MCHAKATO WA KUHAMA KUTOKA KANISA LA ZAMANI NA KUINGIA KANISA JIPYA SIKU YA KRISMAS YA TAREHE 25 DESEMBA 2021; KAMA AMBAVYO ALIUONA YEYE MHUSIKA
………….inaendelea
COINCIDENCES ALIZOZIONA MHUSIKA BAADA NA KABLA YA KUHAMIA NDANI YA KANISA JIPYA
Kwenye J2 moja kabla Ibada hazijahamia kwenye kanisa jipya (yaani kabla ya tarehe 25/12/2021) kuna siku KIONGOZI MKUU WA KANISA A (KM-A) aliwahi kusimama kanisani na kuwaomba wanaume wote kukutana mara baada ya Ibada ya kwanza
- Mhusika yeye alikuwa Ibada ya pili lakini kwa sababu huwa anawahi kabla ya Ibada ya kwanza kuisha, alihudhuria kikao hicho kifupi
- Kabla ya kuanza kikao hicho KM-A aliwaomba akina mama wote wasogee mbali ili wapishe kikao hicho cha wanaume; aliwaomba wasogee mbali mithili ya alivyokuwa anawaomba waumini wasioshiriki somo la UANAFUNZI NA MAANDIKO kipindi kile cha nyuma, waende JENGO JIPYA
Akina mama waliitikia wito huo na walisogea mbali wakawa wapo JENGO JIPYA,
Baada ya KM-A kuwasilisha kile alichokuwa nacho rohoni; mhusika akaja akabaini mambo kadhaa yafuatayo; kwamba:
- Hapakuwa na haja ya kuwa na usiri kwa kile alichokuwa nacho rohoni KM-A kwa sababu kilikuwa ni kitu ambacho ni kizuri zaidi kama kingeweza kusikika hata na Kanisa zima; badala kusikika na wanaume tu
- Kutokana na hoja hiyo hapo juu, mhusika alianza kudhani kuwa pengine KM-A alikuwa na namna fulani ambayo alihitaji baadhi ya watu wawepo JENGO JIPYA wakati mkutano huo wa wanaume ulipokuwa unaendelea; ukizingatia kuwa alishawahi kufanya hivyo huko nyuma na akiwa na maana yake nzito aliyoikuwa ameificha kichwani
Alichokisema KM-A kwenye mkutano huo wa wanaume ni kwamba kuna mtu ambaye ni mgeni walikuwa naye pamoja J2 na ambaye ni mtumishi wa Mungu. Mtumishi huyu alikuwa amehamia Kanisani hapo kutokea Kanisa jingine kwa hiyo alikuwa anatkaa kumtambulisha kwa wanaume Kanisani hapo ili wamfahamu
- Zaidi aliwaomba wanaume wampe ushirikiano, na ikiwezekana msaada wowote wa kifedha (na hata kiroho pia) kwa sababu yuko ON TRANSIT, hajafika
- KM-A alisema mtumishi huyo alikuwa yuko njiani anaelekea mahali pengine kwenda kuanzisha huduma yake huko
Kutokana maelezo haya ya KM-A; mhusika hakuona kabisa haja ya usiri wa kikao hicho kiasi cha kupelekea akina mama wasisitizwe kukaa mbali. Zaidi ni kuwa mhusika yeye aliwaza kuwa kama angekuwa yeye kwenye nafasi ya KM-A; badala ya mtumishi huyu kumtambulisha kisirisiri kwenye kundi la wanaume tu; angemkaribisha madhabahuni kabisa akafanya huduma halafu baada ya hapo ndiyo akamwelezea mtumishi huyu kwa maelezo kama haya mbele ya Kanisa zima na kuliomba kanisa zima limuwezeshe mtumishi huyu kwa kadri liwezavyo
Usiri wa utambulisho huu kidogo ulimpa wasiwasi mhusika na hivyo kuanza kuwa makini kwa namna fulani.
MPAKA KIPINDI HICHO MTUMISHI HUYU MGENI ANATAMBULISHWA FINISHING YA JENGO ilikuwa imesimama kwa kiipindi kirefu sana, na mhusika alikuwa anadhani kuwa pengine tatizo ni fedha
BAADA YA J2 HIYO KUPITA…..
