Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Nimependa umeokoka ,,na umeokoka baada ya kukinai ,hapo utadumu kwenye wokovu ila hawa ambao bado kabisa waonjaji na walaji kuoka leo kesho kukengeuka
Binafsi nina amani zote nami pia kwa kuwa bado asilimia 20 wokovu wangu ukamilike ,,mwenyezi Mungu anisaidie
Asante sana Nima Imma
Kazana hiyo 20 itimie mapema, kuna raha sana ukipata mwanga mpya maishani.
 
Nimependa umeokoka ,,na umeokoka baada ya kukinai ,hapo utadumu kwenye wokovu ila hawa ambao bado kabisa waonjaji na walaji kuoka leo kesho kukengeuka
Binafsi nina amani zote nami pia kwa kuwa bado asilimia 20 wokovu wangu ukamilike ,,mwenyezi Mungu anisaidie
Asante sana Nima Imma
Kazani hiyo 20 itimie mapema, kuna raha sana ukipata mwanga mpya maishani
Ya leo haijanibamba au nitakuwa kafuasi ka shetani 😂
Daah!
 
Nimependa umeokoka ,,na umeokoka baada ya kukinai ,hapo utadumu kwenye wokovu ila hawa ambao bado kabisa waonjaji na walaji kuoka leo kesho kukengeuka
Binafsi nina amani zote nami pia kwa kuwa bado asilimia 20 wokovu wangu ukamilike ,,mwenyezi Mungu anisaidie
Amen umri ukisogea automatically kuna mambo utapunguza au kuacha kabisa Mungu akusimamie na akuongoze
 
Gily kwa nini unaanzisha ugonvi anajibiwa leadermoe? Au Nourhan amekosea ku quote 🤔
Nourhan hajakosea ku quote mimi mke wangu mmasai wewe mke wako mngoni 😀😀

Kama namuona Nourhan jinsi alivyo mzuri anavtoandika text zake naona kama shombe shombe some la kitanga. Najiuliza kaolewa au jimbo liko wazi ?
Ila anafanana na demu wangu alinipiga kibuti flani alikuwa na madeni vikoba balaa. Yan ukimsugua na elfu kumi analegea mpaka basi😬😬😬🤣🤣
 
Part Fourteen D : Decisions are up to you, give money or die.{ Four years in Sweden}

🧎Restore me, Jesus. Live in me.

Baada ya kusitisha uhusiano na Livia, na kwa kutambua kabisa nimesamehewa mara nyingi na Vio na Rose, nikaamua sitalala na mwanamke mwingine tofauti na mke wangu Rosemary na mchepuko wangu Violet.

Kila nilipopata tamaa ya ngono na mwanamke mwingine, nilikumbuka kovu la risasi nikaacha kabisa. Nikaamua kumpa ruhusa Violet akae na mimi pake hotelini, na awe anaenda kwa watoto mara moja moja. Akikaa wiki kwangu, kwa wototo wiki mbili. Maana mam yake nae alianza kuzeeka.

** **
Mwaka 2013 July, nilikutana na Pastor Quinton katika mizunguko ya kikazi, alikuwa mcheshi sana, anapenda waafrika aliwahi kuishi Nigeria . Tukawa marafiki akanikaribisha kwake.

Nilifurahi kukutana na Pastor, nikaamini kuna sababu ya yeye kunipenda ndani ya muda mfupi, nikakubali mwaliko kanisani kwake. Ni kanisa dogo tu, lina waumini wengi waafrika kutoka Ghana na Nigeria, na mataifa mengine pia, wazungu hawakuwa wengi sana.

Liko mtaa wa Vastra Hindbyvagen 18, Malmo, Sweden, ni umbali wa kilometa 5.5 kutoka Elite hotel sio zaidi ya dakika 20 kwa gari.

The Redeemed Christian Church of God, Restoration Assembly (Pentecostal church in Malmo)

{No Matter What You’re Good Enough
We believe life is not meant to be walked alone, but in a community where we look after one another.

We believe in Jesus. To live out his message means we care about the people and place where we live. We encourage each other to follow Jesus’ teachings and work together to make a positive difference in our city.
We’d love to have you join us.

Huyu pastor alitoka Sydney, Australia akaja Malmo kufungua hilo kanisa 2007 akiwa na mke wake na watoto wao wa nne.

