Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Ikikupendeza ndugu ,tafadhali tujuze taratibu za msiba wapi utakuwepo na mazishi yatafanyika wapi ili kwa atayewiwa basi amsindikize ndugu yetu leadermoe katika safari yake ya mwisho
 
Acha tu mkuu,Nami ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunapokea ushauri mzuri kutoka kwake,

Tulipanga naye mengi sana,ila ndo hivyo sasa

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Acha tu mkuu,Nami ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunapokea ushauri mzuri kutoka kwake,

Tulipanga naye mengi sana,ila ndo hivyo sasa

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Katuacha kipindi ambacho hatkutaraji , linaloniuma zaidi ni kuwa kuna vitu tulizungumza na pia nikawa mfuatiliaji wa hivyo vitu nikawa na majibu au feedback isiyokuwa nzuri nikaona wacha amalizane na operations then nitamueleza sababu ya hali yake kiafya .

Kila akihiitaji nimueleze nikawa nasema tulia kwanza malizana na operation kumbe muda haukuwa upande wangu wala wake .

Hakika sisi wote ni wa ALLAH na kwake tutarejea .
 
Maradhi kaka , lakini na ngoja ngoja imesababisha haya yote sababu nilikuja kustuka kuwa sasa nipate watoto muda ambao tayari , afya yangu ilishatetereka hivyo haina haja tena
watoto sio lazima atoke kiunoni mwako mzee..Unaweza chukua hata mmoja ukamuasili. Ulichelewa kunichukua mimi ningekutunza uzeeni😊
 
watoto sio lazima atoke kiunoni mwako mzee..Unaweza chukua hata mmoja ukamuasili. Ulichelewa kunichukua mimi ningekutunza uzeeni[emoji4]
Wewe mchaga bwana , Hivi nielekeze kidogo furaha uliyonayo kwa huyo mjukuu wangu hapo nyumbani ?

Vipi ungekuwa ulimchukua sehemu tofauti furaha inalingana ?

Come on rafiki , nina uncle zangu watatu , nawapenda sana wananipenda nimepambana kwa udi na uvumba kwa hela na jasho hivi kila mtu ana maisha yake japo bado furaha ya mtoto toka kiunoni kwangu ingekuwa zaidi ya furaha hii niliyonayo ya wajomba zangu.
 
Furaha ingekuwa ile ile trust me ukilea utajua. Nina mmoja namlea ambae sio damu yanguna nampenda sana kuliko damu yangu. Undugu sio lazima mzaliwe pamoja. Unaweza kuwa wa kuzaliwa nae ila bado akawa tofauti na unavyotegemea. .

Maradhi ni ibada. Kama umewalea wajomba ni jambo kubwa sana upate kheri. Usijali sana kuhusu watoke kiunoni, mfanye mtoto asiye kuwa na mzazi kuwa na baba. .
 
Nimekuelewa Gily kumbe hapo issue ukilea utaona ni wako , by the way hao wote sijalea mimi zaidi wakiwa na wazazi wao ila niliwafanya wangu .

Umegusa point kubwa sana .
Shukrani sana .
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Nimechelewa kusoma hii habari ila nimepata la kujifunza, ukipata muda mzee wangu wao ni wao tuwasiliane PM, naamini tutazungumza mengi, usikose inshaallah.
 
I heard from Edson.

"Asante sana wote mlioguswa na kuniombea. Nimemaliza ratiba ya hospital, nimepewa bed resting. Naendelea vizuri. Muwe na wakati mwema, Asanteni kwa maombi." [emoji120]
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…