Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #501
UPDATE:SATURDAY 27 FEBRUARY 2021
TUKIO LA PILI; SAFARI YA KIKAZI MWEZI MEI 2012
…….inaebdelea
Akiwa antokea kukagua na kuchukua data za matetemeko ya Ardhi, baada ya gari kuharibika pale Dakawa Morogoro na kuonyesha dalili za kutokutengemaa katika ndani ya muda muafaka wa safari hiyo, aliamua kushuka na kuchukua usafiri mwingine hadi Morogoro mjini. Safari yake siku hiyo ilikuwa ni ya Dar es Salaam na ndani ya siku hiyo lakni alilazimika kuishia Morogoro na kulala pale kwa sababu wakati anaingia Mrogoro tayari jua lilikuwa limezama, na hakuwa na mpango wa tena wa kusafiri usiku. Vinginevyo kama gari ya mwanzo isingepata matatizo, alikuwa anatakiwa kuwasili Dar es Salaam ndani ya siku hiyo kwenye mida ya kama saa kumi jioni. Gari hiyo ilipata breakdown mara mbili, ya kwanza wakafanikiwa ku-ifix ndani ya muda muafaka halafu ile ya pili pale dakawa ndiyo ikabidi ichukue muda mrefu zaidi
Details nyingine za safari hii na ambazo aliwahi kuzitoa kwa “SPECIALST” hawezi kuziongelea humu, hazitoi nafasi ya kufanya hivyo
Hata hivyo, mambo mawili yafuatayo yanatoa nafasi ya kutolewa maelezo kidogo humu jukwaani. Mambo haya yanahusiana na tiketi aliyokuwa anasafiria ambayo ilipotea siku hiyo hiyo na jingine, linamhusus mama yake wa kiroho
Vile vile akiwa yupo chumbani kwake Morogoro, allijaribu kuwasilaian na mama wa kiroho na kumweleza kilichokuwa kumejiri kwa siku hiyo., kwa sababu hata hapo kabla, mama huyu walikuwa wamewasiliana na aliyekuwa ameanzisha mawasiliano ni yeye, yaani mama wa kirohoo. Siku hiyo, mama huyu aliongea kwa muda na mhusika halafu baadaye tena akawa hapokei simu wala kujibu sms
MWISHO WA TUKIO HILI. DETAILS ZINGINE MUHIMU ZA TUKIO HILI HAZIRUHUSU KUWEKWA HUMU JUKWAANI
HITIMISHO
Baada ya safari, hii mhusika hakubahatika tena kupangiwa safari nyingine ya kikazi hadi mnamo Novemba 2012 alipopangiwa safari nyingie nje ya nchi, nchi jirani, ndani ya Afrika. Hata hivyo, safari hiyo nayo pia hakuweza kuifanya kutokana na sababu ambazo asingependa sana azitolee maelezo ya kina humu jukwaani
Mpaka hapa, msomaji inabidi akumbuke pia kuwa, hadi muda huo anasitisha safari hiyo ya nje, alikuwa pia tayari ameshasitisha safari za binafsi tangu Novemba 2010. Kwa hiyo kitendo cha kusitisha tena safari za kiofisi kilipelekea sasa asiweze kusafiri tena tangu pale hadi leo.
Hata hivyo, swala la kusitisha safari za kiofisi lilikuwa nje ya mamlaka yake na hivyo ilibidi aandike barua kuziomba mamlaka za juu kazini kwake kumruhusu asifanye safari hizo, ndani na nje ya nchi.
Zaidi mhusika aliziomba malaka hizo zimlinde kwa namna zinavyoweza kumlinda kutokana na hatari aliyokuwa anaiona katika baadhi ya matukio aliyokuwa amekumbana nayo pindi alipokuwa yuko safarini. Kwa hiyo aliziomba mamlaka hizi zimlinde kwenye mazingira ya ofisini pia
Kwa hiyo, kuanzia pale mpaka leo hii, mhusika akawa ameweka rekodi ya kwamba, mara ya mwisho alifanikiwa kusafiri ilikuwa ni May 2012; na tangia pale hajawahi kusafri tena hadi leo
KWA HIYO REKODI YA SAFARI ZA MHUSIKA KUANZIA PALE HADI LEO IKAWA KAMA ILIVYOONYESHWA HAPA CHINI
MWAKA 2013
Mhusika hakufanya safari yoyote ile nje ya Dar es salaam, ya binafsi wala ya kikazi
MWAKA 2014

MWAKA 2015

TUKIO LA TATU: JANUARY 2016:
TUKIO LA KWANZA NDANI YA JENGO IILIMO OFISI YAKE, LAMTOKEA MHUSIKA ILA LIKIWA NI TUKIO LA PILI KUTOKEA NDANI YA JENGO, AMBAPO LA KWANZA LILIKUWA TAYARI LIMESHATTOKEA KIPINDI KIFUPI NYUMA NA KUMHIUSISHA MTU MWINGINE AMBAYE ALIKUWA NI MKUU WA IDARA WA KIPINDI HICHO
.........MAELEZO YA UTANGULIZI WA TUKIO LENYEWE
………………..inaendelea

- Siku alliyolala Morogoro, akiwa chumbani alianza kukagua vitu vyake na kukuta ticket ya safari yake haipo tena ndani ya begi lake alimokuwa ameiweka
- Begi hilo muda wote lilikuwa kwenye carrier ndani ya gari allilokuwa akisafiria
- Kama kuna kipindi pengine ticket hiyo iliweza kuchukulliwa na mtu mwingine ndani ya begi hilo, basi itakuwa ni wakati huo huo alipokuwa kwenye eneo hilo ambapo gari iliharibikia.
- Kuna kipindi aliwahi kutoka ndani ya gari hilo na kwenda umbali kidogo na kukaa huko kwa takribani dakika 30, gari likiwa linaendelea na matengenezo
- Akiwa huko mbali kidogo na gari lilipokuwa, alikuwa anapiga stori na jamaa zake watatu waliopanda kwenye gari hilo na kumkuta akiwa yeye tayari ameshapanda na kukaa kwenye siti yake
- Watu hawa watatu wote walikuwa ni staff-mates wa mhusika, mmojawapo akiwa pia ni jamaa yake wanayefahamiana kwa karibu kiasi na mhusika
- Watu hawa alikuwa amesafri pamoja nao kutoka Dodoma na aliachana nao mahali pale ambapo gari lilipata hitilafu
Vile vile akiwa yupo chumbani kwake Morogoro, allijaribu kuwasilaian na mama wa kiroho na kumweleza kilichokuwa kumejiri kwa siku hiyo., kwa sababu hata hapo kabla, mama huyu walikuwa wamewasiliana na aliyekuwa ameanzisha mawasiliano ni yeye, yaani mama wa kirohoo. Siku hiyo, mama huyu aliongea kwa muda na mhusika halafu baadaye tena akawa hapokei simu wala kujibu sms
MWISHO WA TUKIO HILI. DETAILS ZINGINE MUHIMU ZA TUKIO HILI HAZIRUHUSU KUWEKWA HUMU JUKWAANI
HITIMISHO
Baada ya safari, hii mhusika hakubahatika tena kupangiwa safari nyingine ya kikazi hadi mnamo Novemba 2012 alipopangiwa safari nyingie nje ya nchi, nchi jirani, ndani ya Afrika. Hata hivyo, safari hiyo nayo pia hakuweza kuifanya kutokana na sababu ambazo asingependa sana azitolee maelezo ya kina humu jukwaani
- Safari hii ilihusiana na Mkutano wa Kimataifa kwa ajili ya kuchakata Data za Matetemeko ya Ardhi
- Kwenye booking ya safari hiyo, alikuwa anatakiwa kuunganisha ndege mbili kupitia nchi nyingine tena jirani, na kuwasili nchi aliyokuwa anakwenda kwenye mida ya kuanzia saa tano usiku