Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Hello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .

Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .

Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .

Best, Gily

Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah

etc
Asante Gily nafurahi kusikia hivyo , Mungu ni mwema , you will again stand firm my young leadermoe
 
Nimecheka kweli[emoji3] una umri gani kumuita leadermoe my yiung brother?

au nakuchukulia poa una age[emoji3]
Anhaaa Gily pitia upya comment zangu zote kwenye huu uzi uone ni kwanini ananiita kaka , alafu kwenye kwenye zile lugha zingine tafuta maana zake google translator utaelewa kuwa yule ni mdogo wangu .

Wewe Gily ni kijana wangu ila utani na wewe ni kwa kuwa umenizidi kuwa na watoto tu [emoji3][emoji3]
 
Jamaa Ana watoto wamemaliza chuo 🤣🤣🤣 wewe huna watoto hata waliomaliza darasa la saba🤣🤣🤣 again una uhakika ni mdogo wako?

haha weee shikamoo brother I mean father Ulimaliza shule na Rizwan kikwete au baba yake😀
 
Jamaa Ana watoto wamemaliza chuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe huna watoto hata waliomaliza darasa la saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] again una uhakika ni mdogo wako?

haha weee shikamoo brother I mean father Ulimaliza shule na Rizwan kikwete au baba yake[emoji3]
Kwenye story yake mojawapo alitaja umri wake , kiasi ni kuwa yuko nyuma kwa miaka 11 .

Yeye kabahatika watoto ila mimi sijabahatika watoto mbali na umri huu , ila alikiri kuwa mimi ni kaka yake .

Ridhiwan ni kijana wangu , baba yake ni kaka kwangu kwa miaka kadhaa ila itoshe kusema nimecheza naye , baadhi ya michezo huko zamani bila kusahau rumba tumeruka wote japo ni bro .
[emoji3][emoji3]
 
Basi kama ni hivyo ni muda rasmi nikutafutie shangazi yangu huko uchagani uchague
1. mwenye mtoto ili upate watoto wa kukulea uzeeni
2 Ambae hana watoto ila huyu mahari inasoma million 3 haipungui😊

Dah humu ndani kumbe watu mmeend umri natakiwa niwe na heshima maana naweza kupigwa makonzi🤣🤣 nina miaka 32 ila akili yangu bado iko na miaka 17😊😊

Analyse binadam Mtakatifu Johnnie Walker na Half american hawa ndugu zangu mna la kujifunza hapa😊😊😊
 
Basi kama ni hivyo ni muda rasmi nikutafutie shangazi yangu huko uchagani uchague
1. mwenye mtoto ili upate watoto wa kukulea uzeeni
2 Ambae hana watoto ila huyu mahari inasoma million 3 haipungui[emoji4]

Dah humu ndani kumbe watu mmeend umri natakiwa niwe na heshima maana naweza kupigwa makonzi[emoji1787][emoji1787] nina miaka 32 ila akili yangu bado iko na miaka 17[emoji4][emoji4]

Analyse binadam Mtakatifu Johnnie Walker na Half american hawa ndugu zangu mna la kujifunza hapa[emoji4][emoji4][emoji4]
Nina kabinti kabichi sana kananilea , mishangazi itakuja kunilia jasho langu .

Kuhusu kulelewa nina mauncle wakutosha kunilea maana wanajua uncle wao mambo yalienda mlama kwenye uzao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina kabinti kabichi sana kananilea , mishangazi itakuja kunilia jasho langu .

Kuhusu kulelewa nina mauncle wakutosha kunilea maana wanajua uncle wao mambo yalienda mlama kwenye uzao
Hako kabinti kabichi kameweka jiti kubwa kama gogo kwenye mkono mbona siku hizo zote uko nao hatuoni matokea ya hako binti kukulea😀 nikajua unakuja kwenye uzi wa leadermoe kuchukua point tatu za ushindi. Leo umeniacha na mawazo yan uchagan tunavyotafuta watoto natamani nitafute hata mwanamke nimzalishe tu nahisi mbegu zangu sizitendei haki kabisa. Nikipata watoto 23 nitaburudika nafsi. Akitokea mtu hata JF anataka mbegu bure Nampa ila awe na uwezo tu😀

haha mbona Analyse anadai mashangazi yana maziwa ya moto mpaka mda wanaunguza😀. Huyu Analyse ananipoteza🤣🤣🤣
 
Acha dharau dogo
Sikudhania wao ni wao ni mkubwa kiasi hiki kwamza akizungunza naonekama mimi ndio babu. Kumbe tayari umri umeenda 😀
desktop-wallpaper-result-for-toothless-old-man-smiling-funny-faces-old-people-thumbnail.jpg
 
Hako kabinti kabichi kameweka jiti kubwa kama gogo kwenye mkono mbona siku hizo zote uko nao hatuoni matokea ya hako binti kukulea[emoji3] nikajua unakuja kwenye uzi wa leadermoe kuchukua point tatu za ushindi. Leo umeniacha na mawazo yan uchagan tunavyotafuta watoto natamani nitafute hata mwanamke nimzalishe tu nahisi mbegu zangu sizitendei haki kabisa. Nikipata watoto 23 nitaburudika nafsi. Akitokea mtu hata JF anataka mbegu bure Nampa ila awe na uwezo tu[emoji3]

haha mbona Analyse anadai mashangazi yana maziwa ya moto mpaka mda wanaunguza[emoji3]. Huyu Analyse ananipoteza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anhaa Analyse anakupoteza sana .
Hapana ndugu ukija kwenye mambo ya afya hautanishangaa kukosa watoto ila utasema ni kadari za mnyazi .

Ila moto napeleka sana , nipe mchaga mmoja nimuoneshe mambo ya ki@leadermoe
 
haha 😄 wenzako huko wanasema wanapeleka moto wanafia vifuani mwa watu🤣 vijana hawa siku hizi wana moto ishatokea wakati binti anakata kiuno mzee anakata roho😄😀
 
Huyo Gily hawezi kukupa dada ake, hata ufanyeje 😅😅😅
Haha kuna watu wanafukuzia dada zangu sina kinyongo nao. Ila nimewachana vijana wanaopend uharibu watoto wa watu tena huwa wanasema Gily white watoto wake wana mapaja meupe wazuri

aisee nilimtahadharisha Johnnie Walker kuwa akijaribu kumfukuzia mwanangu naenda Kongo huko kwa mganga matako yake yatakuwa yanatoka jasho mda wote Wenzake wanatembea na leso kufuta uso yeye anafuta matako jasho😀😀😀
 
Back
Top Bottom