Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Asante Gily nafurahi kusikia hivyo , Mungu ni mwema , you will again stand firm my young leadermoe
 
Nimecheka kweli[emoji3] una umri gani kumuita leadermoe my yiung brother?

au nakuchukulia poa una age[emoji3]
Anhaaa Gily pitia upya comment zangu zote kwenye huu uzi uone ni kwanini ananiita kaka , alafu kwenye kwenye zile lugha zingine tafuta maana zake google translator utaelewa kuwa yule ni mdogo wangu .

Wewe Gily ni kijana wangu ila utani na wewe ni kwa kuwa umenizidi kuwa na watoto tu [emoji3][emoji3]
 
Jamaa Ana watoto wamemaliza chuo 🀣🀣🀣 wewe huna watoto hata waliomaliza darasa la saba🀣🀣🀣 again una uhakika ni mdogo wako?


haha weee shikamoo brother I mean father Ulimaliza shule na Rizwan kikwete au baba yakeπŸ˜€
 
Kwenye story yake mojawapo alitaja umri wake , kiasi ni kuwa yuko nyuma kwa miaka 11 .

Yeye kabahatika watoto ila mimi sijabahatika watoto mbali na umri huu , ila alikiri kuwa mimi ni kaka yake .

Ridhiwan ni kijana wangu , baba yake ni kaka kwangu kwa miaka kadhaa ila itoshe kusema nimecheza naye , baadhi ya michezo huko zamani bila kusahau rumba tumeruka wote japo ni bro .
[emoji3][emoji3]
 
Basi kama ni hivyo ni muda rasmi nikutafutie shangazi yangu huko uchagani uchague
1. mwenye mtoto ili upate watoto wa kukulea uzeeni
2 Ambae hana watoto ila huyu mahari inasoma million 3 haipungui😊

Dah humu ndani kumbe watu mmeend umri natakiwa niwe na heshima maana naweza kupigwa makonzi🀣🀣 nina miaka 32 ila akili yangu bado iko na miaka 17😊😊

Analyse binadam Mtakatifu Johnnie Walker na Half american hawa ndugu zangu mna la kujifunza hapa😊😊😊
 
Nina kabinti kabichi sana kananilea , mishangazi itakuja kunilia jasho langu .

Kuhusu kulelewa nina mauncle wakutosha kunilea maana wanajua uncle wao mambo yalienda mlama kwenye uzao
 
Acha dharau dogo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina kabinti kabichi sana kananilea , mishangazi itakuja kunilia jasho langu .

Kuhusu kulelewa nina mauncle wakutosha kunilea maana wanajua uncle wao mambo yalienda mlama kwenye uzao
Hako kabinti kabichi kameweka jiti kubwa kama gogo kwenye mkono mbona siku hizo zote uko nao hatuoni matokea ya hako binti kukuleaπŸ˜€ nikajua unakuja kwenye uzi wa leadermoe kuchukua point tatu za ushindi. Leo umeniacha na mawazo yan uchagan tunavyotafuta watoto natamani nitafute hata mwanamke nimzalishe tu nahisi mbegu zangu sizitendei haki kabisa. Nikipata watoto 23 nitaburudika nafsi. Akitokea mtu hata JF anataka mbegu bure Nampa ila awe na uwezo tuπŸ˜€

haha mbona Analyse anadai mashangazi yana maziwa ya moto mpaka mda wanaunguzaπŸ˜€. Huyu Analyse ananipoteza🀣🀣🀣
 
Anhaa Analyse anakupoteza sana .
Hapana ndugu ukija kwenye mambo ya afya hautanishangaa kukosa watoto ila utasema ni kadari za mnyazi .

Ila moto napeleka sana , nipe mchaga mmoja nimuoneshe mambo ya ki@leadermoe
 
Anhaa Analyse anakupoteza sana .
Hapana ndugu ukija kwenye mambo ya afya hautanishangaa kukosa watoto ila utasema ni kadari za mnyazi .

Ila moto napeleka sana , nipe mchaga mmoja nimuoneshe mambo ya ki@leadermoe
haha πŸ˜„ wenzako huko wanasema wanapeleka moto wanafia vifuani mwa watu🀣 vijana hawa siku hizi wana moto ishatokea wakati binti anakata kiuno mzee anakata rohoπŸ˜„πŸ˜€
 
Huyo Gily hawezi kukupa dada ake, hata ufanyeje πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Haha kuna watu wanafukuzia dada zangu sina kinyongo nao. Ila nimewachana vijana wanaopend uharibu watoto wa watu tena huwa wanasema Gily white watoto wake wana mapaja meupe wazuri

aisee nilimtahadharisha Johnnie Walker kuwa akijaribu kumfukuzia mwanangu naenda Kongo huko kwa mganga matako yake yatakuwa yanatoka jasho mda wote Wenzake wanatembea na leso kufuta uso yeye anafuta matako jashoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…