Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia plzNAJUTA KWENDA HONEY MOON – NILICHOFANYIWA SITAKUJA KUSAHAU- 04
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]🥹
“ Nimempata .” Nilijisema moyoni. Nilisimama kwenye kiti.
“ Unaenda wapi ? “ Aliniuliza Sam.
“ Nimempata..” Niliongea huku nikimsogelea Baba mdogo.
Wote waliniangalia kwa mshangao. Nilimfata baba mdogo na kumshika mkono.Niliutazama. Ulikuwa na jeraha la kucha .
“ Ni wewe…Ni wewe…” Nilimwambia.
“ Ni Mimi?” Aliniuliza kwa mshangao.
“ Kafanya nini?” Aliniuliza Sam.
“ Mtu aliyekupiga vibao ni huyu.” Nilimwambia. Watu wote waligeuka kutazamana. Sam alimtazama Mama yake kisha akaja mkuku nilipo. Alinishika mkono na kunirudisha nilipokaa.
“ Unafanya mambo gani? Kwanini unataka kunitia aibu?” Aliniuliza kwakuninongoneza.
Sikukubali kukaa.Nilisimama na kumfata Baba mdogo tena.
“ Kwanini ulikuwa unampiga Mume wangu?” Nilimuuliza.
“ Na mle ndani uliingiaje?” Nilimuuliza tena.
Hakunijibu. Alinitazama kama hakuna alilolisikia.
“ Sam hebu mtulize mkeo.” Aliongea Baba Mkwe.
“ Hakuna haja. Sam tulia hapo hapo.” Aliongea Mama Mkwe. Alisimama na kunifata. Kabla hajanifikia Sam aliwahi kumzuia.
“ Usifanye hivyo Mama.” Alimwambia .
“ Unajua nataka kufanya nini? Umeshindwa kumtuliza mkeo. Acha nimtulize.” Alimwambia.Alimpita na kunisogelea.
“ paaaa..paaaaaa………” Alinipiga vibao.
“ Mamaaa….” Nilimuita kwa mshangao. Badala ya kunijibu alinipiga kibao kingine.
“ Paaaaaah…”
“ Inatosha Mama Sam..” Aliongea Baba Mkwe. Alisimama na kumshika. Sam naye alinifata. Alinishika mkono na kunirudisha kwenye kiti.
“ Si unaona. Nilishakuambia .Achana na hayo mambo..” Aliniambia. Alinikarisha kwenye kiti. Meza yote ilikuwa kimya. Hakuna aliyeongea. Mama mkwe alimwita muhudumu. Alimtaka atumiminie vinywaji .
Alitumiminia.
Mama Mkwe aliinua Glass juu.
“ Naomba tugonge cheeaziii kwa ajili ya ndoa ya Sam. Tumuombee yeye na mkewe maisha marefu.” Aliongea.
‘ Cheaziii…cheaziiiii…” Waligonga.
Peke yangu sikugonga. Niliinama chini nikiwaza. Akili yangu haikuwa pale. Niliwaza maana ya yale yaliyonitokea. Nilianza kujuta kuolewa .
“ Kanipiga kwa kosa gani? Au Kusema Bamdogo ndiye aliyempiga vibao Sam. Kwani ni uongo? Mbona anaalama ya kucha mkononi.” Nilijiuliza Moyoni.
“ Mkeo hajafundwa. Wamemuozesha bila kumpa mafunzo.” Aliongea Mama Mkwe.
“ Kwanini Mama?” Sam aliuliza.
“ Nimempiga vibao kumuonya, lakini bado anafanya upumbavu ule ule.” Aliongea Mama Mkwe.
“ Lakini mama…”
“ Eeeeh unanijibu.” Aliongea kwa ukali Mama Mkwe. Kitendo cha kutaka kuongea kilimkera zaidi. Aliongea maneno mengi ya shombo. Alinichambua na kunichamba kama mtoto. Maneno yake yalinilowesha. Nilibaki Hoi.
Baada ya kumaliza kuongea, kwa hasira Mama Mkwe aliondoka.Ndugu wengine pamoja na Sam waliondoka pia. Waliniacha peke yangu. Ni kama walinitenga kutokana na tukio nililofanya.
“ Hivi kosa langu nini?” Nilijiuliza. Niliduwaa nisijue chakufanya.
……………………..
Nusu saa mbele.Nikiwa peke yangu. Pale pale kwenye meza alitokea muhudumu wa ile Hotel. Alitembea kwa hofu. Aliangalia kushoto na kulia, ni kama hakutaka kuonwa . Alinisogelea na kuninongoneza. Nakuja
njoo bhanaNAJUTA KWENDA HONEY MOON –NILICHOFANYIWA SITAKUJA KUSAHAU -05
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nusu saa mbele.Nikiwa peke yangu. Pale pale kwenye meza alitokea muhudumu wa ile Hotel. Alitembea kwa hofu. Aliangalia kushoto na kulia, ni kama hakutaka kuonwa . Alinisogelea na kuninongoneza.
