazingira ya ofisini, alikuwa yupo safari

CHRONOLOGY OF IMPORTANT EVENTS


Mwezi April 2023 (mwaka jana), OM-1 aliajiriwa na kufikia kwenye maabara ya MR X, akiwa anafanya kazi humo kwa kuanzia

  • Kwenye kipindi hicho wakati anaajiriwa, wanafunzi walikuwa wananaingia na kufundishwa kwenye chumba cha Microscopes
  • Baada ya muda, vipindi vya Microscope vilibadilika na kuwa vya darasani, mhusika akiwa anawafundisha
Muda si mrefu wanafunzi walipoacha kuingia kwenye chumba cha Microscopes, siku moja ya J5, Mkuu wa Idara (MWI), alimleta OM-1 na kumtambulisha kwa mhusika kwa mara ya kwanza

Siku hiyo, OM-1 alitambulishwa kwa mhusika tu kama office mate wake, ila hakutambulishwa kwa wafanyakazi wengine na hivyo hadi kufikia muda huo, alikuwa anajulikana kwa baadhi tu ya wafanyakazihasa wale waliokuwa wakifannya naye kazi, baadhi yao wakiwa ni MWI mwenyewe, Mkuu wa Major Unit (MMU) na MR X

Hadi kufikia muda anatambuliswwa, OM-1 alikuwa ameshakuwepo mazingira ya ofisini kwa angalau mwezi mmoja

Baada ya OM-1 kuwa ametambulishwa siku ya J5, iilidhihirika kuwa alikuwa amepanga kuhamia kutoka kwenye maabara ya MR X kuja ofisini kwake, siku ya Ijumaa

Ikumbukwe kuwa kwenye kipindi hico wanafunzi walikuwa tayari wameshahama kwenye chumba cha Microscopes, mhusika alikuwa anaendelea nao darasani

BAADA YA MHUSIKA KUBAINI DALILI ZA DHAHIRI KUWA OM-1 ALIKUWA AMEPANGA KUHAMIA KUTOKA KWENYE MAABARA YA MR X KUJA OFISINI KWAKE, SIKU YA IJUMAA

Baada ya mhusika kuwa ame-detect kwamba OM-1 alikuwa na mpango wa kuhamia ofisini siku ya Ijumaa na ambayo huwa inafuatiwa na weekend, na kwa kuzingatia kuwa OM-1 hakuwa ametambulishwa kwa wafanyakazi wengine; huku wafanyakazi wengine wakiwa wanajua kuwa mhusika huwa yupo peke yake ofisini:

  • Mhusika aliamua kumpigia simu OM-1, kesho yake Alhamis mchana kumuuliza alikuwa bado anakaa wapi
  • Hapo sasa mhusika akawa amevuruga plan ya OM-1 ya kuhamia ofisni Ijumaa
Kwa kile alichokiona yeye wakati huo ni kwamba, OM-1 alikuwa amekuja kwa muda tu kwa mission ya siku moja; na baada ya hapo alitakiwa atoweke kwenye mazingira ya ofisini pasipo kuwa amefahamika na watu wengi idarani wakiwemo wanafunzi

BAADA YA PLAN YA AWLI YA OM-1 KUWA IME-ABORT

Baada ya mission hiyo ku-abort, kukawa na Plab B, pale wanafunzi watakapokuwa wameondoka kwenda likizo, na kwenye siku ambayo wafanyakazi watakuwa wanaondoka kwenda field

BAADA YA SESSIONS ZA MHUSIKA NA WANAFUNZI DARASANI KUWA ZIMEMALIZIKA MWEZI JUNI 2023


Baada ya sessions za mhusika na wanafunzi kumalizika, wanafunzi hao walitakiwa kurudi tena kwenye chumba cha Microscopes

Kutokana na kuwa OM-1 alikuwa bado analazimika kuwepo mazingira ya ofisini, ukabuniwa sasa utaratibu mwingine wa ORAL PRACTICALS ambazo zilikuwa zinafanyikia sehemu nyingine na si kwenye chumba cha microscopes tena

Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kuona ORAL PRACTICALS zinafanyika kwenye taasisi

Baada wanafunzi kuifunga na kuondoka, OM-1 akamiss tukio jingine siku moja kabla na alikuwa amebadilisha muonekna wa uvaaji siku hiyo

Kw mara ya pili alivaa T-shirt na si shati zake za draft kama ambavyo alikuwa akivaa siku zote

Tukio hilo la field nalo pia likshindikana kutekelezwa na taarifa zake mhusika alizishawahi kuzileta humu kupita posts hizi

#1,636

#1,692

#1,693

#1,694

MUDA MFUPI BAADA YA WAFANYAKAZI KUONDOKA KWENDA FIELD, OM-1 ALISAFIRI TANGU SEPTEMBA 2023 NA ALIRUDI TENA OFISINI JANUAR 02, 2024

Baada ya muda, ilipofika mwanzoni mwa Septemba 2023, OM-1 akasafiri na kurudi tena Januari 02, 2024

Kwenye kipindi chote hicho ambacho OM-1 alisafiiri, wanafunzi walianza tena kuingia chumba cha Microspoes


Baada ya OM-1 kuwa amerudi tena kutoka safari Januari 02, 2024, hadi leo hii wanafunzi hawajawahi tena kuingia chumba cha Microspoes

KWA UPANDE WA OM-2 AMBAYE YEYE ALIINGIA OFISINI MWEZI WA SABA

Baada ya OM-1 kuwa amesafiri Septemba 2023, OM-2 aliingia kazini kumsafisha OM-1


Wanafunzi walipoanza tena kuingia kwenye chumba cha Microscope, OM-1 akiwa safarini, OM-2 naye alianza kufanya maigizo ya kuwa anakwepana na wanafunzi pindi wanapokuwa wapo kwenye chumba cha Microscopes, matukio ambayo mhusika aliyaripoti

