Thank you for the update. May he continue to rest in peace[emoji120].Kifo cha leadermoe nimetangaza tarehe 02 /05
Kuzikwa ni tarehe 22/05
I announced anazikwa baada ya siku 21 huko Arusha. Mpendwa wetu atapunzishwa kwenye nyumba yake ya milele. .
Amen 🙏 🙏Thank you for the update. May he continue to rest in peace[emoji120].
atapumzishwa au watapumzishwa?Kifo cha leadermoe nimetangaza tarehe 02 /05
Kuzikwa ni tarehe 22/05
I announced anazikwa baada ya siku 21 huko Arusha. Mpendwa wetu atapunzishwa kwenye nyumba yake ya milele. .
Duh! @leadermore hatunaye tena!atapumzishwa au watapumzishwa?
Poleni sanaKifo cha leadermoe nimetangaza tarehe 02 /05
Kuzikwa ni tarehe 22/05
I announced anazikwa baada ya siku 21 huko Arusha. Mpendwa wetu atapunzishwa kwenye nyumba yake ya milele. .
Mwenyekiti wa kamati ya Msiba Steve Nyerere Mwarabu upumzike sasa mtoto wa watu Baba wa 2Habari.
Ndugu zangu habari za masiku
Kesho kutwa tarehe 22 ndio ile siku rasmi ndugu yetu leadermoe atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Kwa taarifa nilizopewa hapo awali ni kuwa maziko yangefanyika Arusha Kwa sababu enzi za uhai wake alipenda kuzikwa karibu na kaburi la mama yake huko Arusha. .
I will like also to inform you so far there has not been any news. Familia hawajataka kunitafuta tena na wala nikiwatafuta hawajataka kunijibu. Najua wengi humu mngependa kwenda kumzika ndugu yetu huyu hata ingependeza kwenda kumuaga ndugu yetu huyu. Kama familia itanicheki nitawajulisha wote humu. .
Wengi tumebahatika kumjua leadermoe nje ya hapa. Kwa kweli kwa wasiopata kumjua huyu jamaa hawawezi elewa alikuwa ni mtu wa namna gani. Mungu ampe pumziko la milele. We shall meet him again. .
wao ni wao rafiki yake waliyezungumza lugha mbali mbali
Peterrabbit rafiki yako mliyefanya biashara ukatamani kwenda kumuona
Dahan rafiki yako ambaye mlishirikiana kwenye mambo mbalimbali
Nourhan rafiki yako najua utamkumbuka daima
moneytalk your best friend
Antonnia najua ulipenda taniana nae cousin
annito Valentina ram na wengine wengi tuendelee kumkumbuka.
kama kutakuwa na taarifa za ziada nitazitoa ila mpaka sasa taarifa ni hizi. .
Sasa itakuwaje mzee? wengine tuko Arusha kwa mitikasi ndio ilikuwa wasaaa wa kumuaga jamaa yetu.Habari.

Kuzika tarehe 22 leo tarehe 20 nitaendelea kuwahecheki wakinijibu nawajulisha. .Sasa itakuwaje mzee? wengine tuko Arusha kwa mitikasi ndio ilikuwa wasaaa wa kumuaga jamaa yetu.
Najua mnatamani kwenda kumzika ndugu yetu hata kumuaga mara ya mwisho. .Mwenyekiti wa kamati ya Msiba Steve Nyerere Mwarabu upumzike sasa mtoto wa watu Baba wa 2
shukran gilyHabari.
Ndugu zangu habari za masiku
Kesho kutwa tarehe 22 ndio ile siku rasmi ndugu yetu leadermoe atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Kwa taarifa nilizopewa hapo awali ni kuwa maziko yangefanyika Arusha Kwa sababu enzi za uhai wake alipenda kuzikwa karibu na kaburi la mama yake huko Arusha. .
I will like also to inform you so far there has not been any news. Familia hawajataka kunitafuta tena na wala nikiwatafuta hawajataka kunijibu. Najua wengi humu mngependa kwenda kumzika ndugu yetu huyu hata ingependeza kwenda kumuaga ndugu yetu huyu. Kama familia itanicheki nitawajulisha wote humu. .
Wengi tumebahatika kumjua leadermoe nje ya hapa. Kwa kweli kwa wasiopata kumjua huyu jamaa hawawezi elewa alikuwa ni mtu wa namna gani. Mungu ampe pumziko la milele. We shall meet him again. .
wao ni wao rafiki yake waliyezungumza lugha mbali mbali
Peterrabbit rafiki yako mliyefanya biashara ukatamani kwenda kumuona
Dahan rafiki yako ambaye mlishirikiana kwenye mambo mbalimbali
Nourhan rafiki yako najua utamkumbuka daima
moneytalk your best friend
Antonnia najua ulipenda taniana nae cousin
annito Valentina ram na wengine wengi tuendelee kumkumbuka.
kama kutakuwa na taarifa za ziada nitazitoa ila mpaka sasa taarifa ni hizi. .
Dah jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Habari.

Wanafamilia wanasoma hizi comment hapa piaDah jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nikisema sana nitakufuru acha apumzike tu huyu mtu [emoji24][emoji24][emoji24]
NotedKuzika tarehe 22 leo tarehe 20 nitaendelea kuwahecheki wakinijibu nawajulisha. .
Nakuahidi nikipata taarifa utakuwa wa kwanza kuzipata. .Noted
Gilly vipi na Rose watazikwa siku moja au?Kuzika tarehe 22 leo tarehe 20 nitaendelea kuwahecheki wakinijibu nawajulisha. .
Kama ningejua ningetoa taarifa hapa. Familia haijanijibi siwezi na sina haja ya kuficha taarifa wakati ndugu Gibs alikuwa na marafiki wengi humu. .Gilly vipi na Rose watazikwa siku moja au?
Mkuu kweli uliona mbali... Angalia haya maigizo yao wanayotoa leo! !Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo
wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni