UPDATE: WEDNESDAY, 07TH JULY 2026
CODE YA KILLL…… INAENDELEA
OMBI: MHUSIKA ANAZIOMBA MAMLAKA HUSIKA ZI-CHECK INNOCENCE YA MTU HUYU KUHUSIANA NA BAADHI YA MAMBO AMBAYO MHUSIKA TAYARI AMESHAYALETA HUMU, MWENYE SIFA ZILIZOTAJWA HAPA CHINI
Mtu husika kwenye ombi hili la mhusika ni Mtumishi wa Mungu wa kipindi kirefu sana na pia ni swahiba wa karibu sana wa MWI-mstaafu wa miaka ya 2012-2015 (MWI-2012-15)
Ikumbukwe kuwa maombi ya mhusika kuhusiana na swala la mtu huyu, hayatokani na sababu ya yeye kuwa swahiba wa MWI-2012-15, bali yanakuwa triggered na fact kwamba taarifa ambazo mhusika anazo tayari zinazomhusu MWI-2012-15 ambaye ni swahiba wa mtumishi huyo wa Mungu likiwemo swala la MARCOPOLO; na ambazo atazileta humu kuanzia wiki ijayo, zinazidi kuonyesha kuwa mtu huyu anaweza kuwa anahusika. Hata hivyo kutokana na ukweli kuwa mhusika siyo professional kwenye mambo haya, ni rahisi tu akaona tuseme, A ambayo siyo A bali ni B and the vice versa, na hivyo sababu yake kuu ya msingi kuhusiana na ombi lake juu ya mtu huyu
BAADHI TU YA ATTRIBUTES ZA MUHIMU KUHUSIANA NA MTU HUYU
Kama ambavyo mhusika amedokeza hapo juu, mtu huyu ni Mtumishi wa Mungu wa kipindi kirefu na pia swahiba wa karibu sana wa MWI-2012-15; na possibly, swahiba piwa wa Hayati JPM (RIP) kutokana na jina lao moja kufanana
Aliwahi kuwa jirani wa mhusika hadi kwenye possibly, miaka ya mwanzoni mwa 2020 kutokana na kuwa Baba yake mdogo pamoja na mama yake mzazi, waliwahi kuwa jirani wao na familia ya mhusika, japo yeye alikuwa hakai kwenye familia zile; alikuwa anakuja kwa muda tu halafu anaondoka
Mara ya mwisho waliwahi kuonana na mhuskka ilikuwa ni mwaka 1982 na kwa kipindi kingine chote baada ya hapo, walikuwa wanapishana kutokana na pilika pilika za maisha
TAARIFA ZA MWISHO ZA HIVI KARIBUNI ALIZONAZO MHUSIKA ZINAZOHUSIANA NA MTU HUYU
Taarifa za mwisho alizowahi kuzipata mhusika kuhusiana na mtu huyu,
ni za miaka mine iliypita, yaani za July 2022
Kwenye mwezi huo wa Julai 2022, mtu huyu alipeleka
mkutano wa Injili wa kwanza kijijini kwao mhusika kwa maana kuwa katika kipindi chake chote cha utumishi wake wa zaidi ya miaka 40, mtumishi huyu hakuwa amewahi kufanya hivyo. Vile vile, kabla ya hapo mtumishi huyu hakuwa amewahi kufanya hivyo, na hajaweza tena kufanya hivyo baada ya hapo hadi leo hii
MAZINGIRA YALIVYOKUWA KWENYE FAMILIA YAO MHUSIKA KIPINDI MTUMISHI HUYO ALIPOPELEKEA MKUTANIO WA INJILI
Mkutano huo aliupeleka kijijini kwao mhusika katika mazingira yaliyoelezewa hapa chini; na alifikia nyumbani kwa marehemu dada wa mhusika; kwa mana kuwa mahitaji yake yote ya kila siku ikiwemo kulala, alikuwa anayapata kutoka kwenye mji huo.
