Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Kifo ni fumbo. Na hatuwezi kukikwepa, tuzidi kumuomba Mungu tuwe na mwisho mzuri.

Pole kwa familia, kwa kupoteza watu wawili katika kipindi kifupi. Mwenyezi Mungu awatie nguvu.
 
Mwezi march Cousin Alifiwa na mamamkwe wake!! Yani mama wa mkewe!
Daaah! Mbona hii ilinipita?, masikini Rose atakuwa na wakati mgumu sana kwa kweli. Mama kabla hajapumzika mume nae. Ohh God.
 
Acha tu mkuu ni uchungu na huzuni na masikitiko sanaa!😭
Kwa kweli, kama kuna mtu unapaswa kumthamini, inabidi kufanya hivyo ukiwa nae, maana baada ya hatua mbili huwezi jua yeye au wewe utapatwa na nini. Tunapswa kuishi kwa upendo.
 
Kwakweli mkuu!
Inauma sana!!
 
Mkewe???? Hapana utakua umechanganya madesa aposto!!
Masikini , nilivyokuona hapo juu unasema habari ya mama mkwe , nimeumia zaidi maana nikajua hujui .

Pole Antonnia mkewe @ledadermoe aitwaye rosmariini kwa hapa jamvini hatunaye tena .

Pole sana inauma , inaumiza , inatesa , niko very frustrated sikuwaza Gibson kuondoka mapema hivi na shemeji kumfuata kwa huu mda .

Hakika kwake tutarejea [emoji24][emoji24]
 
Juzikati hapa alifiwa na mamkwe hio taarifa ya kifo cha mkewe Analyse atakua amechanganya files!!
Huu Uzi nimekuta amenitag Gily ,ila naona now umefungwa
Screenshot_20230503-133818.png
 
Masikini , nilivyokuona hapo juu unasema habari ya mama mkwe , nimeumia zaidi maana nikajua hujui .

Pole Antonnia mkewe @ledadermoe aitwaye rosmariini kwa hapa jamvini hatunaye tena .

Pole sana inauma , inaumiza , inatesa , niko very frustrated sikuwaza Gibson kuondoka mapema hivi na shemeji kumfuata kwa huu mda .

Hakika kwake tutarejea [emoji24][emoji24]
Kaka wao ni wao, hii tarifa ni ya kweli?? 😭😭
 
Masikini , nilivyokuona hapo juu unasema habari ya mama mkwe , nimeumia zaidi maana nikajua hujui .

Pole Antonnia mkewe @ledadermoe aitwaye rosmariini kwa hapa jamvini hatunaye tena .

Pole sana inauma , inaumiza , inatesa , niko very frustrated sikuwaza Gibson kuondoka mapema hivi na shemeji kumfuata kwa huu mda .

Hakika kwake tutarejea [emoji24][emoji24]
Jessusssss😳😳😳😳😳!!
Kifo chake kimetokana na mshtuko wa kifo cha mumewe??????🙆🙆🙆🙆!
Eeehh Yesu wangu!!!!!
 
Back
Top Bottom