Mimi sitajibu swali lolote lile eti kwasababu tu mhusika anataka nifanye hivyo,
Ikiwa wewe umeshindwa kujibu maswali yangu ambayo yametoka kwenye maelezo hayo hayo uliyoandika unadhani kwanini mimi nikujibu??
Kama alivyoamua yeye kutojibu bali kuuliza zaidi nami nimeamua kutojibu maswali yake pia.
Kitu kingine nilichokiona ni kuwa huyu mhusika mbali na tabia yake ya ukorofi inayopelekea yeye kushindwa kuelewana na wenzie kwenye jamii yake, wala kusali kwake hakumsaidii kitu,
Yani mtu anaenda kanisani karibia kwenye kila ibada ila maisha yake yanazidi kuwa magumu tu, hili linathibitisha kuwa mhusika anapoteza tu muda kwenda kanisani, maana ni kama vile badala ya kwenda kusali ye anaenda kuchunguza tu