  • Nia ya OM-2 ilikuwa ni kumsafisha OM-1 kuhusiana na swala la kukwepana na wanafunzi pindi wanapokuwa wapo kwenye chumba cha Microscopes
  • Kipindi hicho mhusika hakujua kama OM-2 alikuwa anafanya maigizo ya kumsafisha mwenzake
VIPINDI AMBAVYO WANAFUNZI WAMEWAHI KUINGIA CHUMBA CHA MICROSCOPES TANGU OM-1 ALIPHAMIA RASMI OFISINI KWAKE MWAKA JANA

Kwa hiyo baada ya OM-1 kuwepo mazingira ya ofisini, wanafunzi wamewahi kuingia kwenye chumba cha Microscopes kwenye kipindi kimoja tu cha mwaka jana kati ya Septemaba na Desemba, kipindi ambacho OM-1 aliokuwa yupo safari

Ukiondoa kipindi hicho pekee, hadi leo hii wanafunzi hawajawahi tena kuingia kwenye chumba hicho kufundishwa

MENGINEYO

Mhusika alilazimika kuahirisha practical aliyotakiwa kuifanya na wanafuzi J3 ta tarehe 08 APRIL 2024, na kilichopelekea akafanya hivyo bado anaendelea kukifanyia utafuti, japo hata kwa tukio hili funguo pia zilihusika

Hata hivyo, mhusika hakuahirisha darasa, ali-switch kwenye kitu kingine akafundisha kwenye muda wote wa kipindi

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA TUKIO LA ZAWADI YA RAFIKI ZAKE MHUSIKA, WATOTO WA STAFF MATE WA MHUSIKA

“NI KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPES TENA”

Leo mhusika alikuja ofisini akiwa amebeba zawadi ya mtoto rafiki yake, ambaye mzazi wake ni staff mate wake

Huyu ni mzazi wa rafiki zake mhusika, wengine tofauti na wale wa MR X

Mzazi amesema leo hakuja na gari, ila wakati wananaahidiana siku ya mhusika kuileta zawadi, mzazi alsema kuwa ataibeba kwenye gari lake

KWA NINI MHUSIKA AMEAMUA KULIONGELEA TUKIO HILI?

Mhusika hakuwa na nia ya kutangaza kwamba ametoa zawadi kwa rafiki yake isipokuwa amelazimika tu baada ya kuona kuna mambo yameanza tena kuendelea kwenye chumba cha Microscope

Mara tu baada ya kuwa amekabidhi zawadi, kuna pilika pilika zimeanza tena za watu wageni kuingia kwenye chumba jirani cha Microsopes wakifanya kazi humo, huku wakiacha mlango wazi kwa sababu chumba hicho hakina AC

Unapokuwumeachwa wazi, mlango huo huwa unaziba camera ambayo huwa inamulika ofisini kwao mhusika

Mhusika ameamua kulileta humu tukio hili ili isije ikaonekana kuwa zawadi aliyokuja nayo ofisini ilikuwa ni kwa madhumuni mengine

Sometimes wema huwa una-fire back

KUHUSIANA NA CHUMBA HIKI CHA MICROSCOPES

Hiki chumba badala ya kuendelea kuwa sehemu ya wanafunzi kujipataia ujuzi, kulishageuka na kuwa sehemu ya hatari ndani ya jengo la idara

Kuna pilika pilika zinaendelea ndani ya chumba hicho muda huu, na aliyekifungua ni yule senior staff mme wa mkwe wa mhusika

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KITU KINGINE KUHUSIANA NA CHUMBA CHA MICROSCOPES:

KITU AMBACHO MIAKA YOTE KILIKUWA KIKIFANYIKA MUDA WOTE KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPES WANAFUNZI WALIPOKUWA WAPO KWENYE MIHULA YAO YA MASOMO WA MWAKA HUSIKA, NA AMBACHO KWA SASA HAKIFANYIKI TENA


Kabla ya ujio wa OM-1, baadhi ya wanafunzi wachahe kwa muda wao binafsi, idadi ikiwa ni mmoja, wawili au watatu, walikuwa wanawaona wahusika wa chumba hicho na kuomba funguo

Baada ya kupewa funguo, walikuwa wanakuja na kuingia humo na kuanza kufanya mazoezi ya kile walichofundishwa kwa kutumia Microscopes

Hiki kitu hakipo tena siku hizi, tangu alipokuja OM-1. Hakuna tena wanafunzi wanaopewa funguo na kuingia humo kufanya mazoezi binafsi, hicho kitu hakipo

In short, kwa kipindi hiki hayupo tena mtu anayeingia kwenye chumba hicho kwa ajili ya kufanya kazi. Ukiona mtu yuko humo anafanya kazi, ujue yupo kwa ajili ya mission nyingine tofauti kabisa na kazi, na hivyo kazi anayokuwa anaonekana kuifanya humo inakuwa ni by the way tu

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA MATUKIO KADHAA AMBAYO YAMEKUWA YAKI-TREND HUKU YAKIONEKANA DHAHIRI KUWA NI YA KUTENGENEZWA KWA MAKUSUDI

KWA UZOEFU WAKE ULIOTOKANA NA TAFITI MBALIMBALI AMBAZO MHUSIKA AMEKUWA AKIZIFANYA KWA KIPINDI KIREFU SASA, ZIKIWA ZINAHUSIANA NA MATUKIO YA AINA MBALIMBALII BAADHI YAKE YAKIWA NI YALE YA KUTENGENEZWA KWA MAKUSUDI; HADI KUFIKIA MUDA HUU, TAFITI HIZO ZIMEMTHIBITISHIA PIA KUWA TUKIO HILI HAPA


View: https://m.youtube.com/watch?v=LFy7F7uOio4&pp=ygUKTmFiaWkgVGl0bw%3D%3D

NALO PIA LILIKUWA NI LA KUTENGENEZWA KWA MAKUSUDI, HALIKUTOKEA KWA BAHATI TU BALI LILIKUWA LIMEPANGWA

UNLESS KAMA MWENYE KUHUSIKA NA TUKIO HILI ALIKUWA AMESHATHIBITISHWA KABLA NA MATABIBU KUWA HAKUWA NA AKILI TIMAMU BALI SEVERE MENTAL DISORDER

VINGINEVYO MTU HUYU ALIKUWA ANAFANYA KAZI YA KUWARUSHIA MAPEPO WATU WENGINE KWA KUMKUFURU MUNGU, NA POSSIBLY ALIKUWA ANATUMIWA NA WATU WENGINE, ALIKUWA AMENUNULIWA

KAMA HYPOTHESIS HII INAWEZA KUWA SAHIHI, UWEZEKANO MKUBWA NI KUWA MTANDAO ULIOHUSIKA NA TUKIO HILI, NDIYO ULE ULE ULIOHUSIKA NA HUJUMA ZILIZOPELEKEA WATU KADHAA WAKAPOTEZA MAISHA KWENYE TAMASHA LA KUKANYAGA MAFUTA YA UPAKO

HALAFU HUYU NABII, JINA LAKE LA UBINI LINAFANANA NA JINA LA MTU MWINGINE AMBAYE MHUSIKA ANAMFAHAMU. USIKUTE HATA HILO JINA LA UBINI ALIJIPACHIKA TU KWA NIA YA KUFANIKISHA LENGO LAKE ILA SI JINA LAKE HALISI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: WEDNESDAY 01 MAY 2024

USHAHIDI ALIOWAHI KUULETA HUMU JUKWAANI MHUSIKA KUHUSIANA NA SWALA LA OM-1 KUTOKUTAMBULISHWA KWA WAFANYAKSZI WENGINE BAADA YA KUWA AMEAJIRIWA


MAELEZO YAKE YAPO KWENYE POST HII HAPA


BAADA YA KUBAINIKA HIVYO, SIKU CHACHE MBELE KILIFANYIKA KIKAO CHA IDARA LAKINI KWA BAHATI MBAYA SIKU HIYO PIA OM-1 HAKUWEPO IDARANI, ALIKUWA AMESAFIRI P PAMOJA NA MKUU WA IDARA MSTAAFU 2006-2012, PAMOJA NA BINTI MWINGINE AMBAYE ALIWAHI KUWA JIRANI WA MHUSIKA. WALIENDA SJNGIDA KWA AJILI YA TRAINING

BAADA YA HAPO, ILIPOFIKA MWEZI WA NANE WALIKUJA IDARANI WANAFUNZI WATATU WAGENI KWA AJILI YA INTERNSHIP NA UTAMBULISHO WAO ULIFANYIKA KWA KUITISHWA KIKAO KIFUPI KILICHOFANYIKIA KWENYE CHUMBA CHA CHAI
SIKU HIYO NAYO PIA OM-1 HAKUWEPO, ALIKUWA SAFARI NA HIVYO HAKUTAMBULISHWA

KABLA YA SIKU YA UTAMBULISHO, MHUSIKA ALIKUWA TAYARI AMESHATILIA MASHAKA MIENENDO YA OM-1 NA KWENYE TUKIO MOJAWAPO, MHUSIKA ALIWAHI KULETAMTAARIFA HUMU JUKWAANI BAADA YA KUMUONA ALIKUWA ANAKWEPANA HASA NA WANAFUNZI, LAKINI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI PIA

SIKU HIYO NDIYO ILE AMBAYO, BAADA YA MHUSIKA KUWA AMETOA TAARIFA HIZO, OM-1 ALICHUKULIWA NA WALENMABINTI WAWILI WAREMBO WEUPE, AKAPELEKWA UWANJA WA SABASABA, NA KWENYE MUDA AMBAO ILIKUWA NI SIKU CHACHE KABLA YA MAONYESHO RASMI YA SABASABA KUANZA; ILIKUWA NI KWENYE WAKATI WA MAANDALIZI TU YA MAONYESHO HAYO

MFANYAKAZI NWINGINE MGENI KIASI ALIYEHAMIA KWENYE TAASISI TAKRIBANI MIAKA MIWILI SASA, HUYU YEYE AMEANZA KUONYESHA "VERY STRONG EVIDENCE" ZA KUKWEPANA NA WATU KARIBIA WOTE

VINGINEVYO KWA SASA HIVI HALI ILIVYO IDARANI NI KWAMBA KUNA BINTI AMBAYE ALIHAMIA KUTOKA DODOMA, AMBAYE HUYU YEYE KWA SASA, AMEONYESHA VERY STRONG EVIDENCE ZA KUKWEPANA NA WANAFUNZI NA WAFANYAKAZI PIA
HAPO KABLA YA KUSAFIRI, BINTI HUYU HAKUWA HIVYO

BAADA YA WANAFUNZI KUFUNGA JULAI MWAKA JANA 2023 BINTI ALISAFIRI NA ALIRUDI JANUARI 2024

BAADA YA KURUDI, AMEKUWA HAONEKANI IDARANI KAMA ILIVYOKUWA KAWAIDA YAKE AWALI, NA PENGINE MARA CHACHE SANA ANAKUWEPO OFISINI KWAKE

WAKATI NEINGINE ANAWEZA AKAJA OFISINI BILA GARI, NA KWA SABABU OFISI YAKE IKO CHINI GROUND FLOOR SEHEMU AMBAYO IMEKUWA NICKNAMED NA MHUSIKA AS MAFICHONI UNITED WAKATI MWINGINE NI KWELI KUWA ANAWEZA AKAFIKA OFISINI NA KUONDOKA NA MHUSIKA ASIWEZE KUMUONA

STILL, WASHROOMS ZA WAREMBO, ZIKO FIRST FLOOR TU, NA AMBAPO NDIPO ILIPO OFISI YA MHUSIKA

KILICHOPO HAPA NI KWMVA TATIZO JINGINE LA MHUSIKA NI UMBEA, HUWA HAPITWI NA KITU CHOCHOT KILE KINACHOENDELEA KWENYE FIRST FLOOR, YUKO CHONJO NA FIRST FLOOR MUDA WOTE, NAYUKO CHONJO MITHILI YA WALIVYO SQUIRRELS ( NGUCHIRO /PIMBI). SQUIRRELS HUWA WAKO CHONJO 24 HOURS. IN SHORT, YEYE NI KAMA CCTV CAMERA YA P ILI, NA KAMA KUNGEKUWA NA UWEZEKANO, HAPAKUWA NA HAJA YA KUWEPO DEVICE CCTV CANERA KWENYE FIRST FLOOR, YEYE TU ANGEWEZA KUTOSHA. HUYU MTU NAYE WAKATI MWINGINE MAMBO YAKE HUWA HAYANIIUFURAHISHI KABISA.

LAKINI KWA UPANDE MWINGINE TENA, NA KWA SABABU NA YEYE NI MTU NZIMA MWENYE AKILI TIMAMU, ANAWEZA AKAWA ANAZO SABABU ZAKE ZA MSING ZA OUFSNYA HIVYOI, HUWEZI KUJUA PENGINE ANAKAZIMIKA

HARA HIVYO TANGU BINTI HUYU AMERUDI KUTOKA SAFARI JANUARI MWAKA HUU, MHUSIKA HAKUMBUKI KUMUONA HATA MARA MOJA AKIWA ANATEMBEA KWENYE KORIDO YA FIRST FLOOR, AU HATA KULE KUPISHANA NAYE TU KWRNYE KORIDO HIYO, GSIHAWAHI KUTOKEA

HAPO KABLA ILIKUWA NI KAWAIDA TU KUPISHANA NAYE SEHEMU YOYOTE ILE NDANI YA JENGO ILA SI KWA WAKATI HUU; NA KILA WALIPOKUWA WANAPISHANA, MHUSIKA ALIKUWA ANAFURAHI KUMUONA. NI BINTI MREMBO MWEUPE, MTANI WAKE NA MJUKUU WAKE MHUSIKA

POSSIBLY KWA SASA BINTI HUYU AMEKYWA AKIPATA BAADHI YA HUDUMA KUTOKEA BASEMENT FLOOR AMBAKO KUNA MTU MMOJA TU AMBAYE OFISI YAKE KWA SASA IKO HUKO ;AMEHAMIA HUKO HIVI KARIBUNI; JANUARI MWAKA HUU

MHUSIKA ANAYO DHANA PIA KUWA YALE MAMBO YA KISIRISIRI AMBAYO MWAKA JANA YALIWAHI KUWA YANAFANYIKIA KWENYE MAABARA YA MR X, SASA HIVI YANAWEZA KUWA YAMEHAMISHIWA KULE MAFICHONI UNITED

KWA HIYO HAPA KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU, ANAWEZA AKANUSA HARUFU YA KAMA AINA YA FUKSNI YA UJAMBAZI IKIWA INAENDELEA NDANI YA JENGO.

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Huyu jamaa nyie mnamuelewa? Au labda mpaka niwe na C ya hesabu?
 
MAREKEBISHO KIDOGO YA MAELEZO YALIYOTOLEWA HAPO JUU KUHUSIANA NA BINTI

BINTI ANA TAKRIBANI MIAKA MITATU YUPO IDARANI NA SI MIWILI

MARA YA KWANZA WALIONANA NA MHUSIKA MARCH 2021, AKIWA AMEAMBATANA NA MWI, KWA AJILI YA UTAMBULISHO ULIOFANYIKIA OFISINI KWA MHUSIKA

SIKU HIYO, MARA BAADA YA BINTI KUWA AMETAMBULISHWA KWA MHUSIKA , MWI ALIMJULISHA PIA MHUSIKA KUWA BAADA YA UTAMBULISHO HUO, BINTI HUYO ALIKUWA ANATAKIWA KUONDOKA IDARANI KWENDA KUMALIZIA KOZI ALIYOKUWA ANAENDELEA NAYO CHUO KIKUU CHA ARDHI

HATA HIVYO, MHUSIKA HAKUELEWA KWA NINI UTAMBULISHO HUO ULIFANYIKA MAPEMA MUDA HUO, BADALA YA KUSUBIRIA KIPINDI PALE BINTI ATAKAPOKUWA AMERIPOTI MOJA KWA MOJA OFISINI.

