Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Jessusssss😳😳😳😳😳!!
Kifo chake kimetokana na mshtuko wa kifo cha mumewe??????🙆🙆🙆🙆!
Eeehh Yesu wangu!!!!!
Yeah, something like that
 
Kaka wao ni wao, hii tarifa ni ya kweli?? [emoji24][emoji24]
Nimepewa taarifa kupitia huu uzi tajwa na Analyse hapo juu ya kuwa na mkewe kafariki .

Nachelea kusema ni taarifa ya uongo sababu mtoa taarifa sina shaka naye ninaamini iko hivyo .

Hivyo wametangulia sisi tutafuata maana kwake tutarejea .

Mpderators wamefunga uzi yawezekana ya sintofahamu za mihemko iliyotokeza katika uzi husika hii imetokana na utaratibu uliokuwepo kwa familia juu ya msiba husika .

Ila tusubiri muda ni mwalimu mzuri na pia kila kitu kitakuwa sawa.
 
Nimepewa taarifa kupitia huu uzi tajwa na Analyse hapo juu ya kuwa na mkewe kafariki .

Nachelea kusema ni taarifa ya uongo sababu mtoa taarifa sina shaka naye ninaamini iko hivyo .

Hivyo wametangulia sisi tutafuata maana kwake tutarejea .

Mpderators wamefunga uzi yawezekana ya sintofahamu za mihemko iliyotokeza katika uzi husika hii imetokana na utaratibu uliokuwepo kwa familia juu ya msiba husika .

Ila tusubiri muda ni mwalimu mzuri na pia kila kitu kitakuwa sawa.
Mmmhhh
 
Jessusssss[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!
Kifo chake kimetokana na mshtuko wa kifo cha mumewe??????[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]!
Eeehh Yesu wangu!!!!!
Kwa maelezo ya Gily ni kuwa shemeji alipanda ndege kuelekea Uturuki ila presha ishakuwa juu sababu ya kuelezwa kifo cha mmewe hivyo hakuweza kusustain maumivu mwisho akafariki
 
Masikini , nilivyokuona hapo juu unasema habari ya mama mkwe , nimeumia zaidi maana nikajua hujui .

Pole Antonnia mkewe @ledadermoe aitwaye rosmariini kwa hapa jamvini hatunaye tena .

Pole sana inauma , inaumiza , inatesa , niko very frustrated sikuwaza Gibson kuondoka mapema hivi na shemeji kumfuata kwa huu mda .

Hakika kwake tutarejea [emoji24][emoji24]
SERIOOUS??????
 
Nimepewa taarifa kupitia huu uzi tajwa na Analyse hapo juu ya kuwa na mkewe kafariki .

Nachelea kusema ni taarifa ya uongo sababu mtoa taarifa sina shaka naye ninaamini iko hivyo .

Hivyo wametangulia sisi tutafuata maana kwake tutarejea .

Mpderators wamefunga uzi yawezekana ya sintofahamu za mihemko iliyotokeza katika uzi husika hii imetokana na utaratibu uliokuwepo kwa familia juu ya msiba husika .

Ila tusubiri muda ni mwalimu mzuri na pia kila kitu kitakuwa sawa.
Uwiii kumbe ulianzishwa pia uzi wa kifo cha Rose kabisa???😳😳😳😳
 
Kuna muda naona sio kweli ni ndoto lakini ndio ukweli,tulifahamiana na marehemu kwa muda mchache akawa kama rafiki ambae nimemjua maisha yangu yote,tukipiga story za maisha hata utani utasikia embu nishauri jambo flani kama wewe utafanyaje namwambia mbona wewe ndo nategemea akili zako,ujumbe ambao siusahau kamwe nimelala nakutana na meseji nataka nikufanyie jambo ambalo utanikumbuka maisha yako yote sema kiasi cha pesa chochote ambacho utafanya biashara ikulipe zaidi nijibu kabla ya tarehe 28 kuanzia tarehe 2 nitakuwa hospital unaweza ukachelewa kupata majibu nitakujulisha namna ya kupata hizo pesa au unataka zikufikie kwa njia ipi nikashangaa sana habari za hospital akaniambia ana tatizo la tachycardia anaenda ku replacement battery ya pacemaker ikabidi ni google tachycardia chanzo Kuna chanzo kimoja nikamtania akasema kweli mie napenda sana na pia msiba wa Mama ulichangia nilikuwa na mawazo sana Nika google side effects za pacemaker ukiwekewa ambayo unapata blood clot kwenye mkono unao wekewa,kupata infection damage kwenye blood vessels au nerves na madhara mengine kwa kweli niliogopa akataniuliza wazo la biashara nikampa wazo langu nikiwa nasita akasema mbona unasita pesa za mwingine unazionea ubahili au huamini nitakupa nikamwambia no wewe mwanadamu mie mwanadamu lolote laweza tokea embu katibiwe kwanza ndo muhimu kuliko biashara zangu,mpaka anaenda hospital tunawasiliana aniambia nakuletea Iphone 14 pro max upigie picha biashara zako namwambia embu pona kwanza achana na simu nikamwambia una jua Triple G unafanana na baba yangu sana kuanzia mwili unavyo tabasamu na hio miwani akacheka nikamtumia picha za Baba akasema Mzee flani kweli tunafanana umbo nikamwambia Baba yangu alikuwa na matatizo ya moyo kama wewe nilimkosa naogopa kukukosa akanitumia baadhi ya vifungua kwenye biblia,nilichelewa kuwasha data siku ya Juma2 nikakuta meseji yake nikamjibu haikujibiwa nikashangaa nikawa na wasiwasi mpaka Gily anakuja kunipa taarifa yupo ICU kwa kweli nilikosa amani moyoni nikawa namuombea Allah ampe shifaa nakuja kuambiwa na Gily amekufa aise niliona anatania akaniambia siwezi tania kuhusu kifo anakuja aniambia 🌹kapata presha nikakosa raha zaidi nasikia amefariki Aisee nguvu ziliniisha Yaani Alkhamis Rose 🌹 Kuna ujumbe alinitumia eti nae hayupo nilikuwa nasema wanae wamepoteza Baba ila Mama wanae kumbe usilolijua kwa kweli nawaonea huruma sana wanae wamepoteza Bibi Baba na Mama ndani ya muda mchache ila na Imani na 💜anawapenda kama wanae atakuwa nao kuwapenda kuwajali kuwaongoza hapo ndio namuelewa G kwanini hakumuacha 💜aende na kwanini 🌹alimkubali 💜awe kwenye maisha yake na akae na wanae.namuomba Mwenyeezi Mungu awarehemu wapendwa wetu hawa awape familia subra kwenye kipindi hiki kigumu kwao kufiwa kunauma sana haswa wazazi.
 