“ Unaitwa chumba namba saba.Fanya haraka uende.” Aliniambia.
“ Nani ananiita?” Nilimuuliza.
Hakunijibu. Aligeuka na kuondoka kwa tahadhari kama mwanzo.
“ Mbona kama hataki kuonwa?.” Nilijiuliza.
“ Chumba namba saba..” Nilijikuta nimetamka. Ubongo wangu ulijiuliza ni nani wa kuniita chumba namba saba. Niliwaza na kuwazua sikupata majibu. Kwa mbali nilihisi uenda Sam ndiye aliyemtuma.
“ Atakuwa Sam kaniita, kwa yaliyotokea ukute hataki aonekana na Mimi, ndio mana kaniita kisiri .” Niliwaza.
Nilisimama na kuelekea ndani.
Nikiwa naelekea ndani niliangaza kila pande ya Hotel , Maeneo yote sikuwaona ndugu wa Sam.
“ Wameenda wapi?” Nilijiuliza.
Sikujali hilo. Moja kwa moja nilienda chumba namba saba. Niligonga mlango.
“ Karibuu….karibu sana Judy..” Alinikaribisha. Alikuwa Gaby. Kaka yake Sam.
“ Mmmmh! hapana shem. Kuwa chumbani wawili mbona sio sahihi.Naomba tuongelee kwenye korido.”
“ Lingekuwa swala la kuongelea kwenye korido nisingehangaika kukuita huku. Ningekuja pale pale mezani nikakuambia. Naomba ingia ndani. Wala usiwe na mashaka.” Aliniambia.
Niliingia na kwenda kukaa kwenye kiti .
“ Mbona umekaa mbali . Njoo ukae hapa.” Aliniambia.
Alinitaka nikakae kitandani.
“ Hapana. Hapa nilipokaa panatosha .” Nilimjibu.
Hakuongea. Alisimama na kunishika mkono. Alinivuta na kunikalisha kitandani.
“ Mmmmh!” Niliguna. Taa nyekundu iliwaka kichwani.
“ Mbona unaniangalia hivyo?” Aliniuliza .
“ Kunikarisha hapa sio busara. Mkeo au ndugu wengine wakija itakuwaje?” Nilimuuliza.
Badala ya kunijibu , alicheka.
“ Hakuna atakayefika hapa. Kuwa na amani. Jiachie na uwe huru.’ Aliniambia.
“ Mmmmh!”
“ Kuna jambo uliongea pale mezani limenipa shauku kidogo. Naomba nifafanulie vizuri. Umesema Baba mdogo alikuja chumbani kwenu na kumpiga vibao Mumeo?” Aliniuliza.
Swali lake liliufanya moyo wangu upate amani kidogo. “ Hatimaye nimepata mtu aliye tayari kunisikiliza.” Nilijisemea.
Nilimueleza tukio nzima.
“ Hii kali. Kwahiyo alikuwa anatokea gizani anampiga kibao kisha anapotea tena gizani?” Aliniuliza.
“ Ndio, ilikuwa hivyo, lakini mdogo wako alikuwa hafanyi lolote. Alikuwa anasema hajamuona.”
“ mmmmmh…” Aliguna.
“ Pole sanaaaa…” Aliniambia. Alinishika kwa nguvu na kunikumbatia. Nami nilimkumbatia. Nilijisikia faraja kumpata mtu wa kunisikiliza . Akiwa amenikumbtaia alianza kunipapasa mgongoni.
Akili yangu ilihama. Nilijisikia furaha kujaliwa. Nilijikuta nashindwa kumzuia, badala yake nami nilimpapasa. Tulipapasana kwa dakika kadhaa.
Muda ulivyoenda hisia zangu zilibadilika.Naye zilibadilika pia. Tulijikuta tunanyonyaa ndimi na kushikana maungo ya uzazi.
Alininyanyua na kunilaza kitandani. Ajabu. Sikuwa mbishi wala sikuwaza kuhusu kinachotokea. Aliendelea kushika maungo yangu na kunichombeza sehemu mbali mbali za mwili wangu. Alinivua nguo, nami nilimvua zake.
“ Subiri kwanza..” Aliniambia.
Alishuka kitandani na kuvaa nguo zake. Alifungua mlango na kutoka nje. Aliniacha nikiwa nimeduwaa.
“ Hii inamaana gani? Au alikuwa ananijaribu?” Nilijiuliza.
“ Hapana.” Nilitamka.
“ Huu mtego.” Niliwaza.
“ Lakini mtego gani wa kufanyiwa honeymoon?” Nilijiuliza.
“ Vyovyote vile. Dawa ni kuondoka humu ndani.” Nilijisemea.
Nilishuka kitandani na kuzifata nguo zangu. Nilizivaaa. Nilisogea mlangoni na kufungua mlango. Nilichungulia nje. Macho yangu yalikutana na macho ya Sam.
Nakuja