Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Umerudina na Judy si kwamba unampenda sana. Ni vile maisha yamekupiga.

Mambo yakiwa vzr tena utarudia rangi yako ya asili.
 
 
Hii roho mmepewa wanaume siwezi kushangaa ila sio sie wanawake, hamjufunzi kwa Adam aliletewa sijui tunda akapokea na akala kilichomkuta ni laana ya kifo na nyinginezo tunazoishi nazo mpaka kiama
Nimesoma comments zako binti toka Ngara, nakuelewa. Ila si kila mwanamke yupo kama wewe. Wengi watoto wa kike kutokana na malezi, wao ni wapokeaji na hawana mkono wa kutoa. Lakini wapo ambao ni tofauti kabisa mfano Bibi Akipata pesa lazima anipe mgao ndiyo furaha yake ingawa mimi huwa sipendi ila huwa sipendi kumuudhi.
 
Wengi wapo kama mimi sasa, hao wenu wana upako sio bure
 
Wengi wapo kama mimi sasa, hao wenu wana upako sio bure
Hili suala umelikomalia sana. Kumsaidia mwanamke wako anapokwama sio jinai.

Toa tu Kapeace, leo hii M-suprise hata na 50k Uone vile atakavyoipokea na kuna kitu ataongeza
 
Siwezi kumpa hela k inamtosha, nyie vipi hao Wanawake wamewalea vibaya
Wewe hujapenda, ukimpenda mtu na ukaamin anakupenda hauwi na wazo la kwamba nikimpa pesa nitakua namhonga mwanaume, bali utakua haupo tayar kuona anapitia uchungu au maumivu ya jambo ambalo lipo ndan ya uwezo wako na unaweza ku push.
maybe nachoona kwako ni umepitia kusalitiwa na maumivu sana kwenye mahusiano na kama si kwako basi kwa watu wako wa karibu umeona wakitendwa sana na wanaume kiasi kwamba umekua huna huruma tena na mtu wa kiume anaekua mpenzi wako.
 
Yani mnachekesha nimeshajieleza huko mwanzo sihongi mwanaume sijawahi na haitokaa itokee

Msijachanganye habari za mume(huyu nae inategemeana ana mchango gani kwangu)nazungumzia mahusiano ya uhawara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…