Nigga umenikumbusha far sana Mimi naishi Kijiji Cha pili Butuguri hii habari ni ya kweli na naikumbuka lakini hapo kwenye huo umbali aliotoa umeme sidhani Kama ni sahihi.
Nakumbuka mbunge mkono alikuwa kwenye harakati za kuleta umeme pale Kijijini huyo dogo akaona anacheleweshwa akawafuata tanesco mwenyewe na umeme ulitolewa kiabakari.
Dogo Alikuwa na dharau sana kuna siku tulikuwa wote na ndugu yake wa baba yake mkubwa hapo centre wakawa wanabishana kuhusu utajiri yule ndugu yake akamwambia Mimi sibishani na wewe kwa sababu pesa zangu nazitafuta kwa akili na zako ni za ulozi habari ikaishia hapo.
R.I.P mzee Nyanda na mzee Nyakangala