Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Mheshimiwa wao ni wao unakosaje uzao mzee,kwa kuamua tu au kwa kuumwa maradhi.Haya mambo ya kukosa uzao yana tafakarisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa wao ni wao unakosaje uzao mzee,kwa kuamua tu au kwa kuumwa maradhi.Haya mambo ya kukosa uzao yana tafakarisha sana.
Maradhi kaka , lakini na ngoja ngoja imesababisha haya yote sababu nilikuja kustuka kuwa sasa nipate watoto muda ambao tayari , afya yangu ilishatetereka hivyo haina haja tenaMheshimiwa wao ni wao unakosaje uzao mzee,kwa kuamua tu au kwa kuumwa maradhi.
Ikikupendeza ndugu ,tafadhali tujuze taratibu za msiba wapi utakuwepo na mazishi yatafanyika wapi ili kwa atayewiwa basi amsindikize ndugu yetu leadermoe katika safari yake ya mwishoOur friend Mr leadermoe left us [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"
Habari With deep sorrow, I am very sad to let you all know that Gibson’s heart suddenly stopped, he left us at 2:34 pm today. We thank you all for all the prayers, and we should please continue praying for his and our peace as family, friend’s, comrade, mates 🙏 ❤️ This isn't so much an...www.jamiiforums.com
Aisee nimesikitika kwamba mwamba leadermoe hatunae tena,kumbe haya maisha ni hadithi tu wakuuu.daahhh,Mungu amrehemu sana.Maradhi kaka , lakini na ngoja ngoja imesababisha haya yote sababu nilikuja kustuka kuwa sasa nipate watoto muda ambao tayari , afya yangu ilishatetereka hivyo haina haja tena
Ukisoma hadithi yake na vile alihitimisha waweza sema alikuwa anaaga ndugu yetuAisee nimesikitika kwamba mwamba leadermoe hatunae tena,kumbe haya maisha ni hadithi tu wakuuu.daahhh,Mungu amrehemu sana.
Acha tu mkuu,Nami ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunapokea ushauri mzuri kutoka kwake,Mkuu leadermoe umeondoka mdogo wangu mapema hivi ?
Mbona hatukumalizia kile tulipanga kukutana ? [emoji24] , Rafiki mbona ni siku chache tulizojuana tukaahidiana mengi ?
Nenda salama ndugu , sisi tuko nyuma yako , nitakukumbuka kwa mengi yaliyo mazuri hukusita kunipa moyo kwenye magumu yangu ila yaliyo mabaya haukujali ukubwa wangu zaidi yakunielza kuwa inabidi nibadilike .
Kweli muda ni wake Allah , kila uliponisistiza kufanya kile nilichokuahidi kukueleza nilisema pata nafuu kwanza nitakueleza ila hukusita kuniomba ila nilisema pata nafuu sikujua ya mbele kaka [emoji24]
Ninayo mengi kuhusu wewe ila nisiyoweza kuyaweka hapa ila tambua nitaukumbuka mchango na mawazo yako kwangu , ni wewe ulihitaji kukutana nami kwenye nchi za watu yote ikiwa nikuufanikisha uzee wetu ulio na kheri na fanaka kwa vizazi na ndugu zetu .
Adhab ya 'akhi ' ana warayik 'ana asf li'ana tahadathna kthyran wakhatana kthyran lakina ali'amr iam 'astatie wadeah huna , lagad kunt mithl lakh bialdul mu
Bialtaakid sanaeud iilahy naman fi makan jayid ya saghirat.
