Mkasa wa Manji, Yanga kukodishwa na Kutishia kujiuzulu. Yaliyopo Nyuma ya Pazia.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii issue imeanza nyuma kidogo. Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Yanga alipata Taarifa kuwa Dangote anataka awekeze Yanga Tsh Bil 65. Kiongozi huyu mkubwa wa hiyo team ambaye kiuhalisia ndiye mweenye maamuzi makubwa haraka haraka akaona amepata nafasi ya kutengeneza pesa.
Hivyo haraka akaanza michakato ya Kuvunja uthamini na TBL ili sasa aiingize Kampuni moja humo ndani na kwa kuwa yeye ni mhusika mkuu kwa ushawishi wake zile pesa zikija kwake awe ndiye muidhinishaji mkuu.

ili jambo hili likae sawa likaja wazo la haraka sana la mtu flan kukodi hiyo team ya Yanga. Ili atakapokodi yeye ile pesa ambayo itatyolewa tsh bil 65 itakuwa ka ajili ya kumnufaisha yeye na ndo likaja wazo yeye atumie asil 75 na Yanga wapate asilimia 25 hasara yake faida yao. Kwa akili za haraka haraka utagundua kuwa kwa bil 65 yeye hakuwa na uwezekano wa kupata hasara maana ile pesa imewekwa na mtu mwingine. Bwana Dangote. wanachama wa Yanga wakapiga Makofi na Kufurahia sana ukodishaji huu pasipo kujua nini kinaendelea mule ndani.

Mzee akilimali aliliona hili kwa sababu habari alizipata na akaona kuwa hapa kuna mtu anaenda faidika sana kupitia Yanga. ikaanza misuguano. ile misuguano ilipozidi ikamfikia kiongozi mmoja wa juu ambaye akahisi kuwa njama zake kuna watu wamezigundua. na huyu naye akaamua kutishia kujiuzulu nafasi yake ili kuliua jambo hili. hivyo yeye kubaki na team na hatimaye kumshawishi Huyo anayetaka wekeza bil 65 kuwekeza na akiwa yeye kiongozi ana uwezo wa kuzi control kimatumizi n.k ili aweze jinufaisha.

kwa wenzangu na mimi hili hawalifaham. hivyo tuzidi kumuombea Manji awe mwenyekiti wa hii team na pia tumkodishe ili team ya Yanga ifanye vizuri.

asanteni sana. source mwana Yanga Mnazi kabisa na mwenye mapenzi na team
 
Hata uweleweki kabisa.
Kama unajua kilichopo nyuma ya pazia kwanini uje tena humu na kuweka Pazia? Kwanini unafumba fumba, hutaki kutaja hao wahusika na hiyo michakato yako.
Naona hii ni Hadithi tu.

Hapo mwisho ndio nimekuelewa vizuri, maana umemalizia kile ulichotumwa kukisema hapa.
 
NCHI HII YA AMBIWA NA YASEMAKANA DAHH KWELI KWA FITINA SISI NAMBARI ONE
 
Dangote nae atakuwa amepotea akiinunua Yanga huyu size yake timu kama Westham,Arsenal na nk..
 
Naona chizi maarifa kaamua kuleta maarifa ya inasemeka inasadikika na ilipangwa kuwa.yanga bna
 
....ngonjera tu hizi; Dangote wa Nigeria aaah wapi, atakuwa huyu wetu "chibu dangote"!, unless otherwise, Manji atakuwa mjanja sana, atapiga bonge la faida, na kwa jinsi alivyoitisha ule mkutano haraka haraka.......!!,
huenda kuna jambo!
 
hivi yanga ilikuwa inakodishwa na manji kufanya biashara gani vileee?...

maana mtaani kwetu kuna tetesi za uuzaji wa sembe na madubwasha mengine ambayo yangekuwa yanapelekwa ulaya kupitia antalia uturuki.....

na hilo la dangote lipo mtaani kwetu sema huyu manji anatakiwa atolewe kisha rizmoko aweke mtu wake atakayekuja na ofa ya 50-50 yanga na mwekezaji...ila kukodishwa yanga bado kuko pale pale na kwa miaka 10 ileile...

tatizo ni manji kuwepo kwenye equation.
 
Huu ni ukweli sema mwandishi ameandika namna ambayo anauma na kupuliza pia inataka uwe makini kumwelewa. Naonesha wizi ambao kuna watu au mtu anataka kufanya then mwishoni kwa kebehi anasema tuendelee kumwombea mtu huyo awe yanga. Dangote alinyimwa arsenal nadhan sabab ya kuwa ni frm africa then ye ndo angekuwa mwenye share nying. So akarudi kuja kuangalia league gan kali huku afrika na inasemekana lig yetu. Na ndo likaja wazo la kuwekeza Yanga kwa hizo Bil 65 manji naye akaona opportunity ndo hiyo ni kweli alikimbilia haraka kusema akodishiwe team kwa miaka 10 ili achume pesa za dangote maana yeye ndo angekuwa final say na matumiz ya hizo pesa. Wala hakuwa akitaka kuendesha kwa pesa zake. Na atakapoonda hiyo issue imeshindikana atawaachia team yenu katika mazingira ambayo itabidi mkambembeleze sana kwa magoti na kilio. Ni mchezo ambao wengi hawauelew.
 
Hayo mambo ya Dangote ni ya mtaani yeyeni tajiri ila hana mapenzi na yanga! Na huyo Mengi pia hana msaada na Yanga hata nauli ya bus hatoi mwacheni Manji achukue timu tule furaha sisi
 
Huu ni ukweli sema mwandishi ameandika namna ambayo anauma na kupuliza pia inataka uwe makini kumwelewa. Naonesha wizi ambao kuna watu au mtu anataka kufanya then mwishoni kwa kebehi anasema tuendelee kumwombea mtu huyo awe yanga. Dangote alinyimwa arsenal nadhan sabab ya kuwa ni frm africa then ye ndo angekuwa mwenye share nying. So akarudi kuja kuangalia league gan kali huku afrika na inasemekana lig yetu. Na ndo likaja wazo la kuwekeza Yanga kwa hizo Bil 65 manji naye akaona opportunity ndo hiyo ni kweli alikimbilia haraka kusema akodishiwe team kwa miaka 10 ili achume pesa za dangote maana yeye ndo angekuwa final say na matumiz ya hizo pesa. Wala hakuwa akitaka kuendesha kwa pesa zake. Na atakapoonda hiyo issue imeshindikana atawaachia team yenu katika mazingira ambayo itabidi mkambembeleze sana kwa magoti na kilio. Ni mchezo ambao wengi hawauelew.
Sasa kama ndio hivyo si ndio vizuri watu wangekubali aondoke sbb kuna bl 65? Hizo story za vijiweni tu
 
watu gani?ikiwa wengi wapo gizan na hawajui nini kinaendelea. kama una akili kidogo fikiria mchakato wa kumkodisha team ulivyoendeshwa kibabe na haraka/ fikiria jinsi ambavyo wale watu waliokuwa na uwezo wa kumhoji mambo hayo walivyofukuzwa.

hivi we unadhan jamaa ana mapenz sana na yanga toka ameichukua Yanga amefanya nini kwa Yanga. uwanja,jengo zuri la kisasa, hostel? kwa nini asijenge hivi akawaachia zawad wana yanga? manji anataka yanga iendelee kuwa tegemezi.imtegemee yeye naye aitumie atakavyo. anajua akiicha mua huu itayumba sana so watu watamfata kwa magoti. hizi unazoita story za vijiweni ni kwa vile huzijui..usidhan hili au haya mambo yanatokea tu kama upepo.

Sasa kama ndio hivyo si ndio vizuri watu wangekubali aondoke sbb kuna bl 65? Hizo story za vijiweni tu
 
Hii issue imeanza nyuma kidogo. Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Yanga alipata Taarifa kuwa Dangote anataka awekeze Yanga Tsh Bil 65. Kiongozi huyu mkubwa wa hiyo team ambaye kiuhalisia ndiye mweenye maamuzi makubwa haraka haraka akaona amepata nafasi ya kutengeneza pesa.
Hivyo haraka akaanza michakato ya Kuvunja uthamini na TBL ili sasa aiingize Kampuni moja humo ndani na kwa kuwa yeye ni mhusika mkuu kwa ushawishi wake zile pesa zikija kwake awe ndiye muidhinishaji mkuu.

ili jambo hili likae sawa likaja wazo la haraka sana la mtu flan kukodi hiyo team ya Yanga. Ili atakapokodi yeye ile pesa ambayo itatyolewa tsh bil 65 itakuwa ka ajili ya kumnufaisha yeye na ndo likaja wazo yeye atumie asil 75 na Yanga wapate asilimia 25 hasara yake faida yao. Kwa akili za haraka haraka utagundua kuwa kwa bil 65 yeye hakuwa na uwezekano wa kupata hasara maana ile pesa imewekwa na mtu mwingine. Bwana Dangote. wanachama wa Yanga wakapiga Makofi na Kufurahia sana ukodishaji huu pasipo kujua nini kinaendelea mule ndani.

Mzee akilimali aliliona hili kwa sababu habari alizipata na akaona kuwa hapa kuna mtu anaenda faidika sana kupitia Yanga. ikaanza misuguano. ile misuguano ilipozidi ikamfikia kiongozi mmoja wa juu ambaye akahisi kuwa njama zake kuna watu wamezigundua. na huyu naye akaamua kutishia kujiuzulu nafasi yake ili kuliua jambo hili. hivyo yeye kubaki na team na hatimaye kumshawishi Huyo anayetaka wekeza bil 65 kuwekeza na akiwa yeye kiongozi ana uwezo wa kuzi control kimatumizi n.k ili aweze jinufaisha.

kwa wenzangu na mimi hili hawalifaham. hivyo tuzidi kumuombea Manji awe mwenyekiti wa hii team na pia tumkodishe ili team ya Yanga ifanye vizuri.

asanteni sana. source mwana Yanga Mnazi kabisa na mwenye mapenzi na team
Watanzania kwa habari Nyepesi nyepesi balaa,kila mtu anajua habari za ndani,acheni uongo jamani!
 
Huu ni umbeya sawa na umbeya mwingine uliowahi kutokea. Peleka fb.
 
Kwa Dangote ni strategic kuwa na local team kwenye nchi aliyowekeza ili kujenga jina la biashara yake
Haelewi huyo. Na hawezi akawekeza kwenye Simba ilhali kuna kampuni inayozalisha product sawa na yeye ina jina la Simba
 
Back
Top Bottom