Habari.
Ndugu zangu habari za masiku
Kesho kutwa tarehe 22 ndio ile siku rasmi ndugu yetu
leadermoe atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele. Kwa taarifa nilizopewa hapo awali ni kuwa maziko yangefanyika Arusha Kwa sababu enzi za uhai wake alipenda kuzikwa karibu na kaburi la mama yake huko Arusha. .
I will like also to inform you so far there has not been any news. Familia hawajataka kunitafuta tena na wala nikiwatafuta hawajataka kunijibu. Najua wengi humu mngependa kwenda kumzika ndugu yetu huyu hata ingependeza kwenda kumuaga ndugu yetu huyu. Kama familia itanicheki nitawajulisha wote humu. .
Wengi tumebahatika kumjua leadermoe nje ya hapa. Kwa kweli kwa wasiopata kumjua huyu jamaa hawawezi elewa alikuwa ni mtu wa namna gani. Mungu ampe pumziko la milele. We shall meet him again. .
wao ni wao rafiki yake waliyezungumza lugha mbali mbali
Peterrabbit rafiki yako mliyefanya biashara ukatamani kwenda kumuona
Dahan rafiki yako ambaye mlishirikiana kwenye mambo mbalimbali
Nourhan rafiki yako najua utamkumbuka daima
moneytalk your best friend
Antonnia najua ulipenda taniana nae cousin
annito Valentina ram na wengine wengi tuendelee kumkumbuka.
kama kutakuwa na taarifa za ziada nitazitoa ila mpaka sasa taarifa ni hizi. .