Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

So alikuwa storyteller ambaye muhusika mkuu mwisho wa picha alitakiwa kufa???? Anyway wao na dunia yao. Ya Jf yatabakia Jf
 
So alikuwa storyteller ambaye muhusika mkuu mwisho wa picha alitakiwa kufa???? Anyway wao na dunia yao. Ya Jf yatabakia Jf
kama leo hii nikifa utasema kuwa Gily alikuwa wa maigizo. Ila humu ndani kuna watu wananijua fika mpaka na familia yangu kama Nourhan, Ms eyes, mwachiluwi na wengine nazungumz nao nje ya jF kama CK Allan, kuna watu nimefanya nao business nk

mtu akiona maigizo huwezi mzuia kama yatampa amani ya moyo wake ni kheri pia. .
 
Mpaka nimeona wivu walahi ukizingatia tupo kipindi cha majonzi [emoji24]
 
Gily tupatie updated basi msiba upo wap na mazishi yanafanyikia wap wenye uwezo na kama wapo hapo A town wahudhurie
Hivi mnakuwa hampitii comments?????!!!

Gily kashaliongelea hana update yoyote toka aongee na mtoto wa marehemu Harrison akamwambia wanaenda Finland kuaga kisha watammoumzisha nyumba yake ya milele kwao Arusha pembeni ya Mama yake na mtoto alimwambia atamtafuta akili yake ikikaa sawa toka hapo hajawasiliana nao tena na wala alipowatafuta no response 👎🙅
 
Okay,lkn yeye mwenyewe aliahidi ataendelea kutupatia taarifa kadiri anavyopata,ila na imani muda leadermoe atakua ameshapumzishwa kwenye makazi yake ya milele[emoji24][emoji26]
 
Kumbe ndo uyu mwamba wame zika toka last week mbona .naona mme pigwa kalenda mjuba yuko chini zamani sanaaa au hamna wadau wakubwa Arusha.
 
Kumbe ndo uyu mwamba wame zika toka last week mbona .naona mme pigwa kalenda mjuba yuko chini zamani sanaaa au hamna wadau wakubwa Arusha.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] kwahiyo haikua leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…