Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Kwahiyo mkuu unasikiliza ndo unaandika,aisee umefanya kazi kubwa sana tena sanaa.

Hongera kuwa na huo moyo aisee
Ndio uandishi wangu uko hivyo na huo mrejeo rejeo wa sentensi ndio yule msimuliaji alivyokuwa anaweka swaga zake nami akaniathiri,nimeshafanya kazi za kutranscribe ndio maana inakuwa sio tabu kivile kusikiliza na kuandikaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
U deserve to be Senior member! Ubarikiwe
 

wakulungwa natia nukta kesho ntaendelea ila hii simulizi inaenda kuwa best kwangu kwamaan kwanza umenipa hope pili imeniwashia hazard kweny kichwa fanya mambo mema ili uwe katka amani ya moyo na sehem salama.

mwandishi ubarikiwe san jamii forum ni zaid ya shule
 
Aiseee, hatari
 
Nimejikia kulia na wakati huo huo nimetabasamu, nawaza wanangu siku nimetangulalia mapema mbele za haki wakiwa bado hawajaona hata mwanga wa elimu, wataishije huku nyuma.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Duh Mambo ni fire yan

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru story imeishia kwenye furaha, niliwaza utajir wote utaisha na kuanza kuwa ombaomba, ashukuriwe Mungu, kingine nasikitika sijaona sehem amewasaidia shangaz kule kijijini.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Nadhani ule ujumbe aliopewa na mshkaji kuwa ni yeye mwenyewe akiamua kuwasaidia au vyovyote ni juu yake kwani yeye wamemtelekeza tu kule gerezani
 
Nadhani ule ujumbe aliopewa na mshkaji kuwa ni yeye mwenyewe akiamua kuwasaidia au vyovyote ni juu yake kwani yeye wamemtelekeza tu kule gerezani
Sasa kama Rojaz hakufirisika,,,mbona dk za mwisho alikuwa anauza mitumba jjini Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…