Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nimesoma story yako yote ila sijaona sehemu mama mkubwa wa joseph alizisaga vp lin au ilikuwaje yan kisa cha huyo mama mchawi sijakiona naamini ukiongezea bandiko kuhusu hyu mama mchawi stori itaendelea kuwa na funzo zaidi kwenye haya maisha tunayoishiMkuu hope jibu lako umelipata sasa
Hahahah wazanaki sijui wangoreme hayo ni majina tu ila wote ni jamii ya wakurya ni kama waarusha na wamasai ni jamii mojaSio kikurya hicho mkuu ni lugha ya baba wa taifa boss
Pamoja na hilo la kuparticipate kwa waganga, tatizo kubwa ni huyo anayetafuta utajili hana mfumo wa kuuendesha na ndiyo maana wengi uambulia haibu na fedhea kwa baadaye,Leo ntauliza niko maeneo haya haya...ila mie sio sijaamini naamini ni kweli..maana watu wa huku ambaye haparticpate kwa waganga nadhan wakuhesabu! Funzo kubwa hili
Soma POST namba 127 nilimjibu mdau aliyeuliza Kama wewe.Nimesoma story yako yote ila sijaona sehemu mama mkubwa wa joseph alizisaga vp lin au ilikuwaje yan kisa cha huyo mama mchawi sijakiona naamini ukiongezea bandiko kuhusu hyu mama mchawi stori itaendelea kuwa na funzo zaidi kwenye haya maisha tunayoishi
Hahah hata ukanda wenu hapo kiabakari wapo mbona mkuu...Mkuu ndani ya mwaka huu nimepanga nikatembelee home(kiabakari) baada ya miaka 14 ,Mungu akijaalia ntafika huko nikashuhudie ma don
Wewe ndugu unatokea kwa nani hapo Butuguri?Nigga umenikumbusha far sana Mimi naishi Kijiji Cha pili Butuguri hii habari ni ya kweli na naikumbuka lakini hapo kwenye huo umbali aliotoa umeme sidhani Kama ni sahihi.
Nakumbuka mbunge mkono alikuwa kwenye harakati za kuleta umeme pale Kijijini huyo dogo akaona anacheleweshwa akawafuata tanesco mwenyewe na umeme ulitolewa kiabakari.
Dogo Alikuwa na dharau sana kuna siku tulikuwa wote na ndugu yake wa baba yake mkubwa hapo centre wakawa wanabishana kuhusu utajiri yule ndugu yake akamwambia Mimi sibishani na wewe kwa sababu pesa zangu nazitafuta kwa akili na zako ni za ulozi habari ikaishia hapo.
R.I.P mzee Nyanda na mzee Nyakangala
Hahah hata ukanda wenu hapo kiabakari wapo mbona mkuu...
Karibu umpigie kampeni wakuru magige achukue viatu vya mkono
Hahah hata ukanda wenu hapo kiabakari wapo mbona mkuu...
Karibu umpigie kampeni wakuru magige achukue viatu vya mkono
Kuna mmoja ni Don ana matruck Kama zote lkn Hana mtoto wa kuja kurithi,kwa maana aliuza kizazi chake kwa shetani,kaenda kuomba apewe mtoto kaambia achague apate mtoto au arudishe utajiri waoUtajiri wa PUNJE ni mbaya sana,kuna jamaa sasa ni apeche alolo mwanzoni alikuwa na MTONYO hatari MANSION la hatari Mkewe alikuwa anatembelea BIMA ila sasa jamaa analala Chumba Kimoja.
Wakuru Magige humjui pale kiabakari ?
ni Makamu wa chuo Muccob baadae akapewa ukurugenzi wa bodi ya korosho kabla ya kutolewa...jirani yake IGP sirro pale kiabakari
Wakuru Magige humjui pale kiabakari ?
ni Makamu wa chuo Muccob baadae akapewa ukurugenzi wa bodi ya korosho kabla ya kutolewa...jirani yake IGP sirro pale kiabakari
Ndio boss... nasikia tu wanamzungumzia huku ....