Still, gharama za mahitaji yake hayo hazikuwa za familia alipokuwa amefikia bali zilikuwa zinatokana na waumini
Mtumishi huyu alipelekea mkutanio kwenye mazingira yafuatayo:
- Dada wa mhusika ambaye ndiyo mmiliki wa nyumba alipowahi kufikia, alikuwa ana takribani mwaka mzima tangu afariki
- Mdogo wa kiume wa mhusika ambaye ndiye mwenye mji huo kwa maana kuwa familia yake ndiyo inaishi kwenye nyumba hiyo, naye vile vile alikuwa tayari ameshafariki takribani miaka miwili iliyokuwa imepita
Marehemu hawa wote wawili wamezikwa pale pale ambapo mtumishi huyu alifikia, huku wakiwa ndiyo watu pekee ambao kama wangekuwepo wakati anautembelea mji huo, mhusika asingeweza kuona chochote kisichokuwa cha kawaida kwenye ugeni wa mtumishi huyo
Vile vile, Baba mmiliki wa nyumba hakuwepo nyumbani pale kwa sababu huwa haishi pale; anaishi Mwanza mjini
Mbali na hayo, wakati mtumishi huyu anafanya ugeni huo,
mtoto aliyekuwa amesingiziwa ugonjwa ambao hakuwa nao, alikuwa tayari ameshasafiri kutoka huko kuja huku Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu
Hizi ndiyo kwa kifupi sana,
queries ambazo zinapelekea mhusika aombe INNOCENCE ya mtu huyu kuwa VERIFIED; ila kuna maelezo mengine ya ziada yatakayofuata kuanzia wiki ijayo, ambayo nayo vile vile yanaweza kumhusu, ila kwa uzito ulio mkuu zaidi, yanahusiana zaid na swahiba wa mtu huyu ambaye ni MWI-2012-15
VINGINEVYO, MWENDELEZO WA TAARIFA ZILIZOPO HAPO JUU ZINAZOHUSIANA NA MWANAFUNZI FOREIGNER ALIYEFANYA PRESENTATION MIEZI MICHACE ILIYOPITA, MWENYE JINA LINALOFANANA NA MORPH
Presentation ya mwanafunzi huyu ilishughulika na LINGUISTICS za maneno zilizopelekea operation za maneno kama PATROL +BUS na AB---+BUS kuweza kufanyika; operation ambazo nazo zilizopelekea pia tukio la msiba wa kiongozi mkubwa wa nchi kutokea tarehe 20/06/2026. Presentation ya mwanafunzi huyu ilishughulika na nyanja zote za kwenye Linguistics ambazo ni MORPHOLOGY, PHONOLGY (phonetics. phonation of words), SEMANTICS, SYNTAX pamoja na PRAGMATICS
Ikitokea ukamweleza Daktari Bingwa (SURGEON) namna ambavyo LINGUISTICS inahusiana na MANENO, yeye ni lazima atakuambia kuwa uhusiano huu ni ANALOGY ya uhusiano uliopo kati ya ANATOMY AND PHSIOLOGY na mwili wa binadamu (HUMAN BODY) au wa mnyama (ANIMAL BODY)
KWA KIFUPI SANA: MFANO RAHISI SANA KUTOKA KWENYE MATUKIO YA IBADA YA J2 ILIYOPITA TAREHE 05/07/2026, KUHUSIANA NA KILE ALICHOWAHI KUFANYA MWANAFUNZI HUYU FOREIGNER
Kwenye Ibada ya J2 hii iliyotajwa hapo juu, kulikuwa na tangazo la
ASALI iliyokuwa inauzwa, na kulikuwa na pia
SALAMU lukuki ambazo zenyewe huwa ni za kawaida; huwa zipo kwenye kila Ibada za J2 na pia kwenye kila nyumba ya Ibada popote pale zilipo nyumba za Ibada duniani..Kwa hiyo tukio la kipekee kwa J2 iliyopita ilikuwa ni hili la uwepo wa ASALI
Ukiyaangalia vizuri maneno haya mawili SALAMU na ASALI;
Morphorogically and Phonologically;
- Neno ASALI lina-share phonation ya “SAL” na neno SALAMU
- Neno ASALI vile vile, lina-share phonation ya “SALi” na neno jingine linaloitwa SALI au PRAY kwa lugha ya Kingereza
- Neno SALAMU lina-share phonation ya “SALA” na neno jingine linaloitwa SALA au PRAYER, kwa lugha ya Kingereza
neno SALAMU linashahibiana na phonation ya majina ya watu kama SALIMU, SALAMA. SALOME,…na orodha ni ndefu sana
BAADHI TU YA MANENO AU MAJINA AMBAYO NI YA HATARI SANA YAKITUMIKA VIBAYA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
Ni maneno au majina yenye phonation inayofana na maneno yafuatayo
Kubwa kabisa kupita maneno au majina yote ni majina EMMANUEL, EMMANUELA.
