GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Mtuonee huruma basi nyie maua yetu.Pa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtuonee huruma basi nyie maua yetu.Pa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Embu weka ya kwako tuone....sura mbaya kufa hufiHUJUI KUSIMULIA
STORY YAKO HAINA MVUTO
UMEJARIBU KUITUNGA UIFANYE IPENDEZE IMESHINDIKANA. NI MBAYA.
WEWE NI CERTIFICATE HOLDER HUJUI HATA KUANDIKA. USILETE TENA UCHAFU KAMA HUU
Tunaonea huruma watoto wetu, nyie mtaonewa na mama zenu, baada ya maisha kumchapa ndo akamkumbuka Judy! Wanaume ni ...bwaaaMtuonee huruma basi nyie maua yetu.
Pamoja sana. Mbona unajitahidi sana tu, achana na wanaokubeza. Usikubali mtu aongee negative nawe ukaipokea na kuiamini. Tusimulie unavyoweza.Ni kwleli mkuu shida nashindwa kupangilia matukio ila hilo nitalisimulia kwa faida yako na wengine.
Rafikiye Judy.Pa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Roho ya Judy sina niwe mkweli kwanza siwezi kumpa hela sijui kumkopea mwanaume, kingine nisingerudiana nae hata angekuja na ukoo wake woteRafikiye Judy.
Haloo wee😂😂👐, wengi mpo hivo ila nahisi Judy mtoto aliweka bond ndo ikawa rahisi kurudi kwa mwamba.Roho ya Judy sina niwe mkweli kwanza siwezi kumpa hela sijui kumkopea mwanaume, kingine nisingerudiana nae hata angekuja na ukoo wake wote
Hata bila mtoto angemsamehe ni laini laini na mnyonge kwa dalali wake,Haloo wee😂😂👐, wengi mpo hivo ila nahisi Judy mtoto aliweka bond ndo ikawa rahisi kurudi kwa mwamba.
Wewe sura nzuri tunakugonga tu kwa vijicentEmbu weka ya kwako tuone....sura mbaya kufa hufi
Naona unamkandia mwamba😂 ila Dalali mkuuHata bila mtoto angemsamehe ni laini laini na mnyonge kwa dalali wake,
eti hapa anajibaraguza kujutia kujishusha angeacha ili mtaa uendelee kumchapa 🐐 huyu
Watu wengine kubeza tu story za wenzao kutunga zao aaaaaahh tena wanaandika kwa herufi kubwa
Kanitia hasira hapo kwa mahusiano yake na JudyNaona unamkandia mwamba😂 ila Dalali mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Judy tulia acha ukorofi.
Nitafurahi kama wakiwa pamoja😂Kanitia hasira hapo kwa mahusiano yake na Judy
Hao wako pamoja ila Judy sio km anapendwa kaonewa huruma na saiv yupo juu ya mawe basi dalali hana chaguo, hampendiNitafurahi kama wakiwa pamoja😂