Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Umekomaa hadi mwisho.
Barikiwa sana mkuu SHIKAMKONO kwa muda wako, hakika siyo kazi rahisi.
Pamoja na pressure zote kutoka kwa kina@chizimaarifa but still umeimaliza. Ubarikiwe sana.
Nitaku-pm kupata audios.
Ahsante.
Najaribu kuyaishi maneno yangu mzee wa noti feki na nataka ninapoweka kisa basi niwe nimeshakiandika chote au kwa sehemu kubwa ili ukifika muda wa kupost mimi iwe ni kupost tu na si kutengeneza excuse na kuwapa la kusema waja,tupo pamoja
 
Tukushukuru pia kwa kuleta mkasa huu wenye mafunzo ndani yake mkuu

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Hii stori ni nzuri ila inaonyesha si stori yenye uhalisia Bali ni hadithi iliyotungwa vizuri. Iweje hao jamaa walipomkamata bwana Rojaz wamwache aende kirahisi hivyo Tena Kwa kumpiga ngumi mbili tu na kukanyagwa mgongoni ilihali waliyekuwa wanamtafuta hawajampata? Kuna vingi vinaonyesha ni fabric ila Hilo ni mojawapo. Baada ya kusoma hizo sehemu 2 basi imenitosha
 
Hata ni kutunga sisi tunaishi nayo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Iwe ya kutunga,iwe ya ukweli jukumu la kwanza la fanani ni kumfanya hadhira wake apate elimu,burudani, na mengineyo,kama umeisoma na haukupata lolote pamoja na kuwa ni ya uongo kama ulivyoipima basi halitakuwa kosa langu,ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…