Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Sasa wale wa mke mmoja kama mama mzazi wameipata wapi???!!!!
 
🤣 muda wake huyu mbunge haujaisha? Nataka hili jimbo nilichukue uchaguzi ujao😬😬😬
Wananchi wanamkubali anapita bila kupingwa 😁yaani hatoki kwenye jimbo hilo mpaka kifo yaani kama yule mbunge Filikujombe alivyokuwa anakubalika mpaka chadema wakamuachia hawakusimamamisha mbunge wao 😁
 
Gily Apostle kuna muujiza huku, nini kimetokea yule jamaa alokuwa akifungulia koki za maji kwa wadada alishapiga 3 some za, wahindi ndugu lakini sasa amempokea bwana, mbengooo zimefongokaaaa Haleluyaaaaaa.
Hata wewe bado mda wako haujafika utampokea Yesu. Kila mtu na mda wake. Hata kama hujampokea Yesu utafata masharti ya Koran na mbunge wako. 😀😀😀
Karibu kwenye Ukristu. mimi ni mdhambi Ila usije kwenye ukristu ukamiiga safari yangu ya kwenda motoni 😔
Na, wanaume sheria sawasawa kwa wote mkibainika 😁
Ila hizi sheria hazihusu wanaume. Hata kwenye Bible Yesu alimtetea mwanamke na mwanaume wake hakuwepo. .
Dah! We mtu unanishinda 😂😂🙌
What you guys are being mean to me 😔
Sasa wale wa mke mmoja kama mama mzazi wameipata wapi???!!!!
Hayo maamuzi yalikuwa ya baba. Ila hata kwenye Bible mbona ukiangalia kuna wengi walikuwa na wake wengi. Yesu hakuja kuvunja torati bali kuitimulisha. Hata babu yangu alikuwa na wake watatu ila baba yangu yuko na mke mmoja. .
Wananchi wanamkubali anapita bila kupingwa 😁yaani hatoki kwenye jimbo hilo mpaka kifo yaani kama yule mbunge Filikujombe alivyokuwa anakubalika mpaka chadema wakamuachia hawakusimamamisha mbunge wao 😁
Kama kakubalika nami kheri Ila umepoteza bonge la bwana. Hebu cheki
 
Anhaaa mchungaji Gily wacha nipambane nirudi kundini
Nina uchungaji gani hapa🤣🤣🤣 mke wangu tuliandikishana kiserikali. Aligoma kabisa kufunga ndoa RC na yeye yuko TAG. Anataka niokoke nikafunge nae ndoa huko
Sasa mbona tunaishi ina maana hatendi dhambi🤣🤣🤣 aisee
Kikubwa ni kumtafuta Mungu judgement ni za kwake wewe usisiste kumtafuta

Kila mtu Mungu kajifungua kwake tofauti. Siamini kabisa kuwa ni dhambi kuwa na wake wawil hata watatu 🙃🙂 that is from my heart. .
 
Part Fifteen A : I hate to see you suffer from my bad behavior.

💓Your heart needs a pacemaker.

Feb 6, 2020

Nilipata matatizo ya kiafya, nikaenda kufanyiwa uchunguzi , ikaoneka nima shida ya moyo, nikaambiwa niende kufanyiwa huchunguzi wa kina uturuki au india.

Tuliamua kwenda Uturuki baada ya kuambiwa kuna hospital nzuri, Hii hospital inaitwa VM Medical Park Florya Hospital Istanbul, Turkey nikaanza safari ya tukafuta ufumbuzi wa tatizo nikiwa bega kwa bega na Violet, hakuniacha hata sekunde.

Tulipata appointment ya kuonana na Prof. Dr. Hakan Ucar, specialist Cardiology, and Cardiovascular Surgeon. Consultation pekee kwake ni 120 usd.

Baada ya taratibu zote na uchunguzi ikabainika nina tatizo la moyo linajulikana kama tachycardia, (abnormally fast heartbeat). Nikashauriwa niwekewe pacemaker.

Bei ya Pacemakers kawaida huanzia $19,000 hadi $96,000. Gharama pia itajumuisha ada za kupandikiza, x- ray, au vipimo vingine vya picha ambavyo vinaweza kuhitajika kabla na baada ya utaratibu, pamoja na ziara za kufuatilia na marekebisho yoyote yanayohitaji kufanywa.

Ni matibabu yaliyonigharimu pesa nyingi sana, sikuona shida, nilizitafuta za kazi gani kama nisipozitumia?. Violet akasema nisijiguse, atagharamikia matibabu yangu kama asante ya kumuokoa na wazazi wake, pia kumfanya aitwe mama, hakutaka nitoe hata mia mbovu mfukoni kwangu.

Hiki kipindi nilikuwa nikimwangalia machozi yanashuka, nikikumbuka ujinga wote nimemfanyia lakini ni kama tumejuana jana, nilijiona mkosaji sana kwake, simpi heshima anyostahiri.

Rosemary pia alikuwepo hapo hospital, walinihudumia kwa upendo, huwezi jua nani mke wa ndoa na nani mchepuko. Mchungaji aliendelea kututia moyo kila siku lazima apige simu aniombee na kuongea na Violet na Rosemary.

Nikapewa briefing kuhusu matibabu yangu.

Dr. Feriha : "A pacemaker is a small battery device. It sends electrical signals to the heart. It keeps your heart rate steady. Thin wires, called leads, carry the signals between the pacemaker and the heart.This apparatus is also known as a pacer.

You will receive medicines before surgery. This helps you to unwind and prevent pain.

The doctors will cut the skin just beneath your collarbone. The cut can come from either side of your chest. The doctor will place the pacemaker through the cutoff. The leads go into a large blood vessel in the upper chest. Then the doctors will guide the conductors across the blood vessel in the heart.

The doctors will place the pacemaker under the skin of your chest. He or she will tie the threads to the pacemaker. Then the cup will be closed with sutures.

The process typically takes approximately one hour. You are likely to return home on the same day.

Pacemakers typically have batteries that last 5 years or longer. The doctors will tell you how often you must have your pacemaker and battery checked.

You can likely return to many of your normal activities after your procedure. But to stay safe, you may need to make some changes in your normal routine.

You may be worried about having a pacemaker. It's a regular occurrence. You could feel better if you learn the skills to help you relax. And it might help if you find out how the pacemaker helps your heart. Discuss your questions and concerns with your health care provider.

Aftercare is a key element in your treatment and safety. Make sure you attend every appointment, and call your doctor if you have any problems. It's also a good idea to get your test results and keep a list of the drugs you are taking."

[ Haya ni maelezo nilipewa na Dr. Feriha, mmoja kati ya ma Dr. warembo kupata kunihudumia, alikuwa na hips za hatari sana.]

Doctor : " Follow the instructions to know when to stop eating and drinking. If not, your surgery may be cancelled. If your doctor told you to take your medications the day of the procedure, take them with just one sip of water."

I had to follow my doctor's instructions about when to bathe or shower before my procedure. Furthermore, they told me not to apply lotions, scents or deodorants. And I was supposed to take away all the jewellery and piercing. And take off contact lenses, if I wear them.

They asked me if I would rather be at ease and safe in an anesthesiologist. I can obtain medications that relax me or put me into a light sleep. I chose to get a drug that relaxes me so that I could look, I was allowed to look through a big screen. The surgery took one hour.

* **
Nikaanza maisha nikiwa na pecemaker kifuani, Violet alipambana mpaka Rosemary akaniambia ningepata dhambi kama ningekataa kumrudia, alionyesha mapenzi ya dhati kwangu.

Walinipatia kadi maarum, niwe nayo kila ninaposafiri kwa ndege. Natakiwa kuionyesha kwa uongozi wa uwanja husika ili nisipite kwenye scanners.

Tulipotoka hospitali, tulikaa wote nyumba ya Violeth, watoto walikuwa kwa bibi yao. Walihamishwa ili nipate utulivyo, tuweze kuyajenga upya. Kwa kweli kwa walichonifanyia, nafsi ilinisuta, nikaamua kutubu kwa mabaya niliyowafanyia. Niliamua kusema yote hata yale niliyokataa

* **
Baada ya siku tatu toka nimetoka hospitali, nilwaomba tuongee, lengo nitubu kwao kwa mabaya niliyowafanyia.

Honey, Rosemary and Violet. Sometimes no word can properly express the depth of a person's feelings that suffer from regret, guilt and sorrow for the wrong done. It's my problem now because I hurt you so much when you trusted me.

I mean, I'm sorry a thousand times, but I know my forgiveness can't undo what's been done or relieve the pain in your hearts. To cheat on you is an unpardonable sin. I fully deserve all the anger and hatred from you for what I have done to you.

But it also hurts me to see you suffer from my bad behavior. Guilt burns in my heart when I think about all the pain you endured because of my neglect. Every time I think about you, I get upset because I can imagine all the tears of pain you had to shed when you learned about my recklessness.

I feel that way because I still have love in my heart for you. Otherwise, I would completely ignore it and move on. But I don't want this relationship to end. You're still important to me, and I love you with all my heart. I truly want you to be happy again and I'm still a part of your life.

Well, a mistake is a mistake. I know I can't ask you anything when I've foolishly betrayed your trust in me. But if you can find it in your hearts to forgive me and give me another chance to prove to you how much I love you, I will surely be very relieved. Because that would mean I still have a chance to love you and appreciate you the way you deserve. and a chance to make your future life happier with more laughs and less crying.

Finally, I would like to express my confidence in my love for you. I am confident that we will get through the bad habits and make our relationship better than before. Give me another opportunity and I am confident that one day we'll look back and be happy that we have not strayed from each other. I still love you, nothing I can say will comfort you, and I am deeply sorry for the pain I have caused.

Leo napenda nikili mbele yenu, nikiwa nafanya biashara ya madini niliwahi tembea na mwanamke mmoja tulikutana safari mbeya, baada ya hiyo siku hatukukutana tena, naomba mnisamehe sana kwa usaliti huo.

Nilipoenda Ethiopia, nililala na mwanamke mwingine, japo Violet alinituhumu san ila nilikataa kusema ukweli, sioni sababu ya kueelea kukataa, nahitaji amani moyoni, naomba mnisamehe sana kwa usaliti huo.

Nikiwa ujerumani nilizaa na mwanamke mwingine, japo hamkufanikiwa kujua hili, ila naomba leo mtambue nina mtoto wa kiume ujerumani, najutia makosa yangu.

Siku nimepigwa risasi Sweden, chanzo alikuwa ni mwanake, najua niliwadanganya, lakini nahitaji msahama wenu ndio maana nakili ujinga wangu niliowafanyia.

I know now that I was blind without knowing that I already have the best wife.You are more than I could have dreamed, and I want to spend the rest of our lives together. chose the wrong path and because of that, I have caused you a lot of pain. I'm sorry from the bottom of my heart for ruining the good life we had together.

Rosemary : " All this time, I somehow blamed myself for the way you behaved. Maybe I couldn't get myself to believe that it wasn't me who was causing the problems... it was you all the time.

Love made me not see the fact that you were taking advantage of my ignorance. I find the strength to realize that it wasn't my fault that you lied to me. Despite all you've done, I respect the love I had for you, and I always will.

It is a part of me that I will never want to erase. I have forgiven you. I don't know what's harder, forgiving you or forgetting what you've done… I think I'll be numb from the inside, hoping that life will pass and the dust settles, we're still standing together hand in hand. I love you Edson. "

" I have forgiven you. I forgive you, not because I'm okay with what you did… but because letting hate ruin the memory would be an insult to my commitment to putting a smile on your face. Forgiveness does not have to be complete.

Just because you're ready to let go of the pain, doesn't mean you have to be okay with what happened. It just means that you are mature enough to stop the pain…' With these thoughts, I forgive you. But don't mistake my maturity for weakness. My forgiveness is not my weakness. It is my power to see the greater good that lies in letting go of the past for the better of you, me and all that matters most."

Violet : " Forgiveness is a conscious choice to let go of disappointment and embrace hope. I do it today, I forgive you. I'm not mad at you, I'm sorry to see you become someone I never thought you would be. Maybe it's time to move on... I'm sorry. Giving a second chance is better than regretting later that you didn't. And for those thoughts, I forgive you, hoping that this second chance will heal the wounds.

You are my first love and the most important person in my life. You are the perfect person and you are everything I need in a husband. But for the sake of our children, I hope we can find a way to resolve this so we can keep our family together. No matter what, deep down I know that you love me and I love you… and nothing else matters, I forgive you Edson .

Edson : "Nashukuru sana kwa wote kunisamehe, hii inaonyesha upendo mlionao kwangu, naahidi kwa mume bora tangu sasa."