Nilipokelewa kwa furaha sana na kanisa zima, nikashangaa maana sikuwa nafahamika ila wao hawakujali hilo, walinionyesha upendo wa ajabu mpaka machozi yakanitoka.

Niliongozwa Sala ya toba na Pastor Quinton mwenyewe , mpaka leo nayakumbuka yale maneno. Nikapewa karatasi ime- pritiwa hiyo sala, sio mchungaji anasema namfatisha.

Kanisa lote liko kimya, niko mbele ya kanisa zaidi ya watu 100. Nikaweka mkono wa kuume kwenye moyo na mkono wa kushoto nikainua juu, nikasogezewa mike nikiwa nimepiga magoti.

** **
Bwana Yesu,

Ninakiri kwamba mimi ni mwenye dhambi. Nimefanya mambo mengi ambayo hayakupendezi. Nimeishi maisha yangu kwa ajili yangu tu. Samahani, na ninatubu. Naomba unisamehe. Ninaamini kwamba ulikufa msalabani kwa ajili yangu, ili kuniokoa.

Ulifanya kile ambacho sikuweza kufanya kwa ajili yangu mwenyewe. Ninakuja kwako sasa na kukuomba uyatawale maisha yangu, nakupa wewe. Kuanzia leo na kuendelea, nisaidie kuishi kila siku kwa ajili yako na kwa njia inayokupendeza.

Yesu, ninaamini wewe ni Mwana wa Mungu, kwamba ulikufa msalabani ili kuniokoa kutoka kwa dhambi na kifo na kunirudisha kwa Baba.

Ninachagua sasa kugeuka kutoka kwa dhambi zangu, ubinafsi wangu, na kila sehemu ya maisha yangu ambayo haikupendezi wewe.

Nakuchagua wewe, ninajitoa kwako.

Ninapokea msamaha wako na kukuomba uchukue nafasi yako sahihi katika maisha yangu kama Mwokozi na kiongozi wangu. Njoo utawale moyoni mwangu, nijaze na upendo wako na maisha yako, na unisaidie kuwa mtu ambaye ana upendo wa kweli, mtu kama wewe.

Ninakupenda, baba, na ninakushukuru kwamba nitakaa nawe milele yote. Unirudishie furaha moyoni mwangu, Yesu. Ishi ndani yangu. Tenda kupitia mimi.

Asante Mungu, katika jina la Yesu ninaomba. Amina.

** ** **
Nikatambulishwa kwa heshima, karibia nusu ya kanisa walikuja kuni kumbatia na mabusu ya mashavuni . Kwa mara ya kwanza nikaona mwanga mpya maishani mwangu. Tango likatii, likaacha kushtuka kila likiona mwanamke mzuri.

Nilipata wasaa wa kuongea na mchungaji na mke wake baada ya ibada, kisha nikakaribishwa chakula kwake, akanitambulisha kwa familia yake.

Nikaomba appointment ili nimsimulie mapito yangu, aone namna ya kunisaidia.
Tulikubaliana atanipa nafasi baada ya ibada ya wiki ijayo.

July 21, 2013. Nilipata wasaa wa kumweleza mapito yangu yote bila kuacha hata nukta. Nakumbuka nilitumia masaa manne kujieleza, akawa ananirekodi, na kuna mengine anaandika kwa mkono kwenye diary yake.

Baada ya maongezi aliniombea, akaniomba nimpe muda wa maombi kisha atanijulisha tukutane anipe majibu. Moyo wangu ulijawa na furaha sana baada ya kuelezea history yangu.

Song: Our God.
Artist: Chris Tomlin
Album: And If Our God Is for Us...
Released: 2010
Genre: Christian

Water You turned into wine
Opened the eyes of the blind
There's no one like you
None like you

Into the darkness You shine
Out of the ashes we rise
There's No one like you
None like you

Our God is greater, our God is stronger
God You are higher than any other
Our God is Healer, awesome in power
Our God, Our God

Into the darkness you shining
Out of the ashes we Rise
No one like you
None like you

Our God is greater, our God is stronger
God You are higher than any other
Our God is Healer, awesome in power
Our God, Our God

Our God is greater, our God is stronger
God You are higher than any other
Our God is Healer, awesome in power
Our God, Our God
And if Our God is for us, then who could ever stop us?
And if our God is with us, then what can stand against?

Then what can stand against?

And if Our God is for us, then who can ever stop us?

Baada ya wiki nzima, mchungaji alinijulisha nikaonane nae,

Pastor: "Bwana Yesu asifiwe ndugu Edson."
Edson: "Amina pastor."
Pastor: "Karibu sana."
Edson: "Asante sana pastor."
Pastor: "Kuanzia siku ile nimekuongoza sala ya toba, wewe umezaliwa upya, umesamehewa dhambi zote, haya tunayoongea leo ni kama hadithi tu."

Edson: "Amina pastor."

Pastor: " Familia yako iko wapi, umesema una wake wawili?"

Edson : "Ni kweli pastor, nina mke wa ndoa yuko Tanzanian, huyu tulifunga ndoa kanisani, mwingine ni mfin, hatujafunga ndoa, ila nilizaa nae kabla sijaona, nilishindwa kuachana nae, hatimae wakaelewana na mke wangu, ninaishi nao wote."

Pastor : "Ndoa ya pili inaweza kuonekana kama tendo la dhambi na wengine, lakini mtazamo huu haukubaliki kwa ulimwengu wote. Hata Biblia haikatai waziwazi kuoa tena; watu wengi hupata furaha katika ndoa zao za pili. Mungu atabariki ndoa ya pili ikiwa itafungwa kwa heshima, upendo, na uaminifu kwa kila mmoja."

Edson : " Nahitaji kujua nafanyaje maana najua maandiko yanasema usimuache mke wa ujana wako, huyu nimekuwa nae toka ujana wangu, nimepata mwanga mpya maishani nikiwa na umri huu, na tayari tuna watoto, natakiwa nifanyeje?. "

Pastor: "Mungu hakukusudia watu wasiofunga ndoa waishi pamoja kabla ya ndoa. Hii ni pamoja na kulala au kushiriki kitanda kimoja pamoja, kuishi pamoja wakiwa wamechumbiwa, au kuishi pamoja lakini bila kulala pamoja. Kwa sababu tu unapanga kufunga ndoa au ikiwa hamlali pamoja haimaanishi kuwa ni sawa.

Lakini jambo lako ni gumu, linahitaji hekima, ni ngumu kufuta kumbukumbu hiyo ili hali mna watoto, wale watoto ni uzao wa uzinzi sasa je itakuwaje, tunahitaji hekima na utu. Lakini kwa Yesu anayo majibu yote. "

Kutoka 21:10-11 "Mwanamume akioa mke wa pili, ni lazima aendelee kumpa mke wake wa kwanza kiasi kile kile cha chakula na mavazi na haki aliyokuwa nayo hapo awali." Hizi ni sheria za Musa kwa wana wa Israel. Na Yesu hakuja kutengua sheria zilizokuwepo, bali alizitimiliza.

1 Wakorintho 7 : Lakini kwa kuwa kuna uzinzi mwingi, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe. Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, na vivyo hivyo mke kwa mumewe. Mwili wa mke si wake peke yake bali ni wa mumewe pia.

Waefeso 5:25 inasema, “Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake.

Kumkubali kwako mke wako bila masharti hakutegemei utendaji wake, bali ni thamani yake kama zawadi ya Mungu kwako. Ikiwa unataka kumpenda mke wako bila masharti, daima hakikisha kuwa tanki lake la hisia limejaa

Ushauri wangu kwako, tafuta uso wa Yesu, hakuna analoshindwa, huyu ni mke wa ujana ambae sio mkeo wa ndoa. Huwezi waua watoto wako ili kuisahau dhambi hiyo, kama utabaki na watoto, huna haki kibinadamu kumfukuza mama yao, ila kibiblia anapaswa kuachana nae. Tutafanya maombi, na wewe uwe na ratiba ya maombi kutafuta amani ya moyo ili ikuongoze kuachana na huyu violet.

Kwa kweli, hapa nilipewa mistari mingi sana, lakini tatizo likawa ni kumfukuza yule mwanamke na damu yangu. Nitakuwa nimetenda dhambi pia. Niliamua nitaendelea kuomba, na pastor aniombee, kama nikipata amani ya kumuacha nitafanya hivyo, ila kama sijapata amani moyoni niwatunze.

Pastor hakuchoka kuniombea, niliwapeleka familia yangu yote kwake (Rosemary, Violet, Edson Jr1, Eila, Elise, Elisa na Edson Jr2), wote wliokoka , wakabatizwa , tukaanza maisha ya furaha kama familia moja.

* *
Nilitumia kipindi hicho kuhudhuria kanisani, asubuhi naenda morning grory ndipo niende kazini. Pia nilitumia ujuzi wangu niliojifunza Ujerumani wa kupiga Kinanda, maana mpigaji waliekuwa nae alikuwa ni mwajiliwa mara Kadhaa husafiri.

[Nilisoma music najua kupiga vyombo mbali mbali vya musiki kwa ustadi wa hali ya juu kama vile, violin, drums, solo guitar , base guitar, keyboard nk.]

** * *
Ni katika kipindi hiki nilipata uwezo wa kufunga (fasting), nikagundua raha nyingine kiroho. Ukifunga unakuwa na uwezo wa kutiisha mwili, unajawa na amani, huruma, upendo nk.

Nilianza siku moja, hatimae tatu kavu, ikaja saba, tatu kavu na nne za kawaida, nikahamia 14, tatu kavu na 11 za kawaida.

Fasting yangu ya muda mrefu ni siku 21, tatu kavu 19 kawaida juice ya matunda na mboga na maji pekee kila saa 1 jioni mpaka kesho yake tena. Nilipata nguvu zaidi kiroho, nikayachukia maisha yaliyopita, nikachukia ngono. Hii sijaiacha kila mwaka lazima nifanye mara moja.

Song: Amadeo (Still My God)
Artist: Ryan Stevenson
Album: Wildest Dreams
Released: 2020
Genre: Christian

Songwriters: Bryan Fowler / Micah Darrel Kuiper / Ryan Stevenson

Life can take our breath away
Tragedy can leave a wake
A broken heart won't ever beat the same
Pain can stop us in our tracks
Losing what we can't get back
Shaking the foundations of our faith

No matter what's in my way
No matter the battles I face

You are still my God
You're still my rock
My only hope Lord, You're all I've got
In every valley or mountaintop
I'll say hallelujah
You're still my God
You're still my God

The questions keep us in the fight
The answer's never black or white
We may not know until the other side
But even in this in-between
We fix our eyes on what's unseen
The shadows never overcome the light

No matter what's in my way
I know that You won't ever change

You are still my God
You're still my rock
My only hope Lord, You're all I've got
In every valley or mountaintop
I'll say hallelujah
You're still my God

You're still my hope
You're still my peace
You're still my joy
You're all I need
You're still my strength
When I am weak
You're still my God
I still believe

You are still my God
You're still my rock
My only hope Lord, You're all I've got
In every valley or mountaintop
I'll say hallelujah
You're still my God

You're still my hope
You're still my peace
You're still my joy
You're all I need (You're still my God)
You're still my strength
When I am weak
You're still my God
I still believe (You're still my God)

You're still my God

* **
Next

Part Fifteen A : I hate to see you suffer from my bad behavior.

💓Your heart needs a pacemaker.
View attachment 2599521View attachment 2599522

Yah, wana heri wenye mwisho mwema. Hongera sana
 
New episode guys. .
Missy Gf
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
baby zu
Depal
Kalpana
Lovelovie
Binadamu Mtakatifu
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
moneytalk
Dahan
Johnnie Walker
Leejay49
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Kalpana
Luv
masai dada
Litro
Edmund
Nima Imma
 
😂😂😂 Ulipo nipo bro 😂😂
Hunitakii mazuri😀 au unaniona ndio wale wati hawawezi ingia kwenye tundu la sindano🤣🤣 kwani utanipa mbususu ili nisiokoke? 😀😀😀

my mother in law ilikuw mwaka huu siku ya mwaka mpya, kaja kunitembelea nyumbani kwangu. Aliniuluza sasa mwanangu wewe pombe hunywi, sijawahi sikia una mambo ya michepuko, sijawah sikia taarifa mbaya juu yako. Sasa kilichobaki ni nini kama sio kuokoka😀😀😀😀

niliwaza sana.......
 
Back
Top Bottom