UPDATE: MONDAY, 14TH AUGUST 2023
KUHUSIANA NA GARI JIPYA LILILOKUWA LIMEWAPA “KAVA” WAUMINI WALIOKUWA KWENYE PARKING NJE YA UZIO WA KANISA, KWENYE SEHEMU AMBAYO MHUSIKA ALIKUWA AMEPAKI GARI LAKE KWA MUDA, J2 YA TAREHE 13 AUGUST 2023
Gari jingine jipya lililofanana exactly na hilo, mhusika aliwahi kuliona kwa mara ya kwanza Kanisani hapo J2 ile ya nyuma yake, yaani J2 ya tarehe 06 August 2023
- Gari hilo mhusika alipishana nalo wakati alipookuwa anaingia ndani, huku lenyewe likitoka nje, lilichelewa kutoka nje
- Gari hilo lilikuwa linaendeshwa na Mzee wa Kanisa, yule ambaye huwa pia yupo kitengo cha wahasibu Kanisani hapo
Kwa J2 ya tarehe 13/08/2023, mhusika hakubahatika kumuona Mzee huyo wa Kanisa kwenye gari hilo
KUHUSIANA NA KINARA WA MATANGAZO
YALE YALIYOTOKEA JANA UKIYAHUSIANISHA NA PILIKA PILIKA ZA KINARA WA MATANGAZO ZILIZOANZA J2 YA TAREHE 30/07/2023
Kwenye J2 hiyo tajwa, kulikuwa na
ugeni wa dharura kwa wanaume wote Kanisani hapo kutoka Jimboni na
theme ya ugeni huo ilikuwa ni ya kawaida na pia ya maana kwa kila muumini mwanaume Kanisani hapo
Ugeni huo ulikuwa ni wa
dharula kwa maana kuwa tangazo lake halikuwa limetolewa awali, yaani halikuwa limetolewa kwenye siku ya J2 ya wiki iliiyokuwa imepita nyuma yake
- Kutokana na ugeni huo, kulipelekea pia kuwepo mkutano wa dharurla wa wanaume baada ya kila Ibada kuwa imemalizika
- Mojawapo ya wanaume waliohudhuria dharurla hiyo ni Kinara wa Matanagzo (KWM)
Baada ya mkutano kumalizika, kwa bahati KWM walibahatika kupishana njiani na mhusika ndani ya Kanisa
- Mhusika alikuwa anatokea nje alikokuwa ameenda kutupa chupa ya maji ya kunywa kwenye dustbin
- KNW yeye alikuwa anatoka nje ya Kanisa
Baada ya kukutana na hatimaye kusalimiana, KWM alimuomba mhusika kama anaweza kupata nafasi ili waongee, kuna kitu KWM alisema alihitaji kuongea na mhusika
- Mhusika alikubali na baada ya hapo alimuuliza KWM kuwa maongezi hayo aliplan yafanyike lini
- KWM alimjibu mhusika kuwa hata siku hiyo hiyo ya J2 yangeweza kufanyika
- Mhusika alijibu kuwa kwa siku hiyo hakuwa na nafasi
Baada ya kusikia hivyo,
ili kupoteza lengo, KWM alivunga kama anasogeza ratiba ya maongezi hayo mbele na kusema maongezi yao yafanyike J2 ijayo, na mhusika alikubali
Baada ya mhusika kukubali ratiba ya wiki ijayo,
hapo hapo tena KWM alibadilisha maamuzi na kusema kuwa maongezi hayo hayo yanaweza kufanyika hata muda huo huo mahali pale pale walipokuwa wamesimama ndani ya Kanisa
- Hapo KWM alimjulisha mhusika kuhusiana na mbaraka ambao mhusika aliahidi kushiriki, lakini details zilizopo ofisini kwake KWM, zinaonyesha kuwa mhusika bado hajaanza utekelezaji wa ushiriki wa mbaraka huo
- Mhusika alimjibu KWM kuwa yupo mbioni kuanza kutekeleza ahadi hiyo hivi karibuni, na ana mpango wa kukamilisha ahadi yake hiyo kwa kutumia mikupuo miwili, na maongezi yao yaliishia hapo
IWAPO MHUSIKA ANGEKUBALI OMBI LA AWALI LA KUFANYA MAONGEZI HAYO SIKU HIYO HIYO KABLA KWM HAJABADILISHA MAAMUZI NA KUCHUKUA ALTERNATIVE NYINGINE TENA YA SIKU HIYO HIYO
Obvious, mhusika na KWM wangeongozana kelekea ofisini kwa KWM
Hapa ikumbukwe kuwa kuna wakati mhusika aliwahi kusema kuwa yeye huwa ni vigumu sana kumchukia mtu ila akakiri kuwa kwa sasa amelazimika kumchukia KWM
- Kwa hiyo chances ni kwamba iwapo kama mhusika angekubali mara moja kuongozana na KWM J2 hiyo kuelekea ofisini, KWM angeweza kufanya kazi kupitia loophole hiyo ya matamshi ya mhusika
- Matokeo ya kazi hiyo ambayo ingefanywa na siku J2 hiyo na KWM, kila mtu mwenye akili angeweza kukiri kuwa imefanywa na mhusika mwenyewe na hivyo kila mtu kuwa upande wa KWM kwamba yeye siyo mhusika
Watu wangeweza kujiuliza swali moja rahisi tu kwamba:
“Unawezaje kwenda ofisini na kuanza kufanya maongezi na mru ambaye ulishawahi kusema kuwa unamchukia?”
