Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
- Thread starter
- #2,441
UPDATE: FRIDAY 04th APRIL 2025
CODE YA SALAMA/ SAFE (CODSA): subcode ya “media”
.............INAENDELEA
TUKIO MUHIMU LILILOMPATA MHUSIKA KANISANI J2 ILIYOPITA YA TAREHE 30/03/2025 WAKATI WA KUONDOKA; ALIPOKUWA AKITOA GARI LAKE NJE YA UZIO WA KANISA
Yule Security Guard (SG) aliyewahi kushiriki kwenye tukio la kum-block mhusika na kupelekea mhusika alazimike kutoka nje ya uzio wa Kanisa kinyumenyume J2 ya tarehe 27/11/2022, alifanya hivyo tena J2 iliyopita ya tarehe 30/04/2025, safari hii alikuwa yuko peke yake
Mhusika alipoanza pilikapilika za kutoka nje ya uzio wa Kanisa, SG huyu naye alienda akachukua gari ndogo yenye rangi ya damu ya mzee na kumuwahi mhusika kwa kuiweka kwenye sehemu ambayo ingemuwezesha mhusika kugeuza gari na kutoka nje ya uzio wa Kanisa pasipo kururdi kinyume nyume
Sehemu aliyokuwa amepaki mhusika J2 hiyo, ni jirani na ile aliyowahi kupaki J2 ya wiki iliyokuwa imepita nyuma, na ambayo pia ni jirani na sehemu aliyowahi kupaki siku ya J2 tajwa ya mwaka 2022
BAADA YA TUKIO HILO KUTOKEA KANISANI
Kawaida matukio ya aina hii huwa yanaambatana na ajali za barabarani kutokea mbele ya tukio lenyewe, na baada ya J2 mhusika alisikia ajali ya barabarani iliyoua watu ikiwa ni pamoja na majeruhi
Mhusika hana uhakika kama ajali hiyo ilitokea kabla ya J2 au baada ya J2 ila taarifa za ajali amezisikia baada ya J2
Kama ajali hiyo ilitokea baada ya J2 basi mojawapo ya possibilities za ajali hiyo ni tukio hilo la J2 iliyopita kanisani
BAADA YA TUKIO LA GARI YENYE RANGI YA DAMU YA MZEE KUTOKEA KANISANI J2 ILIYOPITA, HUKO OFISINI KWA MHUSIKA NAKO….
Kuanzia wiki hii, Mkuu wa Idara mstaafu wa miaka ya 2006-2012, ameanza kutumia gari yake KUJA NAYO OFISNI, yenye rangi inayofanana na ile ya Kanisani ya J2 iliyopita iliyotumiwa na SG
Gari hii imepitisha muda mrefu sana pasipo kuonekana mazingira ya ofisini
KUHUSIANA NA INJINI YA GARI LA MHUSIKA ILIYOWAHI KUIBIWA MWANZONI MWA MWAKA 2021
Strong evidence za kimazingira za wizi huo zinaonyesha kuwa zoezi hili lilikuwa coordinated na huyu mwanafunzi wa ngazi za juu ambaye hana ofisi bali anakaa kwenye vestibules
Mhusika hawezi kuliongelea zaidi tukio hili kwa sababu hana evidence zile ambazo ni physical
BAADA YA INJINI KUIBIWA, VFAA VINGINE VIMEKUWA VIKIBADILISHWA KWA AWAMU BAADA YA INJINI KUIBIWA
Baada ya injini kuibiwa, baadhi tu ya vifaa vingine ambayo vilishabadilishwa kwa wakati tofauti tofauti ili kuendana na injini kuukuu liyowekwa, baada ya ile ya awali kuibiwa, ni vifuatavyo
Baadhi ya vifaa vya ndani kama vile vishikio vya mikono ya abiria vilivypo milangoni pamoja na driving mirror, navyo pia vilikuwa vya rangi kama ya ule mfuko wa kuhifadhia vifaa. Hivi nayo vile vile vilishabadilishwa na kuwekwa vya rangi ya Khaki
Usukani original uliowahi kuja na gari nao ulishabadilishwa ila huu ulibadilishwa mhusika alipokuwa yupo pamoja na gari garage; na uliwekwa mwingine feki wenye mwili wa sponge
VINGINEVYO KUHUSIANA NA UPEPO KWENYE TAIRI MOJA YA GARI LA MHUSIKA
Juzi alijaziwa ukiwa 40, leo ameamka akaukuta umepungua na hivyo akalazimika kuanzia garage kabla hajaenda ofisini
Alipofika garage waliupima wakaukuta uko 20
Hapakuwa na tundu kwenye tairi na hivyo kilichofanyika baada ya hapo ni kuongeza upepo tu
Jana Alhamis MMU alikuwa na mkutano mwingine tena

.............ITAENDELEA TENA
In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Kwa upande wa KUJA NAYO OFISINI, MWI mstaafu huyu alikuwa hajaitumia gari kwa takribani miaka miwili hivi
- Kama si miaka miwili, basi angalau si chini ya mwaka mmoja na nusu, MWI mtaafu huyu alikuwa hajawahi kabisa kuonekana na gari hiyo mazingira ya ofisini hata siku moja tu
- Ilifikia kipimdi hadi mhusika akwa anadhani kuwa MWI mstaafu alishaiuza gari hiyo
Gari hii imepitisha muda mrefu sana pasipo kuonekana mazingira ya ofisini
KUHUSIANA NA INJINI YA GARI LA MHUSIKA ILIYOWAHI KUIBIWA MWANZONI MWA MWAKA 2021
Strong evidence za kimazingira za wizi huo zinaonyesha kuwa zoezi hili lilikuwa coordinated na huyu mwanafunzi wa ngazi za juu ambaye hana ofisi bali anakaa kwenye vestibules
Mhusika hawezi kuliongelea zaidi tukio hili kwa sababu hana evidence zile ambazo ni physical
BAADA YA INJINI KUIBIWA, VFAA VINGINE VIMEKUWA VIKIBADILISHWA KWA AWAMU BAADA YA INJINI KUIBIWA
Baada ya injini kuibiwa, baadhi tu ya vifaa vingine ambayo vilishabadilishwa kwa wakati tofauti tofauti ili kuendana na injini kuukuu liyowekwa, baada ya ile ya awali kuibiwa, ni vifuatavyo
- Make-up yote ya ndani ya gari ilishabadilishwa kwa kutolewa vifaa vyake na kuwekwa vingine vyenye rangi inayolekeana kidogo na rangi ya gari
- Kwa nnje, kifuniko cha tank la mafuta nacho kilishabadilishwa
- Vile vile mfuko wa kuhifadhia spanner kwa ajili ya kupiga jeki gari nao pia ulishabadilishwa