Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

EPS 10

Udalali ulianza kuniingizia hela Nyingi sana kwa muda Mfupi na kupata Connection nyingi mno, niliachana na Biashara ya Vyumba na viwanja nikawa napiga Dili za hela nyingi san asana kwenye Makampuni nilikuwa naenda kama wana bidhaa ambayo naona inalipa nawaambia niwatafutie wateja wanilipe.

Nilikuwa naenda kwenye Kampuni kisha wakinikubali napita madukani natafuta order nawapelekea, au kama kuna ishu wanayo wanahitaji mtu nilikuwa ndio mishe zangu.

Jeni siku moja Jioni alinitafuta alikuwa na changamoto na Mshikaji wake ikabidi niende

Jeni alinisumulia mkasa wake na mchepuko wake, kwamba Yeye mchepuko wake anamsumbua lakini Jeni anataka kumkataa maana amepata Kijana wa Umri wake na ameonyesha nia ya Kumuoa.

Changamoto ilikuwa ni mchepuko anamngangania sana na alikuwa akimpa sana vitisho, kumfuata usiku nyumbani na kumlazimisha na mambo mengine Mengi sana.

Nilimshauri Jeni amwambie jamaa ukweli kwamba Yeye anahitaji kuolewa, hataki kuchezewa tena, anahitaji mtu ambaye wanaweza kuendana.

Changamoto ya pili aliyokuwa nayo ni suala la uzazi alikuwa hana uhakika kama anaweza Kupata mtoto maana alishajaribu mara kadhaa bila mafanikio alishaombewa sana Lakini hajabahatika.

Vipimo vya Hospitali vilionyesha kabisa kwamba ana uwezo wa Kuzaa, hana changamoto ila kwa Jinsi alivyoniambia alijaribu sana na sio na mwanaume mmoja Bila mafanikio.

Nilimdadisi sana ili anipe Historia ya maisha ya kwao, kama nitaweza kubaini Tatizo. Nilitaka nijue historia ya ndugu zake wengine kama wana shida ya uzazi alinieleza kwa kina sana nikapata majibu moja tu kwamba kuna maagano huko yanamsumbua.

Ukitaka kuamini utaamini Uchawi Upo sana, watu wengi sana wanafungwa wanashindwa kupata watoto kwa sababu ya vifungo walivyo navyo na mara nyingi wanaingizwa kwenye maagano Bila wao kujua.

Nilimshauri aachane na wachungaji wa kizazi kipya watampotezea muda japo wanaweza kumuombea na Mungu akamfungua. Nilimshauri vitu kadhaa vya kufanya ikiwemo kuwa na program maalum ya maombi tuombee hilo jambo na kwa sababu nilikuwa nimeshabaini shida yake alikubali na tukapanga vile Tutafanya.

Nilipiga nae story sana hadi Muda wa saa nne usiku nikatoka Nikamtafuta Judy ilikuwa maana

Nilimuuliza alipo akanijibu yupo nyumbani kwake, alikuwa ameshapanga maeneo ya Sehemu inaitwa makuti njia ya malamba mawili, na kutoka hapo hadi nilipokuwa ninaishi hakukuwa na umbali sana.

Nilimwambia kama tunaweza kuonana kama kawaida huwa hanikatalii nilikuwa na upwiru sana na yeye alikuwa nao maana ni karibu mwezi hatukuweza kukutana.

Baada ya kuwa na uhakika K ipo niliptia kwa mshikaji wangu nikachukua Konyagi Kidogo nikakipiga kama maji, kisha nikawah nyumbani ili nikaoge nipige mswaki Judy asije kusikia harufu ya pombe maana alikuwa ana nimaindi sana, kuhusiana na sula la ulevi hasa wa hizo pombe kali.

Usiku ulipita na mbiringe mbiringe zake ,asubuhi kama akwaida niliamka ikaendelea na ratiba zangu za kupitia kwanza whatsap nicheki kama kuna ishu yoyote na nilikuta Idris amenitumia sms fupi tu “Dalali Mkuu nitafutie vijana wanaoweza kufanya kazi, wae wengine wanasumbua sana wanalewa wanashindwa kuja kazini” Nikamjibu sawa mkuu nakurudia saa nne nitakuwa na majibu.

Baada ya kumalizana nae nilimwamsha Judy nikamuomba aendelee na ratiba za usafi na Breakfast natoka mara moja baada ya saaa moja narudi tuzungumze maana ni mud asana hatujaongea zaidi ya kusalimiana kwa simu.

Nilienda mtaani kutafuta vijana Fulani hivi wazee wa kazi ili nijue kama wana uhitaji wa kazi ya tofali baaada ya kuwaambia walifurahi sana kupata hizo taarifa maana walisema wamekaa sana mtaani bila kazi karakana waliyokuwa wanafanya ilifungwa.

Tuliongea na kukubaliana mambo kadhaa na kuwaahidi kwamba Jioni nitawapeleka kwa Boss wakakubaliane nae utaratibu wa kazi.

Baada ya mazungumzo hayo mafupi nilimjibu Idris tayari nimewapata watatu na wanajua kazi sana hivyo jioni nitawapeleka baada ya kumtumia sms nilirudi home ilikuwa ni kama saa nne nusu hivi.

Judy alikuwa ameshanipigia sana niwahi maana naye alikuwa antaka akapambana na wateja wake huko.

Baada ya kufika nilikuta Judy ameshaandaa chai tulipiga Chai, kisha tukaanz amazungumzo.

Nilimpa nafasi aongee maana alikuwa ananiomba sana tuonane tuongee.

Alianza direct bila kupepesa Macho, akaniambia “Dalali Mkuu tulianza mahusiano muda sana Kipindi mambo yako hayako vizuri ulikuwa unanishirikisha kila jambo lako, ulikuwa unatenga muda tunakaa tunafurahia, ulikuwa unanipigia simu kila saa, lakini baada ya mambo kubadilika na wewe umebadilika nayo”

“Nilikuombea sana ili ufanikiwe nikijua tunatengeneza maisha yetu ila umeanza kubadilika mapema sana, Nyumbani siku hizi hukai usiku hupatikani na hujulikana hata unashinda wapi unalala wapi, kila siku unaniambia upo mjini, hata kupita tu kunisalimia kutembela kazini uone kazi inavyoenda hutaki, hunishirikishi chochote”

Aliniambia Dalali Mkuu kwamba naona kama nashindwa kuendelea kuteseka na hisia za kutokuwa na uhakika.

Alinieleza jinsi alivyohisi kwamba namsaliti na mtenga jinsi ambavyo umbali ulikuwa unaongezeka, kila mambo yanapobadilika.

Aliongea kwa uchungu na hisia kali sana nilimsikiliza nikawa nakosa cha Kumjibu kwa sababu kila kitu alikuwa anongea ukweli mtupu, ilibidi nimueleze ukweli kwamba kazi zimeongezeka sana kwa sasa na mambo yamekuwa mengi hivyo kuna muda nashindwa kutulia ndio maana namtafuta wakati nikiwa nimetulia.

Nilimbembeleza nikamuahidi kwamba sasa nitaweka ratiba ya kukaa nae nitapunguza usiri pia maana alikuwa anapenda sana nimshirikishe mambo yangu

Aliniambia akiona ameshindwa atafanya maamuzi anayoona kwake yatampa amani.

Baada ya mazungumzo yake yalinichoma ana moyo niliona nazingua sana na ukizingatia Huko tulikotoka vile alivyokuwa annibeba kwenye matatizo, niliona sasa inabidi ni balance mzani maana muda huo nilikuwa nina Demu mwingine anaishi Kimara baruti hapo na wakati huo ndio penzi lilikuwa la moto hatari.

Nilijiahidi sasa lazima ni balance ili asishtukie kabisa.

Judy kwa kifupi alikuwa ni aina ya wanawake ambao ni wadogo kwa umri ila anaishi nA mimi kama mtoto wake nafikiri kwa sababu kwao ni wa kwanza hivyo amezoea kulea wadogo zake ila alikuwa ni mnyenyekevu sana afu mpole mno.
Aaah hamna mkasa visa vyote havipo zimeanza story z mapenzi tu leo judy kesho amina mwisho idrisa alikupa kifilo
 
m
EPS 11

Jioni niliwapeleka wale Mafundi kwa Idris nikamkuta Yupo site kwake wakakubalina vile kazi watakavyokuwa wakiifanya, mafundio nao wakampa ushauri wao jinsi ya kuifanya, nilikaa pembeni wakati wanakubaliana sikutaka niwasikilize, huwa sipendi kufuatailia makubaliono ya watu.

Baada ya mazungumzo pale tulipanda kwenye gari akatupeleka mbezi tukawacha jamaa kwa Msuguri, sisi tukaendelea na safari hadi sinza maeneo ya Africa sana pale, Tukapiga vinywaji ila jamaa kutokana na kisa ambacho nimekiongea huko juu nilikuwa simwamini sana, nilikuwa namuona mtu wa Hovyo sana.

Tulipiga story baadae ikabidi nay eye azungumzie lile jambo, akaniambia shida ambayo anayo akaniambia nimtafutie kijana ambaye atakuwa anampelekea moto maana yeye asipofanya hivyo kuna shida anaipata lakini pia akifika home hawezi kumpelekea mke wake moto.

Alinaimbia mambo mengi hapa sitayaandika, akaniambia nikiweza kumtafutia atanipa zawadi Nono. Baadae ikabidi tukubaliane kuondoka ila nikamdanganya kuna mtu namsubiri bamaga hivyo yeye atangulie tu, Akaingia wka gari akatoa hela ya kazi ya kumtafutia vijana hiyo siku alinipa laki mbili kisha akaniongezea laki tatu akaniambia nimtafutie huyo mtu wa kumkula.

Niliwaza sana Ujinga wake, alio nao ila niakwaza kama naweza kupata hela na dhambi wataenda kufanya wenyewe mimi kuna shida gani kwani, mimi ninachotafuta ni hela hakuna haja ya kutafakari sana wakati mrija wa hela ndio huo.

Nilianza kutafuta usafiri wa kwenda Home, wakati huo nilikuwa naendelea kuchati na judy na kumelezea mambo kadhaa yanayoendelea lengo ilikuwa ni kumuaminisha kwamba tupo pamoja.

Nilicheki saa nikaona bado mapema nikaona hela nimeshapata mambo ya kurudi hadi mbezi ni kupoteza muda tu, nikakumbuka kuna demu wangu ana ki grocery kinondoni ngoja niende pale.

Nilienda nikaenda kumaliza usiku wangu pale na amisha mengine yakaendelea.

Niliendelea na mishe mishe za udalali kama kawaida ila udalali wangu nilikuwa nafanya kama nilivyoeleza nilikuwa napiga zaidi bidhaa na vitu vyenye hela nyingi ule wa kutegema service charge za elf kumi nilikuwa nimeshahama na ni ndani ya Muda mfupi sana.

Nilikuwa anendelea kuwasiliana na Jeni kama kawaida na alikuwa akiendelea na Program ya maombi ambayo nilikuwa nimemwambia, Na hili ndio tukio la kwanza acha nielezee kwa urefu nashindwa kupangilia matukio hivyo ni afadhali nianze na moja, moja nimalize kisha nifuate Lingine

Ratiba yetu ilikuwa ikiendelea vizuri japo kuna siku nilikuwa nalewa sana hivyo nashindwa kuendelea na maombi namdanganya niko kikaoni au nipo barabarani hivyo namwambia aendelee mwenyewe.



Alinishirikisha sana kwa habari ya Mchepuko wake alivyokuwa anaendelea kumsumbua Kichwa na akanieleza kwamba kwa wakati huo, wamegombana sana na alitishia kama akiendelea kumfuatilia ataenda kumshataki Polisi na pia atamwmabia mke wake kwamba amwambie Mume wake atulie.

Huyo kijana mwingine Tumwite Brown, Brown na Jeni walikuwa wapenzi wa muda mrefu kidogo ila alikuwa anaishi mkoa mwingine na huyo mchepuko walikutana mjini na story yao ndio ikaendelea.

Nilikuwa nampa Company sana kwenye Mambo yake yote na home kwake nilikua naenda tu kama kawaida nikijisikia naenda napiga ane story kisha anondoka naendelea na safari zangu.

Alikuwa ameshanikubali sana, akawa pia ananipa dili za hapa na pale, baada nilikuja kumwmabia nimesoma IT pia ikawa ananipa Michongo ofisini kwao Computer zikiwa na shida au wakihitaji marekebeisho kwenye jambo lolote alikuwa ananipa Pasi.

Lakini pia wakati mwingine akiwa Mjini alikuwa ananikutanisha na Marafiki zake lengo pia ili wawe wananipa Dili, Nilikuwa najivunga sana lakini baadae ikabidi nije nimwmabie kwamba Mimi natumia Pombe nikamchana kabisa maana nilikuwa Napata shida sana kukaa sehemu naye masaa mawili kunywa Juice au soda.

Jeni kutokana na uaminifu wangu alikuja kunipa Dili ambayo ilinipa hela nyingi sana, Brown alikuwa anaishi mtwara baadae akahamishiwa Tanga Kilindi.

Jeni alinipa dili alikuwa na nyumba yake alitaka Kuijenga kisiri siri bila Brown kujua, hivyo hiyo kazi mimi ndio natakiwa kusimamia kuanzia mwanzo hadi mwisho na hata mafundi wasijue yaani kila kitu ni mimi.

Alipiga mshindo wa hela huko masasi baba yake alikuwa na Guest baada ya ndugu kusumbuana kwenye Mirathi wakauza Gust yote na nyumba nyingine za wapangaji zilikuwa masasi huko huko, na shamba ya Mikorosho yalikuwa sehemu aliniambia Inaitwa namalenga Masasi ( Nilikuja kupajua maana niliwahi kwenda hadi huko masasi kwao, ila si kwenda nyumbani niliishia sehemu inaitwa masasi ya zamani karibu na stand ya masasi na soko linaitwa KAUMU)

Baada ya kupata mgao akanipeleka huko kwenye kiwanja chake, Mapinga bagamoyo kufanya hiyo kazi, binafsi nilikuwa sina uzoefu wowote wa ufundi wa kujenga ila niliona hapo siwezi kuiacha kwa kigezo cha SIJUI.

Nilitafuta dogo mmoja chali angu Huyu alikuwa Muha nikamwambia nataka nifanye ujenzi nikampanga maana yeye ni fundi baada ya kuona Ramani nilimwambia anitengeneze makadirio ya Gharama , akini kwanza akaone eneo. Alinikadiria, nikampeleka Jeni nikamwmabia tayari nimeshaandaa makadirio na gharama yake nikampa, So kama akiwa tayari aniambie ili niwapeleke mafundi site. Lakini nilimambia pia kwanza kwenye Hiyo kazi lazima na mimi aniwekee budget yangu.

Akanihakikishia haku nashida, kadiri siku zilivyokuwa zinazidi kwenda ujenzi ulianza japo ulikuwa una changamoto nyingi sana mafundi hata kama ni marafiki zako ni wasumbufu sana, Kuongeza bajeti na mambo mengi sana.

Ujenzi ulienda taratibu sana baadae nikamwambia kuna majukumu naenda kufanya inabidi nimtafute mtu wa kusimamia, naye akakubali akaajiri mtu kabisa asimamie, lakini hadi hapo alikuwa ameshanilipa hela nyingi Kidgo japo sio kwa mkupuo nilivuna hapo karibu million 11.

Wakati Kazi ile inaendelea walikuwa na mpango wa Kuoana na Brown na mambo yalikuwa yanaendelea Kimya kimya alitaka wafunge Ndoa ya Bomani, ila kwenye suala la ndoa Jeni alikuwa hataki kabisa maana alikuwa anaogopa Kuhusu uzazi lakini pia Mchepuko wake angesikia anaolewa ingeweza kumtokea jambo baya.

Hapa NDIO mtihani Mkubwa alikuwa nao maana jamaa alikuwa anamngangania sana hadi alikua anamkosesha amani, na Jeni naye alikuwa ni sitaki nataka Leo atakwambia simtaki tena ukikaa muda unawakuta tena wapo pamoja.

Brown mara nyingi wikiendi alikuwa ankuja Dar kutembea alikuwa na Nyumba yake huko msumi na biashara ndogo ndogo so alikuwa anakuja na akija Jeni alikuwa anaenda Kulala huko.

Yule mchepuko wa Jeni akaja kupewa habari za Jeni halali pale mara kwa mara na akapewa taarifa zangu, ila kwa sababu alikuwa ananifahamu Nilishakutanishwa nae na jeni mara kwa mara Yule mwamba akafikiri akaunganisha doti akahisi huenda mimi najua Yule demu anamsaliti na mimi ndiye anshirikaiana nae.

Lakini majirani walivyo wa huko wakamwmabia pia ankuja nakaa hadi usiku sana Ilikuwa msala mkubwa sana, jamaa alikuwa ananipigia simu ananitisha sana, akanitafutia Hadi Polisi nikawekwa pale Mikocheni kituo cha polisi sikumoja ya Ijumaa baadae kesho yake nikahamishiwa staki shari jamaa alisema nimemtishia Kumuua. Idris ndio alikuja kunitoa pale baada ya kukaa siku mbili nyuma ya Nondo na Kipigo cha askari nilikipitia.



Baada ya kudhaminiwa nikaambiwa nireport kesho yake Jumatatu saa nne asubu ili kama wamemaliza kesi iende mahakamani.

Niliporudi pale ilibidi nimtafute Jeni ili nimuulize kinachoendelea na jamaa yake hadi mimi ameniingiza kwenye matatizo makubwa, na jamaa yake baada ya kujua nimetoka akanipiga mkwara sana akaniambia nimwambie Jeni anamsaliti na ani nimtajie wanaume wake, na kama sitamtajia na mimi nitakuwa mhusika atanifanyia kitu mbaya.

Jamaa nikaona sasa ameshaanza kunivuruga nilifika home nikapiga kwanza konyagi zakutosha maana nilitoka usiku saa moja Jioni,baada ya kupia vyombo vya kutosha nikaenda kwa Masai kumuomba ushauri wa Kufaa.



Lakini pia nimuombe anisindikize Polisi kesho yake maana idris alisema yeye anaenda kazini kwa hiyo thatapata muda.

Baada ya kumalizana nae ilibidi pia niende kwa Judy maana tangu jamaa amenipiga Pingu sikuwa nimewasiliana ane na sms zake kibao za lawama, hivyo nilienda ili nikajaribu kuweka mambo sawa.

Nilikuwa naawaza sana namna ya kwenda Kumdanganya, kwamba nilikuwa wapi, kwanini nilikuwa sipatikani, sms sijibu ilikuwa ni msala Juu ya msala, wakati huo Jeni hata simu hashiki.

mwendelezo lini??
 
EPS 8.

Niliona sura yake imebadilika ghafla, alishtuka ila ilionekana kama hajafurahia kitendo hicho, na mimi nikabadili Gia angani, nikamwmabia Fungamacho nikuombee Niondoke akaanza kutabasamu.

Alicheka akaniambia umenishtua sana nilifikiri unataka kunibaka.

Nikamwmabia kama ningekubaka ungefanyaje wakati umenikaribisha ndani mwenyewe, aliishia kucheka cheka tu na mimi nikaamua kubadili mazungumzo.

Nilikaa pale hadi saaa tatu nikala pale Chakula cha Jioni nikaagana nae, nikaondoka.

Kama kawaida nikapitia Chimbo nikapiga safari zangu kadhaa nikaenda Nyumbani Kulala.

Nilianza Kumpigia Judy kwanza maana tangu mchana sijawasiliana nae na sms zake sikuweza kuzijibu, tukapnga mambo mengi ya maisha yetu mustakabali wangu akaniuliza kama naenelea kutafuta kazi au nimerizika na kazi ya udalali, wakati naongea nae naona Jeni nae anapiga kwa Fujo sana.

Sikupokea niliongea na Judy tukaagana nikampigia sasa Jeni nimsikilize.

Alianza kuniambia kwamba amefurahi sana nilivyoenda kwake, akaniuliza kama nina mahusiano yoyote nikamdanganya kwa sasa sina akaniambia hana usingizi kabisa yupo tu mwenyewe akaniambia anatamani tena ingelala kabisa.

Urafiki wetu uliendelea kukua kwa kasi ya 5G akaanza kunipa Dili ananiunganisha na marafiki zake,wanaohitaji nyumba na viwanja.

Matukio menginenayaruka maana hayana maana.

Alininunganisha na jaMaa Fulani hivi walikuwa wanatafuta sehemu ya kuweka amshine ya Kufyatulia Tofali nikamtafutia huyo Jamaa alikuwa ni kibosile wa taaisisi Fulani ipo karibu na BOT.

Yule mwamba Tumuite Idris,Idris nilimtafutia sehemu ya tofali akapata maeneo ya Huko njia ya Goba, akanipa ya udalali ilikuwa laki mbili ila alinitumia Laki tatu nay a kutolea.

Idris alinikubali sana, akawa ananipa dili ndogo ndogo ananitumahata akiwa na ishu ndogo tu ananiambia nitafutie Bodaboda, au nikamuulizie vitu au bidhaa Fulani nikawa Napata sana hela. Kwa idris kwa wiki tu nilikuwa Napata hadi laki mbili maana alinifanya kama mesenja wake.

Kikubwa alisema mimi ni mwaminifu sana, Na anapenda sana Uchapakazi wangu na uchapu.

Alikuwa akinishirikisha vitu Vingi sana sana akawa sasa rafiki yangu anaiita tunaenda kula bata Jioni maeneo tofauti tofauti.

Nilikula sana bata na viwanja huko na kukutana na mabosi ambao nilipata connection nyingi.

Simu moja tunatoka Tegeta akaniambia anisogeza hadi mbezi mwisho Tulipofika pale ndio alinishangaza sana na Hiki ndio kisa cha Kwanza kwenye kazi yangu ya Udalali.

Tulipofika katika ya Goba njia nne na njia panda ya tegeta A kuna sehem kuna sheli kwa Juu yake, Jamaa akaniambia nataka nikuambie Kitu Ufanye ukiweza nakupa utajiri.

Akaniambi nina Kondomu hapa nisugue yaani nimfi…. Goli moja maana anataka kwenda kwa Mke wake Akaniambia akma siwezi kuna sehemu alinielekeza niende hapo kwa madai yake kuna mashoga nikamtafutie hapo mtu na alionekana yupo serious sana. DAAH nilishangaa sana nikamuuliza tena kama sijamsikia hivi. Niliona amenidharau sana nilikasirika mno yani
Nilitaka kushangaa, nilijuwa tu lazima ungeishia kwenye kufilana, Dar ina mambo mengi sana, si kila mwanamme ni rijali, si unaona wasanii wa bongo fleva na bongo movie wanavyopakuana kisamvu kibichi halafu kwa ujinga wa wabongo eti wanawaita mastaa, msenge staa kweli jamani?
 
Back
Top Bottom