Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Kifo ni fumbo. Na hatuwezi kukikwepa, tuzidi kumuomba Mungu tuwe na mwisho mzuri.

Pole kwa familia, kwa kupoteza watu wawili katika kipindi kifupi. Mwenyezi Mungu awatie nguvu.
 
Mwezi march Cousin Alifiwa na mamamkwe wake!! Yani mama wa mkewe!
Daaah! Mbona hii ilinipita?, masikini Rose atakuwa na wakati mgumu sana kwa kweli. Mama kabla hajapumzika mume nae. Ohh God.
 
Daaah! Mbona hii ilinipita?, masikini Rose atakuwa na wakati mgumu sana kwa kweli. Mama kabla hajapumzika mume nae. Ohh God.
Acha tu mkuu ni uchungu na huzuni na masikitiko sanaa!😭
 
Juzi juzi hapa Cousin Alifiwa na mamamkwe wake!! Yani mama wa mkewe!
Ukiachana na kifo cha Leadermoe, si nimeona pia taarifa za kifo cha mkewe? Au Mimi ndio nachanganya madesa?
 
Acha tu mkuu ni uchungu na huzuni na masikitiko sanaa!😭
Kwa kweli, kama kuna mtu unapaswa kumthamini, inabidi kufanya hivyo ukiwa nae, maana baada ya hatua mbili huwezi jua yeye au wewe utapatwa na nini. Tunapswa kuishi kwa upendo.
 
Kwa kweli, kama kuna mtu unapaswa kumthamini, inabidi kufanya hivyo ukiwa nae, maana baada ya hatua mbili huwezi jua yeye au wewe utapatwa na nini. Tunapswa kuishi kwa upendo.
Kwakweli mkuu!
Inauma sana!!
 
Mkewe???? Hapana utakua umechanganya madesa aposto!!
Masikini , nilivyokuona hapo juu unasema habari ya mama mkwe , nimeumia zaidi maana nikajua hujui .

Pole Antonnia mkewe @ledadermoe aitwaye rosmariini kwa hapa jamvini hatunaye tena .

Pole sana inauma , inaumiza , inatesa , niko very frustrated sikuwaza Gibson kuondoka mapema hivi na shemeji kumfuata kwa huu mda .

Hakika kwake tutarejea [emoji24][emoji24]
 
Kaka wao ni wao, hii tarifa ni ya kweli?? 😭😭
 
Jessusssss😳😳😳😳😳!!
Kifo chake kimetokana na mshtuko wa kifo cha mumewe??????πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†!
Eeehh Yesu wangu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…