#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

KUHUSIANA NA KIJANA ALYETAMBULISHWA NA BINTI MWENYE MAFAILI CHUMBA JIRANI, KUWA AMEKUJA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO

KWA SASA KIJANA HUYU ANA TAKRIBANI WIKI MBILI BILA KUONEKANA TENA MAZINGIRA YA OFISINI, ILA MARA YA MWISHO ALIPOINGIA CHUMBA JIRANI, ALIWAHI KUJIFICHA KWA KUKAA CHINI, KITENDO AMBACHO MHUSIKA ALIKISTUKIA NA HIVYO KULAZIMIKA KWENDA KUCHUNGULIA KWENYE CHUMBA HICHO KUPITIA MLANGO ULIOKUWA WAZI

ILIONEKANA KUWA SIKU HIYO KIJANA HUYO WALIKUWA WAKO COORDINATED NA OM-1 KWA SABABU OM-1 ALIKUWEPO OFISINI WAKIWA PAMOJA NA MHUSIKA SIKU HIYO, NA KIJANA ALIKUWA AMESIMAMA AKIWA ANAENDELEA NA KAZI ZAKE, USAWA WA ENEO LILE AMBALO HUWA ANALOKAA OM-1

BAADA YA MUDA KITAMBO, GHAFLA KIJANA ALIPOTEA KWENYE VIOO, NA MHUSIKA ALIPOJARIBU KUMDADISI OM-1 KUWA KIJANA ALIENDA WAPI, OM-1 ALIJIBU KUWA HAFAHAMU

KWA SIKU HIYO, KILICHOKUWA KIMEBAKI BAADA YA KIJANA KUKAA CHINI, ILIKUWA NI YEYE KUHAKIKISHA KUWA OM-1 AMETOKA NJE YA OFISI NA MHUSIKA AMEBAKI PEKE YAKE OFISINI, HUKU AKIWA HANA TAARIFA ZA UWEPO WA MTU MWINGINE CHUMBA HICHO JIRANI

KIJANA ANGEFANYA KAZI YAKE NA HATIMAYE KUTOKA NJE TARATIBU AKIMWACHA MHUSIKA AKIWA PEKE YAKE KWENYE ENEO HILO

MARA ZOTE KIJANA HUYU AMWKUWA AKIFIKA KWENYE CHUMBA HICHO NA KUANZA KUFANYA KAZI HUKU AKIWA AMESIMAMA MUDA WOTE NA MARA ZOTE PIA, KIJANA AMEKUWA ANKIIKA OFISINI HAPO NA KUMKUTA OFFICE MATE WA PLILI ( OM-2), AKIWA HAYUPO OFISINI

MHUSIKA HAKUWAHI KUSHUHUDIA SIKU YOYOTE AMBAYO KIJANA HUYO ALIFIKA KWENYE CHUMBA HICHO JIRANI NA KUKUTA OM-2 NAYE AKIWA YUPO OFISINI KWAO NA WENZAKE, HCHO KITU HAKIKUWAHI KUTOKEA HATA MARA MOJA.

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA FIRE EXTINGUISHERS, POLICE KUTOKA KITUO JIRANI WALISHASEMA KUWA HAZIFAI, ZILSHA- EXPIRE

TAKRIBANI MIEZI MITATU AU MINNE ILIYOPITA, KUNA SIKU POLICE WALIFIKA OFISINI KWA MHUSIKA, ILA SAFARI YAO HASA ILIKUWA NI OFISINI KWA MKUU WA IDARA

POLICE WALIKUWA WANAKAGUA USALAMA WA JENGO NA WALISEMA KUWA FIRE EXTINGUISHERS ZOTE ZILIZOKWEPO KWENYE JENGO ZILIKUWA HAZIFAI KWA SABABU TAYARI ZILISHA-EXPIRE

POLICE HAO WALIKUWA WAMEAMBATANA NA MWENYEJI WAO MMOJA AMBAYE YEYE NI AUXILLIARY POLICE

BAADA YA HAPO, MHUSIKA ALIWACHUKUA POLICE HAO NA KWENDA KUWAKABIDHI OFISINI KWA MKUU WA IDARA
 
KUHUSIANA NA MFANYAKAZI MPYA AMBAYE ALITAMBULISHWA HALAFU MUDA HUO HUO AKAONFOKA KWENDA MATERNITY LEAVE

HUYU MTU KWA SABABU ALIKUWA HAHITAJI KUWEPO MAZINGIRA YA OFISINI MUDA HUU, HAPAKUWA NA UHARAKA HUO WA KUIMTAMBULISHA BALI ANGEWEZA KUSUBIRI AKARUDI KWANZA KUTOKA MATERNITY LEAVE YAKE HALAFU NDIYO AKATAMBULISHWA

UHARAKA WA UTAMBULISHO WA MTU HUYU UNAONYESHA KUWA ULIKUWA NA UMUHIMU WA KIPEKEE, NA ILIKUWA NI MUHIMU UTAMBULISHO WAKE UFANYIKE KWENYE WAKATI HUO AMBAO ALITAMBULSHWA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 18TH AUGUST 2023

KILE AMBACHO EXACTLY ALIFANYA SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMK) KWENYE KUSANYIKO LA WANA IDARA KWA AJILI YA UTAMBULISHO WA WAFANYAKAZI WAPYA NA WANAFUNZI WAGENI WALIOFIKA KWA AJILI YA MAFUNZO YA VITENDO


KWA KUANZIA TU NI KWAMBA SMK ANA ANGALAU MWAKA MZIMA PASIPO KUHUDHURIA VIKAO RASMI VYA IDARA LAKINI KWENYE KIKAO HIKI AMBACHO HAKIKUWA RASMI, ALIWEZA KUHUDHURIA

KAMA AMBAVYO IMESHADOKEZWA KWENYE TAARIFA ZA AWALI, SMK YEYE ALIFIKA KWRNYE KIKAO KWA AJILI YA KUSHUGHULIKA NA LUGHA IKIWA NI PAMOJA NA MANENO YA LUGHA

KWA HIYO KWENYE KIKAO HICHO, SMK ALISHUGHULIKA NA MAMBO KADHAA NA BAADHI YAKE TU NI KAMA YAFUATAYO

LUGHA ZOTE ZILIZOTUMIKA KWENYE KIKAO HICHO

AINA ZA LUGHA, WHETHER FASAHA AU BROKEN

MAJINA YA LUGHA HIZO

MANENO YALIYOTUMIKA

UTAMBULISHO WA WAGENI

MAJINA YA WATU, YAKIWAKILISHWA NA WALE WALIJOJITAMBULISHA SIKU HIYO, n.k.

KUTOKEA HAPO SASA MATUNDA YA ALICHOKUWA ANAPANDIKIZA SMK KUPITIA HAFLA HIYO, KUANZA SASA KUSAMBAZWA KWA NJIA ZINGINE NA MBINU ZINGINE MBALIMBALI

MOJAWAPO YA SABABU ZILIZOPELRKEA UWEPO WA KUSANYIKO HILO LA GHAFLA

MOJAWAPO YA TRIGGERA ZA KUSANYIKO HILO FUPI, ILITOKANA NA FEEDBACK KUTOKA KWENYE KIKAO CHA J5 AMBACHO CHENYEWE KILIFANYIKIA CHUMBA CHA MIKUTANO, WAKATI HIKI CHA IJUMAA KILIFANYIKIA KWENYE CHUMBA CHA CHAI

KWENYE KIKAO CHA J5, KULIKUWA PIA NA HIDDEN AGENDA NYINGINE BEHIND THE SCENES, YA MAMBO KAMA YALE YALIUYOMLETA SMK KWENYE KIKAO CHA IJUMAA, ILA KWA BAHATI MBAYA VENUE HIYO HAIKUWEZA KUZALIDHA MATUNDA YALIYOKUWA YAMETARAJIWA SIKU HIYO YA J5

BAADA YA HAPO, PLAN B IKAWA NI RESOLUTION KWAMBA VENUE IBADILIKE NA ZOEZI LIRUDIWE, UKIZINGATIA KUWA SI WAGENI WOTE WALIKUWEPO KWENYE CHA AWALI CHA IJUMAA NA HIVYO KULIKUWA KUNA WAGENI AMBAO WALIKUWA BADO HAWAJATABULISHWA

BAADA YA SMK KUWA AMEFANIKIWA KUFANYA KAZI YAKE VIZURI IJUMAA IKIWA NI PAMOJA NA KWENYE UTAMBULISHO WA WAGENI

J4 YA WIKI HII NDIYO AKAINGIA SASA MGENI MWINGINE TENA, SENIOR STAFF, NAYE PIA KWA AJILI YA UTAMBULISHO

MGENI HUYU ALITAMBULISHWA KWANZA OFISINI KWAO MHUSIKA; MHUSIKA AKIWA YUPO PEKE YAKE OFISINI.