Rosemary : " una mpango gani na huyo mtoto wa ujerumani.?"

Edson : " Najua nilifanya ujinga, naomba mkubali kumpokea katika familia yetu, tafadhali hili ni ombi pekee toka kwangu."

Rosemary: " Mtoto ni damu yako, anakaribishwa wakati wowote, lakini tambua una watoto wakubwa, tafuta namna watampokea bila migogoro kwenye familia hii. Kuhusu mama yake hatutaki kumsikia hapa, mlisha zaa yameisha, sisi tunapokea mtoto pekee. "

Violet: " Mwanaume ni kiumbe wa ajabu, mpaka na mtoto ulizaa ujerumani na mimi nilikuwa nakuja mara kwa mara huko. Sema leo watoto wote uliozaa nje, yawezekana kuna wengi zaidi. "

Edson : " Nawashukuru kwa kumpokea mtoto, mama yake ameolewa, hamtamuona wala kumsikia. Kuhusu watoto wengine sina, ni huyo tu wa ujerumani. "

Rosemary : " Kwa umri huu, hakuna haja ya kujiumiza, sikutaka mashindano japo niligundua usaliti wako mapema tu. Sitaki kuvuruga familia yangu Edson, tafadhali pumzika sasa baba, nilikuruhusu uwe na Violet kwa maana niliona mnapendana sana, sio rahisi kwa machungu niliyopata mpaka kufikia uamuzi ule, sikutaka kukupoteza Edson, na sitataka nikupoteze, Nakupenda Edson, acha kuumiza moyo wangu. "

Edson : " Sorry Rosemary, natambua uliumia sana mpaka kufikia uamuzi ule, ukweli ni kwamba kukosa kwangu msimamo mwanzo wa uhusiano wetu, ndio chanzo cha haya yote. Nilikupenda nikampenda8 na Violet bila kujua mwisho utakuwaje. Hatimae nikashindwa kubaki na mmoja, wote ni wa thamani sana kwangu. Asante sana mke wangu kwa kutambua kuwa sina uwezo wa kuachana na Violet, Asante kwa uniruhusu kuishi nae. "

Violet : " Asante sana ndogo wangu, pole kwa machungu niliyokusababishia, sikupenda kuingilia ndoa yako, nilijaribu sana kuachana na Edson lakini nikashindwa kabisa, nilianza kuwa mlevi na malaya ili tu nimsahau lakini sikuweza, nilitembea na wanaume wawili baada ya Edson lakini wote hawakunisahaulisha, kila mara naiona picha yake kichwani mwangu.

Baada ya kufanikiwa kumpata tena, nikajitahidi nisikukwaze, nikashindwa kutokana na kumpenda sana Edson, nafsi yangu ilinisuta ndio maana niliamua kuwachukua watoto wako ili angalau usinichukie.

Nisamehe mdogo wangu, hatujui nani alianza lakini wewe una haki kwa vile ulipata ndoa, nampenda Edson ndio maana mpaka leo niko hapa. Nashukuru kwa kunionea huruma na kukubali kushea mume wako, ndio maana nakupenda na kukuheshimu sana Rosemary, umenifundisha utu na uvumilivu, asante sana Rosemary. "

Rosemary : " ondoa shaka dada, nilikubali baada ya kuona hamuwezi kuachana, nashukuru sana kwa kuwatunza na kuwasomesha wanangu, tumtunze huyu baba alietuchanganya, najua mwanaume halindwi, pamoja na kumruhusu kwako lakini bado amezalisha na wengine, tutafute amani ya moyo, mapenzi hayana mwenyewe. Leo tuko wote kesho anatuacha anachukua wengine, hakuna haja ya kuchukiana. "

Violet : " Kweli Rose una moyo wa kipekee sana. Nakuahidi mbele ya Edson, watoto wetu watamiliki mali zote kwa usawa, hakuna atakae mzidi mwingine. Nataka usijutie kwa maamuzi yako, asilimia 50 ya mali zote nakupa kwa ajili ya watoto wako na mimi nabaki na asilimia 50 kwa ajili ya watoto wangu. Edson naomba uzingatie hilo kama kiongozi wa familia tafadhali sana nakuomba. "

Edson : " Nimefurahi sana kuona mmeridhiana kwa upendo sana, Nawashukuru sana, tujenge famila bora, nyinyi msipo wayumbisha watoto kwa maneno ya ubinafsi watakuwa na umoja. Naomba tusiangalie mali, tuangalie utu kwanza, mali zinatafutwa. Kuhusu mgawanyo wa mali, msijali kila mmoja atapata haki yake. "

Tulifanikiwa kukubaliana kwa mambo mengi sana, kila mtu alilidhia kwa upendo. Kuhusu ndoa na Violet tulikubaliana tusiongeze mikanganyiko mbele ya watoto, tuliandaa waraka wa kumtambua Violet kama mke wangu, na haki zake zote, tukasaini wote watatu. Tayari Rosemary na Violet walikuwa ameaminiana, hakukuwa na haja ya kisheria.

[Rosemary alikubali ku-share mume wake na Violet, na Violet alijibu kwa kukubali ku-share mali zake na Rosemary . Nilibaki kuwa msimamizi tu wa huu muunganiko wao, maamuzi yote walifanya wenyewe.]

Niliambiwa nikifikisha mika 50, sitakuwa na ruhusa ya kufanya kazi tena mbali nao. Pia tulianza ujenzi wa nyumba ya Violet Kigamboni na ya Rosemary Njiro. Japo walikubali tuishi pamoja lakini mimi niliwaomba kila mmoja akae kwake, awe huru kwake, kupunguza maneno na wivu.

Next today
Part Fifteen B: I hate to see you suffer from my bad behavior.

👋Farewell Tatiana,
 
hahaha anapenda papuchi ndio maana haokoki?
Unajua huwezi okoka twice ni kweli kabisa. Kanisa likija ruhusu wanawake wengi nahakikisha wengi wataokola😀😀
Hapa ndio mtihani wanaume mmewekea niamini asiependa papuchi ana kisukari maana wengi nguvu hufa za kiume na hawachi hata kama ataenda gusa gusa tu ili mradi tu amwagilie moyo
hahaha anapenda papuchi ndio maana haokoki?
Unajua huwezi okoka twice ni kweli kabisa. Kanisa likija ruhusu wanawake wengi nahakikisha wengi wataokola😀😀
Ni kweli wanaume wamepewa mtihani sana wana vishawishi anae viepuka mwenye ugonjwa wa kisukari maana wengi nguvu hufa za kiume na wengine hawachi hata kama mtalimbo umelala yoo 😁raha yake aonekane kidume 😁anawapanga tu hata kama atawashika shika 😁
 
Kwahio miaka 50 tayari au bado?? Ila jamaa una bahati na wake wanakupenda sana Mungu akudumishe nao🙏ila unaumwa bado ukamuona Dr Feriha pisi kali naona ingekuwa huna Yesu ndani yako ungemtafuna Dr tena hapo hapo hospital 😂😂jina la Feriha umenikumbusha Turkish movie a girl named Feriha.
 
Part Fifteen B: I hate to see you suffer from my bad behavior.

👋Farewell Tatiana,

June 4,2020

Napokea taarifa ya kifo cha mama Violet (Tatiana), alifariki kifo cha kawaida tu kutokana na uzee, alikuwa na miaka 68.

Nilifanya utaratibu wa kwenda msibani, niliongozana na mke wangu Rosemary . Tulimaliza msiba salama, ikabidi kufanya kikao kama familia kujua tunasongaje mbele.

Nilisimama kama kiongozi wa familia, kwa vile ni mwanaume, pia kwa umri namzidi Rose na Violet, pia baada ya kifo cha baba Violet (mr. Collins ), Miongoni mwa yale mafile aliagiza nipewe kulikuwa na maelekezo ya kuwa kiongozi wa familia ile. Hata mama Violet (Tatiana ) alinisisitiza hilo kipindi tulifanya kikao baada ya kifo cha mmewe.

Tulikubaliana kuishi kulingana na misingi tulio achiwa na wazazi wetu.

Edson : "Poleni kwa msiba, sisi tumepoteza mama na watoto wamepoteza bibi, tunapaswa kumshukuru Mungu maana hawezi kutupa mtihani ambao hatuwezi kuumudu.

Katika maisha yetu tumepoteza wapendwa wetu, tuliwapenda sana lakini Mungu aliona wamemaliza kazi aliyowapa hivyo akawachukua, Mzee Anthony, Mzee Collins, Mama (Antonia), Mama (Tatiana).

Pia tufanye lililo jema ili kukamilisha safari yetu sisi tuliobaki, ili wapendwa wetu wafurahie kile walichopandikizwa ndani yetu"

[Mtu hafi, mwili huoza, mtu hurudi kwa muumba wake kusubiri siku ya hukumu. Kwa sababu mtu si mwili, mtu ni nafsi ya ndani.]

"Violet nakushukuru sana, tumeshirikiana vyema katika matatizo na misukosuko, hakuna siku ulituacha, hata ulipopata sababu ya kuondoka lakini ulichagua kubaki nasi, asante sana kwa wema wako.

Rosemary pia nakushukuru sana kwa uvumilivu wako mchango wako mkubwa kwa familia hii, umetoa ushirikiano mkubwa. Hongera kwa moyo ulionao. "

Edson Jr1, Asante kwa mchango wako wa kumsaidia mama yako, wewe ni hodari na jasiri, familia hii haitaanguka kamwe. Wewe ndiye kaka mkubwa na mkuu wa wenzako, wewe ndiye msingi wa familia hii. Jengo salama na imara inategemea ubora wa msingi.

Unapaswa kuwa kaka mzuri ili tujivunie mafanikio yako. Umemaliza shahada yako ya uzamili, ni wakati wako wa kuwatunza wadogo zako. Fanya kazi kwa bidii na kila wakati mtangulize Mungu, waongoze vyema wenzako.

Eila, Nashukuru kwa mchango wako katika familia, umekuwa msaada mkubwa kwa mama yako, wewe ni kuta zinazowalinda ndugu zako, kamwe wasipate nyufa. Wewe ni binti mkubwa sasa, umemaliza masomo. . Ni wakati wako wa kuwaangalia wadogo zako, na kuwaongoza vyema. Usisahau hata siku moja yale ambayo wazazi wako walikufundisha."

Elisa, Nakushukuru kwa mchango wako kwa familia hii, umekuwa msaada mkubwa kwa wazazi wako. Wewe ni madirisha ya familia hii, ukifunga wanakosa hewa safi na mwanga ndani ya nyumba. Siku zote tambua kuwa hawa ni kaka na dada zako, nataka ushirikiano na heshima kutoka kwenu nyote. Unamaliza masomo yako, jiandae kutumia ulichonacho kuwasaidia ndugu zako."

Elise, Nakushukuru kwa mchango wako katika familia hii, umekuwa msaada mkubwa kwa wazazi wako, wewe ni paa katika familia hii, usikubali ndugu zako wakutane na hali mbaya ya hewa, hakuna mafanikio katika maisha bila ushirikiano. Ukikumbana na tatizo ndugu zako ndio wajue kwanza. Heshimu kila mtu, mdogo au mkubwa.

Edson Jr2, Nakushukuru kwa mchango wako katika familia hii, umekuwa msaada mkubwa kwa wazazi wako, wewe ni nguzo katika familia hii, ukianguka msingi, kuta, madirisha na paa vyote vitaanguka. ndio wa mwisho katika familia hii, maana yake unatakiwa kuwashikilia ndugu za wasianguke.

Shirikiana na ndugu zako, jifunze mambo mazuri ya ndugu zako, jitahidi katika masomo yako utafanikiwa.

Asante kwa kunisikiliza, naomba mchangie

Violet : "Tunakushukuru sana baba, umetuongoza vyema mpaka sasa. Tumeshirikiana kwa kila jambo, na kwa upendo, sina ndugu ila wewe na familia yangu tu. Asante kwa kushiriki msiba wa mama yangu, na msiba wa baba yangu. Naipenda sana familia yangu. Edson, nakushukuru kwa kunifariji na kunishauri, hakika una moyo wa kipekee sana.

Hukati tamaa, huchukii, huwa unashauri kwa upendo. Natamani hawa watoto wetu wawe na moyo kama huu wako. Mdogo wangu Rosemary nakushukuru sana kwa upendo uliouonyesha. Hakika nimejifunza kitu muhimu sana kutoka kwako. Nakupenda sana, tuna wajibu wa kumtunza Edson, tulipewa kama zawadi ya kutuonyesha njia iliyonyooka.

Rosemary : " Asante baba na asante sana dada Violet , nashindwa hata niseme nini maana umemaliza kila kitu, nilipokutana na huyu mwanaume nikaona ni kana kwamba nilikutana na malaika nikiwa na matatizo. hajawahi kubadilika tangu hapo Mungu ana sababu zake za kujiunga na familia hii tupendane zaidi tuzidi kumuombea huyu baba atuongoze vizuri."

Edson : " Asante Rosemary na Violet, nyie ni wa maana sana kwangu. Tuendelee kusaidiana, nawapenda sana. Ngoja tumalizane na watoto, Nyie leo hamuongei?"

Edson Jr 1 : " Tulisubiri umalize kuongea baba, asante kwa ujumbe wako umenigusa naahidi nitafuata nyayo zako, wadogo zangu wako kwenye mikono salama nitawaongoza vyema kabisa. Asante mama zangu mnatufundisha kitu cha maana sana nawapenda sana.

Eila : " Asante wazazi wangu, nitafanya kile mlichonifundisha kwa hakika. Nawapenda sana."

Elisa : "Asante wazazi wangu, nitashirikiana na wenzangu kufanyia kazi ushauri na maagizo yako baba, asanteni sana."

Elise : "Asante mama na baba, naahidi sitawaangusha. Nawapenda sana."

Edson Jr2: "Asante, Baba. Ulichojenga kitaendelea kuwa na nguvu. Nakupenda sana. Nitafata maagizo yako yote, Asante sana mama zangu, nawapenda."

** ** **
Nakabidhi majukumu kwa kila mmoja wetu, watoto ni wakati wenu kufanya kazi na kujifunza tukiwa bado tuna nguvu, ili tuwakosoe mnapokosea.

Mali zote za familia zinakuwa mikononi mwenu, sitaki ubinafsi maana nyie ni ndugu, hakuna mwenye haki kuliko mwingine hapa. Mmepata akili mkakuta nasimamia hizi mali bila upendeleo, Violet na Rosemary wote ni mama kwenu, hakuna mama mwenye haki kuzidi mwenzake hapa, na nyinyi pia hakuna mwenye haki kuzidi mwingine.

Atakaeleta ubinafsi atajibu kwangu moja kwa moja, sitakuwa na msamaha kwa mkorofi baada ya haya maelekezo yangu.

Mnapewa jukumu la kusimamia mali sio kumiliki, umiliki unabaki kuwa wa familia. Sisi kama wazazi tutakuwepo kuwasimamia.

**********
Baada ya kumaliza msiba na kukabidhiana majukumu, niliona sio mbaya tutafute chimbo moja, tutulie tupange yajayo. Pia nilitaka kumfariji Violet ili tukiondoka na Rosemary awe amekaa normal.

Katika upekuzi nikapata kijiji kimoja kizuri sana, nikawashirikisha maua yangu, wote wakaunga ukono.

Tulienda kutoa ushamba Sehemu Ina julikana kama Santa Claus Holiday Village. Kiko katikati mwa Kijiji cha Santa Claus, kilomita 10 kaskazini mwa Rovaniemi.

Tulifurahia kuteleza na kupanda milima iliyo karibu. Chakula cha kupendeza sana na cha kimataifa kinatolewa Christmas House Restaurant & Coffee.

Ni Mgahawa mkubwa na mzuri sana. Ni mwendo wa kama dakika 5 hivi kwenda uwanja wa ndege wa Rovaniemi.

Tulikaa Rovaniemi kwa wiki tatu, Tulifanikiwa kutembelea mitaa kadhaa nikiwa mimi na maua yangu. Kisha tukarudi jiji letu la joto.

***********

Next

Final Part A: Where youth meets old age.
✍️LP: Finnish, English, Portugal, Arabic, French and Germany.

 
Gily mie naomba umuulize mwanaume mwenzio nasikia mwanaume
Gily niulizie nasikia wanaume wakipiga show moyo wakamwaga maji ya uzima moyo huenda mbio utadhani Hussein Bolt kwenye Riadha,sasa inakuaje mambo ya kula mbususu au ndo maana nafsi yake iliokolewa mapema 😁
 
Ww kojoza mwanamke uone tulivyo hatuna kona mwenye kipengele hicho
 
Nzuri sana ila kama Gily alivyo sema Zambarau 💜hatujazoea kuongea kiswahili 😁anakijua au cha kuibia ibia??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…