Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Kifo cha leadermoe nimetangaza tarehe 02 /05
Kuzikwa ni tarehe 22/05

I announced anazikwa baada ya siku 21 huko Arusha. Mpendwa wetu atapunzishwa kwenye nyumba yake ya milele. .
Thank you for the update. May he continue to rest in peace[emoji120].
 
Kifo cha leadermoe nimetangaza tarehe 02 /05
Kuzikwa ni tarehe 22/05

I announced anazikwa baada ya siku 21 huko Arusha. Mpendwa wetu atapunzishwa kwenye nyumba yake ya milele. .
Poleni sana

Nipo Arusha nilitamani kupata utaratibu nishiriki
 
Habari.
Ndugu zangu habari za masiku
Kesho kutwa tarehe 22 ndio ile siku rasmi ndugu yetu leadermoe atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Kwa taarifa nilizopewa hapo awali ni kuwa maziko yangefanyika Arusha Kwa sababu enzi za uhai wake alipenda kuzikwa karibu na kaburi la mama yake huko Arusha. .

I will like also to inform you so far there has not been any news. Familia hawajataka kunitafuta tena na wala nikiwatafuta hawajataka kunijibu. Najua wengi humu mngependa kwenda kumzika ndugu yetu huyu hata ingependeza kwenda kumuaga ndugu yetu huyu. Kama familia itanicheki nitawajulisha wote humu. .

Wengi tumebahatika kumjua leadermoe nje ya hapa. Kwa kweli kwa wasiopata kumjua huyu jamaa hawawezi elewa alikuwa ni mtu wa namna gani. Mungu ampe pumziko la milele. We shall meet him again. .

wao ni wao rafiki yake waliyezungumza lugha mbali mbali

Peterrabbit rafiki yako mliyefanya biashara ukatamani kwenda kumuona

Dahan rafiki yako ambaye mlishirikiana kwenye mambo mbalimbali

Nourhan rafiki yako najua utamkumbuka daima

moneytalk your best friend

Antonnia najua ulipenda taniana nae cousin

annito Valentina ram na wengine wengi tuendelee kumkumbuka.

kama kutakuwa na taarifa za ziada nitazitoa ila mpaka sasa taarifa ni hizi. .
 
Mwenyekiti wa kamati ya Msiba Steve Nyerere Mwarabu upumzike sasa mtoto wa watu Baba wa 2
 
Sasa itakuwaje mzee? wengine tuko Arusha kwa mitikasi ndio ilikuwa wasaaa wa kumuaga jamaa yetu.
 
shukran gily
 
Dah jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nikisema sana nitakufuru acha apumzike tu huyu mtu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mie nachoona mtazamo wangu kuhusu ndugu Marehemu aliongelea historia yake watoto bila ya kujua kesho yake itakuaje sidhani alijua angekufa baada tu ya kufanya replacement ya battery, hivyo kama family imeona kama ita expose watoto Mama na hata hatarini kutekwa kwaajiri ya pesa wameona wamalize wao wenyewe,muhimu ndugu yetu rafiki yetu leadermoe Mungu ampe pumziko🙏
 
Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo

wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
Mkuu kweli uliona mbali... Angalia haya maigizo yao wanayotoa leo! !
Huyo mtu kupitia uzi wake huu alijinadi sana na kujifanya ana hela wa mamtoni mi dolari anajua kutembezea msuli wanawake aliinadi ni mtu wa michongo wanawake na watu wengine wakajaa pm kukawa na tsunami huko kuua soo ameamua kubadili id kwa staili hii ya kufeki kifo!!

Kwahaya maigizo nina imani hata katika story yake kuna over exaggeration nyingi sana kuliko uhalisia!

I smell something fishy here!!
 
Back
Top Bottom