Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

EPS 8.

Niliona sura yake imebadilika ghafla, alishtuka ila ilionekana kama hajafurahia kitendo hicho, na mimi nikabadili Gia angani, nikamwmabia Fungamacho nikuombee Niondoke akaanza kutabasamu.

Alicheka akaniambia umenishtua sana nilifikiri unataka kunibaka.

Nikamwmabia kama ningekubaka ungefanyaje wakati umenikaribisha ndani mwenyewe, aliishia kucheka cheka tu na mimi nikaamua kubadili mazungumzo.

Nilikaa pale hadi saaa tatu nikala pale Chakula cha Jioni nikaagana nae, nikaondoka.

Kama kawaida nikapitia Chimbo nikapiga safari zangu kadhaa nikaenda Nyumbani Kulala.

Nilianza Kumpigia Judy kwanza maana tangu mchana sijawasiliana nae na sms zake sikuweza kuzijibu, tukapnga mambo mengi ya maisha yetu mustakabali wangu akaniuliza kama naenelea kutafuta kazi au nimerizika na kazi ya udalali, wakati naongea nae naona Jeni nae anapiga kwa Fujo sana.

Sikupokea niliongea na Judy tukaagana nikampigia sasa Jeni nimsikilize.

Alianza kuniambia kwamba amefurahi sana nilivyoenda kwake, akaniuliza kama nina mahusiano yoyote nikamdanganya kwa sasa sina akaniambia hana usingizi kabisa yupo tu mwenyewe akaniambia anatamani tena ingelala kabisa.

Urafiki wetu uliendelea kukua kwa kasi ya 5G akaanza kunipa Dili ananiunganisha na marafiki zake,wanaohitaji nyumba na viwanja.

Matukio menginenayaruka maana hayana maana.

Alininunganisha na jaMaa Fulani hivi walikuwa wanatafuta sehemu ya kuweka amshine ya Kufyatulia Tofali nikamtafutia huyo Jamaa alikuwa ni kibosile wa taaisisi Fulani ipo karibu na BOT.

Yule mwamba Tumuite Idris,Idris nilimtafutia sehemu ya tofali akapata maeneo ya Huko njia ya Goba, akanipa ya udalali ilikuwa laki mbili ila alinitumia Laki tatu nay a kutolea.

Idris alinikubali sana, akawa ananipa dili ndogo ndogo ananitumahata akiwa na ishu ndogo tu ananiambia nitafutie Bodaboda, au nikamuulizie vitu au bidhaa Fulani nikawa Napata sana hela. Kwa idris kwa wiki tu nilikuwa Napata hadi laki mbili maana alinifanya kama mesenja wake.

Kikubwa alisema mimi ni mwaminifu sana, Na anapenda sana Uchapakazi wangu na uchapu.

Alikuwa akinishirikisha vitu Vingi sana sana akawa sasa rafiki yangu anaiita tunaenda kula bata Jioni maeneo tofauti tofauti.

Nilikula sana bata na viwanja huko na kukutana na mabosi ambao nilipata connection nyingi.

Simu moja tunatoka Tegeta akaniambia anisogeza hadi mbezi mwisho Tulipofika pale ndio alinishangaza sana na Hiki ndio kisa cha Kwanza kwenye kazi yangu ya Udalali.

Tulipofika katika ya Goba njia nne na njia panda ya tegeta A kuna sehem kuna sheli kwa Juu yake, Jamaa akaniambia nataka nikuambie Kitu Ufanye ukiweza nakupa utajiri.

Akaniambi nina Kondomu hapa nisugue yaani nimfi…. Goli moja maana anataka kwenda kwa Mke wake Akaniambia akma siwezi kuna sehemu alinielekeza niende hapo kwa madai yake kuna mashoga nikamtafutie hapo mtu na alionekana yupo serious sana. DAAH nilishangaa sana nikamuuliza tena kama sijamsikia hivi. Niliona amenidharau sana nilikasirika mno yani
Yes
 
Kinyume cha Judi yani nimkopee mwanaume hela tena hawara tu ambae hajawekeza chochote kwangu😀😀😀 ngumu sana, msema kweli mpenzi wa Mungu hiyo roho sina hata wazo tu halijawahi kukatiza kichwani kwangu kwanza nitawehuka nitakimbia kawe nikakanyage mafuta
Mapenzi ni IMANI wapo walio toa vingi na HAWAJAWAI KUHESABU HASARA na njia za mungu kumsaidia mtu zipo nyingi na HAZINAGA MASHARTI so usiwe na MOYO WA KIBINAFSI Kama una nafasi saidia KADRI UWEZAVYO na USIKUMBUKE...
 
Mapenzi ni IMANI wapo walio toa vingi na HAWAJAWAI KUHESABU HASARA na njia za mungu kumsaidia mtu zipo nyingi na HAZINAGA MASHARTI so usiwe na MOYO WA KIBINAFSI Kama una nafasi saidia KADRI UWEZAVYO na USIKUMBUKE...
Sio kwa mwanaume aina ya dalali,, nimpe k-vant, moyo na pesa tena🤣🤣bado sijajaaliwa huo moyo na siutaki Mungu asinipe
 
Pa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Halafu we dada nimekuota haki ya mungu nimeota umepita mtaani kwangu nikakuita.
Halafu katika ndoto nimekuona kuwa ni bonge la mwanamke eti mrefu halafu chura ipo.eti ukanihoji kuwa nimekujuaje.kiukweli we dada nahisi kweli ww ni bonge la demu.
 
Halafu we dada nimekuota haki ya mungu nimeota umepita mtaani kwangu nikakuita.
Halafu katika ndoto nimekuona kuwa ni bonge la mwanamke eti mrefu halafu chura ipo.eti ukanihoji kuwa nimekujuaje.kiukweli we dada nahisi kweli ww ni bonge la demu.
Hii kali na chura nimtoe wapi mimi!!! Ibaki ndoto ikiwa kweli utaishiwa nguvu ukufwe bure
 
Back
Top Bottom