MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Na lazima awe wa karibu akuume.....

Shetani ana majaribu mabaya sana.

Mzazi wako kakuleta duniani na amekupa love kesho anakuwa kafara....

So sick n so sad...
kweli boss, ni jambo baya sana sema tunatofautiana maamuzi wengine wanaona ni jambo la kawaida
 
Zima data kama inaboa
Story yako ni nzuri ila umeijaza vitu vingi ambavyo vingine ni unnecessary, mpaka story inakuwa ndefu na inaboa.

Unapoandika story humu usiandike kama unaandika kitabu, andika kama unaandika makala. Unahusisha vitu vya mhimu tu, mbwembwe za kujazia nyama piga chini.

Sijui nikala nyama, nikacheza disko nikapata vumbi, sijui akitembea haachi alama za unyayo ni unnecessary.
 
Mkuu nimesoma kwa makini sana simulizi hii.Uchawi upo na ushirikina umetamalaki.Kuna matajiri wengi utajiri wao ni wa punje.
nataka kufahamu uhusiano uliopo kati ya utajiri na ulozi? unaweza kunielezea mkuu.
au Mshana Jr hebu njoo saidia hili.
 
Hapana Niggah zipo hazikuuzwa..ni Kama huyu Requal kafupisha hiki kisa kuna stori ndefu hapo katikati hasa za majigambo ya huyu mama yao mzazi baada ya vijana wake kupata mali.




Na pia Shangazi yao pekee ambae ni dada yake na baba yao hakumgusia pia nilitegemea atamuweka...maisha ya kijijini uchawi mwingi sana ukikaa kizembe unaliwa kichwa na wajanja.




Na huyu mama mchawi ni kweli na yupo na kuna stori yake ndefu pia iliyofanya wakataka kuuana na mwanae wa kumzaa ambae ni Architect huko mwanza
tumalizie bc hayo aliyoyaacha mwamba
 
Sasa Diana Spencer pesa si zipo kwa mganga, shida nini Hapo? Kama home Kuna watu 6 wamekaa kihasara hasara unamtoa mmoja kwa faida ya wengine😃😃


ONYO:
Usije kupractice huu utani😃
Ni upuuzi mtupu!!
Hata niambiwe nimtoe ndugu anayepigania maisha yake ICU siwezi fanya huo upumbavu.
 
Back
Top Bottom