OFFICE-MATE WA MHUSIKA ALIYEWAHI KUTANGULIA MBELE YA HAKI MWISHONI MWA MWAKA 2009
MAELEZO YA UTANGULIZI
Jina lake la kwanza linatengeneneza strong KEY na
jina la la ubini la Kiongozi wa Chama cha Wanaume, aliyefika
Kanisa A siku ya J2 ya tarehe 30/07/2023 akiwa anatokea
Kanisa B
- Tuseme kama jina lake alikuwa anaitwa MBOSE, basi yule wa Kanisa B ataitwa MBOSEMA
- Mbali na hayo, jina lake la ubini alilokuwa anapenda kulitumia sana (alikuwa anapenda kutuumia majina mengi kiasi), linafanana na jina la kwanza la Mtumishi wa kutoka Kanisa B (tumwite MTB)
- Tuseme kama jina lake la ubini lilikuwa ni ALIAS basi jila la kwanza la MTB nalo ni ALIAS vile vile
Mtu huyu alikuwa ni office-mate wa mhusika kuanzia mwaka 2000 mara tu mhusika alipoajiriwa hadi siku anafariki
Mbali na hayo, mhsika na mtu walikuwa wanashare ATTRIBUTES nyingi, zikiwemo zile za asili yao, na waliwahi kubadilishana mengi katika kipindi cha utumishi wao, wakati office mate huyu alipokuwa bado yupo hai
BAADHI TU YA MAMBO MUHIMU AMBAYO WALIWAHI KU-SHARE NA AMBAYO MHUSIKA HAKUWAHI KUYATILIA MAANANI HAPO KABLA
JAMBO LA KWANZA
Jambo hili mhusika hana namna ya kuli-prove kwa wasomaji isipokuwa analisema tu ili yule atakayeweza kulichuja na kulikubali, alikubali na yule ambaye hataweza kulichuja vizuri alikatae
Mtu huyu alitangulia mbele ya haki baada ya kuwa limerushwa pepo kwenye RELATIONSHIPS, na hivyo pepo huyu alirushwa akiwa amekusudiwa kumshambulia mhusika, hata mara baada ya office-mate kuwa ametangulia mbele ya haki
Pepo huyu ameendelea kuwepo tangu kipindi hicho, hadi muda huu tulionao sasa
Hilo la kwanza
JAMBO LA PILI NA AMBALO LINAONYESHA KAMA STRONG EVIDENCE ZA KUTAKA KUJIDHIHIRSISHA
Jambo hili ilikuwa ni taarifa ya siri ambayo mtu huyu aliwahi kumshirikisha mhusika, na ambayo mhusika ali-
ignore kwa sababu alivyojaribu kuichuja, iligoma kumwingia akilini
Office mates huyu alimjulisha mhusika kuwa wakati anaajiriwa, aliajiriwa akiwa ana-belong kwenye kada mbili tofauti, moja ikiwa na package kubwa na nyingine ikiwa ina package ndogo
Mtu huyu alimjulisha mhusika pia kuwa baada ya muda atakapokuwa ameajiriwa permanent, atahamia kwenye package ile kubwa
- Kipindi hicho mhusika alikuwa anafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili hadi ilipofikia mwaka 2009 ndiyo pale alipoajiriwa permanent
- Baada ya kuajiriwa permanent, aliendelea kubaki kwenye package ile ile aliyokuwa nayo kabla, tofauti na alivyokuwa ameelezwa na office mate, kitu kilichopeleka mhusika kuzi-ignore taarifa za office mate wake huyo kuwa hazikuwa na ukweli wowote
Wakati mhusika anaandikiwa barua ya kuajiriwa permanent mwaka 2009, mtu huyu alikuwa bado yupo ila akiwa ni mgonjwa taabani, na muda mfupi baada ya hapo ilipofika Septemba 2009, alitangulia mbele ya haki
KILE KILICHOPELEKEA MHUSIKA KU-REVIEW TAARIFA ALIZOWAHI KUPEWA NA MTU HUYU MAREHEMEU
JAMBO LA TATU SWALA LA MASLAHI YA MHUSIKA KWENYE AJIRA YAKE
Ilipofika mwezi July 2012, mhusika aliandikiwa barua ya promosheni ambayo baadaye ilikuja kufutwa ilipofika February 2014 na kupelekea mshahara wake kukatwa kiasi cha TZS 700,000/=
Ilipofika Desemba 2017, mhusika aliandikiwa barua ya kupandishwa cheo, huku cheo hicho kikiwa chini ya kile alichowahi kuandishwa mwaka 2012 (kile kilichokuwa kimefutwa tangu Februari 2014), lakini mshahara wake haukuongezeka
Mhusika alipojaribu kufuatilia kwa nini ameandikiwa barua ya promosheni ambayo mshahara wake hauongezeki, alijulishwa kuwa anatakiwa kwenda kuonana
Humaan Resources Offiicer, kitu ambacho hakufanya
- Ilipofika mwaka 2018, mhusika aliandikiwa barua ya kunyang’anywa tena cheo hicho cha mwaka 2018 kitu kilichopelekea confusion ya yeye kutokujua kuwa yuko kwenye cheo kipi
- Wakati huo huo kuanzia Februari 2018, alianza kukatwa tena pango la nyumba, huku akilelezwa kuwa makato hayo yananzia Julai 2017
Kwa hiyo, mshahara wake ule uliowahi kukatwa mwaka 2014, ndiyo huo huo alionao hadi leo hii na ndiyo huo huo ambao huwa unaendelea kukatwa
Mwaka 2022 Serikali ilipotangaza mishahara mipya, mshahara wa mhusika haukubadilika bali ulikatwa tena kiasi cha fedha kinachokaribiaa laki moja,
na hivyo hakuandikiwa barua ya nyongeza ya mshahara
Mbali na hayo, referrals za madai yake ambazo amewahi kuwa anaziandika tangu mwaka 2021, hazijawahi kujibiwa hadi leo.
Possibly ni kwa sababu majibu yake inabidi yamfikie
, kwa njia ya barua
Barua ya mwisho kabisa ya madai ya aina hiyo aliyowahi kuiandika tarehe 15/04/2024;
haijawahi kujibiwa hadi leo
Possibly ni kwa sababu majibu yake inabidi yamfikie
, kwa njia ya barua
Likizo ya malipo aliyowahi kuchukua mara ya mwisho mnamo Oktoba 2022; malipo ya ikizo hayo hayajawahi kulipwa hadi leo
Possibly ni kwa sababu malipo ya likizo huwa yanaendana na
cheo cha mfanyakazi husika pamoja na
scale ya mshahara wake
JAMBO LA NNE
MKAKATI WA KUMRUBUNI MHUSIKA ULIOWAHI KUFANYWA NA MWAJIRIWA MPYA ALIYEAJIRIWA MWAKA 2021 WAKISHIRIKIANA NA MWI
Mara tu baada ya mfanyakazi huyu kuajiriwa kama Afisa Tawala, alianza kumrubuni
mhusika ampe documents zake zote muhimu za ajira yake ili awe nazo kwenye file ofisini kwake
Mwajiriwa huyu mpya alikuwa anashirikian na MWI
- Mhusika alipohoji kuhusiana na waraka uliokuwa unaagiza hayo, mfanyakazi huyu alishindwa kumpa waraka huo mhusika
- Ulipodika wakati wa likizo ya malipo mwaka 2022, mfanyakazi huyu akayazuia malipo hayo ya mhusika hadi leo, nia ikiwa ni kuzuia mhusika asjie akajua kuwa yuko kwenye cheo gani
Malipo hayo ya likizo hiyo ndiyo yale ambayo mhusika ameshayaongelea hapo juu
Mbali na hayo, strong evidence zinaonyesha kama mfanyakazi huyu aliajiriwa special kwa ajili ya ku-deal na ajira ya mhusika kwa sababu huwa anazuia hata nyaraka za kutoka ngazi za juu zisimfikie mhusika au anahakaikisha kuwa amezi-edit kwanza halafu yeye ndiyo anazituma upya kwake
JAMBO LA TANO
MUDA KABLA YA KUANZA KWA UKARABATI WA JENGO ANALOISHI MHUSIKA
Wafanyakazi wote waliokuwa wanakaa kwenye jengo hilo,
waliandikiwa barua za kujulishwa kuwa kuna ukarabati utakaokuwa unaendelea, isipokuwa mhusika
Possibly kwa sababu kama angeandikiwa
barua, barua hiyo ingetaja cheo chake pamoja na ngazi ya mshahara kwake;
cheo na ngazi ya musika kwa miaka mingi sasa havijulikani
JAMBO LA SITA
KWENYE PILIKA PILIKA HIZI ZA SASA ZA MHUSIKA KUTAKIWA KUBADILISHA NYUMBA, AHAMIE KWENYE NYUMBA NYINGINE
Kawaida kwenye mchakato huu, Ofisa wa Nyumba anatakiwa amwandike barua ya re-allocation mhusika, ambayo itapitia kwa MWI yake
Kilichojidhihirsha nikwamba Ofisa wa Nyumba naye hayuko tayari kumwandikia
barua mhusika kwa sababu akifanya hivyo, itabidi ataje cheo cha mhusika kwenye barua hiyo
Wakati huoo, kwenye mwaka ulipopita,wa 2024, ofisa huyu amekuwa akikata mshahara wa mhusika kiasi cha laki mbili kila mwezi (TZS 200.000/=) kwa muda wa mwaka mzima kama deni la pango la nyumba kwa kipindi kuanzia Julai 2017, muda ambao mhusika aliingizwa tena upya kwenye makato ya pango la nyumba,
makato ambayo mara ya mwisho aliwahi kuyalipa June 2009
Alichokiona mhusika kwenye pilika pilika hizi, ni kwamba
kuna mambo ya msingi ya mhusika ambayo hayatakiwi tena kuweka kwenye maandishi ya barua
Mhusika haelewi kwa nini hali hii iko hivi!
Yaweza kuwa kulikuwa na chembechembe ya ukweli kwenye maelezo ya marehemu office mate wake?
………itaendelea TENA
In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5