Kuna muda naona sio kweli ni ndoto lakini ndio ukweli,tulifahamiana na marehemu kwa muda mchache akawa kama rafiki ambae nimemjua maisha yangu yote,tukipiga story za maisha hata utani utasikia embu nishauri jambo flani kama wewe utafanyaje namwambia mbona wewe ndo nategemea akili zako,ujumbe ambao siusahau kamwe nimelala nakutana na meseji nataka nikufanyie jambo ambalo utanikumbuka maisha yako yote sema kiasi cha pesa chochote ambacho utafanya biashara ikulipe zaidi nijibu kabla ya tarehe 28 kuanzia tarehe 2 nitakuwa hospital unaweza ukachelewa kupata majibu nitakujulisha namna ya kupata hizo pesa au unataka zikufikie kwa njia ipi nikashangaa sana habari za hospital akaniambia ana tatizo la tachycardia anaenda ku replacement battery ya pacemaker ikabidi ni google tachycardia chanzo Kuna chanzo kimoja nikamtania akasema kweli mie napenda sana na pia msiba wa Mama ulichangia nilikuwa na mawazo sana Nika google side effects za pacemaker ukiwekewa ambayo unapata blood clot kwenye mkono unao wekewa,kupata infection damage kwenye blood vessels au nerves na madhara mengine kwa kweli niliogopa akataniuliza wazo la biashara nikampa wazo langu nikiwa nasita akasema mbona unasita pesa za mwingine unazionea ubahili au huamini nitakupa nikamwambia no wewe mwanadamu mie mwanadamu lolote laweza tokea embu katibiwe kwanza ndo muhimu kuliko biashara zangu,mpaka anaenda hospital tunawasiliana aniambia nakuletea Iphone 14 pro max upigie picha biashara zako namwambia embu pona kwanza achana na simu nikamwambia una jua Triple G unafanana na baba yangu sana kuanzia mwili unavyo tabasamu na hio miwani akacheka nikamtumia picha za Baba akasema Mzee flani kweli tunafanana umbo nikamwambia Baba yangu alikuwa na matatizo ya moyo kama wewe nilimkosa naogopa kukukosa akanitumia baadhi ya vifungua kwenye biblia,nilichelewa kuwasha data siku ya Juma2 nikakuta meseji yake nikamjibu haikujibiwa nikashangaa nikawa na wasiwasi mpaka Gily anakuja kunipa taarifa yupo ICU kwa kweli nilikosa amani moyoni nikawa namuombea Allah ampe shifaa nakuja kuambiwa na Gily amekufa aise niliona anatania akaniambia siwezi tania kuhusu kifo anakuja aniambia [emoji257]kapata presha nikakosa raha zaidi nasikia amefariki Aisee nguvu ziliniisha Yaani Alkhamis Rose [emoji257] Kuna ujumbe alinitumia eti nae hayupo nilikuwa nasema wanae wamepoteza Baba ila Mama wanae kumbe usilolijua kwa kweli nawaonea huruma sana wanae wamepoteza Bibi Baba na Mama ndani ya muda mchache ila na Imani na [emoji171]anawapenda kama wanae atakuwa nao kuwapenda kuwajali kuwaongoza hapo ndio namuelewa G kwanini hakumuacha [emoji171]aende na kwanini [emoji257]alimkubali [emoji171]awe kwenye maisha yake na akae na wanae.namuomba Mwenyeezi Mungu awarehemu wapendwa wetu hawa awape familia subra kwenye kipindi hiki kigumu kwao kufiwa kunauma sana haswa wazazi.
Kiukweli G was an angel [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Naelezwa hivyo na mkuu Gily hivyo ni serious ndugu zanguni .

Ndugu Gily tafadhali kama hutojali njoo katika uzi huu uwaeleze wafuatiaji wake wengine maana hawakuipata taarifa kutokana na ule uzi mpya ulioweka asubuhi kufungwa
Najaribu kuwaza majeneza mawili kwenye Familia moja[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom