NAJUTA KWENDA HONEYMOON- NILICHOFANYIWA SITAKUJA KUSAHAU β 09
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji174]
β Afadhali nimalize majukumu yangu niondoke.β Aliongea Mke wa Gaby.
β Mmmmh! mbona wananichanganya hawa? Majukumu gani waliyokuwa nayo?β Nilijiuliza.
β Majukumu gani Dada!β Nilimuuliza.
Hakunijibu. Alinitaka nimfate bila kumuuliza maswali. Nilimfata . Hatua kadhaa mbele niligeuka nyuma .Nilimuona Sam akiondoka na kaka yake Gaby.
Tuliingia ndani. Moja kwa moja tulienda chumba namba saba.
β Karibu!β Aliniambia.
Niliingia . Nilikaa kitandani na kuangaza macho kila pande.
β Unashangaa nini? Hiki chumba tumekodiwa Mimi na Mume wangu. Na hiki ni kitanda ambacho nakitumia na Mume wangu. Lakini najua, wewe humu sio mgeni.β Aliniambia.
Kauli yake ilimaanisha anajua kilichotokea.
β Nisamehe Dada. Lakini ujue hakuna baya nililolifanya na mumeo.β Nilimwambia. Aliniangalia bila kunijibu lolote. Alinishika mkono na kunitaka twende bafuni.
β Inabidi ujisafishe. Mwili wako inabidi uwe safi .β Aliniambia.
Sikushangaa. Nilisimama na kuingia bafuni. Ajabu, naye aliingia.
β Vipi?β Nilimuuliza.
β Vipi nini?β Naye aliniuliza. Alishika Top yangu na kunifungua zipu.
β Nitavua mwenyewe .β Nilimwambia.
β Jukumu langu la kwanza ni kuhakikisha upo safi.β
β Ndio kazi uliyopewa?β
β Hapana. Majukumu aliyonipa sio haya. Haya ni maandalizi tu . Jukumu lenyewe linakuja.β Aliniambia huku akinivua nguo. Baada ya kunivua naye alivua nguo zake zote.
Alichukua sabuni na kunipaka sehemu mbali mbali za mwili wangu.Baada ya kunipaka alijipaka na yeye. Alifungulia maji na kunisafisha. Alinisafisha huku akinielekeza.
β Hizi dharau gani ? Inamaana wanadhani sijui kuoga?β Niliwaza moyoni. Uvumilivu ulinishinda. Niliona dharau zimezidi. Nilimshika mikono na kumtaka aniache. Nilimwambia nitaoga mwenyewe
Alinikatalia. Kata kata alikataa. Aliendela kunisafisha huku akijisafisha na yeye. Alinisafisha kiungo kimoja kimoja.
Saa moja mbele tulimaliza. Tulitoka bafuni. Alifungua begi lake na kutoa vipodozi. Alinipaka sehemu mbali mbali za mwili wangu. Pia alijipaka . Kila alichonifanyia ,alijifanyia pia.
Alifungua begi lingine na kutoa sex dress mbili. Alinipa moja nikavaa .Naye akavaa moja.
β Mimi na wewe tumeolewa kwenye hii familia. Hatutakiwi kuwa na maswali mengi. Pia yatupasa kufanya kile tunachoambiwa.β Aliniambia. Alifungua begi tena na kutoa vitambaa vidogo viwili.
Alinifunga machoni.
β Unaenda kukutana na mumeo. Hautakiwa kutoa icho kitambaaa.β Aliniambia.
β Kwanini nisitoe?β
β Ni mila. Haupaswi kukitoa. Kama utakitoa utaleta mkosi mkubwa .Mumeo naye atakuwa kafungwa kama wewe, naye hataruhusiwa kukitoa.β Aliniambia.
Aliniambia nisiondoke mle ndani na wala nisifunguwe kitambaa mpaka mume wangu atakapokuja.
Aliondoka.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Hazikupita sekunde tatu mlango ulifunguliwa. Aliingia mtu na kuja kunivamia kitandani. Alinibusu na kunipapasa sehemu mbali mbali za mwili wangu.
β Huyu si mume wangu! Huyu sio Sam.β Niliwaza. Nilikishika kitambaa kichwani na kutaka kukitoa. Kabla sijakitoa nilikumbuka onyo nililopewa.
β Kamwe usije kukitoa kitambaa.β Niliyakumbuka maneno ya Mke wa Gaby.
β Lakini Huyu Sio Sam. Siwezi fanya Mapenzi na mtu mwingine tofauti na Mume wangu.β Niliwaza. Nilikishika kitambaa na kutaka kukitoa.
Leo nime waunga watu 300 kwenye group la whatpp bure kama sijakuunga emb nitext now whatpp 0768315707[emoji4][emoji3590][emoji432][emoji120]
Pia
Gusa link hapa uiskilize chap simulizi ya sauti uenjoy
[emoji9][emoji432][emoji444][emoji116]
View: https://youtu.be/V5okAj_8Glk
Usisahau ku subscribe......