Vinginevyo kwa upande wa kuweka
appointment ya maongezi hayo kwenye wiki iliyofuata, yaani J2 ya tarehe 05/08/2023, KWM alistuka kwa sababu
obvious tukio lolote lisilokuwa la kawaida kati yake na mhusika lingeonekana kuwa lilikuwa
pre-meditated na hivyo ingeonekana kuwa ni yeye alikuwa amepanga kufanya tukio hilo
POSSIBLY PILIKA NYINGINE TENA YA KWM WA MATANGAZO J2 YA TAREHE 13/08/2023
Mbali na hayo jana J2 ya tarehe 13/08/2023, baada ya Ibada kumalizika, mhusika akiwa amechukua uelekeo wa kwenye parking ili arudi nyumbani, pale nje ya lango kuu alimkuta KWM akiwa na watu wengine wawili, mmoja wao alikuwa ni mtoto wa KWM ambaye huwa ni rafiki yake pia na mhusika
Mhusika hakumbuki ni lini mara ya mwisho aliwahi kukutana na KWM eneo hilo, na possibly inawexza kuwa ilikuwa ni mara ya kwanza tangu Ibada zihamie kwenye Kanisa jipya
Hapo mhusika alisalimiana
na KWM na baada ya hapo alichukua uelekeo wa kwenye parking, na huko ndiko ambako baadaye alikutana na na mtu aliyehitaji kupewa lift ambaye alikuwa hajui atashuka wapi
Tukio hili la mtu aliyehitaji kupewa lift, linaonekana ku-
match na baadhi ya
maongezi ya mkutano mfupi wa dharula kati ya mhusika na KWM, uliofanyika J2 ya tarehe 30/07/2023 baada ya mkutano wa wanaume kumalizika
VINGINEVYO KUHUSIANA NA RATIBA YA VIPINDI VYA IBADA VYA SIKU ZA KATIKATI YA WIKI, NDANI YA WIKI HII HAPO KANISA A
Kwa siku mbili za ALHAMIS na IJUMAA, kuna
MAOMBI YA KUJITENGA ya wanawake tu na hivyo Kanisa zima halina ratiba yoyote ya kufanya chochote kanisani kwenye siku mbili hizo
MAOMBI YA KUJITENGA YA KANISA A
Definition
Maombi ya kujitenga kwa muktadha wa Kanisa A,
ni maombi ambayo karibia mara zote, huwa yanahusisha akina mama tu, wakiwa wanaongozwa na viongozi wao pamoja na Mama, mke wa KM-A
- Ni maombi ambayo huwa yanafuta ratiba ya Kanisa zima katika namna ambayo waumini wengine wote huwa hawatakiwi tena kuwepo Kanisani hapo wala kuonekana wakifanya kitu kingine chochote kanisani hapo kinachoweza kuitwa IBADA
- Vile vile, ni maombi ambayo kundi la waumini wengine wa Kanisa zima huwa hawatakiwi kusogeza pua zao kwenye eneo yanapofanyikia, achilia mbali kusogeza pua zao eneo jingine lolote la Kanisani
NAMNA MAOMBI HAYO YA KUJITENGA YALIVYOTANGAZWA NA KIONGOZI WA ZAMU J2 YA TAREHE 13/08/2023
J2 hiyo, maombi hayo hayakutangazwa kutokea madhabahuni,
baada ya Kiongozi wa zamu kuwaomba waumini wasome baadhi ya matangazo kutoka kwenye DIPLAYS za SCREENS zilizo ndani ya Kanisa hilo
- Kwa hiyo J2 hiyo, Kiongozi wa zamu alisoma baadhi tu ya matangazo na mengine yaliyobaki kuwaomba waumini wayasome wenyewe kutokea kwenye SCREENS
- Mojawapo ya matangazo ambayo hayakutangazwa na ambayo waumini waliyasoma kutoka kwenye SCREENS tu, ni hayo ya maombi ya kujitenga ya akina mama kwa siku za ALHMAIS na IJUMAA wiki hii
KITU AMBACHO MHUSIKA AMESHAKIBAINI KWA AKINA MAMA KUTOKANA NA UTAFITI WAKE KANISANI HAPO, ILA ALIKUWA BADO HAJAKISEMA
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba haya yote yanayoendelea Kanisani hapo,
Mama wa Kanisa, yaani KM-A, ana mchango mkubwa sana na huyu ndiye ambaye amekuwa akitumika kwa muda mrefu sana sasa, kama KEY PERPETUATOR wa kila tukio linaloendelea Kanisani hapo
“Ukiona mwanamme anafanya vizuri, ujue nyuma yake kuna mwanamke, and the vice versa is true
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA