Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Sio kwa mwanaume aina ya dalali,, nimpe k-vant, moyo na pesa tena🤣🤣bado sijajaaliwa huo moyo na siutaki Mungu asinipe
Kuna mtu nilimpa cash NDEFU na alisema nimuazime atarudisha nilikua na jua kabisa ""mpenzi hakopeshwi 😅 😅 ""
Nikampa cash NDEFU SANAA na sijalipwa na sijawai kuulizia na kila mtu na 50 zake na still tunasaidiana deals mbali mbali

Tenda wema nenda zako

Cc.msondo ngoma music band
 
Hii roho mmepewa wanaume siwezi kushangaa ila sio sie wanawake, hamjufunzi kwa Adam aliletewa sijui tunda akapokea na akala kilichomkuta ni laana ya kifo na nyinginezo tunazoishi nazo mpaka kiama
 
DALALI MKUU utulie sasa na Judy, muendeshe familia. Ni mwanamke wako huyo uliyepangiwa. Ukiteleza tena, sijui kama atakurudia na utamtafuta Judy kwa kila mwanamke na usimpate. Swali je ukipewa dili la udalali ya hela ndefu kidogo utafanya? Kuongezea hela kwenye harusi.
ushauri wako umezingatiwa. Huwa nafanya mara moja moja mkuu kutegemeana na dili lenyewe. Maana hela ya mshahara haitoshi.
 
Back
Top Bottom