Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,981
UPDATE: MONDAY 02nd APRIL 2024
YALE YA MUHIMU YALIYOJIRI OFISINI KWAKE MHUSIKA KUANZIA WIKI ILIYOANZIA J3 YA TAREHE 18 MARCH 2024 HADI LEO J3 YA TAREHE 02 APRIL 2024
MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSIANA NA MADAI YA MASLAHI YA MHUSIKA
Haya ni maelezo ya utangulizi tu kwa maana kuwa maelezo mengine ya nyongeza yatafuata siku yoyote kuanzia kesho; utafiti bado unaendelea
Wiki moja nyuma kabla ya J3 ya tarehe tajwa (18/03/2024), kulifanyika kikao cha Idara chini ya Mkuu wa Idara (MWI) na ulipofika wakati wa mengineyo, MWI alimpa nafasi mhusika ya kuongea chochote kama alikuwa nacho
Mhusika alishukuru kwa nafasi hiyo na alimjulisha MWI kwamba hakuwa na la zaidi la kuongea isipokuwa tu swala la majibu yake kuhusiana na madai yake maslahi yake ya muda mrefu
BAADA MWI KUSAFIRI, KIKAO KINGINE CHA IDARA KIKAFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 22/03/2024 CHINI YA KAIMU MWI
Kwenye kikao hicho vile vile, wakati wa mengineyo, mhusika alimuuliza KAIMU kama alikuwa ameachiwa na MWI taarifa zozote ambazo zinamhusu mhusika
KAIMU alikanusha akisema kuwa hakuwa ameachiwa taarifa zozote
BAADA YA KIKAO KUMALIZIKA; KUKAWA NA LUNCH CHUMBA JIRANI; HAPO YAKAFANYIKA MAONGEZI KATI YA MHUSIKA NA SWAHIBA, MATE WAKE
Baada ya kikao kumalizika, kulikuwa na lunch ambayo ilifanyikia chumba jirani na hapo ndipo mhusika alipoanza ku-detect baadhi ya mambo kadhaa ambayo alianza kuyanona hayaendi sawa sawa
Akiwa anendelea na lunch, office mate aliyekuwa amemaliza kula na ambaye huwa wanashririkiana kufundisha kozi moja; alimsogelea mhusika kwenye meza mahali pale alipokuwa amekaa na kuinama halafu wakanza kuongea
Kwenye miaka yote ya nyuma, ratiba hii ilikuwa ikiwekwa kama link ila kwa kipindi hiki, hapakuwa na link except ilitakiwa mtu ai-search kwa kuingiza details kwenye search box
Baada ya mhusika kuangalia link ya ratiba hna kushindwa kuiona, alidhani kuwa pengine labda ilikuwa bado haijawekwa, kumbe hapana
MAMBO KADHAA YA MSINGI YALIYOJITOKEZA KATI YA MATE NA MHUSIKA
Kwa utaratibu ule wa awali wa miaka yote ya nyuma, mate alikuwa anaanza kwanza kwa kufundisha angalau wiki tatu au nne, halafu baada ya pale mhusika ndiyo naye alikuwa anapokea kwa kutumia vipindi vile vya practicals
Hadi inafikia J3 ya tarehe 25/03/2024, mhusika alikuwa bado hajaipta ratiba hiyo, mate hakuweza kumtumia ratiba; ambaye naye pia alisafri baada ya maongezi yao kufanyika na hivyo, kwenye J3 husika naye pia hakuwepo ofisini
Mbali na hayo, maongezi ya wawili hawa yalifanyika kwa USIRI NA KIFICHO KIDOGO na hakuna mtu aliyeona aliyeweza kujua kuwa waliongea nini
BAADA YA MAONGEZI YA MHUSIKA NA MATE WAKE KUMALIZIKA WAKATI WA LUNCH
Ijumaa hiyo, mhusika aliamua kumuona mtu ambaye mara zote amekuwa akishikilia funguo za chumba ambamo darasa hilo limekuwa likifanyikia
Huyu ni yule mume wa mkwe mwingine; mhusika anao wakwe wawili ofisini
Mhusika aliamua kwenda kumtafuta kijana huyu na alimpata akiwa kwenye chumba cha chai
Hadi hapo swala la funguo likawa solved, japo hakuzipata muda huo huo; kijana alimpelekea mhusika baadaye ofisini kwake
Kabla ya kuonana na kijana, mhusika alikuwa amepitia kwanza ofisini kwa MWI kwa ajili ya kuchukua chaki. Muda huo, KATIBU MUHTASI WA MWI HAKUWEPO OFISNI, isipokuwa aliwakuta mabinti wawili wageni, waliowahi kufanya field idarani hapo mwaka jana
Kwenye muda huu wote ambao MWI alikuwa amesafiri, MKUU WA MAJOR UNIT (MMU) ALIKUWEPO OFISINI, yeye hakuwa amesafiri
WIKI LIYOFUATA YA KUANZIA J3 YA TAREHE 25/03/2024
MWI alirudi ofisini isipokuwa MMU naye pia akawa hayupo tena ofisini, pengine kwa dharura; kwa sababu hapakuwa na notice yoyote iliyokuwa imetolewa juu ya kutokuwepo kwake MMU ofisini
Wiki yote hiyo MMU hakuwepo ofisini na ameonekana tena leo J3 ya tarehe 02/04/2024
TUKIO MUHIMU LILILOTOTOKEA BAADA YA MWI KUWA AMERUDI OFISINI J3 YA TAREHE 25/03/2024
Asubuhi ya siku hiyo, mhusika alifika ofisini kwa MWI kuangalia kama kulikuwa na chochote kilichokuwa kinamhusu
Pale mlangoni, mhusika walipishana na KATIBU MUHTASI WA MUKUU WA IDARA (KMWI); akiwa anatoka nje
Hapa mhusika akakumbuka tena mambo mawili yaliyokuwa yamewahi kutokea siku ya ijumaa ya wiki iliyokuwa imepia ambayo ni:
Mlango wa ofisi ya ndani ya MWI ulifunguliwa na mtu mwingine aliyekuwa ameingia humo. Huyu alikuwa ni mama anayependelea kuitwa kwa cheo cha HR
Kufunguliwa kwa mlango huo kuliacha upenyo ambao ULIMUONYESHA MKUU WA IDARA AKIWA AMEKAA OFISINI KWENYE KITI CHAKE, AKIWA YUPO PEKE YAKE
Kwa muda huu, mhusika hana uhakika sana ila chances ni kwamba baada ya MMU kuwa amerudi ofisini, possibly MWI naye amesafiri tena
Haya ni maelezo ya utangulizi tu; maelezo mengine ya nyongeza yatafuata kuanzia siku ya kesho na kuendelea
KUHUSIANA NA FUNGUO ZA CHUMBA CHA DARASA LA KUFUNDISHIA ALIZOPATIWA NA KIJANA BAADA YA MAELEKEZO KUTOKA KWA MMK
KAMA ZILIVYOWAHI KUTESA FUNGUO ZILE ZA AWALI ALIZOPATIWA MHUSIKA NA MWI BAADA YA KUWA AMEPOTELEWA FUNGUO ZAKE ZA OFISINI, FUNGUO HIZI ZA SASA NAZO PIA ZINATESA SANA USIKU MHUSIKA ANAPOKUWA AMELALA NYUMBANI KWAKE
Kwa matukio yaliyoendelea baada ya mhusika kuwa amezipokea funguo hizo, ilionyesha wazi kabisa kuwa funguo hizo zilikuwa zime-origintae kutoka kwa MWI mwenyewe, isipokuwa kijana huyo alipewa tu ili azifikishe kwa mhusika badala ya MWI mwenyewe
Mhusika anayo experience ya kutosha sana ya matukio ya funguo ambazo origin yake inakuwa ni kutoka kwenye mikono ya MWI na hivyo katika hili hawezi kukosea
