UPDATE: MONDAY, 14TH SEPTEMBER 2026
CODE YA “KILL…”. INAENDELEA
UTAFITI WA MHUSIKA KUHUSIANA NA NAMNA PETE ZILIZORUSHIWA MAPEPO; ZINAVYOTUMIKA KUUA WATU NA PIA KUSAMBAZA MAPEPO
Neno PETE kama lilivyo, kwa upande wa Maandiko Matakaltifu Biblia (MMB) kwa lugha ya Kiingereza, lina uhusiano wa moja kwa moja na barua za PETER; na indirectly, vitabu vya Biblia ambavyo majina yake yanabeba mojawapo ya anagrams za P, E, T kati yake vikiwa ni GENESIS na REVEALATION
Mbali na hayo, neno PETER liko linked na vitabu vyote vya kwenye MMB kutokana na ukweli kuwa ni jina la mojawapo ya vitabu hivyo. Kutokana na ukweli huu, PETE inapotaka kutumika, anatafutwa VICTIM wa kupelekwa KUZIMU kupitia PEPO aliyepo kwenye PETE. Potential candidate wa kufanya kazi hii anaweza kuwa ni mtu aliye na uhusiano na PETE aidha kwa kuivaa au kwa anagrams za neno PETE
Tuchukulie mfano kuwa mwenda kuzimu huyu anakuwa ni JONGO ambaye jina lake lina anagrams za J, O, N. G; anagrams hizi zinatumika sasa kum-connect tena kwenye MMB na pia neno GOD. Kwa hali hiyo, kuanzia hapa MMB yanakuwa yamerushiwa pepo, na vile vile neno GOD kutokana na ukweli kuwa kwenye jina JONGO, “J” inacoonect na vitabu kadhaa vya MMB ambavyo vinazo ANAGARAMS zilizopo kwenye jina JONGO, vitabu kama vile JOEL, JOHN, JUDGES, OBADiIA, PETER n.k; ambavyo nanyo in turm, viko linked tena na
majina mengine ambayo si ya waandishi wa MMB ambayo yana herufi hizi; tuseme majina kama vile JOY au FELISTER
Hawa akina FELISTER au JOY, nao wanakuwa tena potential candiadate kama timu ya akiba ya kuja kutengeneza tukio jingine la baadaye, safari hii pasipo kuhitaji msaada wa PETE tena. PETE ilihitajika tu kwenye tukio la kwanza la kuanzisha mchakato
Tukio la mauaji likishafanyika, wanachagua sasa fungu au mafungu kutoka kwenye baadhi ya vitabu vya MMB vilivyoorodheshwa hapo juu, fungu kama vile la PETER 16:8 linalosema
“and I tell you that you are Peter; and on this rock I shall build my church; and the Gates of hades shall not overcome it”
Baada ya hapo, kupitia fungu hili, MAIGIZO mbali mbali yanaanza kufanyika kama vile
kupitia UJENZI, huku walengwa wakiwa ni watu wote waliopo kwenye pilika pilika za ujenzi; au kupitia mwamba kama ilivyotokea hivi karibuni
MWAMBA ULIVYOUA MWANAFUNZI KULE MBEYA
Circle nyingine inayofanana na hii, huwa inatokea pale BASI LA ABIRIA linapoua kwa njia ya AJALI kutokana na ukweli kuwa neno BASI au BUS, liko connected moja kwa moja na neno ABA
MAJINA AMBAYO HUWA YANAC0NNECT KUZIMU IMMEDIATELY MAUAJI YANAPOKUWA YAMETOKEA
Ni majina ambayo yana RHYME ya
root word KILL; likiwemo neno KILL lenyewe; na pia mengine mengi kutegemea na jina ya yule aliyesababisha/ kile kilichosababisha maafa. Kwa mfano, BASI la abiria linapoua, immediately neno ABA pamoja na maneno yake ambata kama vile
MAKTABA, au neno lenyewe
“AMBATA” nayo pia yanaconnect KUZIMU. Majina maarufu ya watu yanayotumika kwenye mbinu hii ni yote yanaoanza na neno kama KILL au CHRI, CHRIST. Mengnie pia ni kama UA (KILL), MAUA (FLOWERS) ambapo neno hili FLOWERS nalo huwa linakuja kuwaingiza watu wengine tena wenye majina kama FROLA, n.k.
NJIA NYINGINE ZINAZOTUMIKA AMBAZO ZENYEWE HUANZA KWA KURUSHA PEPO KWENYE MANENO KWANZA
Hizi huwa ziinaanza kwa kutumia
pepo ambaye tayari yupo; nia ikiwa ni kumsambaza kwa njia ya ku-DISSABLE kwa muda, maneno ya MMB yasiweze kufanya kazi. Mojawapo ya njia hizi ni kama zile ambazo mhusika ameshazitaja kwenye posts zilizopita hapo juu, ikiwa ni kwa njia ya kurusha pepo kwenye statement ambayo aidha ina uhusiano na neno GOD au jina la mwandishi wa MMB
Mifano mingine ya ziada kwenye statements za aina hiyo ni kama ifuatayo.
Pepo anarushwa tuseme kwenye satatements kama:
- Bible verse words or statements which are KEY of the WORD GOD
- Bible verse words or statements AND names of readers of Bible verse words or statements, which are KEY of the WORD GOD
UFAFAUZI ZAIDI:
STATEMENT HII YA PILI INAYOSEMA “
Bible verse words or statements AND names of readers of Bible verse words or statements, which are KEY of the WORD GOD”
MIFANO MIWILI HALISI KUHUSIANA NA STATEMENT HII ILIYO NA USHAHIDI UNAOTHIBITIKA
MFANO WA KWANZA: HUDUMA YA KINARA WA MATANGAZO (KWM) ALIYOIFANYA HAPO KANISA A J2 YA TAREHE 05/07/2026
Huduma ya hivi karibuni ya KWM aliyoifanya mwanzoni mwa Julai 2026, ailitumia mbinu hii, baada ya kuwa amechagua mtu wa kuwa anamsomea maandiko kutoka kwenye MMB
KWM aliitumia mbinu hii si kwa kificho sana kutokana na ukweli kuwa yeye alichagua musomaji wa maneno kutoka kwenye MMB mwenye jina linaloanza na “GOD—“Hata hivyo, KWM yeye kutokana na attributes alizonazo, alikuwa na nyongeza au
opotion ya statement nyingine ya pili kama inavyosomeka hapa chini
First statement
“
Bible verse words or statements AND names of readers of Bible verses words or statements, which are KEY of the WORD GOD”
Second statement (nyongeza kwa KWM)
“
Names of PREACHERS/ TEACHERS of HOLY SCRIPTURES OF THE BIBLE AND names of readers of Bible verses words or statements, which are KEY of the WORD GOD”
Hapa jibu la statement “
Name of PREACHER/ TEACHER of HOLY SCRIPTURES OF THE BIBLE===KINARA WA MATANGAZO, na uki-replace “NAME with TITLE” kwenye statement hii, jibu linabadilika na kuwa
“NAME OF AUTHOR OF A BOOK OF A BIBLE”
MFANO WA PILI:
Mbinu hii iliwahi kutumiwa pia na mwalimu wa Semina iiyowahi kufanyika Kanisa A May 2012; mwalimu ambaye pia, majina yake mawili yanazo anagram zinazoweza kuunda neno EL, linalomanisha GOD. Kwenye audio clip moja ambayo mhusika aliwahi kuitoa humu siku za hivi karibuni, wakati wa mafundisho ya mwalimu huyo, anasikika mama mmoja akiwa anasoma maneno kutoka kwenye fungu la MMB; mama ambaye ana attributes zifuatazo:
Aliwahi kuwa mshiriki wa Kanisa A ila kwa sasa hayupo tena, alihamia Kanisa jingine
- Jina lake la pili linafanana na jina la marehemu Profesa aliyekuwa akifanya kzai kwenye idara iliyo jirani na idara ile aliyowahi kusoma PROFESA WA ALHAMIS (PWAA)
- Jina la kwanza la marehemu Profesa, linafanana na jina la staff-mate wa mhusika anayeitwa MU-EUROPE
- Vile vile, majina mawili ya MU-EUROPE nayo pia yanazo anagrams zinazoweza kuunda neno EL, huku jina lake la pili likiwa ni almost SUPERKEY ya jina la pili la mwalimu wa Semina
Hii inamaanisha kuwa tuseme kwa mfano jina la pili la MU-EUROPE ni MUSAKA, (vowel skeleton ya U-A-A) basi lile la mwalimu wa semina linakuwa ni MAKASA, likiwa na vowel skeleton ya A-A-A
Connection hii ya watu hawa inakwenda tena hadi kwa muumini mwingine aliyewahi kuwepo Kanisa A, ambaye majina yake mawili yana initials za EL, mwenye jina la kwanza linalofanana na jina la kwanza la MU-EUROPE
EL pia ni initials za majina mawili ya merehemu Waziri Mkuu (RIP) mstaafu wa awamu ya nne
CODE YA “KILL…”. INAENDELEA
In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA