Cjui Ni akili yangu au n mm tu ndo nawaza hvyo maana kila nikisoma hiii kitu namuwaza mtu 1 tu... Ngoja niendelee kula mtoriiii nyama ntakuta chini mkuuuUPDATE:THURSDAY 19 AUGUST 2013
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA VITUO VYA MATETEMEKO VYA ENGARESERO, KETUMBEINE NA ENGARUKA
Kwa mara ya kwanza, vituo hivi viliwekwa Julai 2007
Ukiondoa safari ya mwisho kabisa kwenye vituo hivyo ambayo mhusika ndiyo alishiriki kwa mara ya kwanza; safari ambayo ilihusiana na kuviondoa moja kwa moja vituo hivyo, safari zingine zote kuanzia ya kwanza (iliyohusisha kwenda kuviweka vituo hivyo) zilimhusisha Staff X
- Vituo hivi vilitakiwa kukaa kwa muda wa mwaka mmoja na nusu tu na baada ya hapo vitolewe
- Utaratibu huu ulifuatawa na kweli ilipofika Desemba 2008, vituo hivyo viliondolewa na havijawahi kuwepo tena hadi leo hii
Mpaka hapa, kwa amoni yake yeye mhusika, anadhani kuwa pengine hapakuwa na haja sana ya mhusika ku-swap na Staff X kwa wakati huu wa safari hii ya mwisho ukizingatia kuwa Staff X tayari alikuwa ameshakuwa na uzoefu na eneo hilo; ambalo kwa wakati huo lilikuwa linakabiliwa pia na chnagamoto za kiusalama kwa kutokuwa na mawasialiano ya simu
Kwa maoni yake yeye mhusika, anaona kuwa swapping ya mhusika na Staff X ingeweza kufanyika:
Kwa hali hiyo, hapakuwa na haja ya msingi sana ya kumpeleka mhusika kwenda kufanya kazi kwenye maeneo hayo na kwa mara moja tu!.
- Aidha safari mbili au tatu nyuma, kabla ya safari ya mwisho ya kwenda kuondoa vituo hivyo, ili kumfanya mhusika naye awe na uzoefu na mazingira ya huko na pia kumfanya ajue na tahadhari za kiusalama anazotakiwa kuwa anazichukua pindi anapokuwa anafanya kazi maeneo hayo
- Au, baada ya vituo hivyo kuwa vimeondolewa, kumwepusha mhusika kufanya kazi kwenye mazingira mageni ya huko na ambayo alitakiwa afanye kazi huko kwa mara moja tu
AIDHA alitakiwa awe ameshafanya safari kadhaa za huko kabla ya muda wa vituo hivyo kuwa umeisha, ili awe-oriented na mazingira ya kule AU alitakiwa asifanya kazi kabisamaeneo hayo kwa sababu vituo hivyo vilikuwa ni vya muda mfupi tu huko
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Sema ifike mahali mhusika aoe ili aondokane na hizi changamoto ndogo ndogoUSHAURI MUHIMU KWA WAKUU WA KAZI WA MHUSIKA
Hizi hela zake zisipokuwa zimelipwa, MR X hawezi ku-behave kama binadamu wa kawaida. Ataendelea tu kufanya mambo ya ajabu. Ili aweze kurudi katika hali yake ya kawaida, mhusika anashauri maslahi yake haya yalipwe. Na kama hayapo, basi apewe jibu hilo
Kwa mfano, kwa kipindi cha hivi karibuni, MR X amekuwa akitengeneza wake na wachumba bandia wa mhusika kuanzia maeneo ya ofisini hadi Kanisani.
Awali, mhusika alidhani kuwa wanaohusika na hili walikuwa Kiongozi Mkuu tu na yule mwenzake mhubiri special, kumbe hapana. Hata MR X naye pia yumo. katika hili, tayari mhusika ameshaona kitu kikiwa kinaendelea maeneo ya ofisini ambacho kimemuhakikishia kuwa yalikuwa ni maandalizi yaliyofanywa na MR X
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
SAHIHISHO MUHIMU KWENYE TAARIFA ILIYONUKULIWA HAPA JUU:TUKIO LA KWANZA NDANI YA JENGO: LILIMHUSISHA MKUU WA IDARA WA KIPINDI HICHO MNAMO OKTOBA/NOVEMBA 2015
Tukio hili la kwanza lilimhusisha Mkuu wa Idara wa kipindi hicho
Kwa kifupi ni kwamba kuna mtu wa ajabu alitokea ndani ya jengo siku ya J2 na kumshambulia Mkuu wa Idara, almanusura amuue
- Llilitukia kati ya Oktoba/ Novemba 2015
- Wakati linatokea, Mkuu wa Idara huyu alikuwa bado ni mpya kabisa kwenye nafasi hiyo kwa sababu alianza kutumika kwenye nafasi hiyo mnano Julai 2015
- Lilitukia katika kipindi ambacho wanafunzi walikuwa bado wako likizo
Tukio hili la kwanza ndani ya jengo, ndiyo lilikuja baadaye tena, lika-trigger tukio jingine la pili ndani ya jengo hilo hilo, ambalo LENYEWE (TUKIO LA PILI) HALIKUMHUSISHA TENA MKUU WA IDARA, BALI MHUSIKA.
- Mtu huyo alikuwa anajaribu kuiba Kompyuta aina ya Mac, na ambayo japo ilikuwa ni ya gharama kubwa kidogo, lakini si watu wengi wanaojua kuzitumia au wanapenda kuzitumia, hali inayopelekea kuutokuwa na soko zuri sana hapa nchini kwetu
- Siku huiska, hapakuwa na mtu mwingine ndani ya jengo. Mkuu huyu alikuwa peke yake
- Inakadriwa kuwa ilikuwa ni mchana, kwenye mida ya takribani saba hivi
- Mkuu Ilibidi aruke kutoka ghorofa ya kwanza hadi chini ili kuokoa miasha yake
Kwa hiyo tukio la kwanza lililowahi kumpata Mkuu wa Idara, Oktoba/ Novemba 2015, ndiyo hilo hilo lilikuja baadaye tena kupelekea mhusika naye kupatwa na tukio jingine ndani ya jengo hilo hilo
Maelezo ya kina kuhusiana na matukio haya mawili, yatafuata mufa mfupi ujao
TUKIO LA PILI NDANI YA JENGO: LILIMHUSU MHUSIKA MWENYEWE: JANUARY 2016
Baada ya hapo, badala ya Mkuu wa Idara kupiga simu Polisi ili Polisi waje wamchkue mshukiwa wake, Mkuu huyo alitoa amri akimwambia mhusika pamoja na dereva wake Mkuu, na Mkuu mwenyewe, kwamba watatu hawa kwa ujmla wao wamchukue mtu huyo na kumpeleka Kituo cha Polisi.
- Mtu yule yule wa ajabu aliyewahi kumshambulia Mkuu wa Idara alirudi tena ndani ya jengo
- Safari hii alirudi kama mgeni wa kawaida tu, ndani ya ofisi ya Mkuu wa Idara, kitendo kilichopelekea Mkuu kufanikiwa kumtambua mtu huyu kwa sura na kwa umbile lake pia
- Siku hiyo, mhusika aliingia ofisini kwa Mkuu na baada ya muda kitambo mtu huyo naye akawa amefika ofisini humo
- Mkuu wa Idara ambaye ndiye aliwahi kushambuliwa na mtu huyo, akamtambua hasimu wake huyo na hapo hapo akatoa amri kuwa watu wote waliokuwa humo ndani ya ofisini yake wasitoke nje
- Mhusika naye pia alikuwa mmojawapo wa watu hao waliokuwemo humo ndani. Na hakuwa na hata zaidi ya dakika mbili tangu aingie ofisini humo
Hata hivyo, mhusika siyo Polisi na hajawahi kuwa Polisi, na wala utaratibu wa kukamata mshukiwa huwa hauendi hivyo. Mkuu wa Idara alitakiwa apige simu Polisi kisisrisiri na kuwaomba waje wamkamate mtuhumiwa huyo
………………..inaendelea