Kijana alipewa tu funguo hizo kwa sababu anazo pia attributes zinazo-link na yule Profesa wa maswala ya FWEDHA wa kule Kanisani
…………………….inaendelea

- Hapo MWI alionyesha concern na kumjibu mhusika kuwa swala hilo analichukua
- Japo mhusika aliongea kwa fumbo kidogo, ilikuwa ni mara yake ya kwanza mhusika kuongelea swala la maslahi yake kwenye kikao cha Idara
BAADA MWI KUSAFIRI, KIKAO KINGINE CHA IDARA KIKAFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 22/03/2024 CHINI YA KAIMU MWI
Kwenye kikao hicho vile vile, wakati wa mengineyo, mhusika alimuuliza KAIMU kama alikuwa ameachiwa na MWI taarifa zozote ambazo zinamhusu mhusika
KAIMU alikanusha akisema kuwa hakuwa ameachiwa taarifa zozote
BAADA YA KIKAO KUMALIZIKA; KUKAWA NA LUNCH CHUMBA JIRANI; HAPO YAKAFANYIKA MAONGEZI KATI YA MHUSIKA NA SWAHIBA, MATE WAKE
Baada ya kikao kumalizika, kulikuwa na lunch ambayo ilifanyikia chumba jirani na hapo ndipo mhusika alipoanza ku-detect baadhi ya mambo kadhaa ambayo alianza kuyanona hayaendi sawa sawa
Akiwa anendelea na lunch, office mate aliyekuwa amemaliza kula na ambaye huwa wanashririkiana kufundisha kozi moja; alimsogelea mhusika kwenye meza mahali pale alipokuwa amekaa na kuinama halafu wakanza kuongea
- Mate alimjulisha mhusika kuwa J3 ya tarehe 25/03/2024 inabidi aanze yeye kufundisha SOIL MECHANICS kwenye kipindi kile cha practical
- Mate alienda mbele zaidi akimjulisha mhusika kuwa ratiba anayo ameishaipata na atumtumia kwenye email
Kwenye miaka yote ya nyuma, ratiba hii ilikuwa ikiwekwa kama link ila kwa kipindi hiki, hapakuwa na link except ilitakiwa mtu ai-search kwa kuingiza details kwenye search box
Baada ya mhusika kuangalia link ya ratiba hna kushindwa kuiona, alidhani kuwa pengine labda ilikuwa bado haijawekwa, kumbe hapana
MAMBO KADHAA YA MSINGI YALIYOJITOKEZA KATI YA MATE NA MHUSIKA
Kwa utaratibu ule wa awali wa miaka yote ya nyuma, mate alikuwa anaanza kwanza kwa kufundisha angalau wiki tatu au nne, halafu baada ya pale mhusika ndiyo naye alikuwa anapokea kwa kutumia vipindi vile vya practicals
Hadi inafikia J3 ya tarehe 25/03/2024, mhusika alikuwa bado hajaipta ratiba hiyo, mate hakuweza kumtumia ratiba; ambaye naye pia alisafri baada ya maongezi yao kufanyika na hivyo, kwenye J3 husika naye pia hakuwepo ofisini
Mbali na hayo, maongezi ya wawili hawa yalifanyika kwa USIRI NA KIFICHO KIDOGO na hakuna mtu aliyeona aliyeweza kujua kuwa waliongea nini
BAADA YA MAONGEZI YA MHUSIKA NA MATE WAKE KUMALIZIKA WAKATI WA LUNCH
Ijumaa hiyo, mhusika aliamua kumuona mtu ambaye mara zote amekuwa akishikilia funguo za chumba ambamo darasa hilo limekuwa likifanyikia
Huyu ni yule mume wa mkwe mwingine; mhusika anao wakwe wawili ofisini
- Mume wa mkwe (tumiwte MMK) alimjulisha mhusika kuwa funguo hizo HAZIPO TENA OFISINI KWA MKUU WA IDARA, ila anazo kijana mwingine ambaye awali aliwahi kuwa anakaa ofisini hapo
- Kijana aliyetajwa na MMK ni yule mtaalamu wa IT ambaye mhusika alishashindwa kujua kama kijana huyo ni mfanyakazi ama la kwa sababu pamoja na kuwepo idarani kwa muda mrefu sana sasa, hajawahi kuhudhuria hata kikao kimoja tu cha idara
Mhusika aliamua kwenda kumtafuta kijana huyu na alimpata akiwa kwenye chumba cha chai
Hadi hapo swala la funguo likawa solved, japo hakuzipata muda huo huo; kijana alimpelekea mhusika baadaye ofisini kwake
Kabla ya kuonana na kijana, mhusika alikuwa amepitia kwanza ofisini kwa MWI kwa ajili ya kuchukua chaki. Muda huo, KATIBU MUHTASI WA MWI HAKUWEPO OFISNI, isipokuwa aliwakuta mabinti wawili wageni, waliowahi kufanya field idarani hapo mwaka jana
- Ijumaa hiyo, ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mabinti hao kuonekana tena idarani baada ya kuwa wamemaliza field yao mwaka jana na hatimaye kuondoka
- Mabinti hao walimpatia chaki mhusika na aliondoka
Kwenye muda huu wote ambao MWI alikuwa amesafiri, MKUU WA MAJOR UNIT (MMU) ALIKUWEPO OFISINI, yeye hakuwa amesafiri
WIKI LIYOFUATA YA KUANZIA J3 YA TAREHE 25/03/2024
MWI alirudi ofisini isipokuwa MMU naye pia akawa hayupo tena ofisini, pengine kwa dharura; kwa sababu hapakuwa na notice yoyote iliyokuwa imetolewa juu ya kutokuwepo kwake MMU ofisini
Wiki yote hiyo MMU hakuwepo ofisini na ameonekana tena leo J3 ya tarehe 02/04/2024
TUKIO MUHIMU LILILOTOTOKEA BAADA YA MWI KUWA AMERUDI OFISINI J3 YA TAREHE 25/03/2024
Asubuhi ya siku hiyo, mhusika alifika ofisini kwa MWI kuangalia kama kulikuwa na chochote kilichokuwa kinamhusu
Pale mlangoni, mhusika walipishana na KATIBU MUHTASI WA MUKUU WA IDARA (KMWI); akiwa anatoka nje
Hapa mhusika akakumbuka tena mambo mawili yaliyokuwa yamewahi kutokea siku ya ijumaa ya wiki iliyokuwa imepia ambayo ni:
- Maekezo ya MMK kwamba FUNGUO ZA CHUMBA ambacho huwa anafundishia, hazikuwepo ofisini kwa MWI ila likuwa nazo mtu mwingine
- Wageni wawili waliowahi kuja kwa ajili ya field mwaka jana, kuonekana kwa mara ya kwanza ofisini tangu walipoondoka mwaka jana na hatimaye wao kumpatia chaki mhusika; huku KMWI akiwa hayupo ofisini hapo
Mlango wa ofisi ya ndani ya MWI ulifunguliwa na mtu mwingine aliyekuwa ameingia humo. Huyu alikuwa ni mama anayependelea kuitwa kwa cheo cha HR
Kufunguliwa kwa mlango huo kuliacha upenyo ambao ULIMUONYESHA MKUU WA IDARA AKIWA AMEKAA OFISINI KWENYE KITI CHAKE, AKIWA YUPO PEKE YAKE
- Ilikuwa ni mara ya tatu au ya nne kwa mhusika kumkuta na kumona MWI akiwa yupo amekaa kwenye kiti chake ofisini humo
- Fact ni kwamba J3 hiyo, mhusika alihitaji kuongea na MWI ila kwa ruhusa ya KMWI na si kwa kujipeleka mwenyewe ofisini humo kisa tu alimuona MWI amekaa kwenye kiti chake