#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

MFUMO WA MAJI YA JIKONI NAO PIA UMEZIBA, NA SAFARI HII HAUWEZI TENA KUZIBUKA.

MFUMO HUU HUWA UNATUMIA MECHANISM YA BOMBA KUBWA MITHILI YA MKONO WA BINADAMU AMBALO HUWA LINASHUSHA MAJI MACHAFU CHINI, NA KULE CHINI HALINA CONTACT NA ARDHI, HUWA LIKO LINA HANG HEWANI KWA KISEHEMU.

BOMBA HILI NALO PIA LIMEZIBA KIASI CHA KUSHINDIKANA KUZIBULIWA, WAKATI MARA ZOTE HUWA LINAPITISHA MAJI TU NA SI KITU KINGINE

HAPO KABLA, KILA LILIPOKUWA LINAONEKANA KUZIBA, MHUSIKA ALIKUWA NA UWEZO WA KURIREKEBISHHA, ILA SAFARI HII HAPANA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SUNDAY, 02 JUNE 2024
KITU AMBACHO MHUSIKA AMEKIBAINI KUHUSIANA NA MOJAWAPO YA MAJINA YA JIRANI MAJI MACHAFU (JMM)


MOHAWAPO YA MAJINA YA JMM LINA MAPIGO YANAYOFANANA NA PHONOLOGY YA NENO "ANUS", YAANI NJIA YA HAJA KUBWA

HATA HIVYO KWENYE HILI, MHUSIKA HANA UHAKIKA SANA KAMA MAFURIKO YA MAVI BAFUNI KWAKE, YANA UHUSIANO NA JINA HLI LA JMM

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KWA WAUMINI WA KANISA A
HAPAJAWAHI KUWEPO KANISANI HAPO KIONGOZI ANAYEITWA JOHN NANGELA. KAMA KOSA HILI LILIFANYIKA KWA MAKUSUDI, BASI KUNA UWEZEKANO MHUSIKA AKAJA AKAIRUDIA POST HII KWENYE SIKU ZIJAZO MBELE

ZAIDI NI KUWA ALHAMIS YA WIKI HII TAREHE 30/05/2024 MHUSIKA NA KM-A WALIBAHATIKA KUKUTANA KWA BAHATI TU MLIMANI CITY, MUDA ULIKUWA MAJIRA KAMA YA SAA TISA ALASIRI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 03rd JUNE 2024
KILE AMBACHO JMM ALIKUWA AKIENDELEA KUFANYA KWA MUDA WA MWAKA MZIMA TANGU APRIL 2023 HADI APRIL 2024I


Kwa kipindi tajwa hapo juu cha mwaka mzima, JMM amekuwa akitiririsha maji machafu kupitia jikoni kwa mhusika, maji ambayo mhusika alikuwa analazimika kuyasafisha kila siku asubuhi na jioni

Ikumbukwe kuwa mnamo April 2023, JMM alianza kwa kuifurisha mavi nyumba nzima ya mhusika, na baada ya hapo, ndiyo akaanza kutiririsha maji kupitia jikoni hadi April 2024

Ghafla ilitokea mahali fulani ndani ya mwezi uliopita wa may 2024, maji hayo ya jikoni yalikoma kutiririka

Baada ya hapo, ndiyo yakatokea tena mafuriko ya mavi bafuni kwa mhusika. Alianzia bafuni, akahamia jikoni, na amemalizia bafuni tena

Mafuriko hayo huwa yanatokea weekend tu na mhusika ameshabaini kuwa yana uhusiano na ratiba ya kule Kanisani

Utafiti kuhusiana na maswala mengine ya ziada kuhusiana na jambo hili bado unaendelea, na ukishakamilika taarifa zake zitawajieni

n the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY, 04th JUNE 2024
TAARIFA YA UTANGULIZI YA UTAFITI

PHONOLOGY ZA MAJINA YA WATOTO WAWILI RAFIKI ZAKE NA MHUSIKA NA AMBAO NI WATOTO WA MR X


Majina ya kila mmoja wa watoto hawa yanaanza na neno

“CHRIST….” na mmoja wao, phonology ya jina lake is an almost a perfect match na phonology ya neno ‘CHRISTIANS”

Hiki ndiyo kilichoepelekea MR X akawapeleka watoto hawa ofisini kwa mhusika mwaka juzi, kwenye zile siku mbili za J5 ya tarehe 23/11/2022 na ile nyingine iliyofuata, Alhamis ya 24/11/2022; kabla ya kutokea ajali ya ndege J2 ya 27/11/2022 iliyopelekea kuibuka kwa shujaa Majaliwa

Taarifa zaidi zitafuata

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: WEDNESDAY, 05th JUNE 2024
KILE ALICHOKIONA MHUSIKA KUTOKA KWENYE MCHAKATO WA MAFURIKO YA MAVI KUTOKA NYUMBANI KWA JIRANI MAJI MACHAFU (JMM)

CHRONOLOGY OF IMPORTANT EVENTS

April 2023 (mwaka jana),
kwenye ile BREAK ya Pasaka, JMM alitengeneza tena mafuriko ya mavi nyumbani kwa mhusika, kwa mara ya tatu

  • Baada ya mafuriko kupita, tangu kipindi hicho, JMM alianza kutiririsha tena maji machafu kupitia chini kwenye sakafu ya jikoni ya mhusika, na alifanya hivyo hadi April/ May 2024 (mwaka huu)
  • Baada ya hapo, kwenye siku/ wiki kadhaa zilizopita, maji haya yaliyokuwa yanatirirka kupitia chini jikoni kwa kipindi cha mwaka mzima, yalikoma na hadi muda huu hayapo tena
Baada ya maji hayo kukoma, ndiyo yakatokea sasa mafuriko mengine ya mavi, safari hii yakiambatana na kitendo cha kuziba kwa sink la jikoni kwa mhusika kiasi kwamba hadi muda huu sink hilo halipeleki tena maji nje

Jitihada za mhusika mwenyewe kujaribu kulizibua, zimegonga mwamba wakati muda wote na mara kwa mara, huwa analizibua linapoonekana kukwama kupitisha maji

NAMNA AMBAVYO MATATIZO HAYA MAWIILI HUWA YANASHUGHULIKIWA NA MAFUNDI

Tatizo la mafuriko ya mavi huwa linashughulikiwa na mafundi pasipo kuingia ndani nyumbani kwa mhusika

Tatizo la sink la jikoni huwa linashughulikiwa kwa mafundi kuingia ndani nyumbani kwa mhusika

Kwa hiyo, pamoja na mafuriko ya mavi, mhusika alitakiwa akawaite pia mafundi waje waingine ndani kwa ajili ya kushughulikia tatizo la sink la jikoni


Ushahidi wa ubovu wa sink la jikoni ungekuwepo pia kwa watu wengine ikiwa ni pamoja na majirani kwa sababu KWA MUDA WA MWAKA MZIMA, watu wamekuwa wakiona kila siku maji yanavuja kutokea jikoni kwa mhusika

Kwa hiyo kwa majirani na watu wengine, ufahamu wao ungekuwa ni kwamba maji hayo waliyokuwa wanayaona kila siku na kwa mzima yakiwa yanavuja yalikuwa yanatokana na sink bovu la jikoni kwa mhusika, ilhali uhalisia ni kuwa yalikuwa yanamiminwa kwa makusudi na kwa utaalamu maalum kutokea nyumbani kwa JMM

Kwa hiyo wakati mhusika anakwenda kutoa taarifa za mavi, alitakiwa pia akawaite mafundi waje waingie ndani nyumbani kwake kurekebisha tatizo la sink ambalo limeziba ghafla; na ambalo majirani wanadhani kuwa lina mwaka mzima tangu kuziba kwake

JMM anahitaji msaada wa mkubwa sana wa kiroho; watumishi wa Mungu inabidi wawe karibu naye ili wamsaidie aweze kurudi kwenye mstari ambao kawaida binadamu huwa wana-operate. Kwenye mstari huo, alishahama siku nyingi, na pengine ukimuuliza, hawezi hata kukumbuka alihama lini

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SUNDAY, 09th JUNE 2024
NEWS ALERT:
KILE AMBACHO KIMEKUWA KIKIENDELEA NYUMA YA PAZIA KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWA MHUSIKA

TATIZO LA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWA MHUSIKA LIKO COORDINATED KATI YA KIONGOZI MKUU WA KANISA A NA JIRANI MAJI MACHAFU


WAWILI HAWA WANASHIRIKIANA KURUSHA PEPO KUPITIA MACHO YA MHUSIKA, HALAFU BAADAYA YA HAPO JMM ANATENGENEZA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWA MHUSIKA
MHUSIKA AKISHAYAONA MAVI YA JMM, TAYARI MAVI HAYO YANACHUKUA PEPO, NA BAADA YA HAPO PEPO HUYO ANASAMBAA KWENYE MAVI MENGINE YOTE POPOTE PALE YALIPO NA POPOTE PALE YATAKAPOKUWEPO


KWA HIYO KUANZIA PALE, MAVI YOTE POPOTE YALIPO, YANAKUWA YAMEBEBESHWA PEPO, MHUSIKA AKIWA NDIYO AGENT

CHRONOLOGY OF EVENTS KUHUSIANA NA SWALA LA MAFURIKO YA MAVI YA KIPINDI HIKI

ALHAMIS YA WIKI ILIYOPITA YA TAREHE 30/04/2024, MHUSIKA ALIKUTANA GHAFLA TU NA KM-A MAENEO YA MLIMANI CITY

SIKU HIYO, KM-A ALITUMIA RANGI YA NGOZI YAKE KURUSHA PEPO KWENYE MACHO YA MHUSIKA, ALIKUWA AMETAFUTA RELIABLE NEW LOCATION ILI KUWA NA UHAKIKA ZAIDI KUWA PEPO HUYO ATAWEZA KURUKA PADIPO WASIWASI WOWOTE

BAADA YA HAPO, SIKU ILIYOFUATA YA IJUMAA, MAFURIKO YA MAVI YALITOKEA NYUMBANI KWA MHUSIKA, NA YALIENDELEA KUWEPO HADI SIKU YA J2 NA PIA SIKU ZA J3 NA J4 ZA WIKI HII

HUKO KANISANI, ILIPOFIKA SIKU YA J2 YA TAREHE 02/06/2024, KWA MARA YA KWANZA KM-A HAKUWEPO KWENYE IBADA YA PILI, ILHALI ALIKUWEPO MAZINGIRA YA KANISANI, HAKUWA AMESAFIRI

J2 HIYO KM-A ALIONEKANA WAKATI WA MATANGAZO TU, NA MHUSIKA ALIMUONA AKIWA TAYARI YUKO JUU MADHABAHUNI, WALA HAKUMUONA MAHALI ALIKOPITIA HADI KUFIKA JUU YA MADHABAHU

VILE VILE LEO J2 YA TAREHE 09/06/2024, KWA MARA YA PILI TENA KM-A HAKUWEPO KWENYE IBADA YA PILI, ILHALI ALIKUWEPO MAZINGIRA YA KANISANI, HAKUWA AMESAFIRI

KM-A ANAFANYA HIVYO ILI KUEPUSHA PEPO ALIYEMBEBA ASIJE AKA-"SUBLIME" INTO THIN AIR, WAKATI WA IBADA KUU

HATA HIVYO KWA HILI KM-A HAYUKO PEKE YAKE PALE KANISANI, YUPO PIA NA MSAIDIZI WAKE MWINGINE AMBAYE NAYE LEO ALIPANDISHA JUU MADHABSHUNI, AKIYAKATISHA MATANGAZO YA KIONGOZI WA ZAMU

KATIKA HALI YA KAWAIDA, KIONGOZI HUYU ALITAKIWA ASIYAKATISHE KATIKATI MATANGAZO YA KIONGOZI WA ZAMU

HUYU NAYE VILEVILE HAKUWEPO KWENYE IBADA, NA KARIBIA MARA ZOTE KIONGOZI HUYU HUWA ANAONEKANA WAKATI WA MATANGAZO TU

MBALI NA HILO, KIONGOZI HUYU MWINGINE, NDIYO IMETOKEA KWA MARA YA KWANZA AKAHUDUMU KWENYE IBADA KUU, TANGU WAUMINI WALIPOANZA KUABUDU KWENYE KANISA JIPYA MNAMO DECEMBER 2020

KWA IBADA ZINGINE ZOTE ZILIZOBAKI, KARIBIA MARA ZOTE KIONGOZI HUYU AMEKUWA NA KAWIDA YA KUONEKANA KWA MUDA TU NDANI YA KANISA WAKATI WA IBADA YA PILI, HALAFU BAADAYE HUTOWEKA

BAADA YA KUWA AMEHUDUMU KWA MARA YA KWANZA HIVI MAJUZI, NDIYO PALE SIKU CHACHE MBELE YALIPOTOKEA TENA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWA MHUSIKA

RANGI ZA NGOZI ZA VIONGOZI WOTE HAWA WAWILI ZIKO IDENTICAL NA RANGI YA NGOZI YA JIRANI MAJI MACHAFU

YULE AMBAYE HASA AMEKUWA AKIMTUNZA PEPO HUYU MWENYE UHUSIANO NA MAFURIKO YA MAVI, NI HUYU KIONGOZI AMBAYE KWA KIPINDI KIREFU SANA AMEKUWA AKIKWEPA SANA KUONEKANA JUU YA MADHABAHU YA KANISA JIPYA

JIONI HII, MAFURIKO YA MAVI YAMERUDI TENA NYUMBANI KWA MHUSIKA.
MARA ZOTE MAFURIKO HAYA HUWA YANATOKEA WEEKEND

NI MARA YA KWANZA KWA ?MHUSIKA KUMUONA KM-A AKIWA HAYUPO KWENYE IBADA KUU YA IBADA YA PILI, ILHALI AKIWA YUPO KWRNYE MAZINGIRA YA KANISANI

KITENDO HIKI KIMEJITOKEZA KWRNYE HE MBILI MFULULIZO

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU
HUYU KIONGOZI AMBAYE KWA KIPINDI KIREFU CHA ZAIDI YA MIAKA MITATU AMEKUWA HAPANDISHI JUU MADHABAHUNI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMAKWENYE IBADA KUU, UWEZEKANO NI KWAMBA ALIKUWA AMETUNZWA AKIWA ANASUBIRIA TUKIO MAALUMU, TUKIO AMBALO KWA SASA MUDA WAKE UMESHATIMIA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 10th JUNE 2024
MUUMINI MGENI (OCCASIONAL) WA KANISA A AMBAYE HUWA ANAJIFICHA ASIONEKANE NA SURVEILLANCE CAMERAS ZA KANISANI HAPO, NA AMBAYE MHUSIKA ALIWAHI KUMUONGELEA MIAKA MICHACHE ILIYOPITA KUPITIA POST HII HAPA #1,155 , AMESHAANZA KUONEKANA TENA KANISANI


Mara ya mwisho muumini huyu alionekana Kanisani hapo J2 ya tarehe 21/08/2022 (mwaka juzi), na kwenye J2 ambayo Ibada ilikuwa imehamishwa kwa muda kutoka Kanisa jipya kwenda Kanisa la zamani

Aliyehamisha Ibada ya J2 hiyo alikuwa ni kiongozi KINARA WA MATANGAZO (KWM), ambaye kwa sasa hayupo Kanisani, amehamia Katavi

Ukiondoa tukio hilo la muumini huyu kuonekana Kanisa A mwaka 2022, kwenye kipindi hiki cha hivi karibuni, muumini huyu ameshaonekana tena mara mbili Kanisani, na mara ya pili ikiwa ni jana J2 ya tarehe 09/06/2024

J2 ya kwanza ya hivi karibuni ambayo muumini huyu alionekana kwa mara ya kwanza Kanisani, ni ile ambayo Kiongozi huyo huyo aliyehamia Katavi (au KWM) , alilitembelea Kanisa kwa mara tangu ahamie Katavi

Siku hiyo, muumini huyu alikaa nje ya Kanisa, sehemu ya nyuma pembezoni mwa UKUMBI WA SULEMAIN; ambalo liliwahi kuwa Kanisa la zamani
  • Muumini huyu alikaa upande wa kulia kama unaelekea kwenye ile iliyokuwa Madhabahu ya Kanisa la zamani
  • Kwa J2 ya jana, muumini huyu alikaa ndani ya KANISA JIPYA sehemu almost sawa na ile aliyowahi kukaa mara ya mwisho alipoonekana kwa mara ya mwisho ndani ya KANISA JIPYA jipya kanisani hapo mwaka 2022
Ifuatayo hapa chini ni nukuu kutpka kwenye post aliyowahi kuileta humu mhusika mwaka 2022 kuhusiana na muumini huyu mgeni

………mwanzo wa kunukuuu
“……Ni kwamba kwenye Ibada ya J2 hiyo ya tarehe 21/08/2022
  • Kulikuwa na angalau mtu mmoja MGENI kwenye Ibada hiyo ambaye SI MSHIRIKI WA SIKU ZOTE WA KANISA A na ambaye alikuwa hatakiwi kuonekana na SURVEILLANCE CAMERAS
  • Mtu huyu alikaa nyuma kabisa ya Kanisa au UKUMBI WA SULEMAIN, viti vile vya mwisho kabisa
Chances ni kwamba Ibada ilihamishiwa makusudi kwenye Kanisa hilo la zamani ili mtu huyo asije akaonekana na Camera

Vile vile J2 ya jana tarehe 17 Oktoba 2022; MGENI huyu alikuwepo tena na alikaa nyuma ya kabisa ya Kanisa

Mgeni huyu alikaa kwenye angle moja ambayo haikuwa rahisi sana kwake kuonekana na Surveillance Camera; unless iwapo tu wapiga picha wa Kanisani hapo walifika na ku-cover eneo hilo akiwa tayari ameshaingia ndani ya nyumba ya Ibada

Mhusika anakiri kukumbana na mtu huyu mmoja Kanisani hapo kwa mara tatu sasa mojawapo ya siku ikiwa ni kwenye J2 hizi mbili (ile ya tarehe 21/08/2022 na hii ya jana ya tarehe 17/10/2022)

Mtu huyu ana baadhi ya sifa kuu kama hizi zifuatazo hapa chini

  • Ni mgeni kabisa Kanisani hapo na mhusika amebahatika kumuona kwenye J2 tatu tu, yaani hizi mbili ukiongezea na nyingine tena moja ambayo haikumbuki ilikuwa ni limi; ila ni ndani ya mwaka huu huu wa 2022
  • Chances ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba mtu huyu mekuwa akiwepo hapo Kanisani kwenye J2 hizi tatu tu na ambazo mhusika amekuwa pia akifanikiwa kumuona kila anapokuwa amekuja Kanisani
Kwa hiyo, uwepo wa mgeni huyu pale Kanisani possibly umekuwa ukiwa programmed kwamba kila inapotokea amefika Kanisa A, lazima anajiweka katika mazingira ambayo ni lazima mhusika atamuona AU anakuwa ametengenezewa mazingira rutubishi ambayo kwa namna yoyote ile ni lazima tu mhusika amuone

Kwa J2 iliyopita, SPEAKERS zilikuwa zinachezewa ili mhusika abadilishe sehemu ya kukaa na hivyo aende akakae kwenye maeneo yale ambayo mtu huyu alikuwepo karibu na hivyo apate nafasi ya kuweza kumuona

  • Mtu huyu anavaa mavazi ya kike, na anaonekana KAMA mwanamke lakini body physiology imekaa kiume, na anonekana kuwa ni giant; with a body built having strength slightly higher than that of an ordinary woman
  • Anaonekana yuko weak and somehow very rough, possibly kutokana na LIFESTYLE yake
Kwa hiyo J2 iliyopita alikuwepo tena na alikaa kwenye angle ambayo haikuwa rahisi sana kwa SURVEILLANCE CAMERA kuweza kumuona

Na kwa bahati mbaya zaidi, mhusika hakufanikiwa kuwaona wapiga picha wa kawaida wakiwa eneo lile alilokuwa amekaa; unless kama labda walifika huko kabla mhusika hajahamia huko

Kwa waumini wa Kanisa A walio makini; watakuwa walimuona akiwa amekaa nyuma kabisa upande ule wa kulia wa Kanisa, karibu kabisa na ukuta;

Well built and masculine na si rahis sana kwa mtu kuweza ku-rule out kama sura yake ni ya kike au ni ya kiume isipokuwa tu kwa kutumia mavazi anayokuwa maevaa………..”


mwisho wa kunukuu

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
POST HII MHUSIKA ANAIWEKA HAPA, ATAKUJA KUIREJEA SIKU ZA MBELE HUKO MBELE TA SAFARI. NI UHAKIKA ATAREJEA

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari. Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo...
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: WEDNESDAY, 12th JUNE 2024
OMBI KWA MARA NYINGINE YA PILI


Mhusika anaziomba tena mamlaka, hii ikiwa ni mara ya pili kwamba nyumba iliyo juu yake anayoishi JIRANI MAJI MACHAFU, ifanyiwe ukaguzi maalum

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
POST HII MHUSIKA ANAIWEKA HAPA, ATAKUJA KUIREJEA SIKU ZA MBELE HUKO MBELE TA SAFARI. NI UHAKIKA ATAREJEA

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari. Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo...
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

UPDATE: THURSDAY, 13th JUNE 2024

TUKIO HILI LILIONUKULIWA HAPO JUU LINA UHUSIANO NA MATUKIO MENGINE MENGI AMBAYO HAPO KABLA, YALIWAHI KUWA YANAFANYIKA KUPITIAI MADHABAHU YA KANISA A

BAADA YA MATUKIO HAYA KUKOMA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A, UTARAIBU MWINGINE AMBAO UMEKUWA UKITUMIKA KAMA ALTERNATIVE NDIYO HUU


Matukio yote ya aina hii yanapangwa makusudi na baada ya kupangwa, taarifa zake zinasambazwa makusudi ili zijulikane na media, na media nao pasipo kujua, waweze kuzisambaza kwa wananchi wote

Hii ni njia mojawapo ya usambazaji wa mapepo, ambayo hapo kabla, ilikuwa inafanyika kupitia madhabahu ya Kanisa A

Matukio haya yanafanywa na watu amabo wamekuwa motivated, possibly kwa kupewa fedha au kitu kingine kinachofana nahich fedha, ili waweze kufanya hivi

Mhusika atarudi na akiwa na ushahidi wa namana matukioyanavyoratibiwa, muda si mrefu kuazia sasa, possibly mwanzoni mwa wiki ijayo

Kwa sasa bado anaendelea kukamilisha utafiti wake

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 14th JUNE 2024
WAKATI MHUSIKA AKIWA BADO ANAENDELEA NA UTAFITI WAKE KUHUSIANA NA MASWALA YA UZINZI NA ULAWITI KAMA AMBAVYO KWA SIKU ZILIZOPITA NYUMA, YALIWAHI KUWA YAKITAJWA MARA KWA MARA SANA KUPITIA MADHABAHU YA KANISA A ……..


Mhusika ameona ni muhimu kutoa maelezo machache na kuyaweka hapa kama kumbukumbu, kuhusiana na baadhi ya yale muhimu yaliyokuwa yakiendelea Kanisa A J2 iliyopita ya tarehe 09/06/2024

KUHUSIANA NA MATANGAZO YA RATIBA YA VIPINDI VYA IBADA KWA WIKI HII ILIYOANZA J3 YA TAREHE 10/06/2024

Kwa siku za kuanzia J3 hadi J5, Kiongozi wa Zamu (KWZ) hakutangaza ratiba hiyo bali kilichofanyika ni hiki

  • KWZ alisoma ratiba ya vipindi kwa siku zingine za wiki ukiondoa siku tatu za J3, J4 na J5
  • Kwa siku hizi tatu ambazo ratiba yake haikuisomwa na KWZ, ratiba hiyo ilikuwa inasomeka kupitia display screen ambayo ilikuwa inaonyesha ratiba ya wiki nzima, ikiwemo ya siku zile ambazo KWZ aliizitangaza pia
Baada ya KWZ kumaliza matangazo yake, ilifuata zamu ya matangazo kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A)

Baada ya KM-A kupanda juu madhabhuni, aliwakumbushia waumini wote waliokuwa wamekaa jirani, wakumbushane ili wasikose kwenye Semina inayoanza J3 hadi J5, ilhali semina hiyo haikuwa imetangazwa na KWZ

  • Hapa sasa KM-A alikuwa anawpa signal ya kuwakumbusha waumini wale ambao wanaweza kuwa hawakuwa wameisoma ratiba pindi ilipokuwa inaendelea kupitia kwenye screen, ili waweze kufanya hivyo
  • Hii ni kutokana na ukweli kuwa KWZ hakuwa ameitangaza ratba ya siku hizo
Kwa hiyo J2 iliyopita kulifanyika usiri wa namna hiyo wakati wa kutoa tangazo la ratiba ya vipindi kwa siku za J3 hadi J5

BAADA YA SEMINA KUANZA, AJALI MBAYA SANA ZIMTOKEA NDANI YA SIKU ZA SEMINA HIYUO TU

Kwenye siku za Semina hii ya wiki hii, ambayo ratiba yake ilikuwa inafichwafichwa kutangazwa, ajali nyingi na mbaya sana zimetokea sehemu mbalimbali za ndani na hata nje ya nchi, huku nyingine zikihusisha vyombo vya angani

Mbali na haya yote, wakati ajali ya ndege inatokea hapa nchini mwaka juzi J2 ya tarehe 27 Novemba 2022, aliyesimama madhabahuni J2 hiyo ni huyu huyu kiongozi ambaye aliendesha semina ya wiki hii

Taarifa zaidi zitafuata baadaye

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: SATUDAY, 15th JUNE 2024
MATUKIO MUHIMU YALIYOJIRI UPANDE WA OFISINI KWA MHUSIKA KUANZIA J3 HADI JANA IJUMAA TAREHE 14/06/2024


MATUKIO YA WIKI HII YALIFUNGULUWA RASMI J3 ASUBUHI PALE MHUSIKA ALIPOWAPISHA OFISINI WATOTO WA USAFI NA KWENDA KUSIMAMA NJE KWA MUDA KWENYE VERANDA

HATA HIVYO, MATUKIO YOTE YA SIKU ZILIZOTANGULIA KABLA YA JANA, MHUSIKA ATAKUJA KUYAONGELEA BAADAYE, ISIPOKUWA KWA SASA ANAPENDA AJIKITE KWENYE YALE YALIYOJIRI SIKU YA JANA IJUMAA YA TAREHE 14/06/2024

MHUSIKA ANAPENDA KUANZA NA TUKIO HILI KWA SABABU BAADHI YA WAHUSIKA WA TUKIO HILO, WANAMPA SHIDA SANA MHUSIKA KUAMINI KAMA HAWAJAWAHI KUHUSIKA KWENYE ANGALAU TUKIO MOJA LA KIJAMBAZI.

BAADHI TU YA WATU WANAOMPA SHIDA MHUSIKA KUAMIINI HILO, KINARA WAO ANAYEONGOZA NI SENIOR STAFF MUME WA MKWE WA MHUSIKA, PAMOJA NA OFFICE MATE (OM-1) WA MHUSIKA, AMBAYE KUANZIA WIKI HII, ALIAMUA KUCHUKUA LIKIZO YA DHARURA YA SIKU KUMI KUANZIA J3 YA WIKI HII

NI LIKIZO YA DHARURA KWA SABABU WANAFINZI BADO HAWAJAFUNGA, WANAENDELEA NA MASOMO NA KARIBIA WANAANZA MITIHANI

WAKATI WA MATAYARISHO YA LIKIZO HII YA DHARURA OM-1 ALIANZA PROCESSING YA LIKIZO HIYO ALHAMIS YA WIKI ILIYOPITA NA KUFIKIA J3 YA WIKI HII TAYARI LIKIZO YAKE ILIKUWA IMESHAKUWA APPROVED, NA HIVYO J3 HII ALIANZA LIKIZO HUKU AKIENDELEA KUONEKANA MAZINGIRA YA OFISINI KWENYE SIKU MBILI ZA J5 NA IJUMAA ZA WIKI HII

KWA SIKU HIZI MBILI, OM-1 AMEKUWA AKIONEKANA KWA MUDA MAZINGIRA YA OFISINI KIASI KWAMBA KWA WATU AMBAO HAWAKAI NAYE KWENYE OFISI MOJA, UWEZEKANO MKUBWA NI KWAMBA HADI MUDA HUU WANAWEZA WASIWE WANAJUA KUWA YUPO LIKIZO FUPI YA SIKU KUMI

HUYU OM-1 PAMOJA NA STAFF MUME WA MKWE MHUSIKA,NDIYO WALE WANAOONGOZA KWENYE KUNDI HILI.
MBALI N.A. HAWA, YUPO PIA VILE VILE BINTI AMBAYE TAARIFA ZAKE ZITAWAJIRNI BAADAYE

KILE KILICHOKUWA KIMEPANGWA NA WATU HAWA JANA IJUMAA YA TAREHE 14/06/2024

............INAENDELEA
 
KILE KILICHOKUWA KIMEPANGWA NA WATU HAWA JANA IJUMAA YA TAREHE 14/06/2024
IJUMAA HIYO MHUSIKA ALIRUDI NYJMBANI AKIWA AMECHUKUA FUNGUO ZA CONFERENCE ROOM (CR) KWA AJILI YA MATUMIZI YA CHUMBA HICHO J3 ASUBUHI YA WIKI IJAYO KUANZIA SAA 1 NA NUSU ASUBUHI

FUNGUO HIZO ALIZICHUKUA OFISINI KWA MKUU WA IDARA (MWI), NA ALIZICHUKUA SAA 10 KAMILI JIONI

KABLA YA HAPO, ASUBUHI YAKE ALIWAHI KUFIKA OFISINI KWA MWI KWA NIA HIYO YA KUCHUKUA FUNGUO HIZO, LAKINI KATIBU MUHTASI WA MWI ALIMSHAURI MHUSIKA ACHUKUE FUNGUO HIZO KUANZIA SAA 10 KWA SABABU CHUMBA KILIKUWA BADO KINATUMIKA NA WATU WENGINE, NA HIVYO KMWI KUMSHAURI MHUSIKA KUCHUKUA FUNGUO HIZO MARA BAADA YA CHUMBA HICHO KUWA KIMEFUNGWA

BAADA YA MHUSIKA KUSHAURIWA HIYVYO, ALIONDOKA NA ULIPOFIKA MUDA ULE AMBAYO ALIKUWA AMESHAURIWA, MHUSIKA ALITUDI TENA OFISINI KWA MWI NA SAFARI HII ALIKABIDHIWA FUNGUO HIZO

HAPO ILIKUWA NI SAA 10 KAMILI JIONI

BAADA YA KUKABIDHIWA FUNGUO, MHUSIKA ALUENDEKEA KUWEPO OFISINI KWAKE NA ILIPOKARIBIA SAA 11, ALIAMUA KUONFOKA OFININI NA KURUDI NYUMBANI KWAKE

AKIWA YUPO NYUMBANI, SAA 12 ILIPITA

HATA HIVYO, ILIPOFIKA SAA 1 USIKU, AKIWA YUPO CHUMBA CHA KULALA, GHAFLA ALIIONA SIMU YAKE IKIWA INAITA, MPIGAJI AKIWA NI OM-1 NA AMBAYE KWA SASA YEYE YUPO LIKIZO FUPI YA SIKU KUMI