ELISHA,
ELIYA,
ELISANTE,
ELIBARIKI. Vile vile maneo kama
MANUAL, MAN, JOSHUA (YESU) na orodha ni ndefu mno
Maneno au majina haya yakitumika vibaya kwa maana kuwa mtu akiamua kurusha pepo kwenye baadhi ya herufi zake au zote,
especially zile zilizowekewa
bold, yana uwezo mkubwa sana wa kurusha pepo kwenye jina la Yesu; huku jina
Emmanuel likiwa linaongoza na kushikilia namba moja kwenye maneno na majina yote
Mengine pia ni kama:
Jina MOSSES ambalo Kitabu chake ni cha kwanza kabisa kwenye Maandiko Matakatifi Biblia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa:
- PRAYER STATEMENTS za maombi ni DECLARATIVE STATEMENTS zinazofanana na ENDLESS LOOP (maombi ya waumini hayana mwisho mpaka siku Yesu atakaporudi, au mpaka siku ya Kiama) ya COMPUTER PROGRAM ambayo exection yake huwa inaanzia kwenye mstari wa kwanza wa PROGRAM na kwenda kupumzika kwa kutumia neno AMINA. Program hii huwa inapumzika tu; haifikii mwisho kwa sababu mwisho wake ni mpaka Yesu atakaporudi
- Script ya computer program ya maombi ya mdomo inayohusiana na kuwaweka wakfu Waandishi wa Maandiko Matakatifu Biblia, huwa inaanza ku-execute sequentially kuanzia mstari wa kwanza ambao una jina la Kitabu cha GENESIS ambacho kimeandikwa na MOSSES
- Neno SON (God the SON) na pia majina mfano NISSAN, JOHNSON,, GODSON,
- Maneno FATHER, FATHERHOOD, HOOD, MOTHER, MO….
- Majina yenye neno GOD
- Jina DIVINE au maneno yenye neno DIVINE kama vile DIVINITY (3 PERSONS OF DIVINITY)
- Jina la Kisukuma HOLO na pia maneno ya Kiingereza kama vile HOLLOW, FOLLOW,…. (God the Holly Sprit)
Vile vile, maneno kama vile
Bubble na
Rubble ambayo ni RHYMES za neno BIBLE
Rubble ni kama zile zilizotokea kule Venezuela baada ya kuwa zimepita
TWIN EATHQUAKES, amaazo ni rare case ya MATETEMEKO YA ARDHI mawili makubwa kupiga sehemu moja huku kila moja likiwa linatoka kwenye chanzo tofauti; huku wakati huo huo,
tetemeko la pili likiwa ni kubwa kupita lile la kwanza
Katika hali ya kawaida, tetemeko huwa linatokea moja kubwa kwanza; halafu yanayofuata mengine madogo madogo madogo kuliko lile la kwanza, na huwa yana kawaida ya kutoka kwenye chazno kimoja.
Kilichotokea Venezuela is a very raee case ambayo possibly wataalamu wa matetemeko bado wanajiuliza kwa nini imetokea hivyo, ila huwa yanatokea
Tukiridu tena kwenye mada yetiu iliyopo hewani ni kwamba kile kilichowahi kufanyika hasa kwenye siku ya presentation ya mwanafunzi FOREIGNER, mtu anaweza akakiandika kwenye kurasa hata mia moja
Na ikumbukwe kuwa ile wakati anaanza tu kufanya presentation yake; automatically alikuwa tayari ameshashughulika na FOREIGN na CANDIDATE KEYS; kutokana na zile za attributes zake za kawaida tu kwamba alikuwa ni
mwanafunzi foreigner
CODE YA “KILL…….”ITANEDELEA TENA
In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5