Katuacha kipindi ambacho hatkutaraji , linaloniuma zaidi ni kuwa kuna vitu tulizungumza na pia nikawa mfuatiliaji wa hivyo vitu nikawa na majibu au feedback isiyokuwa nzuri nikaona wacha amalizane na operations then nitamueleza sababu ya hali yake kiafya .Acha tu mkuu,Nami ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunapokea ushauri mzuri kutoka kwake,
Tulipanga naye mengi sana,ila ndo hivyo sasa
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
watoto sio lazima atoke kiunoni mwako mzee..Unaweza chukua hata mmoja ukamuasili. Ulichelewa kunichukua mimi ningekutunza uzeeni😊Maradhi kaka , lakini na ngoja ngoja imesababisha haya yote sababu nilikuja kustuka kuwa sasa nipate watoto muda ambao tayari , afya yangu ilishatetereka hivyo haina haja tena
Wewe mchaga bwana , Hivi nielekeze kidogo furaha uliyonayo kwa huyo mjukuu wangu hapo nyumbani ?watoto sio lazima atoke kiunoni mwako mzee..Unaweza chukua hata mmoja ukamuasili. Ulichelewa kunichukua mimi ningekutunza uzeeni[emoji4]
Tunasubiri ndugu .Bado familia haijaamua ikiamua tutaweka taarifa hapa
Furaha ingekuwa ile ile trust me ukilea utajua. Nina mmoja namlea ambae sio damu yanguna nampenda sana kuliko damu yangu. Undugu sio lazima mzaliwe pamoja. Unaweza kuwa wa kuzaliwa nae ila bado akawa tofauti na unavyotegemea. .Wewe mchaga bwana , Hivi nielekeze kidogo furaha uliyonayo kwa huyo mjukuu wangu hapo nyumbani ?
Vipi ungekuwa ulimchukua sehemu tofauti furaha inalingana ?
Come on rafiki , nina uncle zangu watatu , nawapenda sana wananipenda nimepambana kwa udi na uvumba kwa hela na jasho hivi kila mtu ana maisha yake japo bado furaha ya mtoto toka kiunoni kwangu ingekuwa zaidi ya furaha hii niliyonayo ya wajomba zangu.
Nimekuelewa Gily kumbe hapo issue ukilea utaona ni wako , by the way hao wote sijalea mimi zaidi wakiwa na wazazi wao ila niliwafanya wangu .Furaha ingekuwa ile ile trust me ukilea utajua. Nina mmoja namlea ambae sio damu yanguna nampenda sana kuliko damu yangu. Undugu sio lazima mzaliwe pamoja. Unaweza kuwa wa kuzaliwa nae ila bado akawa tofauti na unavyotegemea. .
Maradhi ni ibada. Kama umewalea wajomba ni jambo kubwa sana upate kheri. Usijali sana kuhusu watoke kiunoni, mfanye mtoto asiye kuwa na mzazi kuwa na baba. .
Sisi wengine hata ndugu yetu katoka familia ya kulelewa na mzazi mlezi. Hutojutia kabisa. .Nimekuelewa Gily kumbe hapo issue ukilea utaona ni wako , by the way hao wote sijalea mimi zaidi wakiwa na wazazi wao ila niliwafanya wangu .
Umegusa point kubwa sana .
Shukrani sana .
Shukrani sana.Sisi wengine hata ndugu yetu katoka familia ya kulelewa na mzazi mlezi. Hutojutia kabisa. .
إنا لله وإنا إليه راجعونMkuu leadermoe umeondoka mdogo wangu mapema hivi ?
Mbona hatukumalizia kile tulipanga kukutana ? [emoji24] , Rafiki mbona ni siku chache tulizojuana tukaahidiana mengi ?
Nenda salama ndugu , sisi tuko nyuma yako , nitakukumbuka kwa mengi yaliyo mazuri hukusita kunipa moyo kwenye magumu yangu ila yaliyo mabaya haukujali ukubwa wangu zaidi yakunielza kuwa inabidi nibadilike .
Kweli muda ni wake Allah , kila uliponisistiza kufanya kile nilichokuahidi kukueleza nilisema pata nafuu kwanza nitakueleza ila hukusita kuniomba ila nilisema pata nafuu sikujua ya mbele kaka [emoji24]
Ninayo mengi kuhusu wewe ila nisiyoweza kuyaweka hapa ila tambua nitaukumbuka mchango na mawazo yako kwangu , ni wewe ulihitaji kukutana nami kwenye nchi za watu yote ikiwa nikuufanikisha uzee wetu ulio na kheri na fanaka kwa vizazi na ndugu zetu .
Adhab ya 'akhi ' ana warayik 'ana asf li'ana tahadathna kthyran wakhatana kthyran lakina ali'amr iam 'astatie wadeah huna , lagad kunt mithl lakh bialdul mu
Bialtaakid sanaeud iilahy naman fi makan jayid ya saghirat.
Coward of the county . Kenny Rogers.K. Rogers!! What a lesson[emoji848]
[emoji119]
DahI heard from Edson.
"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." [emoji120]