KABLA MHUSIKA HAJAIPOKEA SIMU HIYO, GHAFLA ILIKATA NA BAADA YA MUDA SI MREFU NAMBA NYINGINE NGENI ILIINGIA

KUMBE ILIDHANIWA KUWA MHUSIKA ALIKUWA AMEAMUA KUI-IGNORE SIMU ILIYOKUWA IMETANGULIA KUINGIA, YAANI ILE YA OM-1

MHUSIKA ALIIPOKEA SIMU HIYO YA PILI NA BAADA YA SALAMU, MWENYE SIMU ALIJITAMBULISHA KUWA NI YULE STAFF MME WA MKWE WA MHUSIKA (TUMWITE STME)

STME ALIMJULISHA MHUSIKA KUWA ZILE FUNGUO ZA CR ALIZOCHUKUA, CHUMBA HICHO KILIKUWA HAKIJAFUNGWA HADI MUDA HUO NA NDANI KULIKUWA NA TAA ZIKIWAKA PAMOJA NA.AC ILIUYOKUWA IMEACHWA ON

STME ALIMSHAURI MHUSIKA AENDE OFISINI USIKU HUO AKAKIFUNGE CHUMBA HICHO NA PIA AZIME TAA PAMOJA NA AC ILIYOKUWA IMEACHWA ON

MHUSIKA HATA HAKUMBUKI MARA YA MWISHO ALIPOWAHI KUWEPO MAZINGIEA YA OFISINI MUDA UNAOFANA NA HUO, POSSIBLY ILIKUWA MWAKA 2001

MHUSIKA ALMWELEKEZA STME AWASILIANE NA OM-2 AMBAYE ALIKUWA BADO YUPO OFISINI KWA SABABU IJUMAA HUWA ANAKUWA NA KIPINDI CHA HADI SAA 2 USIKU

KWA HIYO, OM-2 NDIYE ALIYEKUWA ANAWEZA KUZIPATA FUNGUO ZA CHUMBA HICHO, MHUSIKA ALIZIACHA NDANI OFISINI KWENYE KABATI KUU LA OFISINI HUMO

BAADA YA MAWASILIANO YA STME NA MHUSIKA KUKAMILIKA, MHUSIKA ALIAMUA KUMPIGIA OM-1 AMBAYE YUPO LIKIZO, NA AMBAYE ALIKUWA AMETANGULIA KUMPIGIA MHUSIKA

BAADA YA KUPOKEA SIMU, OM-1 ALIKIRI KUMTAFUTA MHUSIKA KWA SWALA LILE LILE SAWA NA AMBALO MHUSIKA ALIKUWA TAYARI AME-LISETTLE NA STME MUDA MFUPI ULIOKUWA UMEPITA

POSDIBLE CONSEQUENCES ZA TUKIO HILI
ASSUMING MHUSIKA ANGEKUBALUANA NA USHAURI WA STME WA KUONDOKA NYUMBANI USIKU KUELEKEA OFISINI, HALAFU SOMEWHERE ON HIS WAY LIKAMPATA TUKIO USIKU HUO, MUDA HUU OM-1 (AMBAYE YUKO LIKIZO), ANGEKUWA AMESHA-SUBLIME INTO THIN AIR, NA HII NDIYO SABABU ILIYOPELRKEA AKAPEWA LIKIZO YA DHARURA

MBALI NA HAYA YOTE, KWA SASA WANAFUNZI WAMESSHAANZA KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPES, NA WIKI HII NDIYO WIKI YAO YA MWISHO. KWA HIYO OM-1 AMECHUKUA HII LIKIZO YA DHARURA IKIWA PIA NI MEASURE YA KUWAKWEPA WANAFUNZI WANAOKUWEPO KWENYE CHUMBA HICHO

KWA NAMNA AMBAVYO MHUSIKA AMEKUWA AKIM-STUDY OM-1 TANGU SIKU ALIPOAJIRIWA HADI LEO, UHAKIKA WA MHUSIKA NI KWAMBA OM-1 HAYUPO OFISINI KWA AJILI YA KUFANYA KAZI KAMA WAFANYAKAZI WENGINE, VALI ANA KAXI YAKE NYINGINE TOFAUTI KABISA N.A. MASWALA YA KAZI

ANA BAHATI SANA KWAMBA MHUSIKA HANA HATA LILE JINO MOJA TU LA KUWEZA KUMNG'ATA

.....INAENDELEA
 
NAMNA AMBAVYO OM-1 AMEKUWA AKIONEKANA MAZINGIRA YA OFISINI TANGU AANZE LIKIZO YAKE WIKI HII

TANGU AANZE LIKIZO, OM-1 AMEONEKANA SIKU TATU OFISINI NA SIO MBILI KAMA ILIVYOELEZWA HAPO KABLA

AMEONEKANA SIKU ZA J3, J5 NA IJUMAA

J5 HAKUINGIA OFISINI KWAKE BALI ALIINGIA OFISINI KWA MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI

YAWEZA PIA KUWA ALIFIKA OFISINI KWAKE NA KAMA ALIFANYA HIVYO, BASI ITAKUWA NI KATIKA MUDA AMBAO MHUSIKA ALIKUWA TAYARI AMESHAONDOKA OFISINI KWAKE KUELEKEA OFISI ZA MILIKI YA NYJMBA KUSHUGHULIKIA SWALA LA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWAKE

KWA SIKU YA JANA IJUMAA, MHUSIKA ALIINGIA OFISINI ASUBUHI NA KUMKUTA OM-1 AKIWA YUPO AMESHAFIKA OFISINI; WAKIWA PAMOJA NA STAFF MWINGINE KUTOKA KWENYE ILE IDARA NYINGINE, AMBAYE KWA KIPINDI HIKI NDIYE AMBAYE AMEKUWA AKIWASIMAMIA WANAFUNZI WANAOKUWEPO KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPE

WAKATI HUO, OM-2 HAKUWEPO OFISINI; ILIONYESHA KUWA ALIKUWA AMETOKA KIDOGO, ISIPOKUWA ALITOKA AKIACHA OM-1 AKIWA YUPO OFISINI

KWA MARA NYINGINE TENA, MHUSIKA AMELETA HUMU USHAHIDI MWINGINE USIO SHAKA UNAOONYESHA KUWA OM-1 ALIKUWA YUPO STANDBY KUFANYA TUKIO HUKU AKIWA YUPO NJE YA MAZINGIRA YA OFISINI

BAADHI YA WATU WENGINE WALIOHUSIKA NA MATUKIO NOTABLE OFISINI KWA WIKI HII NI WAFUATAO

MNUNUZI WA GARI (MWG)

MKUU WA MAJOR UNIT (MMU)

SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMMKE)

STAFF KUTOKA OFISI ZA MILIKI YA NYUMBA, AMVAYE PIA NI SUPERVISOR WA WAFANYAKAZI WANAOHUSIKA NA MIUNDOMBINU YA MAJI MACHAFU

JIRANI MAJI MACHAFU

IKUMBUKWE KUWA MATUKIO HAYA YOTE YAKO COORDINATED KUTOKEA KANISA A
MAELEZO YA MATUKIO KUHUSIANA NA WATU HAWA YATAFUATA BAADAYE

.............ITAENDELEA
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NAMNA AMBAVYO OM-1 AMEKUWA AKIONEKANA MAZINGIRA YA OFISINI TANGU AANZE LIKIZO YAKE WIKI HII

TANGU AANZE LIKIZO, OM-1 AMEONEKANA SIKU TATU OFISINI NA SIO MBILI KAMA ILIVYOELEZWA HAPO KABLA

AMEONEKANA SIKU ZA J3, J5 NA IJUMAA

J5 HAKUINGIA OFISINI KWAKE BALI ALIINGIA OFISINI KWA MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI

YAWEZA PIA KUWA ALIFIKA OFISINI KWAKE NA KAMA ALIFANYA HIVYO, BASI ITAKUWA NI KATIKA MUDA AMBAO MHUSIKA ALIKUWA TAYARI AMESHAONDOKA OFISINI KWAKE KUELEKEA OFISI ZA MILIKI YA NYJMBA KUSHUGHULIKIA SWALA LA MAFURIKO YA MAVI NYUMBANI KWAKE

KWA SIKU YA JANA IJUMAA, MHUSIKA ALIINGIA OFISINI ASUBUHI NA KUMKUTA OM-1 AKIWA YUPO AMESHAFIKA OFISINI; WAKIWA PAMOJA NA STAFF MWINGINE KUTOKA KWENYE ILE IDARA NYINGINE, AMBAYE KWA KIPINDI HIKI NDIYE AMBAYE AMEKUWA AKIWASIMAMIA WANAFUNZI WANAOKUWEPO KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPE

WAKATI HUO, OM-2 HAKUWEPO OFISINI; ILIONYESHA KUWA ALIKUWA AMETOKA KIDOGO, ISIPOKUWA ALITOKA AKIACHA OM-1 AKIWA YUPO OFISINI

KWA MARA NYINGINE TENA, MHUSIKA AMELETA HUMU USHAHIDI MWINGINE USIO SHAKA UNAOONYESHA KUWA OM-1 ALIKUWA YUPO STANDBY KUFANYA TUKIO HUKU AKIWA YUPO NJE YA MAZINGIRA YA OFISINI

BAADHI YA WATU WENGINE WALIOHUSIKA NA MATUKIO NOTABLE OFISINI KWA WIKI HII NI WAFUATAO

MNUNUZI WA GARI (MWG)

MKUU WA MAJOR UNIT (MMU)

SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMMKE)

STAFF KUTOKA OFISI ZA MILIKI YA NYUMBA, AMVAYE PIA NI SUPERVISOR WA WAFANYAKAZI WANAOHUSIKA NA MIUNDOMBINU YA MAJI MACHAFU

JIRANI MAJI MACHAFU

IKUMBUKWE KUWA MATUKIO HAYA YOTE YAKO COORDINATED KUTOKEA KANISA A
MAELEZO YA MATUKIO KUHUSIANA NA WATU HAWA YATAFUATA BAADAYE

.............ITAENDELEA
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
KANISA A NDIO LILE LA MTAKATIFU AMBAYE NI MWAMBA WAKE ULITUMIKA KUJENGA KANISA KAMA JESUS ALIVYOSEMAGA NINI!!?
 
Aiseh!kumbe na hii skendo ya simiyu ni mpango kazi wa series ya matukio unayosimulia humu sio!!?
Ndiyo
Ukawiti/ uzinzi NI DHAMBI
Unaweza ukakuta unasoma kwa kuanzia posts namba #608, #1023, #1036 na #1040 HALAFU MENGINE YA kina YATAFUATA WIKI IJAYO.
Soma TU, acha ku-post




 
Back
Top Bottom