MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Mkuu mbona hakuna sehem uliyomalizia jinsi yule mama alivyosaga ile 50k,nimesoma comments zote zijaona.

Big up sana story yako nzuri na inafundisha wanaoponda ujue ni wafuasi wa mambo hayo kwaio umebumburua dili zao
 
Story iko vzr,story haiwezi ikakosa mbwembwe,juu sio msiba,aya lete ya kwako...
 
Watu wa humu ni zaidi ya wajuaji aiseee.
Haya naitoa wapi?

Unajua story za kusimuliwa wewe?...A u unataka nikupe majina ya wahusika kabisa

Mkuu muwe mnapunguza ujuaji basi....na mbona nimeshamaliza yote
Yaan mzee baadhi ya jamaa wa humu,wana watu wao, hao wakitoa story basi hawahoji,hata km ndani ya xtory wataandikiwa chochote watakubali,ila atokeee MTU mwingine....aisee ...achana nao mwamba mi nimejifunza mambo lukuki kwenye hiyo xtory iko poa sana kaka
 
Story iko vizuri sana sana. Tumeielewa vizuri na kuunganisha dots. Ina funzo kubwa sana kuwa usiamini mtu hata kama ni mke kwenye pesa ibilisi amesimama kidete.
 
Mkuu mbona hakuna sehem uliyomalizia jinsi yule mama alivyosaga ile 50k,nimesoma comments zote zijaona.

Big up sana story yako nzuri na inafundisha wanaoponda ujue ni wafuasi wa mambo hayo kwaio umebumburua dili zao
Brother nilisahau, lakini cheki POST namba 121 kuna mdau nilimjibu aliuliza Kama wewe
 
Mzee Temba...?!
 
Vipi kuhusu nyumba za pale kwao ziliuzwa nazo?
Hapana Niggah zipo hazikuuzwa..ni Kama huyu Requal kafupisha hiki kisa kuna stori ndefu hapo katikati hasa za majigambo ya huyu mama yao mzazi baada ya vijana wake kupata mali.




Na pia Shangazi yao pekee ambae ni dada yake na baba yao hakumgusia pia nilitegemea atamuweka...maisha ya kijijini uchawi mwingi sana ukikaa kizembe unaliwa kichwa na wajanja.




Na huyu mama mchawi ni kweli na yupo na kuna stori yake ndefu pia iliyofanya wakataka kuuana na mwanae wa kumzaa ambae ni Architect huko mwanza
 
Si nasikia Mali za kiganga hazirithiki au mtu akikosea masharti zinapotea zote., Kwa nini hizo nyumba hazijauzwa Sasa?
 
Kuna kitu shetani anashindwa mkuu?
Kwa wakristu Yesu aliahidiwa mali na utajiri woote.
Uchawi ni lifestyle wa shetani.
Naona bora ule unaosemwaga wa punje unajitoa sadaka mwenyewe kuliko huu wa kumtoa kafara mtu mwingine ambae hahusiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…