HIYO IKAWA NI LOCATION YA KWANZA

BAADAYE TENA, MHUSIKA AKAMKUTA MGENI HUYU AKIWA ANATAMBULISHWA KWENYE NGAZI ZA KUPANDA NA KUSHUKA NDANI YA JENGO

HIYO IKAWA NI LOCATION YA PILI

BAADA YA HAPO, MGENI ALIPITISHWA KWENYE VERANDA WAKIMPITA MHUSIKA MAHALI ALIPOKUWA AMESIMAMA, HUKU MHUSIKA NA MGENI WAKIBADILISHANA MAWILI MATATU KWA SABABU WALIFAHAMIANA ZAIDI YA MIAKA 20 ILIYOPITA ILA MAJUKUMU YA KAZI TU NDIYO YALIKUWA YAMEWATENGANISHA KWA MUDA WOTE HUO


KWA HIYO UTAMBULISHO WA MGENI HUYU ULIFANYIKIA KWENYE LOCATION TOFAUTI TOFAUTI HUKU MHUSIKA AKIWA NI SHUHUDA KWENYE KILA UTAMBULISHO

MGENI HUYU SIYO MPYA KWENYE MAZINGIRA YA OFISINI NA HAPO KABLA ALIWAHI KUWA MWAJIRIWA WA IDARA HIYO HIYO AMBAYO AMERUDI TENA KUJA KUITUMIKIA, NA HIVYO ALMANAC YA TAASISI ANAIFAHAMU FIKA UKIZINGATIA PIA KUWA NI ALMNUS WA TAASISI HUSIKA

KWA UPANDE WAKE YEYE MHUSIKA, ANAONA ILIKUWA INALETA MANTIKI ZAIDI KWA UTAMBULISHO WAKE KUFANYIKA RASMI WAKATI MUHULA WA MASOMO WA WANAFUNZI UTAKAPOANZA TENA MNAMO NOVEMBA 2023, MUDA AMBAO WATU WOTE WATAKUWEPO OFISINI NA YEYE NAYE PIA KUWA TAYARI KWA AJILI YA KAZI

UNLESS KAMA BAADA YA UTAMBULISHO WAKE, ATAANZA RASMI KAZI NA HVYO KUANZA KUWEPO MAZINGIRA YA OFISINI MUDA HUU NA SI KWAMBA ATASUBIRIA HADI MWEZI NOVEMBA MUHULA WA MASOMO UTAKAPOANZA.

MHUSIKA ANASEMA HAYA KWA SABABU BAADA YA KUACHANA NAYE SIKU HIYO PALE KWENYE VERANDA, MGENI HUYU HAJAWAHI KUONEKANA TENA MAXINGIRA YA OFISINI NA HIVYO PICHA ILIYOPO MPAKA MUDA HUU INAONYESHA KUWA MGENI ALIFIKA SIKU HIYO YA J4 KWA AJILI YA UTAMBULIDHO TU NA SI KWA AJILI YA KUANZA KAZI RASMI

KITU CHA ZIADA AMBACHO MHUSIKA AMESHAKIONA KWENYE UTAFITI WAKE KUHUSIANA NA MCHAKATO WA MAMBO HAYA AMBAYO YAMEKUWA YAKIENDELEA

INAONYESHA KAMA KUNA baadhi ya WATU Watanzania ambao wakishaamua KUUNDA joint force YA kusaidiana, huwa hawajali MADHARA yatakayotokea KWA wengine walio wengi, bila kujali kuwa wanayejaribu kum-RESCUE ANA UHALALALI WA KUFANYIWA HIVYO AMA LA

HUWA WAKO RADHI HATA KUNDI LA WATU MAMIA AU MAELFU LIANGAMIE WAKIWA WANAJARIBU KUMSAIDIA MWENZAO MMOJA, NA AMBAYE WAKATI MWINGINE ANAKUWA HATA HASTAHILI KUPOKEA MSAADA WANAOUTOA KWAKE, HUKU NA WAO WAKIWA WANAJUA HILO

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 18TH AUGUST 2023
MAMBO MENGINE MUHIMU KUHUSIANA NA OM-1


KWA KIPINDI CHOTE AMBACHO OM-1 AMEKUWEPO OFISINI, AMEKUWA AKIKWEPANA SANA NA WATU, WENYEJI NA WAGENI PIA.

WANAFUNZI PIA AMEKWEPANA NAO KWA KIWANGO CHA JUU SANA HADI KUFIKIA MUDA WAO WA KUONDOKA MAZINGIRA YA OFISINI. OM-1 HAKUTAKA WANAFUNZI WAFAHAMU KUWA HUWA ANAKAA OFISI IPI

HATA HIVYO, HAWA HAPA NI BAADHI TU YA WATU AMBAO WALIBAHATIKA KUFIKA OFISINI KWA NYAKATI TOFAUTI NA KUMKUTA OM-1 AKIWAM YUPO OFISINI

WATU WALIO WENGI WALIKUWA HAWAMKUTI OFISINI NA MHUSIKA HAKUMBUKI KWA MTU MWINGINE TOFAUTI NA ALIOWATAJA HAPA, AMBAYE ALIBAHATIKA KUMKUTA OM-1 AKIWA YUPO OFISINI

MOSI: STAFF ALIYEWAHI KUWA MKUU WA IDARA MIAKA YA 2015-2016

PILI: MSTAAFU ALIYEWAHI KUWA AFISA MKUU TAWALA MIAKA YA 2006-2014

TATU: AFISA MADINI WA KATAVI AU KIGOMA, AMBAYE ALISEMA KWA SASA ANAFANYA MASOMO YA NGAZI ZA JUU IDARANI

NNE: STAFF ALIYEACHA KAZI KIPINDI CHA MIAKA MICHACHE ILIYOPITA NA AMBAYE ALIKUWA ANAFANYA KAZI KAMA DEREVA. HUYU NI SWAHIBA WA KARIBU SANA WA MMU
STAFF HUYU ALIBAHATIKA PIA KUWELPO IDARANI J4 YA WIKI HII TAREHE 15/08/2023
KAWAIDA HUWA ANAFIKA NA HATIMAYE KUONANA NA MKUU WA MAJOR UNIT (MMU) OFISINI KWAKE
HATA HIVYO, J4 ILIYOPITA HAKUFIKA OFISINI KWA MUM NA MHUSIKA ALIMKUTA AKIWA AMEPUMZIKA CHUMBA CHA CHAI

TANO: MWINGINE ALIYEWAHI KUFIKA NA KUMKUTA OM-1 YUPO OFISINI, NI DEREVA WA MKUU WA IDARA

HAWA NI WATU WALE AMBAO HUWA HAWAFIKI KWENYE OFISINI HIYO MARA KWA MARA UKIONDOA WALE AMBAO NI MASWAHIBA WA OM-1 KAMA MTAALAMU WA IT

SITA: MTOTO WA SENIOR MSTAAFU BOSXXX, AMBAYE ALIKUWA MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI

HUYU YEYE ALIFIKA SIKU MOJA KWA AJILI YA KUCHUKUA BAADHI YA VIFAA VYA MZAZI WAKE VILIVYOKUWA BADO VIMEBAKIA IDARANI, NA ALIVICHUKUA NA KUVIPAKIA KWENYE GARI LA IDARA LIKAMRUDISHA NAVYO NYUMBANI KWAO

BAADHI TU WATU WENGINE WALIOPO IDARANI KWA ANGALAU MIAKA MIWILI SASA NA AMBAO HAWAJAHI KUTAMBULISHWA WALA KUHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE CHA IDARA

MOSI
: MADEREVA WAWILI
HAWA HAWAJAWAHI KUHUDHURIA KIKAO HATA KIMOJA NA NI MARA YA KWANZA KWA MHUSIKA KUIONA HALI HII IDARANI

PILI: KIJANA MTAALAMU WA IT SWAHIBA WA KARIBU SANA NA OM-1
HUYU YEYE PAMOJA NA KUWAHAMIASISHA WATU KWA KUPITA MAOFISIN SIKU YA IJUMAA ILIYOPITA ILI WAHUDHURIE KIKAO KIFUPI , BADO HATA KWENYE KIKAO HICHO KIFUPI YEYE HAKUWEZA KUHUDHURIA

TATU: KIJANA AMBAYE ALIONDOKA KWENDA FIELD WIKI ILIYOPITA, NA POSSIBLY HUYU NDIYE ALKUWA MTU WA KWANZA KABISA KUELEKEA FIELD

KIJANA HUYU ALIMJULISHA MHUSIKA KUWA ANAENDA FIELD BAADA YA KUONEKANA KWENYE CHUMBA JIRANI CHA MAFAILI YA BINTI, AKICHUKUA VIFAA

NNE: YUPO PIA KIJANA MWINGINE TENA.

HATA HIVYO, HAWA WAWILI NI WANAFUNZI WA NGAZI ZA JUU, NA POSSIBLY H IYO NDIYOI SABABU INAYOPELEKEA WASIONEKANE KWENYE VIKAO VYA IDARA, ILA HAWAKUWAHI KUTAMBULISHWA ENZI ZA UGENI WAO

MBALI NA HAWA,. WAPO WANAFUNZI WENGINE PIA WA NGAZI ZA JUU IDARANI AMBAO HAWAJAWAHI KUTAMBULISHWA

HAWA NI WALE AMBAO MUDA WAO MWINGI WANAUTUMIA IDARANI WAKIWA WAPO KWENYE CHUMBA CHA WANAFUNZI WA NGAZI ZA JUU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TAARIFA NYINGINE ZA NYONGEZA ZITAFUATA BAADAYE TENA
 
DOKEZO MUHIMU

KUHUSIANA NA MAJI MACHAFU YALIYOVUJA BAFUNI JUZI KUTOKEA NYUMBA YA JIRANI

KWA MUDA HUU, TATIZO HILO LIMEHAMIA KWAKE KWAMBA AKIFLASH CHOO MAJI YANAHAMIA BAFUNI KUONYESHA KUWA TATIZO LIKO KWAKE, NA KWA HALI, JUZI ALIMSINGIZIA JIRANI

HUO NI UTAALAMU MWINGINE TENA WA JIRANI MAJI MACHAFU KWENYE MASWALA YA MAJI MACHAFU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TAARIFA ZINGINE MUHIMU KUHUSIANA NA OM-1

SAFARI YAKE YA KWANZA YA KIKAZI ALISAFIRI PAMOJA NA WATU WENGINE WAWILI NA WALIENDA KABANGA NICKEL NGARA

WALIKUWA PAMOJA NA BOSSXX, MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO, ILA YEYE ALITANGULIA KWANZA, HAKUAMBATANA NA WENZAKE

MWINGINE ALIKUWA NI MKUU WA IDARA MSTAAFU WA MIAKA YA 2006-2012

SAFARI YA PILI WALISAFIRI TENA NA MWI MSTAAFU, PAMOJA NA BINTI AMBAYE ANAISHI BLOCK JIRANI NA LIKE LA MHUSIKA

MHUSIKA ALIWEZA KUONGEA NA BINTI BAADA YA KUWA AMERUDI KUTOKA SAFARI NA MWENYEWE ALITHIBITISHA HILO

SAFARI HII YA PILI ILIKUWA NI YA SINGIDA

KUHUSIANA NA SWALA LA OM-1 KUWA ANASHINDWA KUJICHANGANYA NA STAFF WENGINE
KATIKA KIPINDI CHOTE AMBACHO OM-1 AMEKUWEPO OFISINI, MHUSIKA AMEBAHATIKA KUMUONA OM-1 AKIWA TEA ROOM MAEA MBILI

KWA MARA ILE YA KWANZA MHUSIKA ALIMKUTA AKIWA HUMO PAMOJA NA WATU KADHAA AMBAO KWA SASA HAWAKUMBUKI VIZURI ISIPOKUWA MTU MMOJA AMBAYE ANAMKUMBUKA ALIKUWA NI KATIBU MUHTASI WA MKUU WA IDARA. HUYO NDIYE AMBAYE MHUSIKA ANAKUMBUKA KUWAHI KUMUONA TEA ROOM SIKU HIYO

KWA MARA ILE YA PILI, OM-1 ALIKUWEPO HUMO AKIWA NA VIJANA WENGINE WA KIUME WANNE NA AMBAO HAWAJAHI KUTAMBULISHWA IDARANI NA WALA HUWA HAWAHUDHURII VIKAO VYA IDARA.

BAADHI YA VIJANA HAO WALIKUWA NI HUYU SWAHIBA WAKE MTAALAMU WA IT, NA MWINGINE NI HUYU KIJANA AMBAYE ALITANGULIA MAPEMA KWENDA FIELD WIKI JANA

VILVILE, OM-1 ANA LAPTOP VERY MODERN NA AMBAYO INA UWEZO WA KUTUNZA CHAJI KWA ANGALAU MASAA 18, KWA MUJIBU WA NAELEZO YAKE

KWA MTU ALIYEKUWA YUPO TU MTAANI KWA SIKU NYINGI BILA KAZI, INAHITAJI MOYO WA KIPEKEE SANA KUENDELEA KUTUNZA LAPTOP YA NAMNA HIYO KATIKA MUDA ULE AMBAO UNAKUWA BADO HUJAPATA KAZI.

CHANCES NI KWAMBA MTU UNAWEZA KUIUZA. VINGINEVYO LABDA KAMA ALIIPATA MUDA MFUPI KABLA YA KUPATA AJIRA

LAPTOP HIYO NI SMART SCREEN NA INATUMIA TEKNOLOJI YA KISASA KABISA NA HIVYO HAINA HATA HARD DISK

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TAARIFA MUHIMU KUHUSINA NA JIRANI MAJI MACHAFU
HUYU KIUMBE NI BINADAMU KWA UMBO TU, ILA KWA NDANI NI KITU KINGINE KABISA
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIENI KESHO.

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA MAGARI YENYE NAMBA ZA USAJILI ZA E-SERIES YALIYOPO IDARANI KWA MHUSIKA.
THE MOST RECENT KULIKO YOTE NI LA BINTI AMBAYE HIVI KARIBUNI AMEWEKA BLEACH KWENYE NYWELE ZAKE
KWA SASA MHUSIKA AMESHAKAMILISHA UTAFITI WAKE KUHUSIANA NA BINTI HUYU NA TAARIFA KAMILI ZITAWAJIENI MUDA SIYO MREFU

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
BREAKING NEWS UPDATE: SUNDAY, 20TH AUGUST 2023

KINYESI KINACHOENDELEA KUTEMESHWA NA JIRANI MAJI MACHAFU KUPITIA BAFUNI NYUMBANI KWA MHUSIKA, KINA UHUSIANO NA KINYESI KILICHOWAHI HIVI KARIBUNI, KUTEMESHWA KANISANI NA KINARA WA MATANGAZO J2 YA TAREHE 02 JULAI 2023

BAADA YA KINYESI HICHO KUTEMESHWA, MATUKIO MENGINE YOTE YALIYOFUATA KUANZIA PALE, YA OFISINI NA PIA NYUMBANI KWAKE MHUSIKA, YOTE YALIBASE KWENYE KINYESI HICHO
KWA HIYO HATA MATUKIO YA WIKI JANA OFISINI, NAYO PIA YANAANGUKIA KWENYE KINYESI HICHO CHA KANISANI J2 YA TAREHE 02 JULY 2023

BAADHI TU YA POSTS ZA NYUMA AMBAZO MHUSIKA ALIWAHI KUZILETA HUMU JUK WAANI KUHUSIANA NA KINYESI HICHO NI HIZI HAPA

MOSI:

PILI:

TATU
NNE:

KWA MAZINGIRA YA NYUMBANI, MARA YA MWISHO KINYESI HIKI KILITEMESHWA ILIKUWA NI MWAKA JANA MAJIRA KAMA HAYA, NA ILIKUWA NI KWENYE KIPINDI AMBACHO MTOTO ALIYEKUWA AMEPEWA RUFAA KUTOKA MKOANI KUJA HUKU, ALIKUWA BADO YUPO NYUMBANI KWA MHUSIKA

TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA KINYESI HIKI ZINAFUATA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
TEKNIKI AMBAYO JIRANI MAJI MACHAFU (JMM) AMEKUWA AKIITUMIA KUTEMESHA KINYESI HICHO

MARA ZOTE
, KINYESI HUWA ANAANZA KUTEMESHA KWENYE SIKU ZA WEKEEND AU ZILIZO KARIBU NA WEEKEND, KIASI KWAMBA INAPOKUJA KUFIKA J2 ASUBUHI MUDA AMBAO IBADA INAKUWA IMEANZA KULE KANISA A, HALI INAKUWA IME-ESCALATE TO THE MAXIMUM

TARGET YAKE HUWA NI SIKU HIYO YA J2

TAHADHARI YA PEKEE KABISA AMBAYO JMM HUWA ANAICHUKUA BAADA YA KUWA AMETEMESHA KINYESI KUPITIA NYUMBANI KWA MHUSIKA

AKISHATEMESHA KINYESI ANAHAKIKISHA KUWAWAKUBWA WOTE WAHUSIKA WA TUKIO HAWAPO SEBULNI PSLE NSANI NYUMBANI KWAJE, WANAKUWA WAPO AIDHA CHUMBANI AU JIKONI. HUWA ANAFANYA HIVI KUKWEPA KAMERA

KWA HIYO MTU AKISHAENDA NYUMBANI KWAKE KUMPA TAARIFA ZA KINYESI, AIDHA ATAPOKELEWA NA MTOTO AU MTU MZIMA ALIYE SEHEMU YA JIKONI

KWA MFANO KWA TUKIO LILE LA MWAKA JANA MUDA KA HUU, JMM ALIKATALIA CHUMBANI KWAKE NA KUTUMA MTOTO AONGEE NA MHUSIKA

KWA HILI LA SASA, JANA JUMAMOSI MHUSIKA ALIPOKELEWA TENA NA MTOTO SEBULENI NA MAMA YAKE ALIKUWA YUKO JIKONI NA HIVYO MAMA HUYU ALIONGEA NA MHUSIKA KUTOKEA JIKONI NA KATIKA NAMNA AMBAYO ILIONYESHA KUWA ALIKUWA AMEKUSUDIA KUONGEA NA MHUSIKA AKIWA JIKONI NA SI KWINGINEKO

ARCHITECTURE ZA NYUMBA WANAZOISHI HAZIRUHUSU SUREVEILLENCE CAMERAS KUMULIKA MAENEO YA JIKONI

ZAIDI NI KUWA KILE CHAKULA AMBACHO KILIWAHI KUTOLEWA OFFER NA KM-A KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A NA HATIMAYE KUAHIRISHWA, MHUSIKA
KA YEYE AMEPATA BAHATI YA PEKEE BAADA YA KUKILA MAZINGIRA YA OFISINI WIKI ILIYOPITA, TENA MARA MBILI KWA SIKU ZA J5 N.A. IJUMAA

MBALI NA HAYO, KUSANYIKO LA DHARURA LA WANAUME KANISANI J2 YA TAREHE 30/07/2023 NALO PIA LINA UHUSIANO WA KARIBU SANA NA HAYA AMBAYO YAMEKUWA YAKIENDELEA NA J2 HIYO KINARA WA MATANGAZO (KWM) AU KIONGOZI MAJI MACHAFU (KMM), NDIYO ALIANZA TENA OPERATIONS ZAKE, BAADA YA KUWA ZIMEPITA J2 TATU NYUMA TANGU AFANYE TUKIO LAKE LA KWANZA KWA KUTEMESHA KINYESI J2 ILE YATAREHE 02/07/2023 BAADA YA IBADA YA PILI

TAARIFA ZA KINA ZAIDI KUHUSIANA NA KINYESI HIKI PAMOJA N.A. MATUKIO YAOFISINI ZINAFUATA.

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 21ST AUGUST 2023

UFAFANUZI KUHUSIANA NA ENGINEERS WA MATUKIO YANAYOENDELEA KWA MHUSIKA UPANDE WA KANISANI, NYUMBANI NA OFISINI PIA

KANISANI


Kwa muda huu, Kanisani wapo watu wawili ambao ni Kiongozi Maji Machafu (KMM) au kwa jina jingine Kinara wa Matangazo, na Binti mkubwa wa MR X (tumwite BMX)

KMM anatumia Maji Machafu ikiwa ni pamoja na harufu, huku akiwa yuko linked na JIRANI MAJI MACHAFU (JMM) kule nyumbani ambako mhusika huwa anaishi

Ofisini vile vile, yupo kijana aliyewahi kutumia MAJI MACHAFU, ila mara moja tu, isipokuwa yeye kwa sana, anatumia DENTATION au mpangilio wa meno namna yalivyokaa mdomoni
  • BMX yeye yuko linked na kijana huyu ambaye yupo ofisini, na wote wanatumia DENTATION, yaani mpangilio wa meno mdomoni
  • BMX huwa ana DENTATION ambayo iko somehow distorted na inahitaji observation iliyo makini kuweza kuigundua, ila ya huyu kijana mwingine aliyepo ofisini, distortion ya DENTATION yake iko more pronounced, haihitaji umakini wowote kuweza kuigundua
Kwa hiyo ally wa BMX aliyepo ofisini kwa mhusika ni huyu kijana mwenye distorted DENTATION

SIFA PEKEE ZA KIJANA HUYU ALIYEPO MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA

  • Ana zaidi ya miaka miwilli yupo ofisni na huwa anapatikana ofisin ya Mkuu wa Idara
  • Hajawahi kutambulishwa na wala hajawahi kuhudhurua kikao chochote cha Idara
Kwa hali hiyo, vikao vyote viwili vilivyopita siku chache zilizopita, vyote hakuhudhuria; ISIPOKUWA

  • Kwenye kikao cha J5, alionekana akiwa anapitisha daftari la wajumbe kusaini mahudhurio, na baada ya hapo hakuonekana tena kwenye kikao hicho
  • Kile cha ijumaa chenyewe hakuwepo kabisa
Kwa hiyo network hii inafanya kazi kwa kutumia DENTATION na MAJI MACHAFU ikiwa imekava maeneo yote ambayo mhusika huwa anakuwepo karibia muda wake wote

NAMNA NETWORK HII INAVYOFANYA KAZI

Kwa takribani WIKI SITA MFULULIZO sasa, tofauti kabisa na ilivyokuwa kawaida siku zote huko nyuma, BMX amekuwa na kawaida mpya ya kuwa anaonekana mazingira ya Kanisani kila J2 na kila mhusika anapokuwa anaingia mazingira ya Kanisani akitokea nyumbani, na KABLA YA IBADA YA PILI KUANZA

Hapo kabla, ilikuwa ni kawaida kwa BMX kutoonekana machoni pa mhusika, miezi miwili au hata mitatu

Possibly walikuwa wanapishana kwa sababu mara nyingi BMX huwa anahudhuria Ibada ya kwanza, huku mhusika yeye akiwa yupo Ibada ya pili

Na possibly pengine labda wakati mwingine BMX amekuwa akienda kuabudu kwenye nyumba zingine za Ibada tofauti na Kanisa A na hivyo kupelekea uwepo wa mpishano wao huo mrefu ambao umekuwepo siku zote za nyuma

Kwa hiyo, ni kwenye kipindi hiki tu ndiyo pale BMX amekuwa akionekana mfululizo machoni pa mhusika, kila J2 na KABLA YA IBADA YA PILI KUANZA

KIPINDI HIKI AMBACHO BMX AMEANZA KUONEKANA MFULULIZO MACHONI PA MHUSIKA, NDIYO KIPINDI HICHO HICHO AMBACHO MAJI MACHAFU YAMEANZA KUTEMESHWA KWENYE MAZINGIRA YA NYUMBANI, OFISINI NA KANISANI

Kwenye kipindi hiki ambacho BMX ameanza kuonekana mfululizo machoni pa mhusika, ndiyo kipindi hicho hicho ambacho MAJI MACHAFU yalianza kuvuja kupitia ndani nyumbani kwa mhusika, na ndiyo ndani ya kipindi hciho hicho ambacHo KMM alitemesha mchanganyiko wa maji na kinyesi kule Kanisani, J2 ya tarehe 02/07/2023 mara baada ya Ibada ya pili

Mbali na hilo, huko ofisni nako pia KIJANA MWENYE DENTATION (tumwite KMD), KWA MARA MOJA TU na pia ndani ya kipindi hiki, aliwahi kumwaga MAJI MACHAFU kutoka FLOOR YA PILI na maji hayo kumwagikia kwenye VERANDA YA FLOOR YA KWANZA, jirani tu mahali pale mhusika alipokuwa amesimama akipumzika kwa muda kwenye veranda

Tukio la kumwagika kwa maji hayo, liilishshudiwa pia na mfanyakazi mwingine, ADMINISTARTIVE OFFICER (AO) wa MAJOR UNIT, ambaye hapo kabla aliwai kusemekana kuwa ni HR

Baada ya maji hayo kumwagwa siku hiyo, muda mfupi baadaye AO akiwa anapita kwenye ngazi akishuka chini huku mhusika naye akiwa yupo kwenye veranda jirani na pale maji yalipomwagikia, AO alilalamika kwa kusema kuwa tabia hiyo siyo nzuri na kumjulisha mhusika kuwa alimkanya kijana huyo
Taarifa zaidi zinafuata
.................................inaendelea
 
MAENEO YA KANISANI AMBAYO MHUSIKA AMEKUWA AKIMUONA BMX KWA J2 SITA MFULULIZO HADI KUFIKIA J2 YA TAREHE 20/08/203; NA KWA MARA ZOTE IKIWA NI KABLA YA IBADA YA PILI KUANZA

Kwa J2 zile tatu mfululizo za mwanzo, mhusika amekuwa akimuona BMXndani ya uzio wa Kanisa, upande wa mbele wa jengo la Makao Makuu, karibu kabisa na maeneo ya lango kuu la kuingilia ndani ya jengo hilo

KWA J2 NYINGINE TENA TATU ZA HIVI KARIBUNI ZILIZOFUATA BAADA YA HIZO ZA KWANZA

MOSI:
Siku ya J2 ya tarehe 06/08/2023, mhusika alimuona BMX nje ya uzio wa Kanisa, akiwa anatembea upande wa ng’ambo ya pili ya barabara akitokea ndani ya uzio wa Kanisa

  • BMX alikuwa amechukua uelekeo ule wa kuelekea Kanisa jirani
  • Wakati huo mhusika alikuwa ndani ya gari lake upande ule mwingine wa bararbara akisubiri kuingiza gari ndani lake ya uzio wa Kanisa
PILI: Kwenye siku ya J2 nyingine iliyofuata ya tarehe 13/08/2023, mhusika alimkuta BMX kwenye eneo ambalo alikuwa amepaki gari lake kwa muda akisubiri kuliingiza ndani ya uzio wa Kanisa, baada ya kukuta waumini wa Ibada ya kwanza hawajaanza kutoka

  • Wakati mhusika anapaki gari, BMX hakuwepo eneo hilo isipokuwa alimkuta wakati anaenda kulichukua gari ili kwenda kulipaki ndani ya uzio wa Kanisa
  • Baada ya mhusika kulichukua gari na kwenda kulipaki ndani na hatimaye kuingia ndani ya nyumba ya Ibada, muda mfupi baada ya Ibada kuanza, BMX naye alifika eneo hilo alilokuwa amekaa mhusika na kukaa usawa wa mhusika kwenye safu ya viti vya mbele jirani na safu ile aliyokuwa amekaa mhusika
Mara ya mwisho mhusika na BMX walikaa jirani ilikuwa ni mwaka jana (2022) siku ya J2 ya tarehe 21/08/2022; siku ambayo KIONGOZI MAJI MACHAFU KWA MARA MWISHO ALIKUWA AMEHAMISHA IBADA KUTOKA KANISA JIPYA KWENDA UKUMBI WA SULEMANI

  • Kawaida BMX huwa anahudhuria Ibada ya kwanza, ila kwa J2 iliyopita ya tarehe 13/08/2023, alihudhuria Ibada ya pili
  • Taarifa zaidi za yale mengine yaliyoendelea J2 hiyo, mhusika tayari alishazileta humu jukwani
TATU: Kwenye siku ya J2 ya jana tarehe 20/08/2023, mhusika na BMX walionana nje ya uzio wa Kanisa, wakiwa kwenye upande mmoja wa ng’ambo ya barabara

  • Kilichotokea J2 hiyo ni kwamba mhusika alikuta Ibada ya kwanza imeshamalizika na magari karibia yote yalikuwa yametoka isipokuwa mawili yaliyokuwa yakimalizia, na yalikuwa karibu kabisa na usawa wa geti
  • Kwa hali hiyo mhusika aliamua kupitiliza kidogo kama anaelekea uelekeo ule wa Kanisa jirani, na alipogeuza akiwa anarudi tena getini, ndiyo pale sasa alimuona BMX akiwa upande ule ule wa bararbara ambao mhsika alikuwepo
Iwapo J2 hiyo mhusika angebahatika kuingia moja kwa moja Kanisani bila kupitiliza, uwezekano mkubwa ni kwamba wasingeweza tena kuonana na BMX

KUHUSIANA NA KIONGOZI MAJI MACHAFU, (KMM) NA MAJI YAKE MACHAFU ALIYOWAHI KUTIRIRISHA J2 YA TAREHE 02/07/2023


Siku hiyo KMM alizindua kampeni ya mashambulizi yake mapya kupitia milango ya fahamu, macho na pua kwa kuanzia

Wiki chache mbele, mashambulizi hayo yalikuja yakapewa backup na Kongozi mwingine kutoka nje ya Kanisa, aliyefika Kanisani hapo na kuitisha kikao cha dharura cha wanaume, J2 ya tarehe 30/07/2023, na siku hiyo KMM alipata nafasi nyingine tena ya kufanya kazi yake

Mgeni aliyefika yeye alikuja kushughulia na ORGANISATION HIERACHY, nje ya wigo wa Kanisa A

Hapo kabla, ORGANISATION HIERACHY (OH) ilikuwa chini ya KMM, isipokuwa ilikuwa ndani tu ya wigo wa Kanisa A

Kwa hiyo kiongozi huyu aliyekuja kutoka nje ya Kanisa, alikuja kushughulika na OH kuitoa nje ya wigo wa Kanisa

Kuna kiongozi mwingine wa nje ambaye yeye aliwahi kufika kabla ya huyu wa juzi, yule ambaye mahubiri yake yaliwahi kufutwa kisehemu

Huyu yeye alifika kwa ajili ya kushughulika na ORGANISATION STRUCTURE

UHUSIANO AMBAO UMEKUWEPO KATI YA OH NA KMM TANGU SEPTEMBA 2022 (MWAKA JANA)

Ikumbukwe kuwa OH imekuwa chini ya KMM na aliizindua rasmi mwaka jana mwanzoni mwa Septemba 2022 kwenye J2 ya kwanza ambayo KM-A alianza likizo yake

Siku hiyo, KMM alipanda Madhabahuni na kuanza kutoa tangazo kwa kusoma, lililohusiana na OH ya Kanisani hapo na pasipo kueleza sababu za kwa nini aliamua kutoa tangazo hilo

KILE ALICHOFANYA KMM BAADA YA UGENI WA HIVI KARIBUNI WA KUTOKA NJE YA KANISA


Ili kuvuruga pattern ya utendaji wake wa kazi, KMM ali-act immediately siku hiyo na baada ya hapo, alitulia kwa kuruka J2 moja iliyofuata ya tarehe 06/08/2023; na hatimaye kurudi tena kwenye J2 mbili mfululizo za tarehe 13 na 20/08/2023 (J2 ya jana)

……………….inaendelea
 
PATTERN YA UTENDAJI KAZI WA KIONGOZI MAJI MACHAFU (KMM), KAMA AMBAVYO IMEKUWA KUANZIA J2 YA TAREHE 02/07/2023 SIKU ALIYOTIRIRISHA KINYESI CHA MCHANGANYIKO NA MAJI, HADI JANA J2 YA TAREHE 02/07/2023

MOSI:
J2 ya tarehe 02/07/2023 alitiririsha kinyesi cha mchanganyiko na maji Kanisani, kama ambavyo imeshaelezwa awali kupitia taarifa zilizomo humu jukwaani

PILI: J2 ya tarehe 30/07/2023 alitoa sala baada ya kikao cha dharurua cha wanaume kumalizika, kilichokuwa chini ya kiongozi kutoka nje ya Kanisa

BAADA YA HAPO:

Mhusika alikuwa na chupa tupu ya maji aliyohitaji kwenda kuitupa kwenye dustbin

  • Mhusika alitoka nje na kuangaza sehemu tofauti ambazo dustbins huwa zinakaa, lakini hakuziona
  • Sehemu zote ambazo ni popula na zinazojulikana kuwa dustbins huwa zinakuwepo, hazikuwa na dustbins
Hiki kitu kilimshangaza kidogo mhusika kwa sababu haikuwa kawaida

BAADA YA DUSTBINS KUKOSEKANA KILA MAHALI, HATIMAYE MHUSIKA ALIIONA DUSTBIN MOJA IKIWA IPO UKUMBI WA SULEMANI KWENYE ENEO JIRANI KABISA NA ENEO AMBALO AKINA MAMA WANYONYESHAO WATOTO, HUWA WANAKAA WAKATI WA IBADA

Sehemu ilipokuwepo dustbin hiyo, ilikuwa ni sehemu ambayo hapajawahi kuwekwa dustbin maisha yote ambayo mhusika amekuwepo Kanisa A.

  • Ni eneo ambalo si la dustbin na hivyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kuona dustbin ikiwa ipo eneo hilo
  • Kwa hiyo, dustbin hiyo ilikuwa imehamishiwa hapo kwa makusudi, muda mfupi baada ya mhusika kuonekana akiwa ana chupa tupu ya maji wakati kikao cha dharura cha wanaume kilipokuwa kinaendelea
Baada ya kuwa amefika mahali ilipokuwepo dustbin hiyo, mhusika aligundua kuwa ilikuwa pia inatoa HARUFU KALI, kuonyesha kuwa kuna uchafu ambao haukuwa wa siku hiyo, uliokuwa bado upo kwenye dustbin hiyo

Hii nayo ikawa tena ni contradiction nyingine kwa sababu WAUMINI wa Kanisa A ni wasafi mno kiasi kwamba hapajawahi kutokea hata siku moja kukawa na dustbin mahali ikiwa inatoa harufu

  • Ilikuwa ni mara ya kwanza tena kwa mhusika katika maisha yake yote ya uwepo Kanisa A, kukutana na harufu inayotoka kwenye dustbin
  • Harufu pekee ambazo mhusika ameshawahi kukumbana nazo hapo Kanisa A, ni za maji machafu tu na ambayo huwa yapo chini ya utawala wa KMM
Wakati haya yote yakiwa yanaendelea upande wa mhusika na DUSTBIN, kiongozi aliyekuwa amekuja kwa ajili ya mkutano wa dharura wa wanaume, alikuwa bado yupo eneo la ndani ya Kanisa, akiwa amesimama karibu na Madhabahu akibadilishana mawili matatu na waumini wengine

Mhusika na Kiongozi huyu wanafahamiana; waliwahi kuwepo wote kama wasjhiriki huko uhamsihoni KANISA B

Baada ya mhusika kuitupa chupa ndani ya dustbin, aliamua kurudi ndani ya Kanisa ili akasalimiane na Kiongozi mgeni

WAKATI MHUSIKA ANAELEKEA NDANI YA KANISA, BAADA YA KUWA AMEITUPA CHUPA YA MAJI KWENYE DUSTBIN

Kule upande wa viti vya nyuma ya Kanisa ndipo walikokutana na KMM

  • Baada ya kukutana, KMM alitoa proposal ya kufanya maongezi na mhusika muda huo huo; na hatimaye tena KMM kubadilisha schedule ya maongezi hayo baada ya mhusika kusema kuwa hakuwa na muda wa kufanya maongezi ya papo kwa papo
  • Wakati mhusika na KMM wanakutana, tayari mhusika alikuwa ameshakumbana na ile HARUFU KALI ya kutokea kwenye DUSTBIN, lililokuwa limetegeshwa mahali ambapo huwa siku zote halikai
Hiyo J2 ikapita

J2 nyingine tena iliyofuata ni ya tarehe 06/08/2023, ambayo KMM hakuonekana kabisa Kanisani, possibly hakuwepo

Kwa J2 ile nyingine tena iliyofuata ya tarehe 13/08/2023, KMM akawa yupo amesimama nje ya lango kuu la kuingilia ndani ya Kanisani

  • Ilikuwa ni baada ya Ibada ya pili umalizika
  • Hapo walionana na kusalimiana na mhusika kwa sababu mhusika alikuwa amepaki gari lake jirani kabisa na eneo hilo
Vile vile, jana J2 ya tarehe 20/08/2023, KMM alimpita mhusika kwenye parking, mara tu baada ya mhusika kuwa ameingiza gari lake ndani ya uzio wa Kanisa, kabla mhusika hajashuka kwenye gari

  • Eneo allilompita ni lile linalotenganisha Kanisa Jipya na jengo la Makao Makuu
  • Mhusika alipaki pale J2 hiyo
  • Uwezekano mkubwa ulikuwa ni kwamba mhusika angeweza tena kupaki gari lake pale pale alipowahi kupaki J2 ya tarehe 13/08/2023 kwa sababu palikuwa wazi
  • Hata hivyo, kuna kuna kundi la akina mama lilisimama pale likiwa linapiga stori na kuiziba parking hiyo, na mhusika naye hakuona haja ya kuanza kuwasumbua watu ili wampishe kwenye parking moja, wakati zilikuwepo zingine mbadala zilizokuwa wazi
Kama mhusika angefanikiwa kupaki tena kwenye eneo hilo hilo alilokuwa amepaki J2 ya wiki juzi, uwezekano mkubwa ni kwamba J2 hiyo wasingeweza kuonana tena na KMM kama ilivyokuwa kwa J2 ya wiki juzi

Kwa hhiyo, mhusika na KMM walionana kwa mara nyingine tena na pia kusalimiana, kwenye parking hiyo, J2 ya jana tarehe 20/08/2023

Walionana kwa mara nyingine ya tatu sasa, kwenye J2 tofauti tofauti ambazo almost zimefuatana

MAELEZO KUHUSIANA NA HYPOTHESIS
AMBAYO MHUSIKA AMEI-REJECT KWA TUKIO LA KATI YAKE NA KMM J2 YA KUSANYIKO LA DHARURA LA WANAUME TAREHE 30/08/2023

Mara zote
mhusika huwa haweki chochote tumboni anapokuwa anaelekea Kanisani asubuhi; huwa anaenda bila kula na baada ya kurudi niyo hula chakula

Tofauti na J2 hiyo ya tarehe 30/07/2023; mhusika aliweka kitu kidogo tumboni

Mara zore mhusika akishaweka kitu tumboni, ni lazima at some point somewhere atakunywa maji, tena mengi

REJECTED

Assuming ilijulikana kuwa mhusika alikula chakula alipokuwa bado yupo nyumbani kabla hajaelekea Kanisani siku hiyo, na kwa kuwa akishakula chakula ni lazima huwa anakunywa maji; na hivyo ilijulikana pia kuwa siku hiyo lazima angehiitaji kunywa maji Kanisani; na kama angekunywa maji, lazima pia angeenda kutupa chupa ya maji kwenye dusbin

Kwa hiyo J2 hiyo, kunaweza kuwa kulifanyika jitihada za awali za kuhakikisha kuwa dustbin inakuwa relocated na KMM kujiandaa kwa ajili ya kukutana naye mhusika wakati atakapokuwa anatokea kwenye dustbin huku akiwa tayari ameshakumbana na HARUFU KALI


HITIMISHO

Mbali na haya yote yaliyoelezwa hapa, tukio jingine la hivi karibuni la HARUFU YA PETROLI ya JENERETA la umeme, nalo pia linaangukia kwenye utaalamu huu wa KMM

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UHUSIANO KATI YA MATUKIO HAYA YA KANISANI NA YALE SIKU ZA HIVI KARIBUNI OFISINI

Baada ya KIONGOZI MAJI MACHAFU kuwa ameshughulika na PUA, MACHO NA MASIKIO kutokea Kanisani, ulibaki ULIMI

Huu uliwahi kushindikana kufanyiwa kazi kipindi kile cha awali baada ya offer ya chakula ya KM-A kwa wauimini wote wa Kaniasa A kushindwa kutekelezwa

ULIMI huu ulifanyiwa kazi sasa kupitia chakula kingine kilichoandaliwa ofisini kwa ajili ya kusanyiko la wana Idara kwa siku mbili za J5 ya tarehe 09/08/2023 na Ijumaa ya tarehe 11/08/2023

Mchakato huu ulifanyika kwa siku mbili baada ya mchakato wa kwanza wa J5 kushindwa kutoa matokeo yaliyokuwa yametarajiwa

UHUSIANO KATI YA MATUKIO YA KANISANI NA YALE YA HIVI KARIBUNI NYUMBANI KWAKE MHUSIKA, HASA MAJI MACHAFU

Kule nyumbani, Jirani Maji Machafu (JMM), kwa mara nyingine tena, aliamua kutemesha tena kinyesi kilichochanganyikana na maji, kuanzia siku ya Alhamis tarehe 17/08/2023

Ilikuwa ni baada ya mambo kadhaa yaliyokuwa yameratibiwa ofisini, kwenda kinyume na matarajio ya wahusika na hivyo JMM kuamua ku-intervene ku-rescue situation

Mara ya mwisho JMM alifanya hivyo tena ilikuwa ni Septemba mwaka jana 2022

Hapo kabla, kwa mwaka huu, JMM amekuwa akitiririsha maji machafu kupitia jikoni kwa mhusika, kwa takribani miezi miwli sasa

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY 22 AUGUST 2023

PATTERN YA MAFURIKO YA MAJI YENYE KINYESI
NYUMBANI KWA MHUSIKA KAMA ILIVYO SASA

MARA ZOTE MATATIZO YA NYUMBANI KWAKE MHUSIKA HUWA YANAJITOKEZA PALE TU WANAFUNZI WANAPOONDOKA KWENDA LIKIZO

ALHAMIS ILIYOPITA ALIWAJULISHA MAJIRANI ZAKE JUU YA MAFURIKO HAYO NA KUWAOMBA WAKAWATAARIFU MAFUNDI HUSIKA ILI WAJE WASHUGHULIKIE NA WALIKUBALINA


Baada ya makubaliano hayo, kuanzia pale hakuona dalili zozote mbaya, mafuriko yalikoma isipokuwa kidogo siku ya Jumamosi Jumapili alioga vizuri na kuelekea Kanisani na bafu wala choo haviikuwa vimefurika

JANA J3 USIKU BAADA YA SAA MBILI, MAFURIKO YARIRUDI TENA KWA KASI

Mafuriko hayo yamepelekea leo asubuhi asioge kwa sababu sinki la kuogea limefurika kinyesi

Mwenye kuripoti tatizo inasemekana alisafiri Jumamosi
na hivyo, jana usiku mhusika alishauriwa na mama mwenye nyumba akarilipoti yeye tatizo hilo kwa mafundi

Kuripoti ni kitu kidogo kwa mhusika, isipokuwa shida ni kwamba huwa kila akienda kuripoti, huko, anakwenda kukumbana na majanga especially kwa kipindi hiki ambacho wanafunzi wapo likizo

Mbali na hilo, matatizo haya huwa karibia mara zote, yanajitokeza pale tu wanafunzi wanapokuwa wapo likizo, kitu ambacho huwa kinaonyesha kuwa ni ya kupangwa


Kwa ushauri wa mama mwenye nyumba, mhusika alitakiwa awawahi mafundi asubuhi ya leo, possbilly kabla ya saa za kazi za saa 2:00 asubuhi

Ulikuwa ni ushauri mzuri lakini aliupokea kwa mashaka mno kwa sababu wakati tatizo linaanza, JMM alikuwa bado hajasfairi

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: WEDNESDAY 23RD AUGUST 2023

YALE MUHIMU YALIYOJIRI JANA MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA

KIJANA ALIYEKUWA AMEPOTEA OFISINI ALIONEKANA TENA JANA


Kijana aliyekuwa haonekanai ofisini kwa takriban wiki mnbili na ambaye alisemakana kuwa amekuja kwa ajili ya mafunzo ya vitendo, ila hajatambulishwa idarani, alionekana tena jana J4

  • Kijana alikuja na kuingia tena chumba jirani cha binti ambaye huwa anatunza mafaili humo
  • Baada ya takribani dakika 30 kupita akiwa humo, alitoka na hakuonekana tena siku hiyo ya jana, labda tena leo
Mbali na huyo, SENIOR STAFF (SS) mgeni naye pia alikuwepo tena ofisini kwa mara ya kwanza jana J4; baada ya kuwa ametambulishwa kwa mhusika J4 ya wiki iliyopita

SS aliingia mazingira ya ofisini jana J4 umeme ukiwa umekatika, na pia wiki iliyopita aliingia mazingira ya ofisini siku ya J4 huku umeme ukiwa umekatika tena

Kwa hiyo, wiki jana J4, SS alipitishwa maofisini kwa ajili ya utambulisho, umeme ukiwa umekatika huku kukiwa na kelele za muungurumo wa Jenereta la umeme

Kabla SS hawajaonana na mhusika hiyo jana, yupo pia mgeni aliyefika ofisini kwa mhusika akiwa anamuulizia SS

Mgeni huyu wanafahamiana na mhusika na walisoma wote kuanzia A-level hadi Univesrity, ila walikuwa wamepitisha miaka mingi hawajaonana; zaidi ya miaka kumi

WAKATI HAYA YOTE YAKIWA YANAENDELEA IDARANI HIYO JANA J4

  • Mkuu wa Idara hayupo, amesafiri
  • Kaimu Mkuu wa Idara naye pia hayupo ofisini tangu wiki hii ianze
Ofisi ya Kaimu ipo jirani na ya mhusika isipokuwa mhusika hajamuona mkuu huyo tangu J3 ya wiki hii

MGENI MWINGINE MUHIMU ALIYEBAHATIKA KUFIKA OFISINI KWA MHUSIKA JANA; YULE KIJANA MWINGINE WA SIKU ZOTE, MWAJIRIWA MPYA

Mgeni huyu ni yule kijana mfanyakazi mpya ambaye hapo kabla, alikuwa anafika na kufanya vituko ofisini kwa mhusika likiwemo tukio lile la kumkaribisha lunch kwenye wiki ile ambayo kulikuwa na free lunch

  • Huyu yeye alifika kwa kutumia sababu aliyokuwa ametengeneza, yaani sababu ya kisingizio
  • Wakati anafika, umeme ulikuwa umekatika na hivyo Jenerata lililo nyuma jirani kabisa na ofisi ya mhusika, lilikuwa linaunguruma
Kijana alifika kwa ajili ya kumjulsiaha mhusika kuwa OM-1 asingeweza kufika ofisini jana kwa sababu alikuwa amepata udhuru

  • Hata hivyo, hapakuwa na haja ya kijana huyu kuleta taarifa hizi kwa mhusika kwa sababu mhusika angeweza kumpigia simu OM-1 kumuuliza mahali alipo, baada ya kutokumuona ofisini
  • Mbali na hilo, hata OM-1 naye pia alikuwa nayo option ya kumpigia mhusika na kumjulisha mahali alipokuwepo
Kwa hiyo sababu ya kijana kufika ofisini kwa mhusika huku Jenerata la umeme likiwa linaunguruma, inaonyesha ilikuwa ni ya kutengeneza

Mbali na hayo, kama ambavyo ilikuwa ni kawaida yake hapo kabla, wakati kijana anafika ofisini alimkuta mhusika akiwa peke yake

Ni kwa sababu OM-2 naye pia hayupo ofisini, amesafiri kikazi

VINGINEVYO KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MAJI YA KINYESI KULE NYUMBANI KWAKE

Mafuriko hayo ya maji yaliyochanganyikana na kinyesi yaliishia jana jioni

Baada ya kurudi kutoka ofisini jana, aliyakuta na kuyasafisha kwa mara ya mwisho na hajayona tena hadi leo asubuhi

Kawaida, mafuriko haya huwa yana ratiba maalum na hivyo mhusika hawezi kuwa na uhakika kuwa yameishia jana ama la

Mara zote, mafuriko haya huwa yana ratiba maalumu ambayo huwa inafuata siku za wiki

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY 24TH AUGUST 2023

ALHAMIS YA LEO TENA NI RATIBA YA MAFURIKO TENA NYUMBANI KWA MHUSIKA KAMA ILIVYOKUWA ALHAMIS YA WIKI ILIYOPITA


Asubuhi hii ya leo, mhusika ameshughulika na mafuriko hayo tangu saa moja, na ameyabakiza, atakwenda kushughulika nayo tena jioni akishatoka ofisini

Mhusika hawezi kwenda kuwaita mafundi kwa sababu TATIZO NI LA KUTENGENEZA KWA MAKUSUDI, NA NDIYO MAANA LINAFUATA RATIBA MAALUM

Still, hata kama tatizo lingekuwa ni genuine, bado mhusika asingeenda kuwaita mafundi kwa sababu

MOSI:
CHANZO cha tatizo kinajulikana siku zote kuwa ni kwa JIRANI MAJI MACHAFU (JMM) na mafundi wanapokuja, huwa wanakwenda kushughulika nyumbani kwa JMM na si kwa mhusika

Kwa hiyo tataizo hilo huwa linashughulikiwa hata kama hakuna mtu nyumbani kwa mhusika na hivyo utatuzi wake hauna connection yoyote na nyumbani kwa mhusika

PILI:
Hata kwenye incidences ambazo tatizo huwa linakuwa limetokea nyumbani kwake mhusika, huwa kila akienda kujaza maombi ya kuwaita mafundi, huwa anaandaliwa mazingira hatarishi kule mithili ya yale aliyowahi kuandaliwa kwenye ofisi moja mazingira ya ofisini kwake, mwezi Novemba mwaka jana 2022

Mbali na hilo, mara ya mwisho alipoenda kuwaita mafundi ilikuwa ni August mwaka jana, na ilikuwa ni kwa tatizo ambalo lilikuwa ni la kutengenezwa

Hapo napo alipelekewa nyumbani kwake (yeye akiwa hayupo nyumbani yupo ofisini), mafundi ambao walikuwa hawajulikani na taasisi na ambao walionekana kuwa walikuwa na nia ya kufanya tukio nyumbani kwake halafu baada ya hapo watoweke

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
AINA ZA MAGARI YANAYOTUMIKA SANA KUFANYA KAZI KWENYE DATABASE YA WATU NA MAKAZI YALIYOPO MAZINGIRA YA MHUSIKA

MOSI:
Magari yote yenye namba za usajili wa E-SERIES bila kujali ni 3D au la

PILI: Magari yote ambayo namba zake za usajili zina herufi E

Hapo mwanzo kabla ya usajili wa namba za E-series haujaanza, magari yenye namba za aina hii hayakuwa na tatizo lolote, isipokuwa yalikuja kuambukizwa matatizo baada ya kuanza kwa usajili wa namba za E-SERIES, na ambazo ni 3D

TATU:
Brands mpya za matoleo ya TOYOTA ambazo hapo zamani, hazikuwahi kuwapo kama vile VANGUARD, RUSH

NNE: Brand zote ambazo si za TOYOTA kama vile FORD, SUBARU, NISSAN, BMW, VW, etc

Kwa hiyo, Magari yanayotumika kwenye mtindo huu hasa ni yale ambayo aidha namba zake ni za E au ni tofauti na CLASSICAL TOYOTA, na ambayo aidha ni TOYOTA AU SI TOYOTA

Hivyo basi, WATU WOTE wanaomiliki magari yenye attributes hizi, na ambao kwa namna moja ama nyingine, mhusika alishawahi kuwataja kuhusika kwa namna moja ama nyingine na TUKIO LOLOTE LILE kati ya matukio ambayo yamekuwa yakiletwa humu jukwaani, na LENYE USHAHIDI ULIOWAHI KUTHIBITISHWA; utafiti wake mhusika umeshamthibitishia pasipo shaka kuwa watu hao wanahusika moja kwa moja na scams hizi

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…