ZAIDI MWI ALIMJULISHA MHUSIKA KUWA BINTI ALIKUWA AMEHAMIA KWENYE TAASISI, AKIWA ANATOKEA KWENYE TAASISI NYINGINE ILIYOKO HUKO DODOMA

BAADA YA UTAMBULISHO KWELI BINTI HAKUONEKANA TENA MAZINGIRA YA OFISINI NA KILE ANACHOKUMBUKA MHUSIKA, WALIKUJA KUKUTANA TENA NA BINTI KWENYE KIKAO KILICJOFANYIKIA PALE IDARANI, BAADAYE MWEZI AUGUST 2021

KILIKUWA NI KIKAO KILICHOKUWA KIMERATIBIWA NA MR X AKISHIRIKIANA NA MAMA MWINGINE AMBAYE ALISTAAFU HIVI KARIBUNI, MIAKA MICHACHE ILIYOPITA

KIKAO HICHO KILIGUSIA PIA HILI SWALA SUGU LINALOENDELEA MUDA HUU LA MADAI YA MUDA MREFU YA MHUSIKA NA HIVYO KWENYE KIKAO HICHO MR X ALIKUWA AMEMLETA PIA MTU MGENI NA MSTAAFU AMBAYE ALIONEKANA KUWA ALIKUWA AMEPEWA MANDATE YA KUSHUGHULIKIA MASLAHI YA WALE AMBAO BADO HAWAJASTAAFU

KWA HIYO WAKATI WA KIKAO, MGENI HUYU (MSTAAFU) ALIOMBA PIA KUSHUGHULIKA NA SWALA LA MADAI YA MHUSIKA, AMBAPO MHUSIKA ALIMJIBU KUWA SWALA HILO AACHANE NALO YEYE KAMA MSTAAFU KWA SABABU MHUSIKA ALIKUWA NA MPANGO WA KULISHUGHULIKIA YEYE MWENYEWE

HIYO NDIYO ILIKUWA SIKU YA PILI AMBAYO MHUSIKA NA BINTI HUYU WALIKUTANA TENA KIOFISI, YA KWANZA IKIWA NI ILE YA UTAMBULISHO ULIOFANYIKA MARCH 2021

MHUSIKA HANA UHAKIKA KAMA SIKU MWI ANAMFIKISHA OFISINI BINTI KWA AJILI YA UTAMBULISHO, ALIKUWA TAYARI AMESHAMTAMBULISHA PIA KWA WAFANYAKAZI WENGINE, AU KAMA ALIWEZA KUFANYA HIVYO BAADA YA HAPO

KUHUSIANA NA MSTAAFU ALIYEKUWA AMEPEWA NAMLAKA YA KUSHUGHULIKIA MASLAHI YA WALE AMBAO BADO HAWAJASTAAFU

BAADA YA KIKAO HICHO, MSTAAFU HUYU ALIANZA KJWA ANAMFUATA MHUSIKA PRIVATELY AKIWA BADO ANAONYESHA NIA YA KUTAKA KUSHUGHULIKA NA MADAI YA MHUSIKA, LAKINI MSIMAMO WA MHUSIKA ULIENDELEA KUWA ULE ULE ALIOWAHI KUUTOA KWENYE KIKAO CHA AUGUST 2021

BAADA YA HAPO MSTAAFU HUYU ALIKATA TAMAA ILA KATIKA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI, NA KWA MARA ZIPATAZO TATU AU NNE, ALIENDELEA KUWA ANAPITA PITA OFISINI KWA MHUSIKA, NA NIA YA SAFARI HIZI ZOTE IKIWA NI KUMSALIMIA TU MHUSIKA

".......NIMEPITA KUKUSALIMIA TU.......',".......NIMEPITA KUKUSALIMIA TU.......',

NA KWELI MSTAAFU HUYU ALIKUWA YUKO SAHIHI KABISA KWA SABABU KATIKA KIPINDI CHOTE CHA UTUMISHI WAKE KABLA YA KUSTAAFU, HAWAKUWAHI KUWA MARAFIKI NA MHUSIKA ILA WALIWAHI KUWA NI WATU AMBAO WALIELEWANA SANA, NA POSSIBLY NDIYO SABABU PEKEE ILIYOPELEKEA MR X AKAMCHAGUA MSTAAFU HUYO

"....MTUMIENI FULANI, HUYO NDIYO WANAELEWANA SANA...... HUYO LAZIMA ATAMKUBALUA...."

KUHUSIANA NA MWENENDO WA SASA WA MR X
KUNA MAMBO MR X HUWA ANAFANYA HADI WAKATI MWINGINE YULE ANAYEFANYIWA ANAMHURUMIA NR X, WAKATI ANAYEFANYIWA, ANAFANYIWA MAMBO MABAYA TENA YA AJABU MNO

KULE KANISANI SASA HIVI NI FUJO TU MFULULIZO KWA WIKI KADHAA SASA. MWISHOWE YA KULE KANISANI YANAYOMHUSU MR X, MHUSIKA AMEAMUA KUKAA KIMYA, KULE ATAENDELEA KUSHUGHULIKA NA ZILE TRIGGERS, ZINAZOPANDA JUU MADHABAHUNI KILA J2

ZAIDI NI KUWA MPAKA MUDA HUU, INAJULIKANA KWAKE PASIPO SHAKA KUWA PALE NYUMBANI KWAKE MHUSIKA ANAO MAKOMANDOO WAKE WAWILI (SIYO MAKAMANDA, HAO NI MAKOMANDOO, SEAL) NA AMBAO MARA KWA MARA MHUSIKA AMEKUWA AKIMTAHADHARISHA KUWA KUNA INVESTMENT MUNGU AMEWEKA PALE NYUMBANI KWAKE LAKINI YEYE HUWA HAELEWI

HUWA HAEKEWI KWA SABABU HAO MARAFIKI ZAKE KULE KANISANI WAKISHAPANDISHA JUU MADHABAHUNI NA KUANZA KURUSHA MAPEPO, BRAIN YA MR X INAKUWA EXCITED GROUND STATE INA HIVYO SWITCH TO ZERO READING KWENYE BRAINOMETER, HALAFU SASA AKIWA YUPO KWENYE HALI HIYO, NDIYO ANAINGIA KAZINI; SIYO OFISINI SIYO KANISANI

KWA MWENENDO WA AINA HII WA MR X, UHAKIKA ALIONAO MHUSIKA NI KWAMBA KWA SAFARI HII, ANGALAU MR X LAZIMA ATAJIFUNZA KITU KIZITO, KIKUBWA; NA WENZAKE VILE VILE PIA

NA POSSIBLY TAYARI WAMESHAJIFUNZA KITU, JAPO MATOKEO YA NJE BADO HAYAJAANZA KUONEKANA

"..........UKITAKA UMJUE VIZURI MLOKOLE, ANZISHA NAYE VITA...."
NUKUU KUTOKA KWA MCH. MOSSES MAGEMBE

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
IDARA HII, TAASISI HII NA UHUSIANO WAKE NA SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMME)

HII NDIYO IDARA AMBAYO SMME AMEITUMIKIA, AKAPANDA CHEO HADI KUFIKIA NGAZI YA JUU KABISA YA KIONGOZI WA PILI KUTOKA JUU WA TAASISI, HADI KUFIKIA MUDA ALIPOKUWA ANAKARIBIA KUSTAAFU

BAADA YA KUSTAAFU, SMME ALIENDELEA KUFANYA KAZI KWA MKATABA NA TETESI ZINADAI KUWA ALIHITAJI PIA KUWEKA "MTU WAKE" ILI AWE MKUU WA TAASISI, YAANI YULE NAMBA MOJA KABISA, LAKINI ILISHINDIKANA

KAMA TETESI HIZI ZILIKUWA NI ZA KWELI, BASI INAWEZEKANA BAADA YA HAPO, SMME ALIAMUA KUCHUKUA OPTION ILIYOPO KWENYE PIST HII HAPA CHINI KAMA ALTERNATIVE NYINGINE


In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 13th MAY 2024

UTAFITI KUHUSIANA NA TRIGGRES OF QUAKES, AMBAO MHUSIKA ALISHAWAHI KUUFANYA, NA AMBAO HIVI KARIBUNI ALIANZA KUUFANYA TENA KWA MARA NYINGINE, BAADA YA KUKUTA GARI LAKE LIMETOLEWA UPEPO KWENYE MOJAWAPO YA MATAIRI, JIONI YA ALHAMIS YA TAREHE 04/04/2024 ALIPOKUWA ANAONDOKA OFISINI KUREJEA NYUMBANI
KWAKE

A: KUHUSIANA NA UTAFITI “TRIGGERS” WA SASA

Asubuhi ya Alhamis tajwa hapo juu, kwa mara ya kwanza mhusika alikuta matuta mapya mawili yakiwa yamewekwa bararabani, jirani na maeneo ambayo huwa anaishi MKUU WA MAJOR UNIT, (MMU)

Matuta hayo yaliwekwa katika namna ambayo yamemzingira MMU, kiasi kwamba ikitokea akatoka nyumbani kwake na kuelekea KUSHOTO au KULIA, lazima atapita kwenye mojawapo ya matuta hayo

KITU CHA PEKEE ALICHOKIONA MHUSIKA KUHUSIANA NA MATUTA HAYO UKILINGANISHA NA MATUTA MENGINE YA BARABARANI

Matuta hayo yamewekwa kwenye sehemu ambayo inaonyesha dhahiri kabisa kuwa hakuna watu ambao mara kwa mara, huwa wanakatiza bararbara kutoka upande mmoja kwenda mwingine na kama wapo, basi huwa inatokea kwa dharura tu, na kwa mara chache sana

Mbali na hilo, kwa uzoefu wake mhusika kwa sababu naye pia anaishi jirani na eneo hilo, ni kwa mara chache sana watu kuonekana wanakatiza barara eneo hilo, isipokuwa kwa mara chache pia, huwa wapo watu ambao huwa wanaonekana wakitembea pembezoni tu mwa barabara hiyo na si kukatiza bararabara

Na kwa sababu bararabara ipo na haiwezi kuhamishwa, watu wengine ambao nao pia huwa wanapita njia hiyo, wanayo nafasi nzuri ya kuweza kuzipima taarifa hizi za mhusika

Kwa hiyo sehemu hiyo yalipowekwa matuta hayo, ni sehemu ambayo kwa mara chache sana watu huwa wanaonekana wakitembea pembezoni mwa bararabara tu na si kukatiza barabara kwa sababu haipo njia nyingine mbadala inayoweza kuwasababisha wakakatiza barabara hiyo

Hata hivyo, kwa sababu sehemu ni jirani na makazi ya watu pia, kwa upande mwingine, inaweza kuwa ina-qualify kabisa kuwekewa matuta; lakini hoja hapa ni kwamba kama sehemu zote zilizo na makazi ya watu zitakuwa zinawekewa matuta ya barabarani, basi baadhi ya barabara nzima zitakuwa na matuta sehemu zote

Mbali na hayo, umbali uliopo kutoka tuta moja kwenda tuta jingine, ni mdogo mno kiasi kwamba kama ni kweli matutata hayo yalikuwa yanahitajika sehemu hiyo, basi tuta moja tu lilikuwa linatosha

Ikumbukwe kuwa matuta hayo yamezingira sehemu anaoishi MMU, kaisi kwamba kila anapokuwa anatoka nyumbani kuelekea upande wowote ule, ni lazima apite kwenye mojawapo ya matuta hayo

WAKATI WA UTAFITI WAKE, KITU KINGINE UNIQUE ALICHOKIONA MHUSIKA KUTOKA KWENYE MATUTA HAYO

Mbali na hayo yaliyotajwa hapo juu kuhusiana na matuta haya,, bado matuta hayo yamewekwa yakiwa makali mno (VERY SHARP), kiasi kwamba yanabonyeza tairi za gari hata lisilokuwa na mzigo, na hivyo kusababisha PRESSUREya upepo wa tairi za gari kuwa disturbed kwa kiwango kikubwa, hata kwa gari ambalo halina mzigo

Zaidi ni kuwa, matuta hayo, yamewekwa katika sehemu ambayo dereva yoyote mwenye akili timamu, hata yule ambaye ni AMATEUR na si professional, hawezi kukimbia kwa speed kubwa kwa sababu sehemu hiyo haiko straight, yaani haijanyooka, na hivyo dereva anapokuwa ana-negotiate kwenye sehemu hiyo, hawezi kuwa anaona umbali mrefu, kitu ambacho kinamlazimisha asikimbie kwa speed kubwa

Zaidi ni kuwa baada ya matuta hayo, au umbali si mrefu kabla au baada ya matuta hayo mapya (kutegemea na uelekeo wa mtu) kuna matuta mengine ambayo yaliwekwa kipinfdi kirefu nyuma, ana ambay yakko sahihi kwenye sehemu ambazo watu huwa wanakatiza mara kwa mara

Matuta hayo ya zamani na ambayo yako sehemu sahihi kabisa isisyoweza kutiliwa shaka, yana sifa zifuatazo

Hayako SHARP na hivyo hayachomi UPEPO WA KWENYE TAIRI ZA GARI

Ni makubwa kiasi cha kuridhisha na kyako katika namna ambayo tuta la barabrani huwa linakuwa siku zote

Swali kubwa la msingi la kujiuliza hapa ni kwamba haya matuta yaliyowekwa pale kumzingira MMU, kwa nini yamewekwa yakiwa SHARP hivyo kiasi cha kusababisha magari mengi tu kuwa yanayakwepa matuta hayo, hadi kuepeleka uharibifu wa mazingira maeneo yale kwa sababu baadhi ya magari yamekuwa yanafikia hadi hatua ya kuparamia fence iliyo karibu na barabara, ili kuwepa matuta hayo, kitu ambacho hakijawahi kufanyika kwenye matuta mengine ya awali yaliyo jrani, na ambayo yamekuwepo kwa kipindi kirefu sana sasa?

UTAFITI WA MHUSIKA AMBAO ALISHAHWAHI KUUFANYA KUHUSIANA NA TRIGGERS OF QUAKES NA AMBAO ALIANZA KUUFANYA TENA BAADA KUANZIA ALHAMSI YA TAREHE 04/04/2024

Triiggers of quakes

Definition

Triigers of quakes ni kitu chochote kinachoweza kukisababishia kitu kingine mtikisiko ambao, kama kitu hicho kisingekuwepo, mtikisiko huo usingetokea

  • Mojawapo ya triggers zilizoko kwenye uso wa ardhi ni kama vile mashimo ya barabani na pia matuta ya bararabani
  • Vinginevyo triggers zingine huwa zinatokea ndani ya ardhi na hizo ndiyo huwa zinasababisha baadhi ya matukio kama vile matetemeko ya Ardhi pamoja na landslides (maporomoko ya udongo)
B: KUHUSIANA NA UTAFITI WA “TRIGGERS” WA AWALI ULIOTANGULIA HUU WA SASA

…………………..inaendelea
 
B: KUHUSIANA NA UTAFITI WA “TRIGGERS” WA AWALI ULIOTANGULIA HUU WA SASA

TRIGGER ILIYOKUWA IKISABABISHWA NA MTALO WA MUDA ULIOWAHI KUCHIMBWA HIVI KARIBUNI KWENYE JENGO ANALOISHI MHUSIKA NA AMBAO UMEENDELEA KUBAKI HATA BAADA YA KUWA UMEFUKIWA


Takribani mwaka mmoja uliopita, kuna mtalo uliwahi kuchimbwa kwa muda na ukawa umepita kwenye sehemu ya mbele ya jengo analoishi mhusika, kiasi kwamba kila mkazi wa jengo hilo anapokuwa anatoka au kuingia akiwa na gari, ni lazima aukanyage mtalo huo

Bila kujali sababu zilizopelekea mtalo huo kuchimbwa, experience aliyokuja kuipata mhusika baadaye kuhusiana na mtalo huo ni kwamba ulikuwa pia umeambatanishwa na kitu kingine cha ziada ambacho kilikuwa ni cha kiroho, na alipokuja kukigundua na kushughulika nacho, tatizo ambalo alikuwa analipata kutokana na kuukanyaga mtalo huo lilipotea

Hata hivyo, tatizo hilo lilikuja kurudi hivi karibuni baada ya matuta mawili kuwekwa kwenye sehemu jirani na palle anapoishi MMU; matuta ambayo kwa mara ya kwanza mhusika aliyakanyaga kwa tairi za gari lake ALHAMIS ya tarehe 04/04/2024; na ambapo baadaye tena jioni ya siku hiyo alikuta gari lake kwenye parking, likiwa limetolewa upepo na hivyo kukoswakoswa na tukio lisililokuwa zuri lililohusiana na mambo ya upepo wa kwenye tairi za gari

Tukio hilo lilitokea siku ya Alhamis, kufuatia J2 ambayo mhusika alishriki kutoa sadaka ya shuktrani Kanisani ambayo mmojawapo wa wahusika wakuu waliosababisha uwepo wa sadaka hiyo, alitoa ushuhuda huu Kanisani kwamba;

  • Mwalimu wake wa somo la Chemistry wa O-level, alifariki akiwa mikononi mwake na alifariki siku ya Alhamis
  • Mwalimu wake wa somo la Chemistry wa A-level, naye pia alifariki akiwa mikononi mwake na alifariki siku ya Alhamis
  • Mwalimu wake wa somo la Chemistry wa University, naye pia alifariki akiwa mikononi mwake na alifariki siku ya Alhamis
What a coincidence? What a pattern; ukiongezea na hili tukio jingine la mhusika ambalo nalo pia lilitokea siku ya Alhamis iliyofuata tu, baada ya kuwa ameshiriki kwenye sadaka ya shukrani ya muumini huyu?