Mhusika alipofika kanisani J2 iliyofuata, alikuta kuna uzio umezungushiwa Kanisa Jipya na hakuna mtu aliyekuwa anaweza kukaa humo isipokuwa kupita tu kwenye uchochoro mdogo pembezoni tena kwa shida; muumini anapokuwa anaelekea kwenye JENGO LA ZAMANI
- J2 hiyo mhusika alibahatika pia kuonana na kusalimiana na MTUMISHI MGENI (tumwite MMG); wawilil hawa waligonagana kwa bahati nzuri tu wakiwa wote wanapita kwenye uchochoro uliokuwa umeachwa ndani ya JENGO JIPYA, wakielekea JENGO LA ZAMANI; ilikuwa ni muda mfupi kabla ya Ibada ya kwanza kumalizika
- J2 hiyo ilikuwa pia ni mara ya kwanza kwa mhusika kukaribana na kusalimiana na MMG
Baada ya siku hiyo, mhusika hakubahatika tena kumuona MMG hadi ilipofika J2 ya tarehe 13/03/202 ambapo ndiyo walioana tena. Kabla hawajaonana J2 hiyo mhusika tayari alishakuwa na mawazo kuwa pengine MMG alishaondoka kwa sababu KM-A alimwelezea kuwa alikuwa yuko ON TRANSIT
KABLA MHUSIKA HAWAJAONANA NA MMG; BAADA YA SIKU YA CHRISTMAS 2021 KUWADIA
Pengine ilikuwa ni surprise kwa waumini siku hiyo; KANISA JIPYA LILIANZA KUTUMIKA SIKU HIYO
Na ilipofika J2 iliyotajwa hapo juu; yaani tarehe 13/03/2022; mhusika na MMG walibahatika kukaa jirani. Mhusika alitangulia kufika sehemu walipokaa siku hiyo na hatimaye MMG naye alifika sehemu hiyo. Tangu wakutane siku ile ya kwanza, mwaka jana, mhusika na MMG walikuwa hawajabahatika kuonana tena hadi J2 hiyo ndipo walipoonana tena kwa mara pili
Zaidi ni kuwa J2 hiyo ndiyo siku ambayo ibada zilihamia tena kwa muda kwenye Kanisa la Zamani
Coincidences alizoziona hapa mhusika kuhusina na MMG ni kama ifuatavyo:
- J2 aliyowahi MMG kutambulishwa na KM-A, ndiyo J2 ambayo ilikuwa ya mwisho kwa watu kukaa ndani ya JENGO JIPYA wakati wa Ibada. Kwa hiyo baada ya siku hiyo, watu walihamishwa rasmi JENGO JIPYA baada ya miaka mingi kuwa imepita
- Vile vile; J2 waliyowahi kuonana mhusika na MMG (kwa mara ya pili) na kukaa pamoja kwa karibu, ndiyo J2 ambayo waumini walihama kwa muda wa wiki moja kurudi tena JENGO LA ZAMANI, na hakuna muumini hata mmoja aliyeweza kuli-acces Kanisa jipya J2 iliyofuata
Hizi ndiyo coincidences alizoziona mhusika kuhusiana na MMG
BAADA YA IBADA KUWA ZIMEHAMIA RASMI KANISA JIPYA KUANZIA SIKU YA KRISMAS 25/12/2021
Siku hiyo mhsika alilazimika kupaki mahali maeneo yale yale alipokuwa amepaki jana J2 ya tarehe 27/12/2022
- Binti mwenye gari iliyomziba mhusika jana J2 ya tarehe 27/03/2022; naye pia alikuja akapaki pale, nyuma kidogo ya gari la mhusika ila ubavuni upande wa kulia
- Mhusika alitangulia kupaki, halafu binti naye ndiyo akafuata
- Configuration ya namna walivyokuwa wamepaki haitofautiana sana na walivyokuwa wamepaqki jana
- Siku hiyo pia kulikuwa na gari iliyomziba mhusika na ya mtu ambaye hakuonekana kabisa maeneo yale siku hiyo, ila laikuwepo mazingira ya Kanisani
- Gari hiyo ilikuwa ni ya DEREVA wa KIONGOZI MKUU
Baada ya mhusika kusubiria kwa muda wa kutosha, kuna mtu aliamua kufuata funguo za gari hiyo ya dereva kwa KM-A na kuzileta pale
- Alipozileta funguo hizo, mtu huyo alidai kuwa hajui kuendesha gari MANUAL, na hivyo alilazimika kumpa funguo za gari hilo mhusika
- Mhusika alichukua funguo hizo na kurudisha gari hiyo kwa REVERSE, ikampisha, akakabidhi funguo na baadaye kuingia kwenye gari lake akawasha na kuondoka
Wakati anatoka getini; binti mwenye gari naye akawa ameshatoka getini yuko nje akiwa kama anataka kuegesha pembezoni mwa barabara upande wa kulia kwenye uzio wa jengo lililo jirani na Kanisa A, uelekeo wa Morogoro Road
Mhusika alipotoka Kanisani alinyoosha moja kwa moja hadi nyumbani kwake.
HAPO KABLA: INCIDENCES ZA MHUSIKA KUWAHI KULIONA GARI LA BINTI MARA MBILI MAENEO YA SAVEI MARA TU BAADA YA KUWA WAMEACHANA KANISANI
Kuna coincidences mbili ambazo ameshawahi kuzirekodi kwenye gari la binti huyu, na pengine labda binti huyu huwa anafika mara kwa mara maeneo ya Savei, au anaishi huko.
Kuna J2 moja mara baada ya mhusika kuondoka Kanisani; alipofika maeneo ya Savei darajani; aliliona gari la binti huyu likiwa mbele, na baadaye liliacha njia kuu na kuingia barabara ya Savei darajani. J2 hiyo mhusika na huyu binti, hawakuwa wamepaki magari yao karibu karibu
J2 NYINGINE TENA AMBAYO BINTI HUYU NA MHUSIKA WALIPAKI GARI ENEO MOJA, LILE LILE LA SIKU ZOTE NA HATIMAYE MHUSIKA KULIONA GARI LA BINTI LIKIWA MAENEO YA SAVEI MUDA MFUPI SANA BAADA YA MHUSIKA KUWA AMETOKA KANISANI
J2 hiyo pia, binti alikuwa amemziba mhusika; kwa maana kuwa mhusika alipaki kwanza halafu binti naye ndiyo akaja akapaki gari lake pale.
Mara zote gari za watu hawa ukizikuta ziko pamoja au ziko karibu karibu wakati wa
Ibada ya pili; ujue aliyetangulia kupaki pale ni mhusika
- Kwa hiyo J2 hiyo ilikuwa inabidi binti atoke kwanza halafu ndiyo mhusika naye atoke
- Siku hiyo binti alikuwepo kwenye mazingira ya parking; ila kwa muda kidogo alilazimika atoke kwanza; possibly alieelekea washroom; kabla hajampisha mhusika
- Baada ya kutoka, hakukawia, alirudi akampisha mhusika; na mhusika akaondoka kanisani
Alipofika maeneo ya Savei Duka Kubwa, mhusika aliamua kupitia dukani kununua mahitaji yake pale
- Mhusika aliingia dukani na hakukawia sana, hardly alichukua dakika 10 hivi
- Alipokuwa anatoka dukani kuelekea kwenye gari lake, gari la binti nalo TAYARI lilikuwepo pembezoni tu mwa lile la mhusika, karibu kabisa na kibanda cha marafiki zake na mhusika wanaouza bidhaa kadhaa mahali pale.
Ikumbukwe kuwa siku hii ya J2, wawili hawa walikuwa wamepaki sehemu moja Kanisani, na pia walionekana na baadhi ya watu wakiwa wanaongea kabla ya kuondoka eneo la kanisani
Baada ya kuiona gari hiyo, mhusika aliangaza huku na huku lakini hakumuona binti huyo; na wala hakuwemo kwenye gari lake. Mhusika aliwasha gari lake akaondoka na kuiacha gari ile ikiwa bado ipo mahali pale
HITIMISHO
J2 YA TAREHE 27/03/2022 MHUSIKA ALIAMUA KUTOKA NJE YA UZIO WA KANISA; KWA MUDA; AKIWA ANASUBIRIA KUPISHWA NA GARI YA BINTI ILIYOKUWA IMEMZIBA
Jana J2 ya tarehe 27/03/2022, mhusika baada ya kuona gari lake limezibwa na gari la binti huyu kwa mara nyingine tena, aliamua kumsubiri pale pale kwenye parking kuona kama angeweza kutokea ndani ya muda muafaka na kumpisha (mhusika) ili aondoke.
Baada ya kuona hatokei, mhusika alitembea kwa miguu na kutoka nje ya uzio wa Kanisa, akatumia dakika kadhaa huko anakunywa soda na hatimaye kurudi tena ndani ya uzio wa kanisa.
Alipofika getini, alimuona binti akishuka sasa kwenye gari lake, akiwa tayari ameshapisha njia ili mhusika aweze kutoka. Mhusika alinyoosha moja kwa moja hadi kwenye gari lake na kuweka
REVERSE GEAR na kuanza kuondoka
Kwa kufanya hivyo, mhusika naye aliipisha sasa ile BIGHORN; na aliipisha ikatoka kwanza halafu na yeye ndiyo akawa anafuata nyuma
Hata hivyo pamoja na uharaka huo wa BIGHORN, alipotoka aliikuta inamanuva kupaki pembezoni mwa uzio wa jengo jingine lililo jirani na nyumba hiyo ya Ibada. Mpaka hapa mhusika akawa amekubalina tena na maneno ya KIONGOZI aliyeshauri asubuhi wakati Ibada inaanza, kuwa mhusika asiipishe BIGHORN ila awahi kwenye Ibada kwanza
MUBARIKIWE TENA NA BWANA