Biblia katika Wimbo Ulio Bora 3:5 inasema "Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, MSIYACHOCHEE MAPENZI, WALA KUYAAMSHA, Hata yatakapoona vema yenyewe."
Je nini maana kuyachoochea mapenzi? โ Kuyachochea mapenzi ni kufanya kitendo au jambo lolote linalopelekea kuleta uhitaji au kuamsha shauku ya kufanya tendo la ngono kama
Gily unavyofanya hapa. Lengo la vitendo vyako ni kuamsha shauku ya kufanya tendo la ngono na
Dahan pia
Nourhan. Nikukumbushe wewe katibu wa jumuia ๐, hii ina maana vitendo husika (foreplay) ni maalum kwa wanandoa tu na si vinginevyo.