Kwenye J2 hiyo, muumini huyu likuwa anatoa sadaka ya shukrani baada ya kuwa ameondokewa na mmojawapo wa walimu wake hao

MATUTA HAYA MAWILI MAPYA YA BARABARANI UKIYAHUSAIANISHA NA MTALO ULIOWAHI KUCHIMBWA KWENYE MAKAZI YA MHUSIKA

Matuta haya mapya mawili yaliyowekwa hivi karibuni barabarani, yanadhihirsha tu mbinu mpya kutumika isipokuwa ambacho kimekuwa kikiendelea juu ya matuta haya, ni sawa na kile ambacho kiliwahi kuendelea kwenye swala la mtalo uliowahi kuchimbwa kwenye eneo la makazi yake mhusika

Mtalo uliowahi kuchimbwa kwenye makazi hayo bado upo na uwezekano mkubwa ni kwamba hapo baadaye, taratibu mtalo huo utakuja kuizoa kabisa parking ya nje kutokana na maji ambayo kwa sasa yameanza kujenga kawaida ya kipita kwenye sehemu hiyo, yakiutumia mtalo huo

Mhusika ameishi hapo zaidi ya miaka 20 lakini hapo kabla, hapakuwahi kujitokeza kitu chochote kulichopeleka kuwepo kwa sababu za msingi za kuchimbwa mtalo eneo hilo

Hata hivyo, kwenye hili swala la sasa la matuta mapya ya barabarani, mhusika anawaachia wapitaji wengine wa njia hivyo nao pia waweze ku-brain stom

KINGINE ALICHOWAHI KUKIBAINI PASIPO SHAKA PINDI ALIPOKUWA ANAFANYA UTAFITI WAKE WA AWALI KUHUSIANA NA MASHIMO YA BARABANI

Uhakika ni kwamba kuna BAADHI ya mashimo ya barabarani ambayo huwa yanachimbwa kisirisiri na watu na kwa makusudi, na possibly huwa yanachimbwa wakati wa usiku

Fact ni kwamba haipo tairi ya chombo chochote ambacho huwa kinatembea bararabani, kiwe cha mto au si cha moto, kinachoweza kusababisha shimo la bararabarani mithili ya shimo liliochimbwa kwa sululu au drilling machine. Tairi ya chombo chochote kitembeacho barabarani inayoweza kusababisha shimo barabarani la namna hii haipo

HITIMISHO

MOJAWAPO TU YA MADHARA YANAYOWEZA KUTOKANA NA “TRIGGERS OF QUAKES”


Mapepo yanayorushwa kwenye triggers, ndiyo yale ambayo huwa yanasababisha trigger/ compound accidents; kwamba ajali moja inatokea kwanza halafu ajali hiyo inapelekea kutokea kwa ajali zingine tena, moja au mbili; kutoka kwenye hiyo ya mwanzo

Kwa mfano, gari inaweza kugonga gari moja, na ile iliyogongwa nayo ikagonga tena gari nyingine na hivyo kupekekea kutokea kwa compound accidents

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY, 16th MAY 2024

KILE AMBACHO HATIMAYE MHUSIKA AMEKIONA KWENYE UTAFITI WAKE AMBAO AMEKUWA AKIUFANYA KUHUSIANA NA STAFF AMBAYE HUWA MARA KWA MARA ANAHAMA OFISINI KWAKE NA KUJA KUKAA KWENYE MEZA YA OM-1


Kwa muda huu, staff huyu amehamia tena kwenye meza ya OM-1, wanakaa wote huku yeye akiwa anatumia kiti kingine

Hapo kabla, kuna siku moja ya hivi karibuni, OM-1 alichelewa kufika kazini na siku hiyo, staff huyu alikuja ofisini na kukaa kwenye vyote kiti na meza za OM-1

Baada ya hapo, kuna watu wengine watatuli, mmoja akiwa ni mgeni kabisa (siyo staff), na wengine wawili staff, nao kwa nyakati tofauti toafuti walikuja na kukaa kwenye kiti na meza vya OM-1, yeye akiwa hayupo

Yule mgeni aliyewahi kukaa kwenye kiti cha OM-1, yeye aliletwa na staff huyu wa sasa ambaye anaendelea kutumia meza ya OM-1

KILE ALICHOKIONA KWENYE UTAFITI WAKE MHUSIKA KUHUSIANA NA MATUMIZI YA KITI NA MEZA VYA OM-1

Alichokibaini mhusika kwenye utafiti wake ni kwamba viti na meza vya OM-1 vinapokuwa wazi, anakuwa ameondoka makusudi ofisini kwake kutengeneza loophole ya “WATAALAMU” kuja kutumia viti na meza hiyo

  • Mbali na haya yote, mhusika vile vile hajawahi kumuona hata mara moja OM-1 akiwa yupo darasani na wanafunzi, mwaka mzima sasa
  • Vile vile mhusika hajawahi kumuona staff swahiba wa OM-1 akiwa yupo darasani na wanafunzi anafundisha, mwaka mzima sasa
Haya ndiyo matumizi ya ofisi hii ambayo OM-1 amekabidhiwa ili aweze kulijenga Taifa

Inaonyesha kuwa possibly, OM-1 amapokuwa ameyavuruga sana mambo, anawatumia sasa hawa watu ambao huwa wanakuja kukaa kwenye kiti na meza yake

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…