Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Kabisa brother. 🙏 🙏 🙏Ameen brother nimeomba Mungu aendelee kumpa uponyaji. Hakika hili nalo litapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa brother. 🙏 🙏 🙏Ameen brother nimeomba Mungu aendelee kumpa uponyaji. Hakika hili nalo litapita
Hata mmi nashangaa sanawanawake wa kichaga ni wazuri sana japo wanapondwa sana hapa jukwaani. Ila ukweli ni kweli siku zote[emoji4]
Aise! Mungu amponye amrudishe tena kama ilivyo mawanzoGood afternoon my brothers'and sisters'
James 5:13-14 “Is anyone among you suffering? Let him pray. With this, I have news that's our friend leadermoe is not doing well. The doctors found blood clot on the vein on his arm. Yesterday, he was moved to ICU for a close watch. I know, we know even though in Turkey there is advanced hospitals and machines, still the doctors are humans. We all come to a greater power than the doctors, to Our Lord. Together we pray that our brother, friend, comrade [emoji120] that in the name of Christ, He is healed. .
Isaiah 41:10 NIV
So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.
Ndugu zangu niko mbele yenu kuwapa taarifa kuhusu hali ya ndugu yetu baada ya hali yake kubadilika ghafla. Kwa pamoja tuendelee kumuombea kwa Mola wetu amfanyie wepesi apone haraka. .
rosmariini
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Mamaya
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Aaliyyah
Mpetde
pojore
JBourne59
etc
Omba sana yasikukute ndugu , starehe tunazipenda lakini mwisho wake mbaya aliimba kijana mmoja wa kuitwa Ferooz .Haya mambo ya kukosa uzao yana tafakarisha sana.
Ofcourse uko sahihi kabisa.Ha ha yule aliyeshindwa kuapa hawezi kuwa wao ni wao kuna tofauti kubwa ya umri hapa.
Najaribu kusoma katikakati ya mstari nipate mantiki ya starehe na ukosefu wa uzao kwamba baadhi ya vijana wanaona bado wapo wapo na kwamba muda bado haitakiwi wawe na uzao.Omba sana yasikukute ndugu , starehe tunazipenda lakini mwisho wake mbaya aliimba kijana mmoja wa kuitwa Ferooz .
Hakuna kitu kinauma uwe unawatibu wengine ila ya kwako yakushinde doh , mei mosi ni hii siku si nyingi nitatandika daluga kutoka kuwa monthly reciever mpaka mkulima .[emoji848]
Kuna post umemwambia mtu amuulize Mohamed Said. Sasa huyu mwamba wa kitambo ukilinganisha na yule aliyeshindwa kuapa.Ofcourse uko sahihi kabisa.
Mkuu kaburungu kama umri kuwa na mtoto unakuruhusu basi kuwa naye ila starehe ni nzuri ila ni mbaya sana ngoja ngoja inaumiza matumbo .Najaribu kusoma katikakati ya mstari nipate mantiki ya starehe na ukosefu wa uzao kwamba baadhi ya vijana wanaona bado wapo wapo na kwamba muda bado haitakiwi wawe na uzao.
Wakati mabinti nao wanajitahidi kuzuia uumbaji au kuutoa kabisa ilimradi bata liendelee kuja kushtuka muda hauko upande wao...
Kama niko nje nieleweshwe.
Umemaliza kila kitu .Kuna post umemwambia mtu amuulize Mohamed Said. Sasa huyu mwamba wa kitambo ukilinganisha na yule aliyeshindwa kuapa.
wao ni wao namshukuru Mungu amenijalia uzao japo naweza sema nilichelewa ndio yale yale mambo ya ngoja ngoja. Ila wakati mwingine heri nusu Shari kuliko shari kamili.Mkuu kaburungu kama umri kuwa na mtoto unakuruhusu basi kuwa naye ila starehe ni nzuri ila ni mbaya sana ngoja ngoja inaumiza matumbo .
Hongera sana , kiandalie kizazi chako lililojemawao ni wao namshukuru Mungu amenijalia uzao japo naweza sema nilichelewa ndio yale yale mambo ya ngoja ngoja. Ila wakati mwingine heri nusu Shari kuliko shari kamili.
[emoji120]Hongera sana , kiandalie kizazi chako lililojema
Ni matumaini yangu it's all good.Nitawajulisha msijali. .
hata mimi natumaini itakuwa hivyo jamanNi matumaini yangu it's all good.
Mungu amsaidie huyu ndugu kwakwelihata mimi natumaini itakuwa hivyo jaman
Thanks darling kwa taarifaHello
Wapendwa wafuatiliaji wa hii story ya maisha ya ndugu yetu leadermoe nina ujumbe wa kheri kwenu. Jana ndugu yetu alifanyiwa operation ya moyo huko nchini Uturuki. Operation imeenda vyema sasa yuko bedrest nadhani ataruhisiwa kutoka hospitali ndani ya siku hizi mbili. .
Nimewasiliana nae huko nikazungumza na daktari wake. The doctor has assured me that he is doing well, hatakiwi kutumia vifaa kama simu au computer for fews days. Nimepewa ujumbe wa shukrani nilete kwenu. Leadermoe anawashukuru wote kwa kumuombea na ameweza kushinda majaribu. .
Bwana Mungu wetu ni mwingi wa rehema. Basi yapasa kushukuru kila kukicha. Tuzidi kumuombea mpaka pale atakapoweza kuwa salama na kurudi katika hali yake ya kila siku. .
Best, Gily
Kwa wale nitakaosahau kuwatag mnisamehe. .
moneytalk
Analyse
Half american
Watu8
Dr Restart
baby zu
Depal
Amehlo
Nourhan
Leejay49
Demi
Antonnia
Kalpana
Lovelovie
Glenn
Queen Kan
Binadamu Mtakatifu
Darlin
Lloyd Munroe
mshamba_hachekwi
Dahan
Johnnie Walker
Palina
am 4 real
Shunie
Numbisa
Bantu Lady
charlote
Luv
masai dada
Tayukwa
Kelsea
Antennah
Cee
Litro
Dadii
seansauce
kaburungu
Rule bender
wao ni wao
Nima Imma
To yeye
Santos06
Mo mp5
Aaliyyah
etc
Last message from brother. RIPI heard from Edson.
"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." 🙏