Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

hili swal hata leadermoe alivyouliz niligoma kujib ni mtego sana😀😀
Wa 2 Bella kama mwenyewe alivyosema ukiacha 🌹na 💜 Issabella alikuwa komeshaaaa aristoteeealitaka mpaka mdogo wake akamtunuku 😂namba 3 mapacha wa kihindi kina Zai 😂balaa la 3some hawana uoga kweli watu weupe huwa wamevurugwa haswa watoto wa kiarabu na kihindi 😂
 
wanawake wa kichaga ni wazuri sana japo wanapondwa sana hapa jukwaani. Ila ukweli ni kweli siku zote😊
Wazuri ila hawana maajab labda siku hizi kwakua dunia ya utandawazi 😁hata makabila ambao walikuwa sio mafundi nao wamekuwa mafundi kwenye uwanja wa fundi selemara 😁embu niche nilale si unajua ka mjomba kako kanaumwa.
 
unajuaje kama wewe fundi wakati wengi magoigoi halaf mjin wanajiita mafund

oh kalale ukiamka nicheki. Ila msalimie haji manara basi😊
 
Nina uchungaji gani hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mke wangu tuliandikishana kiserikali. Aligoma kabisa kufunga ndoa RC na yeye yuko TAG. Anataka niokoke nikafunge nae ndoa huko
Sasa mbona tunaishi ina maana hatendi dhambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee
Kikubwa ni kumtafuta Mungu judgement ni za kwake wewe usisiste kumtafuta

Kila mtu Mungu kajifungua kwake tofauti. Siamini kabisa kuwa ni dhambi kuwa na wake wawil hata watatu [emoji854][emoji846] that is from my heart. .
Umetema madini sana hapa mkuu.
 
Hello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .

Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .

Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .

Best, Gily

Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah

etc
Mungu ni mwema tunashukuru kwa taarifa kiongozi na tuzidi kumuombea uponyaji ndugu yetu.
 
Yeah. Akirudi umfundish kula mbususu za mashangazi[emoji3][emoji3][emoji3]
We jamaa hua nasoma comment zako nabaki nacheka tu. Nakuona mtu mwema na ndani ya wema wako huishiwi vituko [emoji28][emoji28]
 
Nina kabinti kabichi sana kananilea , mishangazi itakuja kunilia jasho langu .

Kuhusu kulelewa nina mauncle wakutosha kunilea maana wanajua uncle wao mambo yalienda mlama kwenye uzao
Haya mambo ya kukosa uzao yana tafakarisha sana.
 
Haha kuna watu wanafukuzia dada zangu sina kinyongo nao. Ila nimewachana vijana wanaopend uharibu watoto wa watu tena huwa wanasema Gily white watoto wake wana mapaja meupe wazuri

aisee nilimtahadharisha Johnnie Walker kuwa akijaribu kumfukuzia mwanangu naenda Kongo huko kwa mganga matako yake yatakuwa yanatoka jasho mda wote Wenzake wanatembea na leso kufuta uso yeye anafuta matako jasho[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3] haha hapana huwezi jua kuna mengi tutajifunza kwako. Unatukatili kutotuletea story nzur yenye vimbwanga[emoji3]kumbe wewe ndio ulishindwa kuapa[emoji1787]

Maisha ni hadithi ndugu yangu ndio maana tuko hapa tunasimuliwa hadithi ya leadermoe. Wewe pia una nafasi ya kusimulia yako. Nasubiri niongeze matukio nisumulie yangu pia [emoji4][emoji4]
Ha ha yule aliyeshindwa kuapa hawezi kuwa wao ni wao kuna tofauti kubwa ya umri hapa.
 
Good afternoon my brothers'and sisters'

James 5:13-14 “Is anyone among you suffering? Let him pray. With this, I have news that's our friend leadermoe is not doing well. The doctors found blood clot on the vein on his arm. Yesterday, he was moved to ICU for a close watch. I know, we know even though in Turkey there is advanced hospitals and machines, still the doctors are humans. We all come to a greater power than the doctors, to Our Lord. Together we pray that our brother, friend, comrade 🙏 that in the name of Christ, He is healed. .

Isaiah 41:10 NIV
So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.

Ndugu zangu niko mbele yenu kuwapa taarifa kuhusu hali ya ndugu yetu baada ya hali yake kubadilika ghafla. Kwa pamoja tuendelee kumuombea kwa Mola wetu amfanyie wepesi apone haraka. .

rosmariini
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Mamaya
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Aaliyyah
Mpetde
pojore
JBourne59

etc
 
Hii operation alinambia kuwa ni ya kulala siku moja ya pili unaruhusiwa. Ila sasa bado yuko kwenye uangalizi zaidi. Tuombe apate nguvu na afya njema haraka. .
Aiseeee, mpe pole sana, tunaendelea kumuombea apone. Pia kwa kuwa una mawasiliano nae ya karibu, uwe unatutoa wasiwasi.
 
Aiseeee, mpe pole sana, tunaendelea kumuombea apone. Pia kwa kuwa una mawasiliano nae ya karibu, uwe unatutoa wasiwasi.
Ndio, alinambia niwe nawajulisha hali yake kwa wapendwa wake kwa sasa wakati hawezi tumia simu hawaruhusu hospital. Maisha ya mwanadamu ni majaribu na hili nalo litapita kwani Mungu wetu ni mwema sana. .
 
Good afternoon my brothers'and sisters'

James 5:13-14 “Is anyone among you suffering? Let him pray. With this, I have news that's our friend leadermoe is not doing well. The doctors found blood clot on the vein on his arm. Yesterday, he was moved to ICU for a close watch. I know, we know even though in Turkey there is advanced hospitals and machines, still the doctors are humans. We all come to a greater power than the doctors, to Our Lord. Together we pray that our brother, friend, comrade 🙏 that in the name of Christ, He is healed. .

Isaiah 41:10 NIV
So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.

Ndugu zangu niko mbele yenu kuwapa taarifa kuhusu hali ya ndugu yetu baada ya hali yake kubadilika ghafla. Kwa pamoja tuendelee kumuombea kwa Mola wetu amfanyie wepesi apone haraka. .

rosmariini
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Mamaya
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Aaliyyah
Mpetde
pojore
JBourne59

etc
Wishing him, fast recovery 🙏
 
Asante Gily kwa huu utu wako, Mungu akukumbuke zaidi.

Unajua katika maisha, sio wote wanapenda kujieleza mbele ya jamii. Huyu kaka leadermoe alitumia muda wake kutaka tupate uelewa kuhusu maisha yake, ni wengi wana story kama yake lakini hawakuona umuhimu wa kuzileta hapa. Lazima huu ujumbe umekuja na kusudi maalum kwetu.

Wapendwa tushirikiane japo kwa dakika yako 1 tu tamka neno la uponyaji kwa kaka yetu, Mungu wetu sio kiziwi. Tumuombee leadermoe.
 
Ndio, alinambia niwe nawajulisha hali yake kwa wapendwa wake kwa sasa wakati hawezi tumia simu hawaruhusu hospital. Maisha ya mwanadamu ni majaribu na hili nalo litapita kwani Mungu wetu ni mwema sana. .
Ameen brother nimeomba Mungu aendelee kumpa uponyaji. Hakika hili nalo litapita
 
Good afternoon my brothers'and sisters'

James 5:13-14 “Is anyone among you suffering? Let him pray. With this, I have news that's our friend leadermoe is not doing well. The doctors found blood clot on the vein on his arm. Yesterday, he was moved to ICU for a close watch. I know, we know even though in Turkey there is advanced hospitals and machines, still the doctors are humans. We all come to a greater power than the doctors, to Our Lord. Together we pray that our brother, friend, comrade 🙏 that in the name of Christ, He is healed. .

Isaiah 41:10 NIV
So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.

Ndugu zangu niko mbele yenu kuwapa taarifa kuhusu hali ya ndugu yetu baada ya hali yake kubadilika ghafla. Kwa pamoja tuendelee kumuombea kwa Mola wetu amfanyie wepesi apone haraka. .

rosmariini
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Mamaya
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Aaliyyah
Mpetde
pojore
JBourne59

etc
Asante kwa update kaka Allah aimarishe afya yake ampone kwa haraka arejee kwenye majukumu yake na mie mwanangu mgonjwa kama nilivyo kuambia Leo kazidiwa wanamlaza awekewe drip kwanza wakati mengine yanaendelea siko sawa na unajua tena hali yangu tutaona nyakati zingine Inshallah mwanangu akiwa sawa.
 
Allah amfanyie wepesi. Ila some other time you listen to me. I told you to take him to hospital three says ago. Please stop thinking much you are not in position to worry so much;also you need to take care of yourself more. .
 
Back
Top Bottom